Mbona waokoaji wamesimama na vibarakoa vyao,,,poleni sana wafiwa na wana kariakoo hapo ndipo mwanzo wa biashara mtaa wa congo karibu na big mayai zamani miaka ya 80,,hapo mungu awaongoze
Poleni sana ndugu jamaa family na marafkii inshaallah allah awafnyee wepsi walio mo ktk ilo gorofa km wap wzim uwaponye ya allah na walio tangulia uwasamehe makosa yao ya rabby na walio hospital uwawafuu amiin ya allah
Serikali itafute msaada kwa wataalam wa nje kwa gharama yoyote ile!!pia hio mizigo inayoonekana ingetolewa maana zinazidi kuongeza uzito na kutakuwa na watu chini ya hio mizigo
Watanzania tutiane moyo waokoaji nao ni watu unapoona wamesimama tusiwabeze hakuna kazi isio na uchovu hivyo lazima wavute pumnzi na kutafakari Cha kufanya
Maghorofa yanayojengwa yasimamiwe vizuri na mainjinia yajengwe kwa viwango na kutambua kapaste ya jengo sio kupakia mizigo na watu bila kujuwa uwezo wake mbona madaraja na viwanja vya michezo vina kapaste
Ee mwenyez mungu usiye shindwa na jambo lolote tuna kuomba uwasaidie ndugu zetu watoke Salam 😭😭
Mwenyezi mungu nakuomba uwafanyie ndugu zetu wepes waliofukiwa na kifusi watoke salama
Mungu Awafanyie wepesi wale wote warokutwu na mtihani huu...ni majonzo ya watanzania woteeee mungu Irinde tazania yetu
Mbona waokoaji wamesimama na vibarakoa vyao,,,poleni sana wafiwa na wana kariakoo hapo ndipo mwanzo wa biashara mtaa wa congo karibu na big mayai zamani miaka ya 80,,hapo mungu awaongoze
Apo wanaangalia jinsi ua kumtoa uyo unaona mawe kama yote mungu amsaidie atoke salama
Wanajitaid muhimu kuwaombea tu
Wamechoka unafanya mchezo hebu vuta picha golofa lilianguka asubuhi bado watu hawafika weengi ingekuwa mchana ingekuwaje Mungu wasaifie waja wako mwee
Poleni. Family. Zotu. Allah. Akupe. Subra. Amina. Yarabby. Amina😢😢😢
Poleni sana watazania kwa hiyo ajali
Aallah wajalie wawe salam nawalotangulia aallah awap kaul thabit tup mbal na tz ila tun umia san
Wsliobadowazima nawaombea mungu wambinguni awafanyienjia mtokesalama jinala yehovamungu litukuzwe
Poleni sana ndugu jamaa family na marafkii inshaallah allah awafnyee wepsi walio mo ktk ilo gorofa km wap wzim uwaponye ya allah na walio tangulia uwasamehe makosa yao ya rabby na walio hospital uwawafuu amiin ya allah
Poleni sana wapendwa mungu awe ngao kwenu
Kwanini wasitoe mizgo kwanza hiyo inayonekana ni mingi waiporomoshe mizigo ili uzito upungue
SubhanaAllah 😢😢😢 aya maporomoka yamefika tz sasa innalillah waina illah rajiouna 😢😢😢
Alllha wafanyie wepes maon naomba wareta ata olokopta zoje kupunguza kifusi juuu
Poleni Sana ndugu zangu familia ya shomi tone GUGA MUSIC 🎶 inawapa pole sana watanzania wenzangu
Poleni sana mliokubwa na janga hilo mungu atawasaidia
Hii kazi Mungu peke ndio anaweza binadam bila Mungu hakuna k2 kinafanyika tusaidie baba
Mwenjezimungu tunakuomba uwaponeshe wotewalo okolewa na walotangulia mbele yahaki uwapekauli sabiti amin amin😢😢😢
Mungu waponye watu waliomo humu ndan watoke salama kwe vifus
Mungu awape moyo wa uvumilivu waokoaji hapo mungu watie guvu waokoe roho za wezetu
Poleni sana watania wenzetu. ,tutazidi kuwaombea kwa mwenyezi mungu,..mtoke salama
We mwenyez MUNGU ingilia Kati kwa maisha ya hawa.watu tunakuomba baba polen saana ndugu zetu wa mkoani.daar
Ee Mungu wangu 😢😢naomba uwasaidie wote ambao bado wako ndani watoke salama
Ewe mwenyezi Mungu wajalie pumzi mpaka watakapofikiwa twakuomba ee bwana
😢turudi kwa muumba wetu.na tujifunze kitu kupitia huu msiba
Mwenyezi mungu,,jaalia ktk hili hakika ww ni mjuzi sana
Mwiteni Yesu mshika uhai mtapona
Pole sana ndugu zangu. Mungu asaidie wale wote wamekuta ile shida, pole tena
Poleni wezangu wakenya kwa janga hilo 😢 mungu awape wepezi
Sio kenya ni tanzania dear
Sio Kenya ni tz kariakoo
Allah awajalie majerui na awaeke marehemu mahali pema peponi 😢🤲
Yani mizigo ina Lindwa... mnashindwa kufumua nagleda kisa mizigo
Nasikia kuna wengne 10 wamepiga simu wana hali mbaya😭😭😭saiz
Ee MUNGU wa islael mpka hapo mimi sina chakusema 😢😢
Mwenyez Mungu awatie nguvu waokoaji,
Mungu awafanyie wepesi
Na iyo mizing igetolewa ikapunguzw wat wapo iwek pemben 😊
allahu akibar alla akupeni subra natuana waombea dua majeluh wapone haraka
Polini xana kwani family mungu azimame nanyi😭😭😭😭
😢😢😢😢😢😢pole sana watanzania wetu
Mungu awaokoe jamani najanga hilo
Mungu awatangulie pole Sana ndugu zangu
Ni wachache ndo wanahangaika na shughuli ya uokoaji wengine ni mizigo tu apo wamesimamisha vichupi
WAOMBENI POLICE WAYULETEE NA MBWA HAPO WASAIDIE KUGUNDUWA WATU WALIPO.
