UWII ZABIBU KATOROKA TENA KWAO |ANAISHI NA WANAUME 3 |NYUMBA IMEKAMILIKA |KAMTELEKEZA MTOTO WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  3 года назад +27

    chat.whatsapp.com/IGM3V0nOBEw6HzpGACecBl
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP LA TEAM MAXIMUM TV
    chat.whatsapp.com/IGM3V0nOBEw6HzpGACecBl

    • @baharainbh5468
      @baharainbh5468 3 года назад +1

      Ok i will and thanks

    • @baharainbh5468
      @baharainbh5468 3 года назад +1

      @@sukariyao6537 my dear just touch that link that is pinned and it will direct you

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 3 года назад +1

      @@sukariyao6537 Kakuambia mpgie kaka Zahir, iliakuelekeze 🤣🤣🤣🤣

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад +1

      @@sukariyao6537 Hahahaaa usinichekeshe

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 3 года назад +1

      @@sukariyao6537 upo oman sehemu gan eeh

  • @mariamkadija7764
    @mariamkadija7764 3 года назад +43

    Uyo Mam mchafu tuu Mwambie umalidadi uficha umasikini👌👌

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 года назад +61

    Huyo mtoto hivo vidonda ni uchafu tuu wajaribu kumkogesha kwa maji yalochemshwa na muarbaini

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 3 года назад +1

    Mashanllah kak zahir umejitahid xna na mungu azid kukupa pumzi na afy njema kwa upande wa zabibu muache tuu bado hajajua maisha na anachokitafuta atakipat maan asiyefunza na mama yae hufunza na dunia na upande wa usafi bado kbc wambie ajitahid xna na usafi huficha umaskin

  • @fhfbfhff9206
    @fhfbfhff9206 3 года назад +16

    Hongera team maximum kwa kazi nzuri Allah atawalipa inshallah ,Ila mama Zabibi do mchafu sana kwakweli hata kama huna kitu usafi muhimu na swala la Zabibu wewe liache mwalimu dunia atamfunza maana asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu Yani mh nguo ya mtoto inakuwa dekio ?kwakweli upele utamsumbua sana mtoto

    • @mamanaifa6178
      @mamanaifa6178 3 года назад +1

      Yaan kweli sote ss masiki ila mtu akituona njiyani ataona tunaishi kwenye gorofa ila ukiwa mchafu kika siku utakuwa nasikini maisha yote mama yangu dumisha usafi

  • @asiaghadija8333
    @asiaghadija8333 3 года назад +1

    MashaAllah nyumba nzuri

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 года назад +34

    Achangiwe pesa ya magodoro japo mawili

  • @fatmamashallahdadadidahama9824
    @fatmamashallahdadadidahama9824 3 года назад +18

    Mama bdo kujua kupanga nyumba, jitahid kupanga nyumba vzr n usafi

  • @salmalopezsalmalopez524
    @salmalopezsalmalopez524 3 года назад +2

    Mashallah hongera kaka kazi nzuri sana Allah akubaliki sana na pia hongera mama zabibu kwa kupata hifazi wewe na familia yako ila tu tunaomba ujitahidi kupanga vitu vizur mwanamke usafi nguo kama hazivaliki zichome moto wallah nawapenda wote

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 3 года назад +3

    Mashaallah kaka Zahir Allah kulipe kila lakher inshaallah ila mama yetu ajitahidi usafi tuu

  • @niceraprocesius7670
    @niceraprocesius7670 3 года назад +2

    Mashaallah nyumba nzuri, kaka zahir Mungu akubariki sana uendelee na moyo huohuo

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 года назад +11

    Mashaallah kk zahir mungu atakulipa ila mama zabibu ajitaidi usafi

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 2 года назад

    Mashaallah kwa kazi nzuri

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 года назад +49

    Wajitahidi usafi mama zabibu hatakama hamna kabati kunjaweka kwenye box kila mtoto muekee box lake usafi unaficha umaskini mama zabibu jitahidi

