UTASHANGAA! MKE AMKODI MWENYEKITI WA KIJIJI 'AKAMUUE' MUMEWE, ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 123

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 Год назад +8

    Wengi wangepona kama kila muuaji angekuwa kama huyo kijana 🙌laki mbili kweli kuna watu wanafanya daah😢tuishi na watu vizuri

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Год назад

    Pole sana kaka siku yako ilikuwa haijafika bado upo na mungu wako mshukuru na umuombe mungu siku zote.mwenyekiti na kijana alie toa taarifa tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu mungu azidi kuwapa afya njema mkiweza mnitafute niwape zawadi nimewafurahia sana. Huyo mama ahukumiwe kifungo cha maisha ni muuwaji.

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 Год назад +22

    Mimi Nina mawazo tofauti naomba mnisaidie, huyu mwanamke Hadi afikie hatua ya kuwakodi hao watu wamuue Mme wake alijuaje Kama hao watu wanafanyaga hizi kazi? Maana huwezi ukamwingia mtu ukamwambia tukio kubwa Kama Hilo, ilikuaje?

    • @mwisukulu1
      @mwisukulu1 Год назад +1

      Huijui mbeya vizuri,.......uliza akina "TUMNGOJE" ndo akina nani? 😂😂

    • @fettyramadhan622
      @fettyramadhan622 Год назад +1

      Umenena kweli

    • @abhambomihambo6754
      @abhambomihambo6754 Год назад +1

      Inawezekana hao wauaji ni wazoefu wa kazi hiyo lazima itakuwa walishawahi kufanya tukio au matukio ya mauaji sio bure na sio kazi rahisi umwambie mtu jambo km hilo km huna uhakika naye kuwa anathubutu,kwa hiyo uchunguzi zaidi ufanyike na huyo mke atakuwa anajuwa uzuri....Haya polisi mshapata kazi ya kugundua mauaji yaliyowahi kutokea miaka ya nyuma.

    • @DM_15
      @DM_15 Год назад

      Hojayako ndio husababisha watu wengi kutoripoti taarifa kituoni kwakuhofia kua atajengewa hoja kua alijuaje nailikuaje yeye ajue nia ovu. Imagine wewe ndoo unatakiwa ufe au uteswe halafu mimi nikapewa mchongo huo nikaamua kunyamaza kwa kuhofia nitaulizwa kama hoja yako ilivyo nikaacha wewe unateseka . Utajisikiaje ukija kugundua mimi nilikua najua ila nili nyamaza kwa kuhofia kutoa ushirikiano police . Unadhani nikigundua kua umegundua kua nilinyamaza mimi nitachukua hatua gani manayake nitakua aduiyako nadooutakua mwanzao wamimi kuanarohombaya . Minaona waliotoa taarifa niwatu wematuu na wanahofu mioyoni mwao

    • @hezronsanga5197
      @hezronsanga5197 Год назад

      Fact

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад +5

    Pongezi Kwa viongozi waliomwambia UKWELI na kukataa kushiriki vitendo vya dhulma 🙏🙏🙏

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад +5

    Duh hatari sana mkishaanza makasiriko ndani bora kila mtu achukue njia yake

  • @salamaseifu6008
    @salamaseifu6008 Год назад +6

    Mungu ni mwema siku yako aijafika

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 Год назад +3

    God bless you mwenyekiti

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Год назад +2

    Kwanza tupate historia ya hii familia kiundani vizuri
    1.Je wameowana ama wanaishi tu
    2.Je mwanamke nae anasemaje katika maelezo yake
    3.Huyo mwanamke achunguzwe nani anamwagiza kuuwa na hizo pesa anatoa wapi kama ana kipato ama ni biashara lazima mume angeshirikishwa siyo kupewa elfu mara elf2 mara elfu5 na hujui zinapatikanaje unapokea Tu hapo napo waulizwe

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    Subuhanallah. Pesana mbro. Huyomwanamke anarohombaya

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Год назад

    Huyo mwanamke hana hofu ya Mungu ndani yake.amejaa ushirikina mtupu Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Год назад +4

    Mungu wangu mimi naishiwa kwakweli daah😢😢😢😢

  • @danielkanso
    @danielkanso Год назад

    Daaaa Tupo wapi wanaume, pia wanawake mpo kwenye kizazi ipi ya kutoana kafara, mbona uharibifu umeongezeka hivi daa Mungu wabariki viongozi wa namna hii maana hawakujali pesa waliona utu badala ya pesa Asante Mungu wa mbinguni

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад +3

    Dah, Mungu aturehemu 😢😢😢😢😢

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 Год назад +1

    Mungu huyu mwache ahitwe Mungu. Pole sana kaka. Huyomkeoo n hatar

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +4

    😢😢😢😢 kwa nn umuuwe, umemchoka ondoka.

