Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
  • Видео 150
  • Просмотров 48 771
MATEMBEZI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Halmashauri ya Mji Mafinga imefanya Matembezi na Bonanza lengo likiwa ni kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Orodha ya Wapiga Kura ambapo Uandikishaji ulianza tarehe 11 Oktoba na utaendelea mpaka tarehe 20 Oktoba 2024 na kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 28 Novemba 2024.
Matembezi hayo ya kuhamasisha Uandikishaji wa Orodha ya WapigaKura yameongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe Dkt. Linda Salendwa na kusimdikizwa na Maafisa Usafirishaji ( Bodaboda) Watumishi wa Halmashauri , Mama Ntilie na wananchi wa Mji Mafinga ambayo yameandaliwa na Msimamizi wa Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi. Fidelic...
Просмотров: 74

Видео

RC SERUKAMBA: AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA
Просмотров 727 часов назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba leo Octoba 11,2024, alivyowasili na kujiandikisha kwenye kituo cha uandikishaji wa Orodha ya majina ya wapiga kura katika kituo cha mtaa wa Gangilonga.
RC SERUKAMBA : WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MKASIMAMIE HAKI NA USAWA WAKATI UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA
Просмотров 4412 часов назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wasimamizi Wa uchaguzi kusimamia Ipasavyo na Kuhakikisha kila mtu anapata Nafasi ya kujiandikisha na kupiga Kura. Ameyasema hayo leo Oktoba 9, 2024 alipowatembelea wasimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Kilolo kwa Lengo la kuwapa Elimu na kuwasisitiza Juu ya uandikishaji pamoja na usimamizi wakati wa kupiga Kura. Aidha Mhe. Peter Serukamba amesisi...
RC SERUKAMBA : BENKI WEKENI MAZINGIRA WEZESHI YA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU
Просмотров 79День назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Amezitaka Benki zote Nchini kuweka mazingira wezeshi ya Mikopo na Riba nafuu kwa Wananchi ili kuondokana na mikopo ya Kausha damu. Ameyasema hayo leo Oktoba 3, 2024 wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la CRDB Lililopo katika Halmashauri ya wilaya ya kilolo, Mji mdogo wa Ilula. Mhe.Serukamba amesema kuwa Benki zinaweza kuweka utaratibu wa upatikanaji wa m...
RC SERUKAMBA: MHE RAIS AMEFANYA KAZI KUBWA ZA MAENDELEO KWA KUTEKELEZA MIRADI KILA SEKTA
Просмотров 112День назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Oktoba 2, 2024 Ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta na kuboresha miradi Mbalimbali ya kijamii ukiwemo Mradi Mkubwa wa Umwagiliagi Tanzania unaopatikana Tarafa ya Pawaga iliyopo Wilaya ya Iringa ndani ya Mkoa wa Iringa. Ameyasema hayo Wakati wa mkutano Uliofanyika Shule ya Sekondari ya Mbol...
RC SERUKAMBA : WANANCHI TUIUNGE MKONO SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA KAZI KUBWA ZINAZOFANYIKA
Просмотров 114День назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wanachi kuendelea kuiunga Mkono Serikali ya awamu ya sita kutokana na kazi kubwa inayofanyika ya ujenzi wa miundombinu ya barabara,shule na vituo vya Afya. Mhe. Serukamba ameyasema hayo October,01,2024 wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Lugalo Kijiji cha Mbigili wakati wa ziara ya uzinduzi wa Miradi inayoongozwa na Waziri wa Mifugo na...
RC SERUKAMBA : AWEKA KAMBI SOKO LA MJI MAFINGA KUTATUA CHANGAMOTO YA KODI YA VIBANDA
Просмотров 41214 дней назад
