Mnisaidie jameni...nlishawai pata Mzee wangu na msichana mwengine akasema wameachana ...Jana ameletewa zawadi ya mtoi wangu juu mtoi wa huyo dem alikuwa na birthday Jana... nkiuliza anasema si Kwa ubaya ameletea mtoi si yy...naomba mnisaidie kimawazo juu naona nkivunja hii ndoa
Mume wangu ni mserati sana nakimfumania ananipiga sasa nimejoka na yeye tumesubwana miaka mingi sana, kwa ndoa tuko na miaka 21 kwenye ndoa mtanisaidia aje?

Akuna mwanaume muchafu kwenye ndoa ila ni mkewe ndie anaye mweka kua mchafu ...kama mwanaume ni mchafu jua ni wewewanamke ndio mchafu
😂😂😂 ckujua kama apo mbele itasemwa hivi
It's true
Mume wangu ni mserati sana nakimfumania ananipiga sasa nimejoka na yeye tumesubwana miaka mingi sana, kwa ndoa tuko na miaka 21 kwenye ndoa mtanisaidia aje?
Zima hiyo radio