NZK NO. 100~KUWATAFUTA BY CHANGAMWE ADVENTIST SEC. SCHOOL CHOIR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024
  • SEEKNG THE LOST
    KUWATAFUTA WASIOWEZA
    [1]
    Kuwatafuta wasioweza, Kuomba wamrejee Yesu,
    Kuwaambia maneno yake, ‘Njooni kwangu, nawapenda‘.
    Chorus
    Nitakwenda (Nitakwenda) niwatafute
    Wapotevu (wapotevu) wageuke,
    Waingie (Waingie) Katika zizi
    La Mwokozi (La Mwokozi) Yesu Kristo
    [2]
    Kuwatafuta wasioweza, Waonyeshwe Mwokozi wetu;
    Kuwaongoza, wapate wote uzima ule wa milele.
    [3]
    Kazi hiyo nataka kufanya, Leo nimesikia mwito;
    Kuwainua waangukao, waletwe kwake yesu Njia.

Комментарии • 36