Mchungaji atuchemsha leo maswali yaletwa kama mvua mbona waisilamu mnakula ngamia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 71

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer 9 месяцев назад +10

    Sheikh salim ALLAH akubariki for your sabr and hikma. Uko na subira sana, Masha Allah. Lakin mwenzako ako na pupa sana na kakosa utulivu,ako na vurugu sana hali yeye siye ambaye anahubiri. Namuombeya ALLAH ampe subra na utulivu kwa sababu ALLAH katuambiya kwa quran tuongeye na wakristo(wasioamini uislamu)kwa uzuri na hikma. ALLAH awabariki kwa kazi mzuri munayofanya. Have a blessed Ramadhan

    • @Sal.0
      @Sal.0 9 месяцев назад +4

      Vidole za Mkono huwa hazi FANANI.
      Different people have different temperament!
      Ustad Ali ni Waria, na n8 kichwa Moto.
      Where as Ustad Salim, ali zaliwa karibu na Mtambo wa BARAFU, therefore, he is the COOL guy from this TEAM 😎!
      Kumbukeni, hii Dawah, ni TEAMWORK!
      WOTE wawili, pamoja na other Team members, wana fikisha NENO la ALLAH.
      MOJA akiwa ana TOKOTA, na mwezake, 'COOL as a CUCUMBER'! 🥒

  • @KhamisAli-o9r
    @KhamisAli-o9r 9 месяцев назад +10

    Assalam alaikum alaikum...Allah awajaze kheri na awape subra,,sheikh Ali ningeomba awe na subra na apunguze utani kwasababu watu wengi wanafuatilia sehemu ninayo toka na wengi niwakristo na wako makini sana..SWAUM MAQBUL MASHEKHE WETU

    • @abukarosman7312
      @abukarosman7312 9 месяцев назад

      Walikum salam warahmatulahi wabarakatahu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutarekebisha hilo

  • @everlynechepkoech5649
    @everlynechepkoech5649 9 месяцев назад +5

    Mashallah kazi mzuri....saumu makbul

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 9 месяцев назад +3

    Mashallah..sema sheikh Ally apunguze utani maana tunapata sana faida...Allah awaaongoze

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад +2

      Inn shaa Allah tutarekebisha hilo

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 9 месяцев назад +5

    Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu Allah amtakabalie saum makbul in Sha Allah

  • @zetechraj4992
    @zetechraj4992 9 месяцев назад +6

    Kazi mzuri Allah awabariki....nawapenda ❤❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Aamiin amiin amiin tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 9 месяцев назад +6

    Assalamu Alaykum sheikh Salim na ustadh Ali. Ramadhan Mubarak

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 9 месяцев назад +6

    Mbona vyoo vyenyewe wanaviosha na maji, sabuni na madawa makali mengine pamoja na kuvisugua na brush? Kwanini wasivifute na tissue au hayo magunia? Sehemu yenyewe hata hawaoni kama wamemaliza kufuta vizuri au wamebakisha ndio maana ukiwa karibu nao saa nyengine unasikia harufu fulani. Alhamdulillah kwa uislamu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад +1

      Hahaaaaaaa 😂🤣😂🤣🤣 tunashukuru kwa neema ya uisilamu

  • @Sal.0
    @Sal.0 9 месяцев назад +4

    Ai, kwani huyu Macho4 ali ziliwa katika Nyumba ya Ma KASUKU?
    Ai leo hoja ime kuwa MOTO kweli!
    Na Ustad Salim ina onekana ali zaliwa karibu na MTAMBO la BARAFU, kwa sababu anajua kuwa magia Maji ya BARIDIIIIII hawa PASTOR wanao taka ku ongea POROJO zao!
    TabarakAllah Team!

    • @molee00
      @molee00 8 месяцев назад +2

      Kweli.
      Huyu Pastor ana REPEAT kama KaKASUKU! 😅😅

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 9 месяцев назад +5

    Waislam wanabudu Mungu wa yesu muumba Kila kitu.yesu aliita Elah n Mohammad aliita Mungu Allah izo lugha mbili kiarabu n kibrania zumeendeana

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 9 месяцев назад +4

    Makubwaaa gunia duu😂😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Hahaaaaaaa 😂😂😂🤣🤣🤣😂

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 9 месяцев назад +4

    Waalleykum Salam warakhmatu-LLAH wabarakathu.
    #jeshiLielekeePalestine
    #FanyiaKaziMabadiliko
    #FanyiaKaziAmani
    #FanyiaKaziKhilafah

  • @soulyonbeatz7349
    @soulyonbeatz7349 9 месяцев назад +2

    Shelkh Salim mwambie Shelkh Ally Atulie na kazi yake ya kusoma asiingilie kazi ya kusemezana na watu wa pembeni inatutoa kwenye mood sana.

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 9 месяцев назад +3

    Mashaa Allah... Ramadhan Mubarak ❤

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 9 месяцев назад +5

    Aslam aleikum waramtulah wabarakatu .ameen ameen ramadhan kareem

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @EshaSalim-l3q
    @EshaSalim-l3q 9 месяцев назад +2

    Mashallah tabarak llah

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 9 месяцев назад +3

    Wa aleikum salam warahma turullahi wabarakatuh leo nmechelewa 😢

  • @jrmr7517
    @jrmr7517 9 месяцев назад +2

    mashaallah allah awape rehma zake akhera

  • @josemu870
    @josemu870 9 месяцев назад +4

    Barikiweni

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 9 месяцев назад +3

    Ebu cheki bin Adam wanavyopenda maneno ya busara yariyo jaa akili hekima na yenye usoft soft frani yanapoingiya sikioni
    Bila shaka Kuna pasta frani ambaye ndio anaianza kanisa yake alafu Hana watu akiangali Hawa watu wema walovyo Kaa kimya wakisikiliza maneno yenye uongofu
    Huyo pasta akiona hivo watu wamejaa anasema Hawa mashekhe wa nacheza na byashala ingekuwa mimi ningenunuwa V8 kwa mwaka umoja tu😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Hahaaaaaaa 🤣😂🤣😂😂unatumaliza na kicheko

  • @aliraeeq
    @aliraeeq 9 месяцев назад +2

    Salim na team yako mnafanya kazi ya ziada.Ata ivio ujumbe unafika tu.