  • @khairathchigalika7014
    @khairathchigalika7014 Год назад +2

    Tatizo ni nini hadi kufikia hatua hiyo?

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +1

    Hatalisana aisee pole sana

  • @aishahussein9348
    @aishahussein9348 Год назад +1

    Kaa nae mbali alafu uyo mwanamke akamatwe alafu apewe onyo likitokea lolote juu ya maisha yako ni yeye anahusika uyo dogo awe na moyo huo tena kaa nae mbali sana ata kama umezaa nae

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +3

    Kwani ukishindwana na mwenza wako si uondoke zako..
    Kwani ni kesi

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Год назад +4

    Dah! Kweli hakimi ana IQ kubwa Sana, hawa watu tuishinao kwa akili kubwa Sana.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +3

    Wanawake wa siku hizi wamejawa na tamaa hawana future na maisha ya familia zao pole sana blaza mungu amekuponya

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 Год назад +1

      wanawake wazamani unawajua? si uende basi ukaishi nao huko.

    • @EufemiaEugenius
      @EufemiaEugenius Год назад

      @@sleeprelaxation8431 🤣🤣🤣🤣🙌

    • @rahimaan6481
      @rahimaan6481 Год назад

      Unakosea usisemee wanawake wote kila mtu na moyo wke,ukiongelea jambo useme baadhi sio useme wanawake wa sikuiz, sasa wazaman utawatoa wapi si utadili na vikongwe jmn

    • @senseiamani4684
      @senseiamani4684 Год назад +1

      @@rahimaan6481 haaaaahaaaaa mbavuuuu zaaangu

  • @florenceelikana3040
    @florenceelikana3040 Год назад

    Jamani maisha haya Mungu tusaidiye

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Год назад +1

    Mambo mengine shetani nae anayashangaa jinsi yalivyo Mungu atukinge na maroho yakuzimu tuishi kwa hofu ya Mungu

  • @Snuky54
    @Snuky54 Год назад

    Mwenyekiti mmh mtihan

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Год назад +5

    Uyu kaka asiache kumuomba Mungu jamani dah wanawake tumefikia pabaya sana

  • @uwimanacamila2390
    @uwimanacamila2390 Год назад +3

    Huyo kijana nisujaaa

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 Год назад

    Wanawake sisi uwii mbna tutafika mbinguni kwa kuchoka,ukiona humtak mtoto wa mamamkwe mwambie Sasa ndo Nini lkn wacha tumshukur mungu kwa kutoamua Hilo litendeke

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 Год назад

    Yaani umuue mmeo kwa kuhonga laki mbili jmn aisee Mungu aingilie kati 😢😢

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +3

    Duh, Dunia hii ina mambo mengi sana, tutafika mbinguni tumechoka sana

    • @esturidaruvanda758
      @esturidaruvanda758 Год назад

      Wee baba yesu anakupenda kama bado haujaokoka mpe yesu maisha yako kwa kukushindia haya

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Год назад

    @nesi uuuuwiii unayosema ni kweli! Mbona hatari

  • @fatmahamesa2449
    @fatmahamesa2449 Год назад

    Pole kaka kwa yaliyo kukuta sindio

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 Год назад

    Munguwangu

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE Год назад +2

    si ndio

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Год назад +1

    Hatuwezi ishi bila ya wao ila wao wana siri kubwa vifuani mwao mungu pekee ndio tegemeo letu daaah aisee nomasana

  • @fatmahamesa2449
    @fatmahamesa2449 Год назад

    Pole sana ushungu to sana 😢😢😢

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад +1

    Haya yapo kama hayaja kukuta au kuona kwa kariibu unaona kama movie sema tunahitaji watu wengi kama huu mwenye kiti

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 Год назад

    Ulaziii 😋

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +2

    Linyongweeeee!

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Год назад

    Dah!! Hii nchi hii

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 Год назад

    daaah hii dunia wanawake wenzangu tunaelekea wapi jamani unataka kumuuwa mumeo kweli mbona huyu dada nishetaani kama ulikuwa humpendi mwenzio siuwondoke zako hata sijuwi nisemeje shetaani mkubwa 😭😭😭😭

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 Год назад

    Mtihani kweli wanawake tunaenda wapi😔😔😔😔

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Год назад +1

    Kaka angu wewe muamini Mungu wako aliyekuepusha na hayo..USIOGOPE KABISA. Kama Mungu kakuepusha ujue tu anakupenda na kukulinda.

