Masha Allah mapishi mazuri, dada nimenotice kitu, mara nyingi video zako za kupika ni kwa ajili ya wageni,sio waume wala watoto wala wazazi, unasema wageni, please rekebisha hii kauli just sema family, nazoea ya kiswahilit chakula kizuri anapewa mgeni Ila hata family zetu wanadeserve Kula vizuri. Thank you for your beautiful recipe and am sorry kama nimekuudhi .
Dear kwanza nina video kariba 73 hizo nlosema kwa wageni zinakaribia hata 10? Ila kama ulivosema waswahiili kawaida yao na mie nakubaliana na wewe waswahili kwa kutowa makosa ni no 1 fanya wewe unavopenda haiumizi kitu nikisema kwa wageni that not big deal ku complain aka makubwa haya. tatizo likowapu hata nikisema kwa video zote wewe pika kwa familia yako haifai kumlaumu kitu kwa kitu hakileti madhara yoyote
Mash allah Shukran sana habibty mapishi yako mazuri sana nimechelewa kuona
Mashaa Allah nasoma mwanayo Mola akubarikie
Mashaallah nimeipenda san mpendwa
Mashallah
Baraka za allah ziwe na wee
MashaAllah dd
Ma Shaa Allah... something new we'll presented...
Mashaall ni nzuri sana Asante kwa kushea na ss shukran.
Afwan
Mashallah mashallah nimependa sanasaa upishi huuu Allah atakulipa kwa kutoa ujizi huuu 🙏🙏😋😋😋
Mashaallh
Mashallah ALLAH ailinde mikono yako na hasad na mahasidi. Amin
Amin yarabi shukran habibty
Mashallah shukran habibty Allah akulipe kheri na akulinde katk kazi zako
Amin yarabi, asante
MaashaAllah pambee tuu👌🏽
Ma sha Allah..pishi pambe Sana😋😋👌👌
Shukran dear
😋😋
Mashallah 👏😍
Thanks 😋
MashaAllah habibty
Napenda vyakula vyako mamii mashallah ♥ ❤ 😍
Asante sana habibty
Mashaa Allah
Mashallah habinty vyakula vyako pambe my dear 😋😘😘
Ma shaa Allah
Mashaallah mapishi ajab. Uko mbunifu. Zinavutia👌👍😋
MashaAllah, Queen 👸, upishi pambee , thank you
You are welcome 😘
Mashallah mashallah looks yummy and simple to make In Shaa Allah nitazipika shukran dear 😊
In shaa allah, afwan
Mashalla shukran
Afwan
Mashaa ALLAH ,,,,mapishi yako mazuri sna habibty♥️♥️♥️
😘 thanks dear
Alafu unaeza kula kma na mkate Gani hpo ama source gani
Unakula na unachopenda dear. Source yoyote unayopenda.
Mahitaji nini na nini wengine hatusikii jamani tuambien plz
@@AishaJuma-h1j nimeandika mbona . Chini ya video kuna neno more bonyeza hapo utapata mahitaji yote dear
@@queenshibaskitchen9130 oky shukran
Masha Allah mapishi mazuri, dada nimenotice kitu, mara nyingi video zako za kupika ni kwa ajili ya wageni,sio waume wala watoto wala wazazi, unasema wageni, please rekebisha hii kauli just sema family, nazoea ya kiswahilit chakula kizuri anapewa mgeni Ila hata family zetu wanadeserve Kula vizuri. Thank you for your beautiful recipe and am sorry kama nimekuudhi .
Dear kwanza nina video kariba 73 hizo nlosema kwa wageni zinakaribia hata 10? Ila kama ulivosema waswahiili kawaida yao na mie nakubaliana na wewe waswahili kwa kutowa makosa ni no 1 fanya wewe unavopenda haiumizi kitu nikisema kwa wageni that not big deal ku complain aka makubwa haya.
tatizo likowapu hata nikisema kwa video zote wewe pika kwa familia yako haifai kumlaumu kitu kwa kitu hakileti madhara yoyote
Mashaa Allah