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 года назад +5

      Ni kweli kabisa kweli hatukatai maisha ni magumu lakini na uchafu pia unachangia yaan hawajui kuweka mazingira Safi kabisa sio Hawa tu ni wengi tu wachafu Sana

    • @umaima-cl2so
      @umaima-cl2so 3 года назад +1

      Kweli uchafu unaficha umasikini

    • @vivianpudo2832
      @vivianpudo2832 3 года назад +3

      Kweli

    • @neyfathgogadi1857
      @neyfathgogadi1857 3 года назад +4

      Kabisa nguo waga tunaweka kweny box kama kabat hamna ni usaf anatakiwa azingatie la cvyo hana hyo nyumba itakuwa mbaya

    • @mwanakhamiskhamis3115
      @mwanakhamiskhamis3115 3 года назад +1

      @@umaima-cl2so uchafu au usafi ndio unaficha umasikini?

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 года назад +1

    Honger kak zahiz kwa kazi nzur

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 года назад +29

    mashaAllah Mungu awafungulie kila waliotoa mchango wao mola awazidishie awaongeze palipo punguwa zabibu bado ujana unamsumbua akikuwa atatulia hajajuwa maisha

  • @rahmambonde2389
    @rahmambonde2389 3 года назад

    Hongera kaka zahiri nakupenda sana Allah akulinde.

  • @asyaamuhammed2408
    @asyaamuhammed2408 3 года назад +33

    Mama zabibu mcjafu Zahir mwambie ajitahidi kuwa msafi na watoto awafundishe usafi

  • @fettydhahabu266
    @fettydhahabu266 3 года назад

    Mashallah zahir kazi nzuri unaifanya mjanjarushe mama usafi na kajukuu kanataka usafi ili kakue na afya

  • @hadijambaruku9960
    @hadijambaruku9960 3 года назад +49

    Mama zabibu jitahidi kwa usafi nyumba zuri ma sha Allah

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 3 года назад +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah. Nyumba imesimama vizuri sana mungu awalipe kheiri wote walotoa inshaAllah

  • @salharamazansuleiman8957
    @salharamazansuleiman8957 3 года назад +4

    Masha llah Allah Qarem mungu akupe Afya kak zahir uzid kuwapambania ndug zetu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад

    Kuwa a ni kazi sana kwahiyo taratibu atakama sawatu atasafisha vizuri kidogo kidogo maana yupo pekeyake kilakitu kupika kogeshawatoto Allah Awalipe heri waliochangia pesa na wenye IA hawajakua napesayakuchangia Allah Awalipe kwa Nia zao lnshallah

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 3 года назад +49

    Tumechoshwa na habar za zabibu , acha Dunia imfunze kidogo .

    • @margaretwambete1228
      @margaretwambete1228 3 года назад +3

      Kweli.mtoto akililia member mpe.yeye ni mama sio msichana tena huyo.Zahir tafuta mwingine😂😂

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 года назад +7

      Huyo Zabibu achaneni nae sio mtoto mdogo kama hataki kujifunza basi atafunzwa na ulimwengu. Huyo mtoto aogeshwe na maji ya chumvi asubuhi na jioni na hivyo vidonda vinachangiwa na uchafu pia.

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 3 года назад +2

      @@ashaali7154 kweli kbs dunia itamfunza

    • @safmarwa2977
      @safmarwa2977 3 года назад

      Nikweli dunia itamfunza
      Sasa akipata mimba ataenda wapi??

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 года назад +1

      @@safmarwa2977 Akipata mimba hilo ndilo litakuwa fundisho kwake atajijua na huyo mwenye mimba. Zahir ana watu wengine wenye shida ambao wanajielewa sasa huyo Zabibu ajipange mwenyewe.

