Jabir Kuvichaka
Jabir Kuvichaka
  • Видео 53
  • Просмотров 143 775
S2KIZZY LADHANI:SIPEWI HESHIMA NAYOSTAHILI/NACHUKULIWA POA/NLIOYAFANYA SIO RAHISI/WIMBO KWA MILION 4
Moja ya watayarishaji bora wa Muziki kwa sasa Africa ya Mashariki S2KIZZY alipita kwenye kipindi cha ladha 3600 na kuzungumza masuala mbali mbali ikiwemo jinsi anavyofanya kazi kubwa na watu kiuchukulia poa,jinsi ya kubaki na ubora wake siku zote ,kazi na Will i.a.m wa Black Eyed pease ,na kwa nini sasa anakusudia kufanya wimbo mmoja kwa shillingi milioni 4 kama ada ya utayarishaji ,Enjoy na usiache ku subscrie kwa maudhui zaidi
Просмотров: 3 490

Видео

THE CLASSIC Q THE DON: NGWEA NI GOAT/NI GENIUOUS /NILITENGENEZA MCHIZI WNG,BANG,STYLE TATU SIKU MOJA
Просмотров 3,6 тыс.Год назад
Another episode ya The Classic na moja ya watayarishaji bora wa muziki wa muda wote Tanzania ambaye wakati fulani alifanya maajabu yake pale Bongo Records,Q The Don . hapa amefunguka maambo mengi kupitia safari yake ya muzki enjoy na usiache ku subscribe
THE CLASSIC Carola Kinasha : MIONGO MITATU KWENYE GAME /REMMY ALINIIMBA MIMI/USHINDI MKUBWA AFRICA
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
Carola Kinasha ni jina la muda mrefu kwenye sanaa ya Muziki nchini tanzania,amekua katika kiwango cha juu cha uimbaji kwa zaidi ya miaka 30 kwenye muzki,The classic imepata nafasi ya kukaa nae na kuzungumza mambo megi yanayomhusu na mengine mengi,hakika utafurahia interview hii. usiache kusubscribe kwa mahojiano mengine zaidi
THE CLASSIC CHRISTIAN BELA:KUNDI MOJA NA FALLY/IMECHUKUA MIEZI 6 TU KU SHINE BONGO/NILIPIGWA VITA SN
Просмотров 11 тыс.Год назад
Katika episode hii tumegeukia upande mwingi w muziki wa 'Dansi" ambapo tumekaa na moja ya waimbaji bora kabisa Afrika Mashariki na kati Christian Bella ambapo ametupa hadithi ya maisha yake tangu awali akitokea Congo DRC ,alipofika Tanzania,alivyofight mpaka sasa na mengine mengi usiache ku subscribe kwa mahojiano zaidi.
Marco Chali TheClassic : Nilianza na Comp za kuazima/Diamond alinikera/Hiphop haiuzi/King Zilla noma
Просмотров 10 тыс.Год назад
Karibu kwenye episode nyengine ya The Classic na safari hii tumefanya mazungumzo na moja ya watayarishaji bora kabisa wa muda wote wa BongoFleva Marco Chali,hii ni episode ya Marco inayotupa habari nyingi zilzofichika ila hiyana,burudika na usisahau ku subscribe
GENEVIEVE:MISS TZ ANAEKIMBIZA MUZIKI WA BONGO/MATARAJIO MAKUBWA KIMATAIFA/COLLABO NA MONI VS LUNYA
Просмотров 231Год назад
Genevieve ni Miss Tanzania 2010 ambae aliibukia kwenye masuala ya muziki karibu miaka sita sasa,A,mefika kwenye kipindi cha Ladha 3600 kupiga stories na kuvichaka akizungumzia safari yake ya muziki sambamba na Ep yake ya I am genevieve.
BOSHOO VS ODONG : MICHANO YA KUFA MTU/KIZAZI KIPYA CHA RAP BADO HAKIPEWI NGUVU INAYOSTAHILI
Просмотров 8 тыс.Год назад
Boshoo na Odong ni marapper ambao ni miongoni mwa wanaofanya vizuri katika rap ya Bongo kwa sasa,walikutana kwenye kipindi cha ladha 3600 na Jabir Saleh na kushare kinasa pamoja na kupiga stories mbali mbali,tazama jinsi walivyopiga michano.
BLACK WA USWAZI:MAMA WA RAFIKII YANGU ALIBAKWA/STORY YA MAMA/KAKA YANGU ALITEMBEA KWA MAGOTI
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Black wa uswazi ni rapper aliefanya vizuri miaka ya 2000 chini ya Adam Juma na label ya Uswazi,ni msanii ambae alifanikiwa kuwania tunzo za kimataifa za channel O na kua miongoni mwa watanzania wachahe waliofanikiwa kufika hapo.
XP EXPERIENCE: RAPPER MAKINI ASIYELALA/HIPHOP INARUDI KUTAWALA BONGO
Просмотров 497Год назад
Experience ni rapper toka Morogoro anaewakilisha familia ya vichwa vya habari ,anakaribia kuachia album yake siku za hivi karibuni na amefika ladhani kupiga stories na kuvichaka kuhusiana na harakati zake na kama akapiga kinasa babu kubwa Tazama hapa na tafadhali usisahau ku subscribe upate madini mengi zaidi pindi yanapopanda
GHAFLA BIN VUU:WASANII TUNASUMBULIWA NA TATIZO LA AFYA AKILI /MTUSAIDIE /TUHESHIMIWE PIA /MICHANO
Просмотров 815Год назад
Ghafla Bin Vuu ni moja ya marapper wa kisasa wenye juhudi kubwa na muziki wetu,alipita kwenye Ladha3600 ya Efm na kuongelea kazi yake mpya ya 'Msanii' aliomshirikisha Con boi na kueleza mengi ikwemo changamoto mbali mbali za muziki wa Bongo.
INSP HAROUN EP 1 PART 3 :UGOMVI WNG NA NATURE /CHUKI ZA KUPANDIKIZA /ALIPASWA AWEMO KWENYE NGANGARI
