MR NANA -AMKA ( Official Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 710

  • @ClaraAdam-i1o
    @ClaraAdam-i1o Месяц назад +87

    Hata lulu diva alipofiwa na mamake alitoa wimbo,muacheni atoe machungu ya moyon mwake😭😭

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 Месяц назад +2

      Ni kweli maan akikaa na uchungu atadhurika Acha alieee ndo afya yake

    • @ClaraAdam-i1o
      @ClaraAdam-i1o Месяц назад

      ​@@stellanyamuhogota1832amen kipenzi

  • @rahema1992
    @rahema1992 Месяц назад +63

    Pole kaka allah akupe subra na nguvu ila kwa ushauri wang ucfanye hivyo utakufuru upate madhambi kilichobaki hapo ni kumuombea dua allah amtanulie kaburi lake na ampe mwangaza ila ucfanye hivyo

  • @SelinaMwambe
    @SelinaMwambe Месяц назад +8

    Wanao msema vby huyu kaka hayajawakuta , maumivi yake ni makali mno kumpotez mtu mlikuwa mnapumulian ... Sikien kwa mtu na kuangali kwa mitandao yakiwakuta ndo mtajua . Pole kaka ,tuliopitia ndo tunajua maumivu unayosikia .... Mungu akupe nguvu na tuendelee kumuombea mpendwa wetu Mungu Amsamehe dhambi zake😂🙏🙏

  • @josesombo186
    @josesombo186 Месяц назад +19

    Huyu jamaa kwa tungo yuko vizuri achana na hii nyimbo ya kuomboleza
    Baada ya hapa naomba dondosha ngoma nyngne kwenye industry utafukuza namba sana

  • @halimahassaniiyami3485
    @halimahassaniiyami3485 Месяц назад +20

    😭😭pole san kaka unapitia maumivu makali nivile hawajui endelea kumuombea Mungu ampumzishe salama

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 Месяц назад +2

    Poleni WA tanzanian.... it's hard to believe dida umeenda..ila kifo 😭😭..from🇰🇪🇰🇪

  • @myfuraha936
    @myfuraha936 Месяц назад +1

    Pole sana rafiki! MUNGU ampumzishe kipenzi chako kwa amani. Twakuombea ukae sawa

  • @halimakiwiku9199
    @halimakiwiku9199 Месяц назад +3

    Pole sana Mr Nana, Allah ampe kauli thabiti kipenz chetu Dida

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn Месяц назад +11

    Pole Sana mwana ni moja za njia zetu kupita hap Duniani 🙏 hii usikie Kwa jilani yako has Kwa mtu mhimu pole best❤️🙏

  • @hawababy120
    @hawababy120 Месяц назад +2

    Allah Amrehumu da dida😢pole san kipenzi chake tuzidi kumuombea dua zaidi😢😢

  • @TammyNassoro
    @TammyNassoro Месяц назад +2

    Pole broo msiba usikie kwa mwenzako tu broo anaumia sana daaah mungu akupe nguvu

  • @mandelatv-e3b
    @mandelatv-e3b Месяц назад +252

    Wajinga wamitandawo watasema huyu kaka anataka Kiki 😢😢😢ila uyu anasukumwa na hisiya kbx allah akupe subra kwakipindihiki kigumu😢💔💔💔

  • @jeedymasoud4269
    @jeedymasoud4269 Месяц назад +2

    Kaka unaimba una sauti balaaa, pole sana wote tunaumia sana sana

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 Месяц назад +29

    😢😢😢 ivi ni mimi tu nilielia au ni hisia za machungu tuu . Pole kaka. RIP Dida

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 Месяц назад

      Tunalia sote mwaya😢😢😢😢

    • @ZenasefuAlly
      @ZenasefuAlly Месяц назад

      mm mwenyewe nalia apa inaumiza kweki

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 Месяц назад +2

    Nimesikiliza huu wimbo mala kumi ,aisee daah machozi machozi pole brooo wote tumefiwa ila wewe umefiwa zaidi kaka mtu ulieshea naeshuka anauma pole sana broo Allah atakupa nguvu kikubwa Kila uchao usiache kumuombea Dua.

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya Месяц назад

    Sidhani kama kuna mtu ata mbeza huyu jamaa,labda awe mwenda wazimu ndo anaweza kumbeza jamaa,chamsingi nikumfariji tu.Mungu amtie nguvu,one day they will meet again in paradise.pole sana.