  • @zurfapahenge8802
    @zurfapahenge8802 3 года назад

    wow upo vizuri aise 💪💪💪🤗

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 3 года назад +3

    Nakupendea hapo tu zahir unampa mtu makavu yake live 👌 huyo mchafu tu nitabiya yake na yule zabibu jeuri hatari hasikii wala hajuwi anacho kitaka nahuyo mama hawawezi watoto wake kwanza sio muongeaji pili ana stress zakufa mtu tatu hajali chochote maana kila kitu kiko wazi ata kama maskini lakini mazingira muhimu kuyakonroo kila mara hususani ukiwa na watoto wadogo kama hivyo huyo mtoto anakuwa kwa kulindwa na mungu tu lakini anaokota vingi akila maskini usafi muhimu jamani khaah 😰😰 hongereni saana kwa kazi nzuri timu nzima kwa kusimamia watu wanao uhitaji ila msikate kwenda kwahuyu mama ashirikiyane na wanae waweke mazingira mazuri na asipikie hapo kwasababu mchafu apikie kwenye lile banda kule

  • @khadijamusa8084
    @khadijamusa8084 3 года назад +2

    MashaAllah hongera kaka zahr

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 года назад +4

    Allah akulipe kilala Kheri kaka Zahir nawaliyochangiya.

  • @mobellamobenimpenda7055
    @mobellamobenimpenda7055 3 года назад

    MashaAllah kaka etu humufichi mtu anapokosea tunakupenda

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 года назад +5

    Kitoto Mashallah ana afya ila mazingira machafu mapele ni uchafu Zahiri mwambie mama zabibu wasipikie ndani lile banda walio tupa nguo wasafishe liwe jiko.ila Zabibu kashindikana asaidiwe tu huyo mama zabibu kama zabibu tumuwaje kama alivyo mwana mpotevu yule Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi Inshallah

  • @fatmasaid4061
    @fatmasaid4061 3 года назад

    Mm nikusifu tu hongera

  • @jenifajafari7670
    @jenifajafari7670 3 года назад +15

    Hongera Zahir ila mwambie ajitaidi usafi jamani khaa nyumba bado mpya hiyo❤️❤️❤️

  • @mayryamsaid7038
    @mayryamsaid7038 3 года назад +1

    Mashallah nyumbq nzr il a zahir mwambie mama awe msafi asafishe nyumba hata km hmn kitu ndani akatafute mabox apange nguo asipike ndani apike hapo mabatini nje watengeze kajiko kadogo cha mabat

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 года назад +21

    Mama zabibu kawa vzr Masha allah, Ubarikiwe Kaka Zahir Na Wote Wanaochangia, Kwa Pesa Na Ushauri Pia

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 года назад +1

      Usafi ni walazima mama zabibu

  • @ruthuvwamu3446
    @ruthuvwamu3446 3 года назад

    Wow good Job

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 3 года назад +4

    Maa shaa Allah very nice

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 года назад

    Viva ZAHIR
    viva MAXIMUM tv
    viva waliochangisha
    Mungu awakumbuke

  • @galary8688
    @galary8688 3 года назад +11

    MASHAALLAH mma zabibu anafuraha💓💓💓

  • @chrisskihwele1795
    @chrisskihwele1795 3 года назад +1

    Mashallah kaka zahir mungu akutunze kwakwel una roho nzur ubarikiwe bro

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад +6

    Masha Allah..juu uthak kumuowa wamuhaid sm zii kumuow zii athasep na kwenda kukaa nawaume wt3

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 3 года назад

    Huyu mama jamani naona kuna kitu kinamchosha akili sijui na hao watoto mungu msaidie abadilike! Mtoto wa zabibu kitundu MashaAllah

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 года назад +6

    Alhamdulillah angalau wamestirika ndani ubarikiwe zahir asante

  • @annamwangaza605
    @annamwangaza605 3 года назад

    Nyumba nzuri inatosha. Mungu muaminifu kwa kweli.asante Mungu kwa hili

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 года назад +3

    Ma Shaa Allah

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 3 года назад +2

    Ma shaa Allah.. Mungu awabariki team maximum TV pamoja na wote walofanikisha kumsaidia huyu mama n family yake.. Mungu atuwezeshe tumchangie apate magodoro japo mawili.. Ila zahir mwambie a jitahidi usafi muhimu.. Na kupika apikie bandani ili nyumba iwe Safi