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 Год назад

    Yani watu wametumia akiri kum uokowa mtu mijitu inakometi walio tumwa kuuwa wazowefu sijui nn nyie shule muhimu kwahio mlitaka auliwe 🤣yani hao wasinge kubari nakumuokowa wangetumwa wengine nawangeuwa kweli tatizo nitamaa yapesa sio uzowefu wabongo tujifunze kushukuru sio kutafuta mabaya ata kwenye uzuri 🤝

  • @asazac7378
    @asazac7378 Год назад

    Mwanamke huyo duhhh

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Год назад +2

    Mbna na huyo mkewe hamja muhoji jmny

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Год назад

    huyo mke yuko wapiiii

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +1

    20elfu ikakufunge kisa umeuwa mtu?mkeo halo licngebaki salama.

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 Год назад

    Mimi ninaona wanandoa huwa wanamambo mengi...huwezi jua labda mwanamke alizidiwa namagumu ya bwana hakakoswa ushauri kwawatu..wanaume wanakeraaa...kooooooooooh

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Год назад

    Inasemekana huyo mama yuko kwenye vikundi mbalimbali vya kusaidiana nk, alipoona yeye Huwa anachangia wenzie wanazopata matatizo, wakati yeye hajawah kuchangiwa na hajawahi kupata matatizo ndiyo akaona afanye mpango wa mauaji ya mumewe Ili apate michango ya vyama 😢

    • @hadijauledi6995
      @hadijauledi6995 Год назад +1

      Heee kumbe huyu dada akili hana kabisa tena huyu anaweza hata kumuuwa mamaake mzazi daaaah hii kali ya mwaka mungu amlaani huyu dada 😭

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 Год назад +3

    Jamaa anaonekana mywaji lakini.kwanini umuuwe achana nae kama akufai

  • @omyjy4819
    @omyjy4819 Год назад

    Mbaliz iyo

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 Год назад +5

    Sindio umenusurika sindio😂

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Год назад +1

    Achana na huyo mwanamke! Ila wambane huyo mwanamke wajulikane wenye kufanya haya mauaji

  • @husna7954
    @husna7954 Год назад +4

    😂😂😂😂sindio tupite hapa sindio

    • @suzanikwabe7483
      @suzanikwabe7483 Год назад +1

      Amenusurika kuuliwa na mkewe si ndio na amshukuru Mungu sn si ndio!!

    • @husna7954
      @husna7954 Год назад

      @@suzanikwabe7483 muda mwengine dunia likikukuta wasema bora ningebaki kuwa sengl wallh

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 Год назад

    Mwenyekiti apandishwe cheo

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Год назад

    Mhhh wanawake hatar!!! Sasa olewao wanaojifanya masharuki

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Год назад

    Mtihani hiii duniya sijui inaelekeya wapi

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +2

    Jamaa achana na huyo mwanamke, utakufa bure kabla ya wakati wako.

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 Год назад

      Bora afanye hivo... Mana MUNGU kamnusuru pakubwa huyo mke wake alikuwa na uwezo wa kumuwekea sumu kwenye chakula duuuhh maisha haya si kwenye ndoa au wapi tusiaminiane sana mana KILA mmoja na stress zake hivo akimuona mwenzie anajua anaraha na wivu unamshika wa kutaka kuua so sad😭

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Год назад

    Wanawake ni katili kumbe😢

  • @emmanuelyeliamajele-yk8hb
    @emmanuelyeliamajele-yk8hb Год назад

    Daaa sindio

  • @paulinafaida1293
    @paulinafaida1293 Год назад

    Huyo mwanamke achana yae kabsa kaka atakuja akuwekee hata sumu 🤔🤔🤔

  • @stevennenelwa3192
    @stevennenelwa3192 Год назад +1

    Ila me swali langu jepesi lenye majib magumu kwann hyo kazi alipewa mwenyekiti wa kitongoji iko namna ni kaz anayoifaham vzr sio rahisi kupewa tu kaz ya kuuwa mtu mwenyekit hajafanya sbb tu huyo ni jamaa yake me naishia hapo

  • @agneskapwani3484
    @agneskapwani3484 Год назад +1

    Natamani mke nae angehojiwa

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE Год назад +3

    elfu ishilini umuue mtu duh

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 8 месяцев назад

    Tuonyesheni huyo mwanamke nataka nimwone ili tukikutana nae tutimue mbio

  • @mazikujunior
    @mazikujunior Год назад

    Ni Bora umuache

  • @jacklinejackline8607
    @jacklinejackline8607 Год назад +3

    Bora Kama mtu umemchoka ondoka

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Год назад +2

    Aisee dunia tunapoipeleka hatari

  • @njuka3515
    @njuka3515 Год назад

    Mtangazaji mbona hujamuuliza kama alienda kumuuli a mkewe au la na je mke wake alijibu nini.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 8 месяцев назад

