Hakuna chorus

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • just a freestyle,
    edited by short random vedio vibe vibe vibe no bad vibes 💤💨
    KOKKI lyrics -
    Kokki ana spit,hakuna cha chorus mada hi beat.×4Sai mini Bob Marley nilibuy hiyo MRA na Tanzanian money,shit shit ma ajali kwani kip umereep majanii,tenje yaani manze mtenja hapatikani ,daro gani popo tutachai izo ma signing sheett,all lavels up na fala anabonga shit,boo floow Hadi nadai kuswitch ,UU na cough,nimekua msoft atyyy jjuu ya God, still born but the opposite ndio napea ma oop,gosh sorry kahujarada reward the thoughts,locs ni retouch na coke. bikini kwa beach ama n uchi kwa peech ,Niko na list ma fala walitii, deliver the speech,hon rabales si Christo alipreech,Mimi ndio king ,naweza wa teach ,elimu ndio key,crack cash nikiwasoldia ma splif,kuna fourth year sense iliback na feast,sai waste iko free ,but bonga na me,juja erico na lean
    Two four two four Mimi ndio G sorry for the lost ,walini cross reales ma gin I mean waliona maghost ,kuja kuja we na husi try kuhepa ,nilimuonea kwa machela ametuna ,I mean kwa coma kubishana na hewa ,sababu za forensic evidence cid walipewa, don't cross my line is warning, next huki try ni postmotum kwa body,offlate nime quit it stonning, shout to tonny ,bombe ako jogging ,rende iko loading,Niko horny early morning, after while naona Niki deliver testimony,sai Niko court na court nimerock ki clock ,judge ana crown na law, mini goat na doo ,
    Kick hiyo ndoo,alinyuria wahenga mtajazia dondoo,naskia kumada ama punguza iende low.low low loo. .

Комментарии • 4