MTANGA NA BAMBO ,BIASHARA YA VIDOLE ,HII UTACHEKA UFE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2024

Комментарии •

  • @meshackwilliam7037
    @meshackwilliam7037 2 года назад +18

    Bambo nakukubali sana mzee wangu

  • @binzid9046
    @binzid9046 2 года назад +32

    Sijachelewa leo from Zanzibar

  • @anoldngemela1537
    @anoldngemela1537 2 года назад +41

    Bambo fala kweli 😂😂😂 "eti kwanza vidole vyenyewe havina hata kazi"

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 2 года назад +15

    Namkubali xana bambo na mtanga Yan Ni full kucheka🔥🔥🔥

  • @frankmu1345
    @frankmu1345 2 года назад +8

    Hahaha hii zako zimetummika sana elfu sita hii kubwa ....ooooh my yani comedy yenu iko juu sana

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 2 года назад +15

    Hapo Vichwa Hatari katika comedy wamekutana…..I like that!!!!

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 2 года назад +4

    Bambo nae, et vidole tuh unatusua maisha afu vidole vyenyewe havina kaz

  • @fizomedia5112
    @fizomedia5112 2 года назад +18

    Hawa ndo wanajua comedy sasaa🙌

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 года назад +3

    Bambo mtanga 😀😁😁😁😁😁 kazi nzuri sana ⚓⚓⚓

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 года назад

    Vime fanana na tangawizi😀😀😀😀🇨🇩

  • @ismailnahato657
    @ismailnahato657 2 года назад +14

    Tanzania 🇹🇿 inchi yangu naipenda sana

  • @ismailmtoro150
    @ismailmtoro150 2 года назад

    Umekuja kuuza vidole au umekuja Kuni pecktion..mtangaa bhanaa

  • @4gwafuraha992
    @4gwafuraha992 Год назад

    Mtanivunja mbavu Mimi asnte sana kw burudan zur nawafatilia sana

  • @mayroseclemence99
    @mayroseclemence99 2 года назад +5

    Haaaa haaaa kwhy vidole vya bambo km tangawizi😂😂kwhy ivi vidole ndo vyako jaman🙌🙌

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 23 дня назад

    Bambo unamkufuru Mungu kwamba vidole havina kaz

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 2 года назад +1

    Vimekuwa Used 😀😀😀😀😀

  • @omaraboud2115
    @omaraboud2115 2 года назад +26

    Kwanza najipongeza kwa kuwa mtazamaji wa kwanza wa mzigo huu mkubwa wa Mtanga Comedy

  • @ediusgabriely615
    @ediusgabriely615 2 года назад +4

    Nyie wapuuz sana mmenichekeshaa sanaa kaa chizi yan...😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣bando na mtanga Mungu anawaona mnatuvunja mbavu sanaa...😂😂😂😂

  • @miswaleheshauri605
    @miswaleheshauri605 2 года назад +2

    Haahaa mwili unakuwa na makolokolo mengi hhh eti vimetumeka sanaa

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 2 года назад +7

    Nimechelewa mimii mjasiriamali 🤣

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 года назад +13

    nilijua Tu legend mtanga atafanya kitu kuhusu Zimbabwe kuuza vidole 🤣🤣🤣🤣

  • @barakaally2541
    @barakaally2541 2 года назад

    Masai umo umo umetisha

  • @bestfactsever9039
    @bestfactsever9039 2 года назад +1

    Watu wauze vidole

  • @NasriSalum-z7t
    @NasriSalum-z7t 3 месяца назад

    Hakuna🎉 kama hii ❤

  • @daimadaniel4326
    @daimadaniel4326 2 года назад

    Noma sana nyie wataram wa komed

  • @oldtv6981
    @oldtv6981 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣namda mref sija cheka daika kumi mfunulizo🤣🤣🤣🤣🤣this made my day

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 2 года назад

    😀😀😀😀😀😀😀nawakubali wazee from kenya

  • @John95177
    @John95177 2 года назад

    😆😃😃😁😁Elfu sita aaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 2 года назад +2

    nawakubali sana

  • @shehasalumjuma8920
    @shehasalumjuma8920 2 года назад +2

    Bambo umetish it dili 🤣🤣😍😍🤣

  • @saidimnyani3330
    @saidimnyani3330 2 года назад +1

    Kumbe yule dada jasiri sana

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 2 года назад

    Movie nzuri sana ❤️ mbarikiwe

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 Walio Tamba apo angekuepo na Mzee majuto ingenoga Sana lakini innalillahi wainnaililaihi Raajiuuun Allah amuhifadhi ktk kheri InshaaAllah Amiin 🙏

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 года назад +5

    Dah nimecheka kifala. Mambo eti vidole vinakazi gani😄😄😄😄😄.

