D Voice feat Mbosso - Tunapendana (Official Visualizer) |REACTION

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 58

  • @HusseinRaphaely
    @HusseinRaphaely 9 часов назад

    Daaaa kweri hapo mboso kavunja Kabat mwa na,

  • @Absulesh
    @Absulesh 5 дней назад +11

    Vanny njoo uone yangu ndo ilianza kutoka yaitwa TUNAPENDANA BY ABSULESH ❤

  • @JacksonJames-m1g
    @JacksonJames-m1g 5 дней назад +2

    ❤❤❤❤mbosso ni mkali sana kama ujakaa na wazee uwezi elewa 🎉🎉🎉

  • @BekaBoss-jl9my
    @BekaBoss-jl9my 4 дня назад +4

    Mbosso we nimtuwa maana sana bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kakaarno001
    @kakaarno001 5 дней назад +5

    Ndo nilikuwa nawait from 254

  • @DennisAlubokho
    @DennisAlubokho 4 часа назад

    Tufanyie BAD ya Saru kutoka 254 🇰🇪

  • @ChrisEdmond-p8c
    @ChrisEdmond-p8c 3 дня назад +2

    Kaka tupe iyo nyingine ya rayvanny na mbosso kk mon amour🎉

  • @WardaOthamni
    @WardaOthamni 5 дней назад +2

    Kali sna

  • @jayBabakaila9883
    @jayBabakaila9883 6 часов назад

    Msicheze nahuyu mboso 🎉🎉🎉🎉apewe mauwa yake tooooo😂😂😂

  • @judithkantimbo4369
    @judithkantimbo4369 3 дня назад +3

    EYOOOO WATS PAPIP WATS PAPIN YU.KNOW WAAAAAA🎉❤

  • @HarmonyOkemwa
    @HarmonyOkemwa 5 дней назад +4

    Nimeongoja sana van

  • @inforabduSafari
    @inforabduSafari 3 дня назад +2

    Af kuna rayvany ft mbosso mi amour mzee vani utatisha sana ukipita umo

  • @DivinTchubaka
    @DivinTchubaka 5 дней назад +2

    Kaka vanisikaka ulikwaga wapi ? Tume Ku miss sana n'a réaction 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇨🇩

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 3 дня назад

    Sawa mbsso 👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰

  • @KibwanaHamisi-v4q
    @KibwanaHamisi-v4q 5 дней назад +2

    wazimu sana

  • @lusekelo97
    @lusekelo97 5 дней назад +3

    Sikununu ni kama siku nzuriii

  • @sabrinabache5201
    @sabrinabache5201 5 дней назад +3

    Fanya naoa by rayvanny ft alikiba

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 5 дней назад +2

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @EidSuleiman
    @EidSuleiman 4 дня назад +1

    iii ndo yenyewe

  • @DancanChirema
    @DancanChirema 2 дня назад

    Hio Ngoma Haina rhythm venye d voice ameanza na venye mbosso ameingia hawajaaingiliana si uongo

  • @samwelmwaipopo7120
    @samwelmwaipopo7120 5 дней назад +3

    Mbosso apewe sayari yake kweny utunzii

  • @BoraVip-v7s
    @BoraVip-v7s 5 дней назад +4

    Vanny tunataka jalenj ya wimbo wa Zuch na diamond

  • @prudentjm3039
    @prudentjm3039 5 дней назад +5

    Oya Vanny nimesubili saana reaction ya hii Ngoma

  • @OmarAli-m4x
    @OmarAli-m4x 5 дней назад +3

    Ashki majununu ni chizi wa ngono

  • @daltontemboTv
    @daltontemboTv 3 дня назад

    Brow unaweza sanaaaa nimekufatilia sanaaa we ni noumaaa

  • @HarunaHamisi-vq5cz
    @HarunaHamisi-vq5cz 5 дней назад +2

    Tunatak ya holidey mondi

  • @abdoulayesow8826
    @abdoulayesow8826 5 дней назад

    All wayz

  • @ABDULRAZAKSALUM
    @ABDULRAZAKSALUM 5 дней назад +5

    Sikununu ni hadithi za uongo na kweli😅

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 5 дней назад

    Vipi kaka umekuwa naumwa mbona ivo nimekuwa na ku miss ❤

  • @Sultanrawahy
    @Sultanrawahy 5 дней назад +2

    Holiday ya diamond platnumz

  • @mfaumengangee7856
    @mfaumengangee7856 5 дней назад +1

    Holiday ya Simba mkuu

  • @ThimnaDube
    @ThimnaDube 5 дней назад

    Van isikaka tunaomba reaction ya BIG FIZZO from burundi 🇧🇮 katoa album pia kuna collabo yeye na Harmonize burundi 🇧🇮 ft 🇹🇿