  • @Sal.0
    @Sal.0 8 месяцев назад +3

    Punda na hata Farasi, zina liwa, na Wazungu, ambao ni WaKristo!
    WaZungu wana kula kila Kitu ambao ni HARAMU, khususan NGURUWE!
    Na WaFrika, wana penda SANA kuwa IGA hawa WaZungu!
    Na, HAKUNA 'Mkristo' ambaye ana FUATA amri za Biblia!
    Wao hu IGA tuu WaZungu.

  • @molee00
    @molee00 9 месяцев назад +4

    Ai huyu Mchungaji , ame Tajwa vizuri sama katika Biblia, katika ISAIAH 56:11!
    Wana sema UWONGO kwa sababu yaku tolesha SADALA, na hio SPEECH yao ya ROHO MTUKUTU!
    Tabarak Allah tEam, na wengine.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Hahaaaaaaa eti roho mtukutu 😂😂🤣🤣🤣😂😂

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад

      Nimecheka.eti.Gunia.jaman.siwanachubuka.🤣🤣🤣🤣🇹🇿Nyie.Allahu.Akbaru.mieZaman.nilikuwaNajuwa.Wakiristo.Wachafu.ilanilikuwaSijuikuwaHawatumiiMaji🤣🤣🤣😀guniaaa.khaaa

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 9 месяцев назад +3

    Sheikh ali hata sahii unazidisha instead upunguze joks maneno mingi hasira mingi hata unampa sheikh salim kuwafundisha mitihani wallah

    • @mwanaidiissa10
      @mwanaidiissa10 9 месяцев назад +3

      Kila mtu na alivyoumbwa Hawaii jizuiu nimaumbile tu tuvumiliane hakuna mkamilifu

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 9 месяцев назад +4

    Saum Maqbul Mashekhe wetu

  • @francavantini9098
    @francavantini9098 26 дней назад +1

    Sheek waulizeni maswali pia ao

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 месяца назад +1

    Wasabato wana shida sana .

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 месяца назад +1

    Ali ana maneno mengi kweli, focus on reading bana.

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 9 месяцев назад +2

    Mchungaji amebanwa kwenye kona anatafuta njia ya kutokea. Sheikh Salim unawajulia sana yaani mtu atauona upumbavu wake mwenyewe.

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 5 месяцев назад +1

    Somo wafunue macho hao

  • @mbarakadau7345
    @mbarakadau7345 7 месяцев назад +1

    Ni MAFAKIRI (MASIKINI) SIO MAKAFIRI

  • @Ismaelnoton2543
    @Ismaelnoton2543 9 месяцев назад +1

    Aslam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali 8 месяцев назад +1

      Rehema na Amani ziwe juu yenu

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 9 месяцев назад +2

    Swali langu n kufa kw mtu kw ajili y watu iyo n haki?

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 8 месяцев назад +2

    Tafadhali, Cameraman fuatilia Mtu aliye kuwa ana ongeleshwa na Ustad Salim, aliye kuwa OFF CAMERA, at 42mins during Video!
    Tunge furahi kama tunge pata kum ona huyo jamaa aliye kuwa ana ongeleshwa na Ustad Salim, off Camera.
    Na Biblia ime sema Khanzu na Kofia, ni TAFATIFU.
    Kwa hivyo PASTOR aki dunga SUIT na TIE, kama WaZUNGU, basi ana PINGA sheria ya BIBLIA, kuhusu Ma VAZI!
    Na huyu Pastor ana TETEA POMBE????
    AKILI za huyu Jamaa uko sawa kweli?
    TabarakAllah Team.

  • @Adm9464
    @Adm9464 9 месяцев назад +3

    If Jesus death was Gods plan why would Jesus ask, pray , beg and cry to God to take this cup of death? Ajabu haki luck of knowledge

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 6 месяцев назад +1

    I cant believe how people walk around wakinuka mikojo na mavi...utashangaa private parts za ladies ambao wameshinda mchana kuchwa bila kuosha itanukaje...wakristo mko wachafu sana..clean yourselves.

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 9 месяцев назад +1

    Pundaaaa hahaha 😂😂😂😂

  • @Adm9464
    @Adm9464 9 месяцев назад +4

    Hawa wa pastor they have little knowledge of their bible. They learn few verses here and there that suits them and then they graduate just confuse their illiterate followers.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад +1

      Yeah that's true when you ask them anything they say you don't have holy spirit

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 9 месяцев назад +1

    Walim ngu mkue n hekma mwafundishe hawajui mandiko

  • @mohamedbaridhwan3017
    @mohamedbaridhwan3017 9 месяцев назад +3

    Kula punda au kutokula tumia sheria za nyama za kuliwa. Na sheria ya mnyama anayetumiwa kwa kazi. Kama umemlea ili awe nyama basi si wa kazi. Kama vile ngombe wa kulima haliwi kwa sababu ulitumiwa kikazi.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 9 месяцев назад +3

    Kwa nini hawa wakristo walazimisha kuuwa kwayesu ili wapate wafutiwe dhambi huo niuongo Mungu anafutia mtu dhambi kwa toba hacheni hujinga nyingi makafrii

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 9 месяцев назад +1

    punda Hana kwato zilizopasuka