1.Uje Roho Muumbaji utazame, roho zetu Jaza neema za mbinguni, ndani ya viumbe vyako 2.Unaitwa Mfariji paji lake, ’liye juu Chemchemi ya uzima moto, pendo mpako wa rohoni 3.Mtoa wa vipaji saba na kidole, chake Mungu Mwahidiwa naye Baba, na msemesha ndimi zetu 4.Tia nuru akilini na upendo, mioyoni Tegemeza miili yetu, kwa imara ya kudumu 5.Ufukuze pepo mbali na amani, tupe hima Hivyo uwe kiongozi, tuepuke ovu lote 6.Umjulishe kwetu Baba tukamjue, pia Mwana Tukakusadiki Wewe, Roho utokaye kwao 7.Atukuzwe Mungu Baba na Mwanawe, mfufuka Pia Roho Mtakatifu, kwa milele na milele. Amina
According to the CCC the three persons of the Holy Trinity are attributed each a distinguished role in aid of human reason to understand the Mystery. God the Father - Creation God The son - Saviour|Redeemer God The Holy Spirit -Sanctifier. Thus the title Roho muumbaji to me doesn't Theologically fit. I stand to be enlightened. Good music though
Huu wimbo unanikumbusha TYCS tulikua tukiimba unahisi kabisa uwepo wa roho mtakatifu..Mbarikiwe sana
Huu wimbo unatukumbusha sana tuenende hasa ktk Usafi Wa roho
Hongera Sana Dada
Huu wimbo mumeutendea haki Kwa kupanga nota vema..
Unaniinua Sana aseeeei
Asante
Asante
❤Amina sana nakupenda sana huu wimbo
1.Uje Roho Muumbaji utazame, roho zetu
Jaza neema za mbinguni, ndani ya viumbe vyako
2.Unaitwa Mfariji paji lake, ’liye juu
Chemchemi ya uzima moto, pendo mpako wa rohoni
3.Mtoa wa vipaji saba na kidole, chake Mungu
Mwahidiwa naye Baba, na msemesha ndimi zetu
4.Tia nuru akilini na upendo, mioyoni
Tegemeza miili yetu, kwa imara ya kudumu
5.Ufukuze pepo mbali na amani, tupe hima
Hivyo uwe kiongozi, tuepuke ovu lote
6.Umjulishe kwetu Baba tukamjue, pia Mwana
Tukakusadiki Wewe, Roho utokaye kwao
7.Atukuzwe Mungu Baba na Mwanawe, mfufuka
Pia Roho Mtakatifu, kwa milele na milele. Amina
Tia nuru akilini na upendo mioyoni☺️an amazing piece💯💯
Congratulations dear,am always looking forward to hear you guys sing,mbarikiwe sana
Nimeipenda sana hii nyimbo mpaka nalia jamani nimeguswa sana😢😢
Kazi safi!👏👏👏
Asante Anne
Tune in weka repeat 😊😊then relax... Wimbo mzuri 🥰
Thank you 😊😊👍🙏🙏
good work keep up
Thank you 🙏🙏
Congratulations to felisters and friends beautiful voices mungu azidi kuwabariki...
Asante sana Rose
Waaw!,nice song.keep it up!
Nice God bless you and the team
Kazi nzuri
Good job 👏👏👏👏👌
Thank you Celestine
Awesome 🛐🛐☦️☦️
Nimetafuta hii wimbo muda mrefu..
Where can I download the track?
Congratulations dia n all the best
Thank you dear
Ujeroho muumbaji daàaah wimbo huuu huwa unanibariki Sana
Jaman nyimbo zenu nzuri sana Mwenyezi Mungu awabariki sanaaaa
Happy pentecost
May the spirit of God guide us to do good.
I can't stop listening to this song...its a blessing to me..😍😍🥳🥳its a sweet song indeed 🥰🥰
Congratulations Felistas and friends. Best wishes for more productions. Happy Pentecost.
Thank you ❤️
Nice song. Congrats and God bless you and your friends
This song sends me strait to Prayer mood.
Congrats Felly and Friends. Blessings.
Good job keep it up nourishing our souls with such sweet songs
Thank you Mogendi. Barikiwa
I'vereally loved this song ❤️ good work Felly and friends 😊👏 next time Abby uniite tukaimbe😅🥰
Thank you so much Lydiah
Nitakuita😂
Great song,I love the tone
Thank you ❤️
It's a blessing indeed.... congratulations Felistas and friends for this wonderful job...may the Lord bless you 🙏 🙏🙏
Thank you dear
Beautiful voices , blessed song
Amazing song🥰 I can't stop listening this song.
Very powerful song..hongera sana.
Thank you Mutinda. Ubarikiwe mpaka ushangae
Congratulations 🎊 I like it 😊 🥰🔥🔥🔥
Thank you. Blessings..
Ferry congratulations
Thank you Faith 🙏🙏
Vraiment roho aje
Great work keep it up
Thank you Geff
Kazi nzuri wapendwa 👏👏👏👏👏
Asante sana Trizah. Baraka tele
This is amazing🥳🥳🥳🥳🥳🥳😍😋
Wonderful
This one specifically has been a blessing to me. You are going far Felly and your friends. Be blessed ❤️
Thank you dear ❤️. We are happy to be a blessing to you
legit👏
Am telling you. Thank you 🙏🙏🙏
Jamn sauti ya pili mnanikosha
Superb 🔥✨🥳
Asante Laz
Thumps Up guys.. it's lit 🔥🔥🔥🔥..
Thank you Wambua. Barikiwa
Great job 👍, perfect articulation 🤗
Asante sana 🙏🙏
Wow wow great song
Great voices 😻
Asante Kelvin. Happy Pentecost
Awesome
Thank you. Blessed Pentecost
Amazing 👏
Thank you and happy Pentecost
Nice song🔥
Thank you
Amazing song dear,
Asante sana dear
Beautiful song ❤️
Thank you Kimani
Great one
Thank you 🙏🙏
Beautiful garlfred
Thank you girlfriend 😘
Great
Thank you
Nmerudia zaidi ya x5 still bado sijatosheka
Asante Emmanuel.
Aaw,the song is so sweet 😍
Thank you
Amazing job 🔥🙏
Thank you Patricia ❤️
Lovely
Thank you
amina
The song is touching ❤️
Asante. Happy Pentecost
😍🤩😍
Heavenly ❤️
Nicee
Thank you. 🙏🙏
According to the CCC the three persons of the Holy Trinity are attributed each a distinguished role in aid of human reason to understand the Mystery.
God the Father - Creation
God The son - Saviour|Redeemer
God The Holy Spirit -Sanctifier.
Thus the title Roho muumbaji to me doesn't Theologically fit. I stand to be enlightened.
Good music though
Thank you. May God bless you!
H