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 Месяц назад +4

    😢😢😢sio Tanzania tu kumtambua Kenya tulimpenda sana na ametuuma sana😢😢 zetu dua kumuombea 🤲... Inna lillah waina ilaihi rajiun

  • @AishaZadi
    @AishaZadi Месяц назад +27

    😢😢😢😢 umeniliza we kaka duu Allah amsameh makosa yake dada yetu

  • @SwaumuMohamed-f4n
    @SwaumuMohamed-f4n Месяц назад +1

    Pole Sana kaka anguu inauma ety Jamanii nyiyee daaaah onenii to Kwa mtu ila yakikukuta utatamanii ujipigize chinii ndo utajuwa inauma au haiumii

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Месяц назад +11

    Pole sana kaka daaah Mungu akupe nguvu katka kipendi hiki chakuondkewa na kipez chako ningum ila ndio hvyo tena 😢

  • @HabibuSheila
    @HabibuSheila Месяц назад +11

    pole brother nana mipango yamungu kaka sema tu alhamdullilah

  • @JudyMwende-u8r
    @JudyMwende-u8r Месяц назад +3

    Pole sana kaka nakwombea mungu akupe ngufu ❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад +4

    Eeeeeh Mr Nana!!! Pole sana.... eeeeeeh Dida wetu jamani....... aaaaaaaah lala salama!! Laza kichwa chako Kwa Allah!

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 Месяц назад +7

    Nana kama nana Pole my Brother bles😢😢 Ngoma kali sana good music

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE Месяц назад

    Tukitoa msiba huyu MR NANA ni msanii mkali sana ambaye hajapewa nafasi kwenye media, Kafanya wimbo na RICH MAVOKO, BARAKAH THE PRINCE na BEKA FLAVOR miongon mwa KASSIM MGANGA ila bado akabaki kuwa underground

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln Месяц назад

    Ndio pakuzingatia hapo wanaadamu tunarudi kwa Muumba wetu hivyo tufanye yale mazuri yatakayotuweka pazuri tuendako❤❤

  • @BongoPlatformTv
    @BongoPlatformTv Месяц назад +6

    Dah, unatisha nyimbo kali sana ila muombee tu kwa mungu ampunguzie makosa.

  • @joycethomas7918
    @joycethomas7918 Месяц назад +1

    Pole sana Mr Nana Mungu akupe Moyo wa ustahamilivu na Amani , utulivu . Tunakuombea Mungu akupe wepesi. Huo wimbo ni mzuri sana na wakufikirisha basi katika wimbo huo Mungu akakuone. 🙏

  • @zahramohammed3265
    @zahramohammed3265 Месяц назад +2

    Maskini Allah akupe nguvu Na subra Zidi kumuomba Allah amsameh amweke mahali Pema Ameen . Pole Sana Nana

  • @AminaOmari-e9u
    @AminaOmari-e9u 5 дней назад

    Pole kakaangu ume nifanya nilie

  • @nancynyali2362
    @nancynyali2362 Месяц назад +15

    Am from Kenya but sijaamini kama dida ndo kashaenda jamani😢

  • @halimahassaniiyami3485
    @halimahassaniiyami3485 Месяц назад +7

    😭😭sio rahis kukusahau didah Mwenyz Mungu akupumzishe salam akuondolee adhabu za kabri

  • @musakhamisluli6699
    @musakhamisluli6699 Месяц назад +8

    imenitashi yimbo...tumependa Lakini mweye zimungu amependa zaidi ..big strong brother

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад +70

    Hawa huenda walisharudiana japo kimyakimya. Pole ndugu

    • @BeatriceSamwel-p7u
      @BeatriceSamwel-p7u Месяц назад +3

      Walikua wamerudiana mpaka dida kafa wapo wote

    • @amidabukuru
      @amidabukuru Месяц назад +4

      Ndio walirudiana nandomana anaumia sana Mungu ampe subra yanguvu huyo kaka maaana anaumia sana

