Hivi Lunya unaanzaje kujifananisha ni hiki kichwa, rudi darasani kwanza ukasome, Sielewagi kabisa unapata WAP kiburi cha kushindana na hiki kichwa hatareew
Ujise sema watu wameiba Wakati na we umeshakula Vya watu umeshiba Alaf wahuni wakuomba ........ unaziba utavua viatu utachuma kisamvu na riba KAMA Umeisikia iyoo like yako twende xawa tm Msodoki
Naaaaaaaam huyu ndio msodoki bhana *Ukiona umetengwa ujue hujichanganyi* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 1) RAPCHA 2) P MAWENGE 3) YOUNG KILLER 4) YOUNG LUNYA 5) NYANDU TOZZY 6) WEUSI Top sixy yangu kwenye hii *Sension ya wanene TV*
Young killer kuna interview aliwai kusema,nanukuu:KWENYE MAISHA YANGU MASHABIKI WASITEGEMEE KAMA NITAKUJA KUTOA NGOMA MBOVU ATA SIKU MOJA ILA LABDA NAWEZA KUTOA NGOMA AMBAYO ITASHINDWA KUFIKA MBALI KAMA NILIVOTEGEMEA, which is true uyu dg ananiprove kwamba there is only one YOUNG in Tanzania and that is YOUNGKILLER MSODOKI THE SON C.E.O from Matunzo Zero Unit, Hahahahaha ujue mi cnaga swaga kabxa, kuna madogo wameibuka juzi apa eti wanashndanishwa na ww ckatai kwamba hawajui wanajua sana tu bt not kushindanishwa na ww buddah ni kukukosea adabu all in all don't give up broo keep going wajanja km sisi tukisikia neno young the only word we think tukiliweka mbele litamaliza sentensi ni KILLER only hakuna lingn EEH BWANA
Killer kama killer hujawai kukosea bro! Share out to all heter and money Maker lengu letu sio kuishi milele ni kufanya vitu vitakavyi ishi milele mambo mazuri yako...............
Ee bwana msodoki mwenye vyeo vyake ekei uchachu wake ndo utamu wake mwanza mwanza mabatini young killer msodoookiii toleho bhabha mpaka bhanye mashi🙏🙏🙏🙏
Anaesema amna young anaeweza kama uyu em like tujuane
wp
Hakuna
Hivi Lunya unaanzaje kujifananisha ni hiki kichwa, rudi darasani kwanza ukasome,
Sielewagi kabisa unapata WAP kiburi cha kushindana na hiki kichwa hatareew
Young killer DAT how it is like to be done. UMECHANGE FLOW HICHO KITAWAFANYA MARAPA WASIPATE USINGIZI
tuachane na kuchange flow... hawa kina young lunya cjui, rapcha "killer bado anawapga dobaa....
sema medias zinakaza ndongaa ty kumuelewa killer
Eeeh bwanaa,,,Hebu tumpe heshima Young mwenye killer zake🔥🔥🔥
👈 Wanakubali Msodoki wAGonga Like 👇🔥👇
👇🔥 Subscribe Hapa Twende Sawa Wadau 🔥👇
ruclips.net/channel/UCaS8hsEQnwQSMEQCT_GJIVQ
🔥🔥🔥 Nouuma na Nusu 🔥🔥🔥
Na lala na mchuchu naamka na supu, nakbl sna killer
@@duniatv9645 🔥🔥 Nouuma na Nusu 🔥🔥
👈👈👈 Pita na Hapa Mdau Kama Bado 👇
ruclips.net/channel/UCaS8hsEQnwQSMEQCT_GJIVQ
@@chekaextra5807 nimechk mkuu
@@duniatv9645 Ahsante Sana Kamanda 🔥🔥👊👊👊✊🤜🤛✌️🤗👂🙏🙏🙏🙌🙌
Maaaaakiin msodoki✌✌✊✊👊👊
First to watch young killer always killing killed it bro 🇰🇪🇹🇿
True
Fundi wamichano msodoki💯💯
E bwana ,umeua sana humu ....msodoki
Nahitaj like ya msodoki hapa coz kaua xnaaaaaaa
EBU MPE KIPAZA MSODOK
you kill it Ma G they are already know
Salute nine appreciate king naqbaliiiiiii sanaaaaa
Ukwli uko waz haujifichag young killer we Hatar,💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Naona mawakala wengi ila sion pakutolea ....🙈🙈 killer bhana
Wanene are the best out here this platform iko poa Sana Kwa wasanii. Young killer ana style yake tangu na tangu Safi Sana.🔥
Huyo ndie msodoookiiiiiiiiii,,,sijawahi juta kwanini tuktuk yangu nimeandika msodooooooki..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254
wp
Kenya
"usije sema watu wameiba wakati nawe ushakula vya watu umeshiba