  • @inforabduSafari
    @inforabduSafari 3 дня назад +1

    Ola mzee vany skia kuna ndinga ya rayvany ft mjomba simba, goma linaitwa nesanesa

  • @WGkingdark
    @WGkingdark 5 дней назад +6

    Bro react to man water by Alikiba

  • @wessinemadrama
    @wessinemadrama 3 дня назад

    Longtime broo

  • @NsengiyumvaJason-w7i
    @NsengiyumvaJason-w7i 5 дней назад +1

    Nataka wimbo wa Marioo unaitwa Salio

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb 3 дня назад

    Ashki ni hisia kali na za kiwango cha juu za mapenzi yaani nyenge zilizopitiliza na MAJUNUNU ni neno la kiarabu maana yake mjinga,upumbafu uzwazwa flani kwa hiyo majununu ni mtu mjinga.

  • @becca4723
    @becca4723 5 дней назад

    ❤❤❤ much love broo.please tufanyie ya Khaligraph "Wrong number"🔥🔥

  • @TitusMutemi-y4b
    @TitusMutemi-y4b 5 дней назад +1

    Broh tupe reaction ya wale wale ya zuchu ft diamond

  • @AmaniKasala
    @AmaniKasala 5 дней назад +1

    Sikununu manaake "sikunzuri" mulugha ya kifulero

  • @OsamaMkaula
    @OsamaMkaula 5 дней назад

    Singu nunu ni mtutu mdogo sana Ana uma ujuwe

  • @abduraomar2834
    @abduraomar2834 5 дней назад +1

    Mbona hureact otile brown

  • @cassanova3044
    @cassanova3044 5 дней назад +1

    Van umetukimbia sana mzee 1 month is too much

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 дней назад +1

    Hadithi za SIKUNUNU ni visa vya mhusika muongo muongo msumbufu kama Abunuasi wa Waarabu

  • @titusbirigi528
    @titusbirigi528 3 дня назад

    Sukununu alikuwa mwamba mmoja kwenye Hadith fulani za zamani sana kwenye gazeti la SANI....

  • @Mr_TeeC
    @Mr_TeeC 2 дня назад

    Sikununu ni vitu vya uwongo😅
    Mapenzi yenye uwongo

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 5 дней назад

    Mbona mbaka Leo hii hatujaiyona ngoma ya dully sykes na ali kiba zali na ndo ngoma bora adi sasa

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 23 часа назад

    Ashqi ni mtu mwenye mapenz makali mapnz ambayo yule majnun bilaila alimpenda laila hadi kufikia kuwa mwendawazimu, alifikia kumuona mnyama akasema "macho ya mnyama huyu km macho ya laila maskio yake kama ya laila ila mguu wake ni mwembamba sana mguu wa laila ni mnene kias, uyo mnyama alikuw ametegwa na wategaji wanyama ikabid amtegue tu, anaitw qaysi uyo alikufa hvy kw wendawazim w kumpenda laila

  • @RazaroThomas-d2h
    @RazaroThomas-d2h 5 дней назад

    Sema unatisha kinomaa😅

  • @AhmedMohammed-dg2ru
    @AhmedMohammed-dg2ru 5 дней назад

    Et vuta mibangi tu😂😁🙌🏿

  • @WardaOthamni
    @WardaOthamni 5 дней назад +1

    Majinunu ni mtu kama chizi hivi

  • @YoungSimba-zc4fw
    @YoungSimba-zc4fw 5 дней назад

    Hadithi za siku nunu ni hadithi za uongo u uongo

  • @chaco1466
    @chaco1466 5 дней назад

    React CHOO KONTAWA

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 дней назад

    Ashk majnun, ni kama beki hazikabi, CHIZI MAPENZI, akili zimeleft group kuyapa nafasi mapenzi

  • @ntiruvakureIsmael
    @ntiruvakureIsmael 23 часа назад

    Nunu nikama nono mapenzi yako kama nonoAo nunu manake yamejaa

  • @mohamedyahya3196
    @mohamedyahya3196 4 дня назад

    Ashki majununu maana yake nn mtu chizi wa mapenzi