Big No hapo Mkuu wa Mkoa ni Mwakilishi wa Rais hivyo mteule wa Rais anayo mamlaka mbele ya Afisa yoyote wa Jeshi no matter nae ni Afisa wa Jeshi ila kama yye ni mteule wa Rais Brig Comnd ana salute kwa RC@@mussasuleiman8609
mkuu wa mkoa anamadaraka makubwa kiserikali ndani ya mkoa wake.....ila kwa hapo itifaki imezingatiwa kijeshi zaidi maana mkuu wa mkoa ni kanali hivo obvious ni mdogo sana kwa major general despite nakuwa na madaraka kiserikali au kisiasa
Kimamlaka mkoa wa mkoa ni mwakilishi wa Rais kimkoa kwo kuna utoauti mkubwa mkuu wa kqmandi kwa hapo ni mdogo kwa Rc bt Rc akirudshwa jesh akiwa kanali vile ataridia udogo wake zaid 🙏@@mussasuleiman8609
Mkuu wa mkoa bado ni mwanajeshi Ana cheo cha kanali,ila kisiasa Ana madaraka makubwa ndani ya mkoa wake...ila kwakua ni mwanajeshi ni mdogo kwa major general despite kuwa mkuu wa mkoa....
Ndo mimi hapo nilikuwa nashngaa, inakuwaje mkuu wa mkoa anasimama afu mwamba ndo amekaa anamsikiliza RC?😂😂 kumbe huyo RC ni mjeda wa cheo cha chini, aaaaah hapo lazima iwe hivyo kama ilivyo, hakuna namna😂😂
Penda sana jeshi❤️❤️
Mwalim wangu wa math nevy sec kanali sawala jembe sana uyo mkuu wa mkoa
Mzinguo wa htr
Maisha marefu kwa viongozi wetu
mkuu wa brigade ni major general? BRIGADE needs to be commanded by a BRIGADIER
Please pray for me, I will report to you, my son RFC is 60 years old, TPDF power line from 835 to Pongwe Msungura
Hiv hapo Nan mkubwa kicheo?
General.....RC ni secondment Rank kijeshi ni kanali
alie kaaa.
Mkubwa nani hapo kati ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa na huyo kamanda, hata kama mkuu wa mkoa alikuwa officer wa jeshi
huyo ni meja Jenerali mkuu wa mkoa ni kanali kwahiyo automatic meja jerali ni mkubwa
Big No hapo Mkuu wa Mkoa ni Mwakilishi wa Rais hivyo mteule wa Rais anayo mamlaka mbele ya Afisa yoyote wa Jeshi no matter nae ni Afisa wa Jeshi ila kama yye ni mteule wa Rais Brig Comnd ana salute kwa RC@@mussasuleiman8609
mkuu wa mkoa anamadaraka makubwa kiserikali ndani ya mkoa wake.....ila kwa hapo itifaki imezingatiwa kijeshi zaidi maana mkuu wa mkoa ni kanali hivo obvious ni mdogo sana kwa major general despite nakuwa na madaraka kiserikali au kisiasa
@@emazjassam2452hii nimeielewa kamanda
Kimamlaka mkoa wa mkoa ni mwakilishi wa Rais kimkoa kwo kuna utoauti mkubwa mkuu wa kqmandi kwa hapo ni mdogo kwa Rc bt Rc akirudshwa jesh akiwa kanali vile ataridia udogo wake zaid 🙏@@mussasuleiman8609
Sasa hpo kiplotocal mkubwa Nani
Mkuu wa Mkoa
Na mimi nimeonaa kuna shidaa sehemu
Nadhanimnimkwa sababu canal cheo chake kilikuwa ni kidogo kabla hajapewa ukuu wa mkoa