Tujifunze kutunza watoto wetu sisi wenyewe hizi habari za kupeleka watoto kwa mabibi au babu ,wajomba,shangazi imekua tishio wengi ni washirikina na ukisikiza hizi story wengi walipatia mafunzo uko mara hawakusoma tujifunze mengi hapa..
Wachawi sio watu wazuri,mwaka 2016 rafiki angu alifariki kama hvi tuu alikua akivimbaa miguu ana bleed kila siku dam zikawa zinatoka kwen fizi na miguu kuvimba sana mwishowe akafariki nahc na yy ni msukule jamn ,mungu atusaidiiee sana
Wanga wabaya Wallah. Aliposema kuzuri alinipa molal na mie nitie maguu siku moja, lakini Aliposema hakuna mademu amenikata maini, yaani hata kuwe na majengo mazuri, magari mazuri lakini hakuna mademu ni ziro kabisa.
Mmmh ni wengi sna walio kufa kwa stairi iii jamanii😥 Mungu tusaidie🙏
Nimeisubili sana hii maana ipo poa kaka davistar Matta 💓💓💓💓
Pamoj
Hii story mbona imeendana na ya cos alietoroka gamboshi mwanza
somoe pili goodluck suleiman Fstma Amina credo Riziki Aisha upendo Aiyam sapna kevarist mariam Nasra cute emmy upo? salim salim Neema Aysha blessed na wengineo njooon mambo tayari 😘😘🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
👹👹👹
Nimefika pamoja sana
@@sapnaabdallah1084 👹👹👹👹👹👹👹
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona kipenzi 😘😘😘😘🤝🤝🤝🤝
I'm here
nawachukia wachawi 😯😯😯😯
wachaw mungu Awalaani kbs
Eeh Mungu ! Wewe ndio unajua hatma ya maisha yetu
Hawa wachawi wanaingiza watu hasara kumbe mtu hajafa jamani mwenyezi Mungu atusaidie sana Dunia imeficha mengi sana
mungu tuepushe na uchawi vifo vya gafla vishindwe kwa jina la yesu
Tujifunze kutunza watoto wetu sisi wenyewe hizi habari za kupeleka watoto kwa mabibi au babu ,wajomba,shangazi imekua tishio wengi ni washirikina na ukisikiza hizi story wengi walipatia mafunzo uko mara hawakusoma tujifunze mengi hapa..
Truth
Kabisaa
@@pilimusa7770 kabsa
Ni kweli kabisa nikijakuzaa mtoto wangu simpeleki popote nalea
mwenyewe 😔
@@sapnaabdallah1084 kabisaa.
Dunia ina mambo hii sio kitoto,,,hv wachawi wenyewe Hua wanajua hawatakaa wafe au😥
Michawi mikatiri sana,
Raha ipo kwa YESU tu!
Davista hongera kwa kujiboresha hushiki tena 🎤
Asante sana.Davista
Aiseee mungu usiwasamehe watu Kama hawa malaika anabanikwa kwa kuku mmh
Xema daaaah life xio poa kbxaaaa Aki ya mungu....!!!
What a wicked world...
Da pole Sana tupo pamoja mtu makini
Daa tume rudi tena Gambush wachawi watu hatari sana, Thanks Davista Mata
Hi guys nimara nyingine teynaa ndani ya mjengo big up sana mtu makini tupo pamoja mzee
🤝🤝🤝
Mungu amerudi kuwarudisha Hawa Mfalme Zumaridi anawakomboa
Punguza kuuliza mwaswali maswali 😎😎😎😎
Davistar anajua gambushi zoteee 😂😂😂🙌🏻
😂😂😂
😀😀😀😀bd kuzimu ajapajua vizuri
😀😀😀😀
Haahaa ashakua mwenyeji 🤣🤣🤣
@@sapnaabdallah1084 😀😀😀😀😀
Safi sana Devista, sound imekaa vizuri!
hapo sawa,mic ilikua inachosha kweli.
Aiseee Wachawi wote Mungu awalaani 🙄
Amina chifupa yupo bas atabeba madawa ya kulevya hadi ajute
Aiseee 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️ndo izo dawa waganga wanagawa kwa binadamu kumbe vumbi la mtoto alie kaushwa
Wonders
Fm morn zuchu upo? Fundi Nguwalo najma kevarist pili Fatma khulood upo? Ezakia upo? Farhat salum upo? fredrick upo? zabiya na wengineo njoon mambo tayarii😘😘🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Nipo kipenziii changuuuu🥰🥰🥰🥰
@@dorcaskidoti249 Nmefurai kukuona kipenzi changu 😘😘😘😘
@@ayshamahariq6665 🙏🙏🤝🤝🤝🤝🥰🥰🥰
@@dorcaskidoti249 🤝🤝🤗🤗😘😘😘
Ndo natia timu! 😋
Ko sisi huwa tunachanga msibani kumbe hawa mafala wanatupiga tu. Mtu hata hajafa wala nn???
