Mwanamke ukishapata stara ya ndoa ni bora kutulia kwenye ndoa yako jamani watu tunazitafuta ndoa yaa rabb nyie mnazichezea hii ni movie ila ni somo jaman
Hawa jamaa wamejipanga kila mtu mkali kwa nafasi yake ila da Ringo nimecheka nimerudia sana sana hapo mwisho unamkataa dem wako eti ushauri uliopewa unamwambia vile vile kinoma noma
nzuri sana mbona saivi kazi zinachelewa jaman ila nakubali sana aise
Daah bonge la movie aisee tumejinza mengi sana humu bigap sana mkojani na wasanii wote kwenye hii movie
Thanks for the compliment 🙏
Imenoga vibaya mno sasa hapo tin wat nae angrkuwemo sipati picha ingekuwaje. Hongeren sana wana tasinia wetu
Wa kwanza mm leo
Wakati mwingine wananiita ZUCHU Ringo jamani 😁😁
Nic muv inafunzo ndan ake
Mimi wakumi nipeni like jamani
Dar kaka ulie mshauri ringo uko vizuri sanaa alafu hii filamu ,,wengi tunaishi maisha kama hii muv
Mwanamke ukishapata stara ya ndoa ni bora kutulia kwenye ndoa yako jamani watu tunazitafuta ndoa yaa rabb nyie mnazichezea hii ni movie ila ni somo jaman
Nakuoa
@@abdullaabdullahmpakanjia2336 hahahahahahaaa
One love @MKOJANI
Harmonize
@@teacherkizumbe 🐘🐘jeshi
Bro tembo😄🐘
Unasuport Sana comedy bro big up jesh
Huyu n harmo fake
Naitazama nikiwa Kitunda relin
Wazii mkojani shukrani sana ila umenikosha unapoteza mada eti excesaise wakati ulkua uko serious ukiomba hela
Mwana kuritafta ndo mwanakuripata uyo ndo ringo
Ati bona uko wanzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️❤️👍👍👍
Film hii umo ndani ushauli mkubwa sana!!nanimependa sana ushauli wa brother pia mkojani team Kali kaza unaeza sana!
Hawa jamaa wamejipanga kila mtu mkali kwa nafasi yake ila da Ringo nimecheka nimerudia sana sana hapo mwisho unamkataa dem wako eti ushauri uliopewa unamwambia vile vile kinoma noma
😀😀yaani bila kupindisha maneno
Nakubali Ringo mwanao xana apa Mr vibe apa
Part 4 bana , mkojani fanya haki can't wait anymore, good work indeed
Mkojani ni noma unaomba buku asubuh
Mkojani ww ndo ulobeba kiti Cha king majuto
Watu wazima kam sis na wenye vipara kama sis, daa! Noma sana ringo
Mkojani huna mbaya nakupa 100%
Mi nilizani umenipeleka India kumbe kwa baba ako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ringo mpuuzi sanaaaa🙌🙌🙌
Wa kwanzaaa
Dah mkojani nakubal one love kamanda
Mm king jogo nipeni subscription piya jamani
mpe hi Brother othman
Move tam sanaa
Wanawake mkome kushoboka mkiwa kwenye ndowa
Ringo akili ya kushikiwa 🤣🤣🤣
Ringo umemtema huyo demu kihuni yani makavu Kama yote duh 😂😂😂😂😂😂
Mkojani uko juu brother keep shining 💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯%
🤣🤣🤣🤣ringo kashauliwa yani nimejifunza ving
Wakwanza dondosha comments twende sawa
Ringo hatar unamgeuka mwanamke kiaina et unafanana na Banda hahaaa
Nipe buku hahaha exercise book
Mbona uko wazi ww
Mtoto haezi muacha babake dhen mechi haianzwi moja bila
ringo ngese hatari ....et wengine wanamwita Zuchu 🤣🤣🤣
This video is a very good idea for a jeneretios
Mbona uko Waz ww
Khanipha tamaa mbele mauti nyuma🤣🤣🤣modo kakuponza 👏👏big up kazi nzuri Sana
😂😂😂😂yako hayo mbona
Nomaa sanaa
Ringo ety wananiita zuchu
Ama kweli malipo duniani wallahi
*Kenya twawapenda* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Magodoro tumelowesha tunakesha Kama popo kungoja vitu vya mkojaniii anifa tamaa mbayaaa
Upendo daima #mkojani
Akuzidishie mungu mkojani
Kwa nini sasa uji kwenye Harusi..Ringo umetishaa
leteni mwendelezo Big work
Saf san Ringo katika ubora wak
Niligongwa kama kengele wk hahahahahahaaaa
Tunaomba namwendelz wa 4 leo
Soon
Hauji kweny harusi😂😂
Duh! dakika 8 tu mumesha niwahi🤔 vipenzi vya hawa watu tuko wengi kbs
Ringo kiboko
Kauwa sana
😂😂😂ringo bhn. Eti wananiitaga Zuchu
Jamani mkojani umelia nikatokwa na machozi pia.. 😪
😁😁😁😁Naomba buku, mbona uko wazi wewe
Ringo aana akili alivyoambiwa ndio vile vile anaenda kumwambia dem wake
Tumepata somo
Hadhi yako unafanna na banda😂😂😂
MTINDA hii scene unamshauri Ringo ma single mom ikikutana nao pita mbali 😀😀😅🤣😂
Chunv we fund Sana aisee
Tupatie namba nne chap isichelewe Sana
Ok..thanx for ur support
wapiii nagwaaaaa
Daah mwendelezo uskae mdaa mrefu jAMAN
Soon inakuja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🖐️🖐️🖐️🖐️ duh kengele
Good
RINGO nina pisi kalii
Nmeon hadhi yko inaendan na banda
Huyu Ringo mbna kavaa kacha la mashoga au na yeye bwabwa
Ringo eti wananiita zuchu🤣🤣🤣
Ringo..sikwelewii sikwelewii.😂😂😂
Is good 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
Tunakesha🙏🙏
Ringo 🤣🤣🤣🤣wana mfananisha na zuchu🤣🤣
Nyimbo naitafuta iliyo tumika kwenye hii move tafathali naiomba kwa yeyote anae ifahamu 😰😰
Daaa good Sana
Ringo ni moto wakuotea mbali
Imekula kwake
Role model_#ringo💪💪💪💪💪
Wat tulikuwa twaisubiria tumalize
Mbona fupi sana jitaidini basi muwe nafikisha 29 minute kwenye video zeno kali
Kweli bwana❤❤❤❤❤
Nzurii sanaa
Kazi nzur 👊👊👊
mtt. Wakiume Ariri mapenzi
One love @mkojani
Leta ya4
Good work kwako mkojani
Jamn nyingine tafadhali
Nimeipenda
Wengine wananiita zuchuu🤣🤣🤣🤣
Muendelezo bado jaman
Ninoma sanaa
Oso online namba 4 Vp
Soon tunaweka
😂😂😂eti , wengine wananita zuchu 🤣🤣ringo
Kazi nzuli