Ni wiki chache zimepita baada ya Wafanyabiashara wa Soko la Mafinga kufanya mgomo wa kufunga maduka wakidai kupunguziwa kodi ya vibanda hivyo, Septemba 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba akiwa ameanbatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya amepiga kambi katika soko hilo kwa kupita katika kila kibanda na kumpangia kodi ya kulipa kila mfanyabiashara aliyepo kwenye v...
RC SERUKAMBA: AMUAGIZA DED KILOLO KUTENGA FEDHA ZA NDANI KWA AJILI YA KUWEKA CHUJIO LA KUCHUJA MAJI
Просмотров 14114 дней назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kilolo, kupitia mapato ya ndani kutenga fedha kwaajili ya ununuzi wa Chujio ili wananchi kutoka Kata ya Ruaha Mbuyuni waweze kupata Maji safi na salama. Hayo yamejili Septemba 27,2024 wakati alipofanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika kata ya Ruaha Mbuyuni ambapo Wananchi wa Eneo hilo watoa k...
RC SERUKAMBA : WANANCHI MJITOKEZE KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Просмотров 5714 дней назад
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, mapema leo hii Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la Wapiga litakalofanyika kuanzia Tarehe 11.10.2024 hadi tarehe 20.10.2024 kwenye vituo vitakavyopangwa. Mhe. Serukamba ametoa wito huo leo Septemba 26,2024 wakati alipofanya mkutano na waandishi wa Haba...
RC SERUKAMBA: RAIS DKT, SAMIA KATATUA TATIZO LA UJINGA
Просмотров 8714 дней назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amesema kuwa jambo kubwa lililofanywa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kupambana na mmoja wa maadui ambaye ni Ujinga ambapo ameendelea kutoa fedha nyingi sana kwaajili ya uboreshaji na ujenzi wa shule kwa kuhakikisha kila mtoto anapata Elimu Bora. Ameyasema hayo leo Septemba 24 wakati alipokuwa kw...
RC: SERUKAMBA AFISA MANUNUZI IRINGA DC KUSIMAMISHWA KAZI KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA KITENGO CHAKE
Просмотров 47121 день назад
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe.Peter Serukamba amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Iringa (RAS) kumsimamisha kazi Afisa manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kusimamia kitengo chake na kupelekea miradi inayotekelezwa katika Halmshauri hiyo kusuasua. Hayo yamejili Septemba 23,2024 wakati alipokuwa akikagua miradi ya Elimu yakiwemo madarasa na mabweni na kushangazwa na hatua ya mirad...
HISTORIA YAANDIKWA BARABARA YA KWENDA HIFADHI YA RUAHA - ZAIDI YA BILLION 142 KUKAMILISHA MRADI HUO
Просмотров 6421 день назад
Mamia ya wakaazi wa Mkoa wa Iringa Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Leo September 21, 2024 wameshuhudia tukio la kihistoria la utiaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya lami yenye Km. 104 kutoka Iringa Mjini hadi Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Barabara hiyo ya Iringa- Msembe itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami ikiwa ni mchakato uliochukua takribani miaka 60 hadi uteke...
RC: SERUKAMBA ELIMU NDIO NGUZO YA MAENDELEO YA JAMII NA UCHUMI
Просмотров 9321 день назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amehimiza Wazazi na Walezi Nchini kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu na kuwahimiza watoto hao juu ya Umuhimu wa Elimu kwani Elimu ndio Nguzo ya maendeleo ya jamii na Uchumi Ameyasema hayo leo Septemba 20,2024 wakati akihutubia kwenye mahafali ya wanafunzi wa Shule ya Real Hope iliyopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya Mufindi. Mhe Serukam...
RC: SERUKAMBA AMKALIA KOONI MZABUNI, FUNDI NA AFISA MANUNUZI-KILOLO
Просмотров 41121 день назад