    • @nasimshafii9401
      @nasimshafii9401 3 года назад

      Huyo bimkubwa mchafu sana Tena sana usafi unaficha umaskini mungu akufanyie wepes zahir

  • @sadanassor4992
    @sadanassor4992 3 года назад +3

    MashaAllah mama zabibu kanenepa
    Kaka zahir mungu akupe kila lililohitaji la moyo wako 🙏🙏🙏

  • @Zamda-yi8wv
    @Zamda-yi8wv 3 года назад

    Mashallah hongera sana kaka

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 года назад +21

    Kweli umaskini upo lkn na uchafu wachangia.
    Methali ya sema umaridadi waficha umaskini.

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 года назад +1

    Kak zahiri ongera mungu akubariki huyu mama anajua kila kitu kuhusu za bibu sema hawezi kufungua kila kitu nahisi anaficha ficha

  • @Grace-mwasite
    @Grace-mwasite 3 года назад +6

    Wow munanipa surprised ya ukweli ❤️❤️❤️🙏🙏

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 года назад

    Hongeren Tem MAXMUM kwa kaz nzur

  • @zbbyjmoh6943
    @zbbyjmoh6943 3 года назад +4

    Waoooo mashallah Kaka zahir kazimzuli

  • @fatumajuma2518
    @fatumajuma2518 3 года назад +1

    Mashallah asanteni sana mlio changia Mungu awabariki

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 года назад +19

    Mama panga nyumba vizuri.

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 года назад +24

    Mama kanenepa maashallah

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад

    MashaAllah wangezitoa wakazitupa huko wakakufanya jikon kwa kupikia

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 3 года назад +8

    Washauri waweke mazingira vizuri manguo yamekaa ovyo kuchafu sana

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 года назад

    Mashaallah llakini mm zabibu awe anajitahidi kufanya usafi

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +3

    Mashallah mungu mkubwa umestirika ndugu yangu ila jitahidi kwa usafi.

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 года назад

    Zahir na group lake allah atawalinda na kila shari na mabalaa yakutengenezwa na mahasidi na na mafitina allahuma amin
    Tunawapenda kwa kazi yenu nzuri na tupo pamoja daima
    Namuomba Allah awajalie kila la kheir juu yenu allahuma amin yarab tupo pamoja

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 3 года назад +9

    MashaAllah mama zabibu Kawa mchuna Allah akupe nguvu Zahir uendeleee kusaidia na wengine

  • @ashaboko8089
    @ashaboko8089 3 года назад

    Aise pole mama angu mungu akufanyie wepes

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 года назад +5

    Masha Allah ❤❤❤

  • @nevergiveup7116
    @nevergiveup7116 3 года назад

    Kazi nzuri Zahil, mtoto atakuwa na alegi ya ngozi, pia huyo mama ni mchafu mwambie ajitahidi awe msafi sana

  • @safiaimran4432
    @safiaimran4432 3 года назад +12

    Subhanallah

  • @pendokatonge1183
    @pendokatonge1183 3 года назад

    Kaka Mungu atakulipa kazi yako sio bure Mungu anaiona maana Mungu anataka watu Kama wewe hata ukisali sama Kama hutendi mema kwa Mungu hujafanya kitu Mungu akubariki Sana Mbinguni wataingia watenda mema tu.

