AINA ZA VISA ZA NORWAY NA GHARAMA ZAKE | NORWEGIAN VISA TYPES AND THEIR COSTS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 32

  • @ankaramanka464
    @ankaramanka464 Год назад +2

    Nimelipenda somo

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад +1

      asante sana kwa mrejesho

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Год назад +1

      Dogo napenda unaongea kiswaili kizr mnooo haujakaa kama wengine wanaoenda huko nchi za mwenyewe

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Kiswahili ni lugha yangu kwahiyo siwezi kuacha kuiongea @@MiriamAbdallah

  • @ElikanaKiheka-fl4wu
    @ElikanaKiheka-fl4wu Год назад +2

    Ubarikiwe sana

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Amina, na wewe pia

    • @johnochora8438
      @johnochora8438 Год назад

      Tunaomba yako ya whatsap dada please

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      @@johnochora8438 niandikie kupitia instagram yangu @mwalimu__shauri

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 Год назад

    Ahsante sana Mwalimu kwa ufafanuzi wako.

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 Год назад

    Hongera sanaa dada

  • @fadhilikangusi
    @fadhilikangusi Год назад

    Asante sana dada yetu.

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 Год назад

    Mambo dada ? Er du i Oslo eller Bergen?

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Nei, jeg er i Kristiansand. Er du in Norge også?

  • @johnochora8438
    @johnochora8438 Год назад +1

    Dada mm naomba kujua hii ofisi ya kushuhukia visa hapa Dsm ipo wapi

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Ipo Posta jengo linaitwa Maktaba square, ghorofa ya 4

  • @ElikanaKiheka-fl4wu
    @ElikanaKiheka-fl4wu Год назад +1

    Nielekeze namna ya kuomba kibali cha kazi

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 Год назад

    Mutukula ulikuwa unatoka wapi? Ulikwenda kutembea au kikazi? Mimi nilikuwa napita Mutukula nikiwa nakwenda nyumbani, wakati tulipokuwa tunazunguka kupita Kenya na Uganda kwenda Bukoba!

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      ilikuwa ni safari kwa ajili ya interview

  • @johnochora8438
    @johnochora8438 Год назад +1

    Dada mm nipo tayari nipo nahitaji mtu wa kunifanyia proses hapa Dar

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Umefikia hatua gani? Hongera sana

    • @johnochora8438
      @johnochora8438 Год назад

      Dada mm nina passport nina nauli nina kitambulisho cha nida nina Driving licence nina tin number nimejisajili brella maana nafanya kajibiashara kadogo kwaujumla vitu muhimu ninavyo ninchotaka ni jinsi ya kupata mtu wa kunitafutia kibali cha kazi yoyote nipo tayali kumlipa

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      kabla ya kutafuta mtu huyo ni vyema kwanza kujua unachotaka kwenda kufanya, hata kwenye maombi ya kibali cha kazi ni lazima useme una ujuzi gani au elimu gani ya kazi husika
      @@johnochora8438

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 Год назад

    Samahani dada unaweza nipe namb yako samahani lakn

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      Naomba uniandikie kupitia instagram yangu @mwalimu__shauri

  • @Denis-Geodesist
    @Denis-Geodesist Год назад

    Sorry madam,
    Can i have your email please?

    • @MwalimuShauri
      @MwalimuShauri  Год назад

      asnatshauri@gmail.com

    • @HabiBarnabas-t5x
      @HabiBarnabas-t5x 5 месяцев назад

      ​@@MwalimuShaurishikamo dada hongera sana dada yangu unafanya kazi nzuri sana kiukweli nimejifunza mambo mengi kupitia wewe kuhusu kwenda nje ya nchi.... dada naomba unisaidie jinsi ya kupata Kigali cha kaxi au naweza kwenda kwa tourist visa then nikifika huko natafuta kaxi nikipata narudi tanzania kwa ajili ya kibali kingine ....? Nisaidie njia dada vitu vyote vya muhimu kuhusu passport ,pesa ya kujikimu ninayo ...asante