Просмотров 1,9 тыс.Год назад
Hii ni sehemu ya tatu ya episode 1 na mkali Inspector HAROUN kwenye The Classic ,amapo alifafanua kiini cha eef yake iliowahi kudum kwa muda mrefu dhidi yanguli mwenzie wa Tmk ,Juma Nature,kama kawaida anatupa dondooo ambayo hatukifahamu hapo kabla.
INSPECTOR HAROUN PART 2 ; VITA YAKE NA CRAZY GK/KUITWA RAP KATUNI/SIIKUBALI MTOTO WA GETI KALI
Просмотров 4,3 тыс.Год назад
hii hapa sehemu ya pili ya maongezi ya Jabir Kuvichaka na legend Inspector haroun kwenye The classic ya efm,sehemu hii Babu amegusia kuhusu Album yao ya Simulizi la Ufasaha,Beef yake King Crazy Gk,Hadithi ya wimbo wa mtoto wa Geti kali na kadhalika plz subscribe ili uwe wa kwanza kwa Interviews mpya
INSPECTOR HAROUN PT 1: HISTORIA YA GANGWE MOB/MSOTO MKALI/BEEF VS BYSER NA MABAGA /MAANA YA NGANGARI
Просмотров 4,7 тыс.Год назад
Inspector Haroun Babu ni legendary kwenye Game ya Hiphop ya Bongo,moja ya wasanii waliofanya makubwa sana na waliofanya rap ya uswahilini kiwenda masintream,akiwa na Gangwe mobb yeye na karama walikua miongoni mwa wasanii wa awali kabisa kuja na mavazi yao,waliachia classic albums mbili na mengine mengi,hii ni sehemu ya kwanza ya episode 1 ya maongezi yetu akiwa na Kuvichaka
KONTAWA : ZAIDI YA MIAKA 7 YA MSOTO KUFIKA HAPA/KUIMBA KUMENIINUA KULIKO KURAP
Просмотров 6 тыс.Год назад
kontawa ,mkali wa Ngoma ya Champion amefika ladhani kupiga stories kadhaa na Kuvichaka,Kontawa anasema imemchukua miaka saba sasa mpaka kupata hit song ilioweza kumpatia mashabiki wengi sasa kwenye game,hii ni mara baada ya ku switch kidg toka kurap na kuimba ingawa hajaacha rap MUSIC,MSIKIE HAPA
P MAWENGE : SIMU NA MATUKIO/HARMONIZE /KAPOST BANGI/GROUP LA WASANII/WEUSI/HAWAJALIPWA NA SUGU
Просмотров 1,6 тыс.2 года назад
P Mawenge alifika kwenye kipindi cha ladha300 na kuichambua EP yake ya SIMU NA MATUKIO,Hapa wakipitia wimbo kwa wimbo na mtangazaji wa kipinid hicho Jabir Saleh wa Efm.
P MAWENGE AMUACHA MDOMO WAZI KUVICHAKA/APIGA MICHANO YA HATARI/CHECK ALIVYOI MURDER BEAT
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
P MAWENGE AMUACHA MDOMO WAZI KUVICHAKA/APIGA MICHANO YA HATARI/CHECK ALIVYOI MURDER BEAT
MANDOJO NA DOMOKAYA :MAJANI ANA BUNDUKI / TRIP YA KWANZA ULAYA/USHAMBA WA BURGER/U STAR HATUKUJUA
Просмотров 17 тыс.2 года назад
MANDOJO NA DOMOKAYA :MAJANI ANA BUNDUKI / TRIP YA KWANZA ULAYA/USHAMBA WA BURGER/U STAR HATUKUJUA
MIKE TEE ALINIZINGUA /BORA PEKE YANGU/SIKUPENDA ANTI VIRUS ILIVOGEUKA KUWA SIASA /NILIMTISHIA DMX
Просмотров 20 тыс.2 года назад
MIKE TEE ALINIZINGUA /BORA PEKE YANGU/SIKUPENDA ANTI VIRUS ILIVOGEUKA KUWA SIASA /NILIMTISHIA DMX
'SIJAWAHI ONA MKALI KAMA NGWEA/ALI FREESTYLE WIMBO WA MSELA/NLIDHANIWA MWIZI SABABU YA MUZIKI' - KR
Просмотров 22 тыс.2 года назад
'SIJAWAHI ONA MKALI KAMA NGWEA/ALI FREESTYLE WIMBO WA MSELA/NLIDHANIWA MWIZI SABABU YA MUZIKI' - KR
PASS KINASA MICHANO `GAZZA VS JOVI THE RAPPER LADHANI
Просмотров 3196 лет назад
PASS KINASA MICHANO `GAZZA VS JOVI THE RAPPER LADHANI
IZZO HATARI MICHANO AKIUA BEAT NGUMU LADHANI
Просмотров 4676 лет назад
IZZO HATARI MICHANO AKIUA BEAT NGUMU LADHANI
IZZO USIJIDANGANYE NA FOLLOWERS INSTA ,WENGINE KAZI YAO UMBEA TU
Просмотров 4656 лет назад
IZZO USIJIDANGANYE NA FOLLOWERS INSTA ,WENGINE KAZI YAO UMBEA TU
ZAIID michano part 2/kinasa/wowowo lilileta balaa/faida za kubadilika
Просмотров 7556 лет назад
ZAIID michano part 2/kinasa/wowowo lilileta balaa/faida za kubadilika
Houston rockets na Harden hawashikiki nba
Просмотров 576 лет назад
Houston rockets na Harden hawashikiki nba
Mauaji ya freestyle Country boy na Clint fierce Pass Kinasa ya kuvichaka
Просмотров 2,5 тыс.6 лет назад
Mauaji ya freestyle Country boy na Clint fierce Pass Kinasa ya kuvichaka
TRIPPLE DOUBLES NYINGINE KWA LEBRON NA BEN SIMMONS,CROSSOVERS KALI ZA MWAKA
Просмотров 536 лет назад
TRIPPLE DOUBLES NYINGINE KWA LEBRON NA BEN SIMMONS,CROSSOVERS KALI ZA MWAKA
Westbrook afikisha Tripple Double 100
Просмотров 156 лет назад
Westbrook afikisha Tripple Double 100
PASS KINASA MONI X SELEMENTALLY PART 2
Просмотров 1,5 тыс.6 лет назад
PASS KINASA MONI X SELEMENTALLY PART 2
NBA ROOKIES BEN SIMMONS NA MITCHELL WAFANYA KWELI
Просмотров 386 лет назад
NBA ROOKIES BEN SIMMONS NA MITCHELL WAFANYA KWELI
NBA Celtics wastaafisha jezi ya Paul Pierce
Просмотров 176 лет назад
NBA Celtics wastaafisha jezi ya Paul Pierce