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 года назад +7

    Tatu mshamu A K A shangaz na yule mlemavu njooni muone kz ya zahir njoon muone uaminifu wa zahir njoon muone kz ya maxmam tv walivyofanya kwa kina zabibu zahir mdogo wangu tunakuombea kwa mungu azid kukuweka na mungu atakuepushia mashwetwani watu na mashwetwani majin inshallah zahir zabibu pashua kichwa ila namuombea kwa mungu amuepushie maradhi na mambo mabaya inshallah

  • @lwegelefistonnjoku1955
    @lwegelefistonnjoku1955 3 года назад +1

    Mashaallah mungu akubarik kaka zahar

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 года назад +5

    Mashaa Allah

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 года назад

    Zahir mungu akulipe kher

  • @zinabotnzani1492
    @zinabotnzani1492 3 года назад +3

    Mashallah MASHALLAH mashallah lakini huyu dada ni mtihani kweli kwenye usafi ana kabisaa anatazamwa na dunia zima anashindwa kusafisha looo

    • @thureyasaid971
      @thureyasaid971 3 года назад

      Usimpigie looo ni vibaya lakin tujitahidi kumuelimisha usafi pia ni somo

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 года назад

    Mungu akubaliki Sana kaka Zahir kwa kazi yako njema Mungu awabaliki Sana waliyotoa wote awazidishie pale walipopunguza

    • @ummyyusra6740
      @ummyyusra6740 2 года назад

      Shida Yani nguo hata apewe gunia 5 mchafu muhimu sanaaa kitanda na godoro

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 3 года назад +3

    Masha allah kapendeza mama zabibu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +2

    Mungu akusimamie mwanangu Zahri ila mkweo mwambie ajitahidi usafi na kama kuna nguo anaona hazihitaji akawape watu wengine ambao wanashida nazo.

  • @blesslee4264
    @blesslee4264 3 года назад +3

    Bro Mungu akubariki, kuwa na moyo huohuo

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 года назад

    Mashaalah zaher ALLAH akusimamie kazi zako hongera sana kwa kaz unayoifanya

  • @neemavedasto8762
    @neemavedasto8762 3 года назад +10

    Alafu kuna mijitu inakurupuka inasema zahiri ni tapeli duuh😥😥Mungu akubariki kaka zahir usijekatishwa tamaa na watu wenye nia mbaya na ww

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 года назад +1

    Zahir kakaangu malipo yako kwa Allah Allah, akufanyie wepes ktk maisha yako yote.

  • @shamirakasim8648
    @shamirakasim8648 3 года назад +5

    Piga kelele kwa zahir ake,,,,,,, Mungu akubariki kaka zahiri wewe ni bonge la mwanaume

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 года назад +1

    Uwo mama kaka zahir mwambiy awe msafi bwana

  • @taibataibah3009
    @taibataibah3009 3 года назад +4

    Mashaallah Allah akuzidishie zahri Allah akupe nguvu naafaya jema lnshaallah kwa ukarimu wako wakujitolea kusaidia watu

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 года назад +1

    Zahir eti hahaha nini hata wiki bado umeanza kuharibu😂😂😂😂😂

  • @mename6020
    @mename6020 3 года назад +5

    Allah awalipe kheri wana Familia muxmum... mlochangia na kwa dua woote...

  • @fadhilarajabu1440
    @fadhilarajabu1440 3 года назад

    Masha Allah hongera kaka Zahir na hongereni wote mliochangia Allah awalipe zaidi ya kila mlichokitoa
    Ila mama Zabibu jitahidi usafi dada nyumba mpya ila kama ya zamani minguo imezagaa kuanzia nje mpaka ndani kha hapana kwa kweli

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 года назад +26

    Mama zabibu siwapikie tu bandani walikua wanalala

    • @tatutatu1570
      @tatutatu1570 3 года назад +2

      Kweli kabsa wangegeza jiko ilo banda nguo wange choma moto tu kama awazivai

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 3 года назад +4

      Kweli wapikie inje nyumba waweke usafi

    • @shabaniathumani2477
      @shabaniathumani2477 3 года назад +1

      Mwana kulitafuta mwana kulipata Mbio za sakafuni huishia ukingoni atarudi akisha kulipata