Halaf wahuni wanakuomba... Mmmhmh unaziba" 😂😂 killer Msodoki
"Atachuma kisamvu"😆
"na riba" 😂😂
Young killer ujawai niangusha mzee wangu nakubali San @Toto la kusukuma👽
Mwambieni Young Lunya ajipange sanaa Moto wa Young Killer hauzimwi na Fire🔥
Uyu mbwa anajua
Fid q
Chid benz
Young killer
Nikki mbishi
Inatosha kabisa wengine vichwa panzi
Nakubali sana young Killer 💪🏾 ...hujawahi kosea kaka mkuu
Ujise sema watu wameiba
Wakati na we umeshakula
Vya watu umeshiba
Alaf wahuni wakuomba ........ unaziba utavua viatu utachuma kisamvu na riba
KAMA
Umeisikia iyoo like yako twende xawa tm Msodoki
Young and killing the bars that is why Your name IS YOUNG KILLER🙏🏽👏🏿👏🏿👏🏿
Duh!!! Sawa Young Killer safiiiii sana,,, nimemuelewa sana kwa hisani ya wanenetv 🔥
Always the way from Canada 🇨🇦 killer kill it bad tuna subili Na stamina nae on it wanene ✊🏾
tunasemag ni mukidee vikit0ka vity km hivi..👊👊
nakukubal sana msodoki eee bhana!
Kazi nzuri sana kutoka kwa Young Killer big up Wanene Tv kupost vitu poa ka hizo 🔥🔥🔥👏🏻👏🏻
Naaaaaaaam huyu ndio msodoki bhana
*Ukiona umetengwa ujue hujichanganyi* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1) RAPCHA
2) P MAWENGE
3) YOUNG KILLER
4) YOUNG LUNYA
5) NYANDU TOZZY
6) WEUSI
Top sixy yangu kwenye hii *Sension ya wanene TV*
we n mm kabisaaaa Tunaendana
@@nicegospel3514 Wametisha hao jamaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@@chrissjoel7752 kinyama yaani
@@nicegospel3514 Tafuta ngoma ya *DJ SCRATCHSIGNER FT YOUNG LUNYA & SALMIN SWAGGZY-CHECHE*
Utakubari kunawahuni wanajua 😂😂😂😂 Ipo RUclips
@@chrissjoel7752 oya mbn unapita nyayo zangu nimemcheki na uyo dogo salmin apa
Hahahaaa daaah kwangu hii kali kuliko zooooteeee💯🔥🔥🔥
For sure
Killer kama kila wewe utabaki kuwa kila......hatariiiiiiii sanaa
Mr kweli wewe uko vizuri respect ni swala la muda tu
Nyumba hii haiuzwiiiiii epuka matapel......naona mawakala wengi mpaka sijui pakutolea
I like it when he acknowledges Mr. Blue in his lines, lyrical flow, and wording and how he makes his rap in these smoothie beats
Moto wa hatar huo young killer best rapper in tanzania
💚💛❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑 mwanza ICON
Young killer kuna interview aliwai kusema,nanukuu:KWENYE MAISHA YANGU MASHABIKI WASITEGEMEE KAMA NITAKUJA KUTOA NGOMA MBOVU ATA SIKU MOJA ILA LABDA NAWEZA KUTOA NGOMA AMBAYO ITASHINDWA KUFIKA MBALI KAMA NILIVOTEGEMEA, which is true uyu dg ananiprove kwamba there is only one YOUNG in Tanzania and that is YOUNGKILLER MSODOKI THE SON C.E.O from Matunzo Zero Unit, Hahahahaha ujue mi cnaga swaga kabxa, kuna madogo wameibuka juzi apa eti wanashndanishwa na ww ckatai kwamba hawajui wanajua sana tu bt not kushindanishwa na ww buddah ni kukukosea adabu all in all don't give up broo keep going wajanja km sisi tukisikia neno young the only word we think tukiliweka mbele litamaliza sentensi ni KILLER only hakuna lingn EEH BWANA
very true
Msodokii the big thinker pamoj sana mwambaa
I don’t think this is getting the appreciation it’s supposed to killer killed it🔥
Ngomaa kalii na hii fresh kwa kuliaa bata
To be honest msodoki umevunjaaa mamaeeh 💥💥💥🙌 "...Mungu ndo mpaji...kanipa kipaji.."🎶💯🙌
Ndio Ndio
Msodokee .....💯💓💓👍👍 Uko vizuri
Wwww!!! Kuma amna anayekufikia bongo🍁🍁🍁🍁🍁🔌🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔌🔌🔌🔌🔌🔌🔌🔌™️✌🏾
Mhh....Youngkiller we ni noma.🙌🙌🙌🙌
hongera kwa kubadilisha upitaji kwa hii, imenivutia zaidi.