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameagiza kumfuta kazi fundi anayejenga madarasa katika shule ya Sekondari ya wasichana Lugalo na shule ya Ikokoto kwa kutokamilisha miradi kwa wakati huku akimuagiza afisa manunuzi kumwondoa mmoja wa wazabuni kwa kuchelewesha vifaa vya ujenzi kwenye miradi ya Halmashauri ya Wilaya Kilolo. Hayo yamejiri leo septemba 19,2024 wakati alipofanya ziara ya k...
UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGAF
Просмотров 13921 день назад
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega(MB) amezindua Miradi Miwili ya Maendeleo na kuweka Jiwe la Msingi mradi mmoja na kukagua Mradi Mmoja wa maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga yenye thamani zaidi ya shilingi Bilioni 3. Akizungumza Kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 18/9/2024 katika viwanja vya Kituo cha Afya Ifingo Mheshimiwa Ulega amesema amefarijika kuo...
RC SERUKAMBA AMKARIBISHA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA
Просмотров 9021 день назад
RC SERUKAMBA AMKARIBISHA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA
SERUKAMBA: MGENI RAMSI WA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA KIKOSI CHA JESHI 841 KJ MAFINGA
Просмотров 2,9 тыс.Месяц назад
SERUKAMBA: MGENI RAMSI WA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA KIKOSI CHA JESHI 841 KJ MAFINGA
MILLIONI 583 KUJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI KIBENGU-USOKAMI
Просмотров 120Месяц назад
MILLIONI 583 KUJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI KIBENGU-USOKAMI
RC SERUKAMBA : WAMILIKI WA ARDHI TARAFA YA PAWAGA KUANZA KUTAMBULIKA RASMI KWA KUPEWA HATI YA ARDHI
Просмотров 94Месяц назад
RC SERUKAMBA : WAMILIKI WA ARDHI TARAFA YA PAWAGA KUANZA KUTAMBULIKA RASMI KWA KUPEWA HATI YA ARDHI
RC: SERUKAMBA AWABANA WAKURUGENZI AMEWATAKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI.
Просмотров 266Месяц назад
RC: SERUKAMBA AWABANA WAKURUGENZI AMEWATAKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI.
KAMPENI YA MTU NI AFYA YAENDELEA HALMASHAURI YA MAFINGA MJI
Просмотров 59Месяц назад
KAMPENI YA MTU NI AFYA YAENDELEA HALMASHAURI YA MAFINGA MJI
KUWENI WABUNIFU MSITEGEMEE WAFADHILI - RC SERUKAMBA
Просмотров 28Месяц назад
KUWENI WABUNIFU MSITEGEMEE WAFADHILI - RC SERUKAMBA
RC- SERUKAMBA AONGOZA KIKAO CHA UTOAJI WA MAONI YA UUNDWAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
Просмотров 662 месяца назад
RC- SERUKAMBA AONGOZA KIKAO CHA UTOAJI WA MAONI YA UUNDWAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
RAIS SAMIA AMEWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI-RC SERUKAMBA
Просмотров 1862 месяца назад
RAIS SAMIA AMEWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI-RC SERUKAMBA
UWANJA WA NDEGE WA IRINGA UANZE KUTUMIKA - MAJALIWA
Просмотров 4283 месяца назад
UWANJA WA NDEGE WA IRINGA UANZE KUTUMIKA - MAJALIWA
MAFANIKIO YA MKOA WA IRINGA
Просмотров 803 месяца назад
MAFANIKIO YA MKOA WA IRINGA
MBIO ZA GREAT RUAHA MARATHONI KUKUZA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI
Просмотров 913 месяца назад
MBIO ZA GREAT RUAHA MARATHONI KUKUZA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI
WATUMISHI WATAKAO BAINIKA WAMEFANYA UBADHILIFU WA FEDHA KUCHUKULIWA HATUA
Просмотров 883 месяца назад
WATUMISHI WATAKAO BAINIKA WAMEFANYA UBADHILIFU WA FEDHA KUCHUKULIWA HATUA
RC SERUKAMBA : WANANCHI JITOKEZENI KUJIANDIKISHA GREAT RUAHA MARATHON
Просмотров 633 месяца назад
RC SERUKAMBA : WANANCHI JITOKEZENI KUJIANDIKISHA GREAT RUAHA MARATHON
RC SERUKAMBA AMKABIDHI MWENGE WA UHURU MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT.LINDA SALEKWA
Просмотров 6073 месяца назад
RC SERUKAMBA AMKABIDHI MWENGE WA UHURU MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT.LINDA SALEKWA