    • @kimzymamy6594
      @kimzymamy6594 3 года назад +1

      n kweli wangepika bandani manaa usafi ndio awajauweza

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 года назад +2

    Mashaallaah Mungu awaongoze kwenye maisha yenu wote mulioshiliki

  • @ummyabuu1531
    @ummyabuu1531 3 года назад +13

    Wifi kasepa sasa itakuaje 😂😂😂

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 года назад

    Wajitahidi usafi tuu kwa kweli, ukute kuna wadudu wanamng'ata huyo mtoto daah,hongera sana zahiri kwa kazi nzuri sana,na uwaminifu ulioonyesha mpk nyumba imesimama

    • @mamamdogo409
      @mamamdogo409 3 года назад

      Mtoto ni fangas ampe dawa atapona

  • @twocounrieslady7165
    @twocounrieslady7165 3 года назад +9

    Imekua nzuri nyumba masha,allah

    • @faisalashraf8031
      @faisalashraf8031 3 года назад

      Kaka shukraan Sana kwa kuangalia watu wenye shida mbali mbali

  • @mariamsaidi1681
    @mariamsaidi1681 3 года назад

    Manshallah mungu yu mwema ubarikiwe sana kaka zahiri mama Zabibu jaman kuwa msafi kama hayo matofali hapo mlangoni ya nini apo si atamkeka mnatandika mnapumzika hapo kwenye hayo matofari na hizo nguo jaman mama dhabibu jilekebishe usafi ..

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 года назад +15

    Wawe wasafi tuu,, kuna utafauti baina ya usafi na umasikini mtu kama msafi hata ukikaa kwenye kibanda unahisi raha, usafi ndio kitu muhimu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 года назад

      baadhi ya watu wa bongo wachafu hatariiiiiiiiiiii unaweza kukuta ndoo ya maji ya kunywa kama ya choon

    • @asyaamuhammed2408
      @asyaamuhammed2408 3 года назад

      Umeonaee mamakaregea huyu Hatari

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 года назад

      hajiwezi

  • @zainabamran6716
    @zainabamran6716 3 года назад

    Hongera sana Zahir kwa kumsaidia mama Zabibu kupata hifadhi

  • @umunafisa7060
    @umunafisa7060 3 года назад +14

    mama ajitahidi usaf basi tena sio pawe ovyo nyumba kubwa tu hiyo awe msafi

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 года назад

      Kweli

    • @happynelson5856
      @happynelson5856 3 года назад +1

      Mtu unapewa nyumba nzuri halafu unashindwa kufanya usafi yaani ndani ya nyumba kuko hovyo

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 года назад +1

      🤣🤣😂🤣😂

  • @baharainbh5468
    @baharainbh5468 3 года назад +17

    Yeah usafi , hizo kunguni ndizo zinauma mtoto zinaleta vidonda, zahir mtaftie dawa

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 года назад +1

    Nyumba maashaalah,Milango mtihani

  • @eliaichiminja1861
    @eliaichiminja1861 3 года назад +9

    natamani kuona mrejesho wayule mama na mwanae alibakwaga akazaa mapacha mmoja akafariki zahiri plz tulete

  • @fatumaally3266
    @fatumaally3266 3 года назад

    Katoto kazabibu mashaallah kazur alafu kana afya mashaallah

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 3 года назад +27

    Zahir ,ushauri wangu wachangiwe wapate magodoro2

    • @jumbemwajabu4006
      @jumbemwajabu4006 3 года назад

      Mama zabibu jitahidi usafi nyumba ni nzuri baba zahir mungu akujalie kheri

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 года назад

    Mashallah kumshkr MOLA kwani hakuna kisichowezkana kwake alhmdhulilah MOLA mbark Kaka zahir mpe afya na umri insha'Allah

  • @veerdhaheer7288
    @veerdhaheer7288 3 года назад +8

    zahir mkeo ametoroka wew huna taarifa😂😂😂aysee mke hakufai huyo