Hii intro ya wanene tv
Imekaa kikawaida sana!!!!!
Best young rapper in East Africa 🇿🇦 🔥🔥🔥🔥Young killer
Bro from another mother 😎... unajua bro wave the flag bro👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Noma sanaaaaaaaaaaa
Umeua snaaaa 💥💥
Killer kama killer hujawai kukosea bro! Share out to all heter and money Maker lengu letu sio kuishi milele ni kufanya vitu vitakavyi ishi milele mambo mazuri yako...............
Eee bwana hapa msukuma huwa najivunia 🤞🔥🔥🔥
Moto wa killer akuna wa kuuzimaa🔥🔥🔥🔥🔥
Freestyle imekua Ngoma hit🔥🔥🔥🔥
Killer 💪 ujawahi kuharibu 🔥 🔥
Ee bwana msodoki mwenye vyeo vyake ekei uchachu wake ndo utamu wake mwanza mwanza mabatini young killer msodoookiii toleho bhabha mpaka bhanye mashi🙏🙏🙏🙏
Aseee aseeee aseeee.... Beat imeshindwa kusaga ila jamaA kakoboa hatari
Young mwenye killer zake
Nakubal young killer hakun young Kam ww
Daah killer umeniulia yani unyama mwingi big up killer
Huyu jamaaa kauwaaaa kinoma... NAKUBALI 🔥🔥🔥
Nomaah nying
Killer mwenye killing zake mom's sanaaaa🤙🤙🤙☠️☠️☠️☠️
E bwana💯
Wanasikia alaf wanajifunza this is killerboy
eee bwana ee😀😀!
Kumamaqe killer we ni KOnyoo, hafu hii beat ni matatizo jombii
Always young killer nakubal sana
Hapa naona wakala wengi mpaka sijui pakutolea...#FisiNaPisi
Daaaah young anajua kupitilizaaaa aiseeee
Another one... 💥💥💥🔥🔥
Murderer..........yaaani mpka raha .....watoto umewakalisha..#msodoki
Rapper wote mkasome na mayoung wote mkubwa wenu wakaz huyu
We chalii n m bunifu Sana man
Naweza nikatukana huu mdundo huyu ni mbwa wa michano 🔥🔥🔥🔥🔥
Yeaaaaaaaahhh mwanza mwanzaaaa
Msodoki the son.......you Maaaad king🔥🔥🔥🔥🔥
Nice song, nasubili kolabo ako na kabaisa 😁😁 na toto wa tandale
Dah huyu young ni nyoko kabisa aisee
4life nakubal kaka
Mungu bariki huyu mutoto na sisi pia
Killer best young rapper in East Africa...🙌
Ngoma Kali Ila cjaona demu mkali humo
Flow yako haizoeleki kila tym una tu surprise 😀😀😀
Huyo ndo young alafu ni killer.kauwa Sana
Mamaaaaa umeua sanaa mwanetu,,,🔥🔥🔥
Ebwanaeeh killer msodoki
Rapcha ndio mshindi apo wengine asanteni kwa kushirikii👋👋
we mtt unajua young kiler
Hii ndo maana kamili ya Young Killer
Dahh hip hop y killer inzd kubalehe
Killer ii imenifikia 🇿🇦👂🔥
Nikki mbishi
Mwana f.a
Young killer
Chid benz
👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
toa hiyo niki mbishi hapo
Killer anajua sana🙌🙌
U kill it broo✊🏾 big ability
Eeeh bwana🍁
Mvinyo ukikolea naona wakala wengi adi sioni pakutolea😂😂😂
Always number 1 talanted🙌🏾
Jamaa ana roho mbaya sanaa
Oya mwanangu umeua kinoma noma
👐👐👐👏 heshima.