    • @Martin-x6g1q
      @Martin-x6g1q Месяц назад +2

      0:51

    • @aishaomary4498
      @aishaomary4498 Месяц назад

      Huenda niubinaadamu tu

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 Месяц назад

      Nadhani ivyo

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Месяц назад

    Pole san kaka najuwa unayopitia 😩😴💔 allah akupe subra kwa wakati huu mgumu usisahau kumuombea dua n kumtolea swadaqa maana hyo ndio chakula chake pkee😢😩😭kuondokewa kubaya huyu kaka alimpenda marehemu Dida kikweli sio ati alipenda pesa niurongo mapemzi ya kweli yajulikana huyu alimpenda kutoka moyoni 😢😭💔nalia kila ninapomuona huyu kaka anavyolia😢

  • @gracepaul8162
    @gracepaul8162 Месяц назад

    Nmejikuta nalia tena daaaaah
    Pole kaka
    R.I.P Dida

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 Месяц назад

    Pole sana kaka tunamuombe dual Dida pia Mungu amufanyie wepesi

  • @KhadijaKhamis-p2i
    @KhadijaKhamis-p2i Месяц назад +20

    Dua kwa wingi kaka angu na ww mungu atakupa subra

  • @jamilahchikuti89
    @jamilahchikuti89 Месяц назад +9

    Najua hali unayopitia kaka MUNGU akutie nguvu inaumiza sana😭😭😭🙏

  • @AshuraKanyaru
    @AshuraKanyaru Месяц назад +1

    Pole Sana kaka yangu

  • @OmanMobaile-nm1hw
    @OmanMobaile-nm1hw Месяц назад +2

    Inalilah wainalilah lajuuun kikubwa muombee dua njimbo aimsaidii kitu uko alipo alaf pia usisahau kua kila nafsi itaonjaumauti

  • @nurusaid-fg3sb
    @nurusaid-fg3sb Месяц назад +2

    😢😢😢😢😢 Pole San brother Allah ukutie nguv katik kipnd hik kigum ningum kusahau lkn jikaze nana

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri Месяц назад

    Kumbe mkaka anajua kuimba hivi mashaallah pole ndugu yangu mitihani tumeunbiwa wanaadamu pole sana mazoea Yana tabu

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 Месяц назад +2

    Pole bro tumeumia weng saana mungu akutie nguvu😭😭😭

  • @khadijabbykhadijabby1389
    @khadijabbykhadijabby1389 Месяц назад +3

    Pole snaa NANA wallah mm siamini kama didah amekufa 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @MariamMagang
    @MariamMagang Месяц назад +7

    Nimelia mm jaman duh,kufiwa kusikie tuu pole sana kaka angu

  • @arafamachuru5743
    @arafamachuru5743 Месяц назад

    Huyu anamachungu kutoka moyoni kabisa😊

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul Месяц назад

    Pole San kka kikukubwa kumuombea Dua Allah aiweke roho yke mahar pema pote tunapita makaz yetu ni uko uko

  • @NeemaDenja
    @NeemaDenja Месяц назад

    Pole sana kaka angu kipenzi mungu ukupe moyo wa subila😭😭😭🙏🤣🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 Месяц назад +3

    Pole kaka inauma sana ambaye hajapitia hayo hawexi kuelewa😭😭

  • @AishaMubaraka
    @AishaMubaraka Месяц назад

    Pole sana kaka ulimupenda Mungu Alimpenda zaidi

  • @QueenNgai
    @QueenNgai Месяц назад +7

    Pole sana kk inauma sana hii kitu mm sisemi sana mama yangu alinitoka 2007 wallaah 😭😭 inaumiza sana allaah atupe mwisho mwema inshallaah 🤲😭😭

  • @emilywangui
    @emilywangui Месяц назад

    She was my favourite 😢😢take heart bro everything will be fine soon 😢😢😢much love from kenya 🇰🇪...continue resting in peace Dida ✌ 🙏

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 Месяц назад

    Tunalia kwa mengi maana umetutonesha vidonda vyetu Ya'arabb wasamehe wote walotangulia mbele ya haki na cc atujaalie mwisho mwema InshaAllah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @AshaMory-k6m
    @AshaMory-k6m Месяц назад

    Pole sana kaka yangu moyo wa subra katika kipindi hiki kigum kikubwa muombee apumzike kwa aman

  • @SakhaAli-kv9jz
    @SakhaAli-kv9jz Месяц назад +4

    Polesana kaka Mungu akusaidie na Mungu amlaze pahala pema...unalizwa na mazowea ila kazi ya Mungu haina makosa.😭😭😭