Комментарии

  • @amrijmpwapwa
    @amrijmpwapwa 3 дня назад

    @cley kalinga umemskia mwamba

  • @SelemaniYahaya-v3w
    @SelemaniYahaya-v3w 18 дней назад

    Hisabati the great mwamba mjuzi wa kuandka xnaaa heshima kubwa kwake bro

  • @RobertRobert-dr2pe
    @RobertRobert-dr2pe 2 месяца назад

    Pamoja Sana makamanda mbele yake nyuma yetu

  • @spartachize122
    @spartachize122 2 месяца назад

    Ivi dax chali macko chali alafu zacha ni ndungu ama ebu nijuzeni apa

  • @oscarmkoba8278
    @oscarmkoba8278 2 месяца назад

    Daaah hii dunia walahi we acha tu

  • @saidyussuf-my8ew
    @saidyussuf-my8ew 2 месяца назад

    Pole sana domo kaya

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 2 месяца назад

    R.I.P BRO

  • @lawrencembaga2980
    @lawrencembaga2980 2 месяца назад

    Pumzika kwa amani kakamkubwa 😢😢😢😢😢😢

  • @MwanaharusiAlly-o1d
    @MwanaharusiAlly-o1d 2 месяца назад

    Yebabah dah pumzika kwa amani broo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @GoodluckMhada
    @GoodluckMhada 3 месяца назад