  • @isack.nguvila1173
    @isack.nguvila1173 2 года назад +1

    Hawa jamaa noma sana

  • @gwakisamawazo7509
    @gwakisamawazo7509 2 года назад +1

    Mtanga bhna atali

  • @nicklyanga7044
    @nicklyanga7044 2 года назад

    Et vidole havina kazi

  • @mtumuhimu6793
    @mtumuhimu6793 2 года назад

    Hahaa hahaa kipaji cha awa ma legend kimeanza kurudi

  • @Kt_mela
    @Kt_mela 8 месяцев назад

    Hahahahahah yani imekuwa used sana aiseeee Masaiee... Tangwizi hahahaha yani nimecheka hatar 😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @musaamos2431
    @musaamos2431 6 месяцев назад

    Bambo et vidole havina kazi😂😂😂

  • @muflarajabu5275
    @muflarajabu5275 2 года назад +4

    Umekuja kuuza vidole au umekuja kunipeksheni mtanga dah shida🤣🤣

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 2 года назад +30

    Eti hayo maumivu yako ndo faida yetu…🤣🤣

  • @selemanmahmod3903
    @selemanmahmod3903 2 года назад +1

    Salutt...nimecheka sn wakongwe kzini 👊👊😂😂

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 2 года назад +1

    Mmetisha xana aisee🤣🤣❤️🤸🤸🔨

  • @John95177
    @John95177 2 года назад

    Masai ....eti we unataka mtu isiwe inavaa ndala🤣😂😂🤣🤣🤣😆😆

  • @hatibumwakisale400
    @hatibumwakisale400 2 года назад +2

    Hahahaaaa mmetisha sanaa

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 2 года назад +1

    😃😃😃vidole vyenyewe havina kazi yoyote zaidi ya kuvalia viatu tu 😃😃😃

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 2 года назад +1

    Hahahaha Sh Ngapi Wamekupi 😀😀😀😀😀😀

  • @salomeyuvenali3700
    @salomeyuvenali3700 2 года назад

    🙄😃😂🙆🇹🇿TRA kazi kwao .

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 2 года назад +4

    Eti mwilini unakua na makolo kolo meengi tutoe vidole😂😂

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 2 года назад

    Haaaaaa asamteee wallah nimechekasana

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад

    Vidole vyenyewe havina kazi yeyote

  • @nurumigeyo4625
    @nurumigeyo4625 2 года назад +5

    Nimejizuia kucheka nmeshindwa, ,🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu ee

