- Видео 4
- Просмотров 172 377
Abu Zaki
Добавлен 23 окт 2013
Akhwan Safaa in Oman 1985 Hata Haikuwa Khadija Salim
Akhwan Safaa in Oman participating in 15th Oman National Day in 1985.
Просмотров: 36 458
Видео
Atakaye Pendo Langu - Rukia Ramadhan
Просмотров 84 тыс.3 года назад
Akhwan Safaa in Oman during National Day in 1985. Akhwan Safaa participated in the celebration of Oman 15th National Day in 1985.
Akhwan Safaa in Oman 1985
Просмотров 47 тыс.4 года назад
Akhwan Safaa from Zanzibar participating in National Day of the Sultanate of Oman in 1985. The song is composed specifically for the relationship between the Sultanate of Oman and Zanzibar.
6th GCC Summit in Muscat
Просмотров 6 тыс.7 лет назад
HM Sultan Qaboos Speech at GCC Summit in Muscat in 1985
رحمة الله عليهم جميعاً
Nzuri Mashaallahu nimeipenda sana japokua sifahamu Kiarabu. Shukran kwa Burdan. Kidumu Kikundi chenu.
We lost one of brave good hearted king.allah hu akbar
Maana kwakiswahili Tunamshukuru Allahu manani aliotuneemesha kwa guess hii
Maana kwa kiswahili kiitikio Enyi watu wa Oman nyie ni ndugu wakaribu sana na watu wa Zanzibar
Maana ya nyimbo hii Enyi watu wa Oman nyie no ndugu khalisa na watu wa Zanzibar
Hapo kale😂❤🎉
Hakika sisi wazanzibar tukiona hivi ilivyo fikisha roho zetu zinatuuma sana dah mimi ninaiona wakati huwo
masikini zbar yetu😊😊😊
Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha mpaka mwisho wa Dunia kwa Mauaji muliyofanya moja wapo ni hilo.
Mashalah Mwenyezi Mungu akuzidishie
Mashalah Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu wenye barka
Mashalah Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu wenye barka
🤲🤲🤲
Aslizmepyeya walah😢
Taarab imetulia kabisa
First tengok je same like Asia countries
Uyo ulonae
I'i'wo'bc t xl w'c
Ilikua hakuna kukata viuno kwenye stage
Zanzibar 😭😭😭
Oh, come back Zanzibar!
Hizi nyimbo zilikua ndio taarab. Za kistaraab
Nataman ningekua kwenye show live old is gold forever
Zanzibar ilikuwa mashaallah kwa twaarab sio Sasa hakuna twaarab Kuna taradansi matusi tu,
Mashaallah saut nimependa iko sawa mama anaghani vizuri
Uzuri
Zanzibar ilikuwa njema siku hizo
Ma sha Allah,pokea zangu za dhati tokea Lamu Kenya bi Rukia Ramadhan
MashaAllah iyo ndo Naad ikwaan safaa malindi
Nyimbo ina umri sawa na wangu
Mkataa mussa hupata firaun
Watanganyika kwakushirikiana navibaraka walokusa akili yakutafuta kz .wameimaliza znz ipo tanganyika.mpaka mtawala analetwa kutoka Tanganyika.😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Maskin Mareham haloo yangu allah amsaa mehe makosa yake mpe kauli thabit
Amiin
Mtu wa wapi huyu
Alifariki lini huyu bikhadija Salim
Mwimbaji aliye makini taarabu poa mashaa Allah uzidi kubarikiwa kwa hizo pozi zako
Nzuri sana
Salma
Oman 💕❤️❤️❤️
Yaa rabiy irejeshe zanzibar yetu ishallAah 🤲
A beautiful singer and beautiful voice and music
Mashallah Zanzibarian ilikuwa Thaman!
love this
Nadhani wimbo wa kuanzia 1983-1988 bila Shaka Alikuwa bado mdogo,Kama mama yangu nkimuona kwenye picha.
1985
Mashaallah
Enzi hizo Nadi hamuondoki uwarabuni
Allah ghfir laha wa rhamha wa skanha fil Jannat!
Walotangulia mbele ya haki hapo mungu awaswamehe makosa yao na awape nuru ya kabri🤲🤲
😭😭😭😭
Queen
Nice
MIAKA 10 mbele ndio nitakuja kuzaliwa, now Nina 27
To drive safely for World is important most sincerelly