    Hili jambo ni la kuangalia kwa undani sana siyo bure

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Год назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @DM_15
    @DM_15 Год назад +2

    Wazee wazamani hawkulala nawake zao usikukucha wake zao walilala na watoto baba alikutana namkewe kwa muda maalumu tu. Wazee walikua na akili mingi sana now day's sheria zinatutaka kua pamoja kama suruali nakiuno eti ndio upendo, kumbe mtu ulie nae ana waza kuku ua. Heh jaman oeni ila msisahau baba unatakiwa kua nachumba chako

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Год назад

    HAPA MIMI NINA MASWALI HUYU M/KITI KUNA JINSI YA KUJUA HISTORIA YAKE KWANZA MAANA MPAKA MTU ANAMFUATA KWA KAZI HIYO LABDA NYUMA ALISHAZIFANYA.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Год назад

    Ndo maana bora niwe singo kuoa ni kutafuta kifo cha ujana😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад

    Dah sisi wanawake jmn ukute kuna mchepuko

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Год назад

    Cha kufanya uza nyumba uondoke mbali zaidi.

  • @EufemiaEugenius
    @EufemiaEugenius Год назад

    Sawa jamaa anakula mtungi sana ss ndo umuuwee

  • @luganomwanjotile7575
    @luganomwanjotile7575 Год назад

    huyo jamaa Mwampamba anatuzalilisha

  • @petermadeha226
    @petermadeha226 Год назад

    Sasa kama ndo ivi tutakua tunamuamin nan wanaume

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 Год назад

    Watu kuuwa sahiz wameona kitu chakawaida

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +5

    mzee bado akili aijatulia anawaza mtu wakalibu zaidi ndio adui mkubwa

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 Год назад +1

    Mwanaume analelewa si ndio!!

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Год назад

    Yani huyo mwanamke anataka kuua mbaba kijana kabisa khaaa halafu

  • @jacquelineadrian6436
    @jacquelineadrian6436 Год назад

    Kwahiyo huyo kijana ni muuwaji ndo maana alipewa kaz??

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 Год назад

    Nyie watanganyika mnamajabu sana kila mabalaa yenu walotunganisha wametupata kweli

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Hahahaha,,,Usisahau maajabu yenu ya Yule Askari wenu Rama aliyefirwa mchana kweupeee nayo hayo ni mabalaa yenu,,,,

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 Год назад

    Walio pewa kazi ya kuwa wanatakiwa waojiwe vzur inamaana watakuwa wanajuana pengine hili sio la kwanza kufanya hivyo

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 Год назад

      Ingekuwa wazoefu wasinge sema famasiala nini waoga ndio mana wame fumuwa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Год назад

    Tena kijana mcute

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 Год назад

    Inamaana jamaa unahudumiwa na mke ? Kwa maelezo yako icho ndo chanzo cha kutaka mkeo kukuua

  • @sangaezra6917
    @sangaezra6917 Год назад

    hao ndo wanawake tulionao

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 Год назад +1

    Sindioo🤣

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 Год назад +1

    Huyo kijana ni muuwaji kwa nini apewe kazi hiyo?serikali ya mtaa liangalieni sana jambo hilo

    • @daudmwakaseghe9091
      @daudmwakaseghe9091 Год назад

      Muuaji mwenyewe lait ungemuona uyo mama ungempa vibao

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 Год назад

      Angekuwa muaji kwann amuokowe la saba b ww umefikilia nini

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +1

    Laki tatu umtoe mtu roho

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 Год назад

    Mumwoj na mkewe

  • @nibigirahassina9308
    @nibigirahassina9308 Год назад

    Tanzania kuna storys shame shame

    • @edithandunguru3405
      @edithandunguru3405 Год назад

      Compared to where? Umeshasikia nchi ambazo wageni wanapigwa kama mtu anaponda kichwa cha nyoka hadi kufa? Umeshasikia mahali ambako mamia ya watu wanalazimishwa kufunga hadi wafe? Umeshasikia mahali ambako mwanafunzi alipigwa maweba wanafunzi wenzake hadi kufa kwa sababu tu amekiri imani yake na wengine hawakupendezwa na hilo? Fanya research kwanza mpendwa

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 Год назад

    Laki mbili unamuua mtu