Poleni sana mungu awakumbuke jameni
LORD JESUS HAVE MERCY ON THEM. EE MUNGU WAPE BARAKA YA KUWEZQ KUTOLEWA .
Wahanga wote poleni. Nchi nzima majengo ya ghorofa yakaguliwe upya kujiridhisha uimara wake hata mitaani yakaguliwe
Yni watu wamevaa kofia wamesimama wakati watu wako chini wanakosa hewa😢😢😢
Serikali itafute msaada kwa wataalam wa nje kwa gharama yoyote ile!!pia hio mizigo inayoonekana ingetolewa maana zinazidi kuongeza uzito na kutakuwa na watu chini ya hio mizigo
Allah awasalimu salam dungu zetu 😢😢😢 kutoka oman
Poleni sana watanzania we nzetu 🇰🇪🇰🇪
Shida ya kuajili police kwa connection wenye uwezo WA kuokoa tupo mikoani huku
Jamani Hadi limefikia kuanguka, ilikuwaje?
Poleni sana Mungu wanusuru watu wako
Hapo hakuna uokoaji hakuna hata vifaa kweli watu wenye magari ya ujenzi wameshindwa kutoa hayo magari kweli
Subhanallah 😔😥 inalillahi waina illahi rajiun 😥😥
Poleni sana😢 ni huruma kwa kweli
Ee Mungu tusaidie
Pole sana kariako
Poleni sana familiy ndugu na jamaa na marafiki
Polen sanaaaaa ndugu zangun😢😢😢😢😢😢😢
Poleni family Allah awape sbra
Kesho iwe hakuna kazi waokoane jmn ni jaanga la taifa😢😢
hahahahah duuhh haya bahna ngoja nisiseme kitu chochote naogopa
😢😢mungu Sadia ndugu zetu
Allah awahifadhi inshaallah
W SERIKALI UWAOMBE PIA WCHINA NA MAGREDA YAO ILI KUFUKUWA HAPO.
Chalmila asante kwa msaada ulionesha iyo ndio maana ya mkuu wa mkoa
Mungu awasaidie jamani
Ila kweli Tanzania 🇹🇿 tuko nyuma. Mpaka leo hakuna utaratibu unaaoeleweka katika kuokoa watu kwenye majanga kama haya?
Zidisha dua usifikiri ni kazi rahisi hiyo kazi ngumu sana hakuna anayependa kuona watu wanateseka.
@@ShukuruSteven-p4yKabisa balada kuwaombea analaumu hiyo kazi ni ngumu Sana aisee,Mungu awasaidie waendelee kuwa hai
@@matrida.lunyilija5196 asante kwa kunielewa. Kazi ni ngumu kwa watu kama mimi na wewe! Lakini sio kwa wanajeshi!! Au.
Tuhulumie mwokozi bila wewe sisi hatuwezi kitu onakana mungu wetu katika hili tuokoe
Ee Mungu uwakumbuke 🤲
Sasa hapo ni Dar katikati ya jiji kubwa Afrika mashariki , sasa ikitokea Rombo au vijiji vingine Tanzania. Duuh 😢😢
Wanaookowa ndo hawa wamesimamisha milingotu
Polen wote kariakoo
Mungu atatenda yydokilakitu
Pole kwa watanzania wote kwani sote tumeumia
Wasaidieni ndugu zangu mutalipwa na mungu na huu ndio umoja
Majengo mengi k/koo yamejengwa chini ya kiwango
Watu wanaokolewa bila vifaa dah nchi hii
Mungu awepe subra inshaallah
Sasa mbona makelele tuu sioni waokoaji wakiwa siliazi
Yaarabi wasaidie ndugu jamaa na marafiki poleni san
Mungu saidia watu wako
Watanzania tutiane moyo waokoaji nao ni watu unapoona wamesimama tusiwabeze hakuna kazi isio na uchovu hivyo lazima wavute pumnzi na kutafakari Cha kufanya
Mungu awatete jamani😢😢
🙏 duh mungu ata bless
Maghorofa yanayojengwa yasimamiwe vizuri na mainjinia yajengwe kwa viwango na kutambua kapaste ya jengo sio kupakia mizigo na watu bila kujuwa uwezo wake mbona madaraja na viwanja vya michezo vina kapaste
Poleni sana ndugu zangu
Mungu awatie nguvu 😢😢😢😢😢😢😢
Poleni sna wanafamilia mungu awanusuru 😢😢😢😢
Poleni 😢😢😢😢😢😢😢
Swala la kwanza kuokoa watu walio kwama. Mengine badae.
Muungu awaponeshe votemulookolewa
Poleni ndugu zaguni😭
Polenii jamniiii
😢😢😢😢mungu tusaidie waja wako😢
PUNGUZENI HIYO MIZIGO IMEZIBA WATU WENGINE
Pole ni
Poleni saana Allah awanusuru
SubhanaAllah😢
Wale walio somea engineering waje wale wakubwa kabisa wa majengo
Pole watanzania wenzetu