Mmhh gamboshi gamboshi nimeita mara 2 mnamiliki huo mji mungu anawaona wallah
Nilikuwa nmengoja kweli
Jamanii daaaaah haya tupe 3 pls
Davistar 🤣🤣🤣🤣Eti gamboshi ya mwanza au shinyanga😂😂😂😂
Davistar anajua sbb ya simuliz za watu anao wahoj
🙇🙇nasikiliza nipo
Aisee
Wachawi sio watu wazuri,mwaka 2016 rafiki angu alifariki kama hvi tuu alikua akivimbaa miguu ana bleed kila siku dam zikawa zinatoka kwen fizi na miguu kuvimba sana mwishowe akafariki nahc na yy ni msukule jamn ,mungu atusaidiiee sana
Tuko pamoja david
Mm naona ningekuwa tz ningekuwa nishapelekwa Gamboshi
Part 3 jmn uwiii
Pamoja twende sasa😙💪💪💪💪💪
First
Hongera
Hongera
Shukran kwa muendelezo
😋😋😋😍😍😍😍
Duu hii dunia yaani mungu tusaidie vifo vingi si mipango ya mungu kwa kweli wachawi mungu awalani sana
Sanaaa
Ndonimepata jibu kwann watoto wachanga wanazaliwa hspital unakufaa kumbe mnawachukuwa munatoa moyo na bandama ndonn jamani😭😭😭😭kisha mwakausha mwatwanga unga mwatumia pepo huyo ashindwe
Mh!!!
Mungu tusaidie watu wako
kabsa
Hiii dunia MW.Mungu tustiri
Kwueli baado uchawi imenoga Tz mwenyewe ametambua mungu ndio ataona mwanga
Kwanini uliwekwa huo utaratibu? What's question
Wachawi na waganga na makuhani wote wa shetani msipotubu hukumu ya mungu na mateso jehanamu yaja
Kama kuna wachawi humu Basi nyoosheni mikono tuwaone 😂😂😂
I went through similar situation
Really???
You must be kidding?
😊🥰
Mr DM
Yani Kuna mtandao unaboa Sana na matangazo yao Yani Hadi kero Kama barehe ya ujana bwana
Mmmh Wachawi sio watu wazuri duh 🙄
kabisa
Wabaya mno
@@pilimusa7770 🤔🤝🤝
Allah awaangamize
@@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂
Part 3
Yaani huko kuzimu kila mtu kiongozi au malikia au mkuuu nawahoo wengi wanapewa uflme
Wanga wote wajiandae na moto wa mungu ambao kani za ni wao na mawe
can someone tell me is Gamboshi a physical location in Tanzania?
Iko kirohoni uwezi kuona Kwa macho ya kawaida
Alhamdulillah w kwanzaaa 💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
MashaAllah😘😘
😕😕🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@@bintimrope Alhamdulillah 😘😘😘😘
@@dorcaskidoti249 pamoja kipenzi😘😘😘😘
@@ayshamahariq6665 🤝🤝🤝🤝🤝🤝😘😘😘
Iiiiiii jamani kubaniki katoto 😭😭
Niliisubiri kwa hamu
1
Nomar
Dah atari
Huyu ubora kuliko ule wa juzi
Dunia hii dah
Yaani 😱😰
Vp huyo dogo ana alama nae kama ya zablon
Ukoo unazdi kupanuka
Chapa nembo Davistar Nakubal
Wachawi wanajifanya dunia yao
Wanga wabaya Wallah.
Aliposema kuzuri alinipa molal na mie nitie maguu siku moja, lakini Aliposema hakuna mademu amenikata maini, yaani hata kuwe na majengo mazuri, magari mazuri lakini hakuna mademu ni ziro kabisa.
Hahaaaa
Ee Mungu tusaidie watu wako wachawi wasitushinde
Dav huyu Ni mdogo wake na zabron
Hivi dhambi ya kuchukua mtu msukule ina sameheka ?
Pamoja Tunasongesha Nayo
Dunia ina mambo mengi jamani
Wachawi wamefanya nisimuamini MTU yeyote yule
Leo nimekuwa wa 19
Ndio unajiona umewahi
Sikuwa nikikubali kuwa kuna uchawi lakini Sasa naamini kweli
Sai ndio naamini zablon hakutudanganya
Hii kali ,
w 4 leo
Duh
💪💪💪💪💪
Tuko pamoja
sanaa
Wakwanza leo
Hongera
Nilikua naona kama mwakani🙈🙈🙈
😀😀😀😀😀😀😀
@@ayshamahariq6665 😳😳😳
Gamboshi🙄
Mmenishinda tabia dakika ya 13 coment zimefika 18 ss kwasabau nina explains ya gambushi episode ifuatayo network naizuia nikisikiliza nikimaliza natupia coment yangu halaf nawaaachia 🤔🙄
🤣🤣🤣🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi Gamboshi ni nini
Mnaacha kukoment vya maan mnakoment kuwai stor
🤔🤔
Yani kiufupi wachawi hawa wezi kua hio ni kazi ya mungu kua
Wachawi wote wapumbavu na papuuuzi saana
Wakikoment ote takua wa mwisho😀
😀😀😀😀😀
@@ayshamahariq6665 😂😂😂kwan kuna posho ukiwa wa kwanza
@@shaby988 Eeeeh 😂😂😂😂
@@ayshamahariq6665 kwel au unanitani😂😂😂😂nami nianze kuomba
@@shaby988 kwer😂😂😂😂😂
🇰🇪🙌
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila kutuchapa viboko
😍😍🤝🤝
😂😂😂
😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣
Atueleze wanavyo mchukua mtoto
Plz mnifahamishe vizuri maana sielewi pesa ya bongo na Kenya elfu moja ya kenya tz mingapi maana sijui kabisa yani
Nenda Google mbona simple tu
@@mohamedimusa2043 hapo ndio sielewi ss kma unaweza nisaidia sawa
Tsh 20,000/
Google kenya shilling to tsh utapata kiasi
moja ya kenya 20 za tz kipenzi
Hivi wachawi wanapata nn jamni dunia hii
mungu atuepushe 🤗🤗
@@ayshamahariq6665 Amin
@@credo7837 🤗🤗🤝🤝
@@ayshamahariq6665 😂😂
@@credo7837 😀😀😀😀