  • @DayanaKeneth
    @DayanaKeneth Месяц назад +2

    Daaah 😔😔😭😭😭 tupendane jamani tunaishi mara 1

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 Месяц назад

    Pole sana Mr.Nana..mim nakuelewa hali unayoipitia

  • @DevoteKabura
    @DevoteKabura Месяц назад

    Pole sana Kaka.Jikaze duniani tu wapitaji ingawa kuondokewa na mtu wa karibu yako Sio raisi.Ila Mungu akutie nguvu na ujiombee mwisho mwema.😭

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Месяц назад

    Pole sana kaka hata ss vipenz wa dida tumeumia sana hana jinsi kila moja ataenda kwa mola wake mda ukifika

  • @SamouOman
    @SamouOman Месяц назад +2

    pole sana kaka ake hakuna anae jua maumiv unayopitia mung akupe uvumilivu🙏

  • @amidabukuru
    @amidabukuru Месяц назад

    From France mungu ampe pepo dida nilimpenda sana ila mipango ya mungu haina makosa

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Месяц назад +2

    Pole sana kamanda Mungu akujalie hekma na nguvu wakati huu nakuelewa sana maumivu ni makali sana 😢😢😢

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Месяц назад

    😭😭pole sana kaka mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tumuombee duwa yye ametutangulia na ss tupo nyuma yake.Allah atujaalie mwisho mwema

  • @salamamamashenge5493
    @salamamamashenge5493 Месяц назад

    Nyimbo nzuli 💐👏Sio wa Tanzania wanao muliliaa tu Kaka Nana😭💔Dida alinijengea furaha kwenye nilipo nauza #Maua💐 siku kwa siku Sauti ya Dida vicheko vya Dida 😭💔❤️Dida uliniumiza kama mutu tulikua tunajuana tangu watoto 😂😭💔Inalillah Wa ina ilayih Rajiuna nenda vizuli Dada yetu Dida tutakumbuka Kila silu 😭💔🙌

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Месяц назад

    Yaani mtihani kweli dah umepata wapi nguvu ya kuimba au ndo kifo ukaona utumoe apo apo kiki yko mtihan huuu

  • @GiftMoneyz
    @GiftMoneyz Месяц назад

    Mr nana pole sana baba mkubwa 😭 vumilia mtakutana tena usijar ✅✅

  • @Samdabreezy
    @Samdabreezy Месяц назад +2

    Pole kaka mungu akupe nguvu dah

  • @VictoriaNyendera
    @VictoriaNyendera Месяц назад +2

    Inaumiza sana 😢
    Pole sana BROTHER 😢

  • @Mwanalimamasumbo
    @Mwanalimamasumbo Месяц назад

    Pole sana kaka muombee dua kipenzi chko kusahau ni ngumu sna ila mungu yko pamoja na ww ,inshaallah mungu akupatie nguvu jikaze kma kiuume kkngu

  • @shamsaadam6965
    @shamsaadam6965 Месяц назад

    Kila nafsi itaonja mauti tusijisahau ni kazi yke Allah tusikufuru hio njia niya hakki kweli msiba ni msiba lakini twatakiwa tuwe na imani na tumshukuru Allah zaidi maiti ss shitaji Dua kwa wingi na swadaka kama kweli wtu wampenda na pia maiti asemwe kwa mazuri yke Allah amlaze pema peponi amin

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy Месяц назад +2

    Dida hayupo ampumzike kwa Aman Allah atupe mwisho mwema inshallah

  • @Deborahdepsy-qh4rj
    @Deborahdepsy-qh4rj Месяц назад

    Makiwa sana kaka😢😢pamoja nafamilia Mungu awape faraga kwenye wakatii huu mgumu wa machonzi😢😢

  • @JumaAbdullah-c9d
    @JumaAbdullah-c9d Месяц назад +1

    Jamani hakuna mtu ambae kafiwa akafurahi mm nipo pamoja na mr nana ila kikubwa dua ndo chakula chake

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 Месяц назад

    Pole kakangu mwenyezi mungu awemfariji wako kwakipindi hiki kigumu unachopitia 😥😥😥😥😥😥😥😥