    Rip mandojo

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 месяца назад

    ❤❤Maskini sijui kama mlisapotiwa ipasavyo maskini.jaman maskin domo kaya pole sana

  • @michaelmagere2795
    @michaelmagere2795 3 месяца назад

    R I P my brother

  • @knamics
    @knamics 3 месяца назад

    Very gifted 🙏 #Rip Mandojo

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 месяца назад

    RIP DOJO

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 5 месяцев назад

    The RBG wristband Revolutionary✊🏿

  • @AristideMunga
    @AristideMunga 5 месяцев назад

    Titre of that song please

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 5 месяцев назад

    Mangweah untouchable

  • @manbatoo9251
    @manbatoo9251 6 месяцев назад

    💯✔️✔️✔️✔️✔️✔️ NANI KAMA MAMA KWELI NI NO 1 SONG YA MAMA

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 8 месяцев назад

    Dah nakuombea udumu kwenye hili gemu miaka na miaka nimependa nimependa chanzo chavuandishi wa ngoma ya usilie

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 9 месяцев назад

    Mziki hapo mwanzo ulikuwa mzuri hakuna kujiskia no fitna

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 9 месяцев назад

    wale wa leo 2024🎉😂Beat kidondaa ha ha#R.I.P Albert Bado upo juu hakuna Replacement yko#

  • @tishiozombi2159
    @tishiozombi2159 9 месяцев назад

    ruclips.net/video/3hdc095kGpo/видео.html&si=_CfA2XR7xt9YKIRJ

  • @GasperyTz
    @GasperyTz 9 месяцев назад

    You have album bro !

  • @PeterMchome-k6r
    @PeterMchome-k6r 9 месяцев назад

    Hisabati🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EmmanuelLekasango-rt1qx
    @EmmanuelLekasango-rt1qx 10 месяцев назад

    R.i.p ma cowboy

  • @RashidiRehani-i3x
    @RashidiRehani-i3x 10 месяцев назад

    Butamuuu

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 10 месяцев назад

    Bye bye na asali wa moyo hizo pini mbili ilikuwa tishio ila hiyo mtoto wa geti Kali ilitufanya enzi hizo tuliitumia secondary kuwasifia warembo

  • @abdibuddy7583
    @abdibuddy7583 10 месяцев назад

    #2pacWithoutNoseRing signing in 💯

  • @LizMadenya
    @LizMadenya 10 месяцев назад

    naitafuta sana nyimbo ya mtu bee chelea pina

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 10 месяцев назад

    KR uko sawa, cow bama ngwea, Zilla, chid benzino, Nikki mbishi na P mawenge kutoka kikosi kazi

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 10 месяцев назад

    KR mura, hip culture kitambo, lile Ngoma lenu mliua sn

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 11 месяцев назад

    Maamaaaaaaaaaaaaaaaa ICHO KIDONDAAAAAAAA" By KR MULLAH😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Daaaaaaah nimecheka sn leo aiseeeeeee

    • @tonyi6807
      @tonyi6807 9 месяцев назад

      mdundo wa P.funk sio kdg

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 11 месяцев назад

    Dah Safi sana KR real hip hop bongo rap we miss u Shibe shibe

  • @martin_el_tabeth
    @martin_el_tabeth Год назад

    Dope

  • @lechaboy2942
    @lechaboy2942 Год назад

    Nomaaaaaaa

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 Год назад

    Ili kr mullah iyo minywele uko kichwani si angeinyoa tu jamani

  • @theguest255.
    @theguest255. Год назад

    ruclips.net/video/BmIrDvFW5L8/видео.htmlsi=sa6RUTAdg7YIkcqx

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 Год назад

    Hip pap banjo ni noma

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 Год назад

    Jabir ni hazina ya bongofleva , one day watakuelewa mwamba All in all pindi la kibabe sana

  • @richardferuz5870
    @richardferuz5870 Год назад

    Ngwear alikuwa noma sana

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq Год назад

    Daad jamaa wanajua sana,alafu hawatengan saf sana

  • @DicksonKisaka
    @DicksonKisaka Год назад

    nilikuwa nataka kukuambia umlete Saganda na Vitalis Maembe na dada Irene Sanga

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 Год назад

    Q The Don

  • @hamisibaharia-bl9og
    @hamisibaharia-bl9og Год назад

    Dah nachooka xana eti hawa hawa ndo wezi wa madumu

  • @MomadeabdulAbdul-i3w
    @MomadeabdulAbdul-i3w Год назад

    Maco yani wewe the best africa

  • @ahmedyak3793
    @ahmedyak3793 Год назад

    Ngwear will always be undefeated.

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 Год назад

    Huyu chalii nihatari sana👏👏🙌🙌

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 Год назад

    Mandojo na Domokaya 🎉🎉🎉