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 года назад

    Jamani mie mbavu zangu mmmm nyie kina mtanga naumia mbavu kucheka uuuiii

  • @cuteprincess7728
    @cuteprincess7728 2 года назад +1

    leo nimecheka sana awoteeeeeeeee

  • @msafirinyebunga4078
    @msafirinyebunga4078 2 года назад

    Inakata Mara moja ndiii

  • @husseinyassin1026
    @husseinyassin1026 2 года назад +1

    Hii biashara ikija Tanzania watu watabaki na vipande vya miguu

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад +7

    Bamboo kakosa pesa ndio anakumbika Sheriya 🤣🤣🤣🤲🤲

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 года назад

      😄😄😄😄

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 года назад

    😂😂😂😂😂 Mtanga wew unaatar eti vidole vyako ivi sasa vya nani jaman

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 года назад +6

    Hahahaaaaa ,vidole used vya bambo,hata debe la unga haitoshi😆

  • @hassanalimawoko1500
    @hassanalimawoko1500 2 года назад +1

    Hatari sana igweeee🙌

  • @devothatesha5554
    @devothatesha5554 2 года назад

    Et mwilini una makorokoro mengi umeyabeba haki nimecheka yani mtanga khaaaaaa

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад +5

    Masai anasema kwa iyo inataka mutu isiwe inavaa ndala

  • @nassorkhalid5881
    @nassorkhalid5881 2 года назад

    Dah😃😃😃😃😃

  • @nesto3587
    @nesto3587 2 года назад +6

    Maumivu ndo faida yetu😂😂😂

  • @egibathtibanyendela5991
    @egibathtibanyendela5991 2 года назад +1

    Mtanga katisha😂😂

  • @SaidyJay
    @SaidyJay 6 месяцев назад

    ww mtanga noma

  • @assumanemilongo989
    @assumanemilongo989 2 года назад

    Uyu mmasai musimuache ananogesha sana

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад

    😂😂😂😆jamani m niache

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 2 года назад +3

    Bamboo big up

  • @ndaturumagile8164
    @ndaturumagile8164 2 года назад +1

    Hawa waongo tu

  • @SaidyJay
    @SaidyJay 6 месяцев назад

    mtanga utaniuwa kwa kucheka

  • @maxwellchanai1065
    @maxwellchanai1065 2 года назад

    God bless ur talent and u

  • @zachariarashid1642
    @zachariarashid1642 2 года назад +1

    Hahaha 😂🤣🤣 namsikiy jins anavy muhanis mwenzak

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 года назад

    Kazi nzuli

  • @abdulmajidiibrahimu3338
    @abdulmajidiibrahimu3338 2 года назад

    Iko poa San mzee

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад

    Elfu kumi na moja mi naongelea milioni au umeounguza sifuri

  • @michaelngusi9329
    @michaelngusi9329 2 года назад

    Nipeni adifasi kwanz

  • @TryphonT.vinanda
    @TryphonT.vinanda Год назад

    Recpect sana wakubwa

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 года назад +2

    Bado jot tunamsubir kwa ham kuhusu hiiishu y vidole🤣

  • @christophermwinuka8780
    @christophermwinuka8780 2 года назад +1

    Eti vidole havina kazi yoyote

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 года назад

    Anataka kuuza mpaka vidole vya mkononi. Uwiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu leo uwiiii

  • @bboymelvo5494
    @bboymelvo5494 2 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣💥💥shida sana watu wangu

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 года назад

    Nyie mnapotosha jamii

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 года назад

    Tangawizi

  • @arajay8933
    @arajay8933 2 года назад

    Hatar xńa Daaaa

  • @alexjohn7361
    @alexjohn7361 2 года назад +9

    😁😁😁..Bambo bana eti, chainsaw ya nini vidole vinaweza kubalaruka.

  • @rashidkambi4584
    @rashidkambi4584 2 года назад

    Hahaha mtanga fala sana Yan vidole vyenyewe buku 6 alafu anataka aviponde ponde kwnz

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад

    Angalia maisha wewe mtoto mdogo

  • @gamc773
    @gamc773 2 года назад +2

    Oh mungu wangu nimecheka sana

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 года назад +1

    🤣🤣🤣kwakwel toka naangalia mm nacheka tu
    Hakika muko vizur

  • @PhinaHosea
    @PhinaHosea 18 дней назад

    Masai achakunivunja mbavu😂😅

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 2 года назад

    😃😃Dahaa eti kwa hiari yako mwenywe

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 2 года назад +1

    itabidi tuvipondeponde kwanza

  • @danielkasiva2067
    @danielkasiva2067 2 года назад

    Bambo amenona sana jameni

  • @patrickmchechu2573
    @patrickmchechu2573 2 года назад

    Mabro mnaweza hakuna anae wafikia

  • @joelpole8274
    @joelpole8274 2 года назад

    Mtanga du. Hapo nimecheka mh

  • @chalulumanyenga1151
    @chalulumanyenga1151 2 года назад +11

    maumivu yako ndio faida kwetu mtanga hapa nilicheka mpaka nikatokwa na machozi

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 2 года назад

      Mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neemamjengi9913
    @neemamjengi9913 2 года назад +1

    Jamani mmejua kunichekesha kweli,etc vidole cha Bambo ni mtumba

    • @deocostar2787
      @deocostar2787 2 года назад

      Ete mi nitoke damuu yang wuuuwuuu kwa elfu 6

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 2 года назад +5

    Eti hivi sio vigumu xan tunakata kwa shoka tu😂😂😂