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so Месяц назад

    Inauma san jamn kama utani pole Shem mungu awape faraja 😭😭💔🤲

  • @betridakazimoto1291
    @betridakazimoto1291 Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭pole kaka najuwa unapitia magum kipindihiki mungu akupe nguvu

  • @masudially9968
    @masudially9968 Месяц назад +2

    Pole sana bro tulikua wote juzi msibani masudi kipanya apa

  • @AbdurahimMohd
    @AbdurahimMohd Месяц назад

    Chakula cha kiumbe ama mtu aliefariki ni Duwa so jitahidi sana tu kumuombea duwa maana maisha ya kaburini ni maisha magum sana tuwaombeeni duwa waliotutangulia

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial Месяц назад +2

    Pole kaka, hata nam nilikuwa nampenda dada huyu japo alikuwa hanifaham,

  • @SarahSeleman-pj9fr
    @SarahSeleman-pj9fr Месяц назад +3

    pole sana kaka inauma sana ila ni mipango ya mungu 😭😭

  • @NeemaSebastian-u6g
    @NeemaSebastian-u6g Месяц назад +1

    Pole kaka watasema mengi ila moyoni mwako na mungu shaidi achana na watu watakwambia mengi ila kifo sikia Kwa mtu 😢😢😢😢

  • @NdorteaBilelo
    @NdorteaBilelo Месяц назад

    Pole sana 😥💔 dida kuja basi ya wisho tukuone

  • @issainjini4064
    @issainjini4064 Месяц назад

    Pole sana kaka inauma sana ila muhimu tuzidi kumuombea Mungu ailaze roho yake mahala Pema peponi

  • @YoungVoice-bv2uz
    @YoungVoice-bv2uz Месяц назад +1

    Inaumaa sana Mungu amlaze mahara pema PEPONI ❤❤😭😭😭😭🕊️🌹

  • @azizamohamed9362
    @azizamohamed9362 Месяц назад

    Dah😭😭😭pole jmn

  • @CareenKaleen
    @CareenKaleen Месяц назад +2

    😢 dah pole mkaka umeimba kwa hinsia paka umeniliza kweli umeumia san MUNGU akutie nguvu kipindi hiki kigumu

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Месяц назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢pole sana kaka yangu mipango ya mungu haina makosa muhimu muombee dua

  • @officialtunutu2642
    @officialtunutu2642 Месяц назад

    Pole sana mdogo wangu kwa msiba huu mzito

  • @RehemaMpembela
    @RehemaMpembela Месяц назад

    Mungu akupe ustahimilivu wa moyo

  • @felistermazeze
    @felistermazeze Месяц назад

    ameimba kwa hisia pole kaka unaumia sana pole sana muombee dua

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Месяц назад +2

    Pole Sana nana 😢😢😢 mm nimkenya lakin dida nilimpenda Ila mungu amempenda Zaid yetu😢😢😢😢

  • @monmauwezo8095
    @monmauwezo8095 Месяц назад

    Pole my bro😢😢😢 mungu akupe nguvu kwa kpnd hik kigumu

  • @Serah-b7v
    @Serah-b7v Месяц назад +1

    Pole kaka mungu wa mbinguni akufanyie wepesi😭😭😭😭😭

  • @GloryMjema-k2u
    @GloryMjema-k2u Месяц назад

    Pole san jmn inauma mno hata kam n ww ukijaribu kuvaa viatu vya huyu kaka huwezi sahau kirahis hivyo😭😭😭😭

  • @JacklineLoth
    @JacklineLoth Месяц назад +1

    Mungu akutie nguvu broo muombeee mkeo apumzike kwa aman inaumaaa sana😭😭😭😭

  • @Al-KharithBinmasoud94
    @Al-KharithBinmasoud94 Месяц назад

    Allah akupe subra IshaAllah 😭

  • @gmagicbeats6435
    @gmagicbeats6435 Месяц назад +1

    Very sad...😢😭😭 Ila ndo safar tumeumbiwa lazma yatimie haya... Mbele yake nyuma yetu , pole sana brother, bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe 🙏

  • @Kidotii
    @Kidotii Месяц назад +2

    Poleee Nana!😢 acheni kumsema huyu kaka anaendeshwa na hisia😢😢 nasisimka!

  • @fildeokilongo6664
    @fildeokilongo6664 Месяц назад

    Pole sana kaka .Mungu akutie nguvu,,