Комментарии

  • @JoelEmmanuel-v1g
    @JoelEmmanuel-v1g 7 дней назад

    Nakubali Sanaa wana 841kj

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 10 дней назад

    Kuomba ushauri wa Kifedha bank ni Sawa na teja kuomba ushauri kwa muuza madawa. Riba ni Kharamu na ndio inayo angamiza Mataifa yote yalio endelea Sasa na hawajui Shida ni Nini

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 11 дней назад

    Ndugu wisha wajua watu wasio wajibika c waondoe peleka Makao makuu wakakae huko???? Wasio wajibika wahamishilie mbali

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj 12 дней назад

    Hongera mzito

  • @DaveedPetro-l4v
    @DaveedPetro-l4v 15 дней назад

    wanaumee miaaa😂😂😁😁

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 15 дней назад

    Mungu unajua tulipokosa wafanyabiasha na Kila haki ya Kila mmoja kati yetu maana ubia umeondoka, na Mufindi mlitukabidhi baba wa kambo bila utaratibu mliotupa na unapobadilika hamkutushirikisha.

  • @alexkimbe7029
    @alexkimbe7029 23 дня назад

    Mkuu wa mkoa unaonekana una maslai ya wazi na CF unadanganya kuwa mzalendo ananunua bidhaa kwa CF Wa mafinga Sheria ya manunuzi haisemi hivo kinachotakiwa watu waombe tender na anayeshinda anakuwa ameshinda ila siyo kulazimisha manunuzi afanye mtu mmoja tena u amtaja kwa jina, Bila shaka huyo una maslahi nae binafs

  • @FaithNgomuo
    @FaithNgomuo 26 дней назад

    jamani mm nataka full movie na search wapi?

  • @FaithNgomuo
    @FaithNgomuo 26 дней назад

    wow ilipendeza sana🎉❤

  • @nixonchaboka
    @nixonchaboka 27 дней назад

    Kumuangalia athumani fulu ni wapi jamani😂

  • @YohanaLuchapa
    @YohanaLuchapa 3 месяца назад

    Mzava nakukubari sana mkuu piga kazi mapigaji wapo wengi apo tumbua

  • @godfreynyaulingo4604
    @godfreynyaulingo4604 2 года назад

    Rest in peace

  • @cypriankikoti9160
    @cypriankikoti9160 2 года назад

    Pumnzika kwa amani ndugu yangu

  • @hermanjackson9310
    @hermanjackson9310 2 года назад

    Pole sana mama mkuu wa mkoa wangu ,pole pia kwa familia yake,imeniuma sana

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 года назад

    Vizur sana mkuu

  • @amilinevele7345
    @amilinevele7345 3 года назад

    Kweli

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 года назад

    Kweli hapa Kazi tu hongera mkuu wa Mkoa, Iringa Sasa inaelekea kuwa Jiji naona jamani nimefurahi Sana

  • @doasugu3258
    @doasugu3258 3 года назад

    M

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 года назад

    Sijui mche unauzwaje??

    • @jacobnwaka829
      @jacobnwaka829 3 года назад

      Kuanzia 2000 mpaka 15000 inategemea

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 года назад

    Ally nakupendaga sna mkuu wangu , mungu anijaalie afya nije nilime namimi hii ni fulsa kwa sisi vijana

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 3 года назад

    Awamu za nyuma pesa zote hizi zilikuwa zinapotea ,

  • @ambelemwaitebele5398
    @ambelemwaitebele5398 4 года назад

    Hongeleni Iringa

  • @leonardnkwera4908
    @leonardnkwera4908 4 года назад

    Safi sana. Kweli nivfursa kubwa sana hasa vijana. Tuamke tuchape kazi. Aly Happy oyeee!!!

  • @habinezajean877
    @habinezajean877 4 года назад

    Naomba ugombee uraisi tukupigie Kula zetu unafa kiukweli

  • @amuralhabsi6557
    @amuralhabsi6557 4 года назад

    Ali hapi oyeeee 👍👍

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 года назад

    Tenda kazi mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

  • @mzenji
    @mzenji 5 лет назад

    Afisa elimu mwenyewe kiingereza kinampiga chenga, itakuwa wanafunzi. Lol

  • @hashimallygenda7137
    @hashimallygenda7137 5 лет назад

    iko pw

  • @samueltopoikaoltingidi2926
    @samueltopoikaoltingidi2926 5 лет назад

    Mtetezi wa wanyonge congratulations RC

  • @philimonimbota4230
    @philimonimbota4230 5 лет назад

    Saf sana,MKUU wa mkoa wa Iringa. Chaps kaz

  • @richardsaluaron9924
    @richardsaluaron9924 5 лет назад

    Mikoa yenye rasilimali nyingi ndio huongoza kwa umaskini mathalani iringa na shinyanga. Tuna hitaji watendaji kama ally hapi tuache kuagiza karatasi kutoka china.