Prosper Phissoo
Prosper Phissoo
  • Видео 16
  • Просмотров 506 544
HOW TO UPGRADE WINDOWS SIMPLE WAY
Enjoy the shortcut way to upgrade the windows
Просмотров: 16

Видео

WANAWAKE BAND
Просмотров 3232 года назад
Wanawake band ,wimbo mzuri kabisa
Awesome God
Просмотров 2993 года назад
Awesome God
SIKU NIKILALA By PASTOR E.R MWANSASU
Просмотров 133 тыс.4 года назад
Song; Siku Nikilala Artist;Pastor E.R Mwansasu
WATOTO WACHANGA By PASTOR MWANSASU
Просмотров 15 тыс.4 года назад
Song; Watoto wachanga Artist; Pastor Mwansasu
MAJARIBU By PASTOR MWANSASU
Просмотров 14 тыс.4 года назад
Song;Majaribu Artist; Pastor Mwansasu
NANGOJEA WAKATI By PASTOR MWANSASU
Просмотров 33 тыс.4 года назад
Song;Nangojea wakati Artist;Pastor Mwansasu
KUTESA KWA ZAMU By PASTOR MWANSASU
Просмотров 114 тыс.4 года назад
Song; Kutesa kwa zamu Artist; Pastor Mwansasu
KIAMA By PASTOR MWANSASU
Просмотров 13 тыс.4 года назад
Song; Kiama Artist; Pastor Mwansasu
WANAWAKE By PASTOR MWANSASU
Просмотров 23 тыс.4 года назад
Song; Wanawake(Enyi Wanawake) Artist;Pastor Mwansasu
TUKIMALIZA KAZI By PASTOR MWANSASU
Просмотров 51 тыс.4 года назад
Song;Tukimaliza Nazi Artist; Pastor Mwansasu
MAUMIVU YA YESU By PASTOR MWANSASU
Просмотров 10 тыс.4 года назад
Song; Maumivu ya Yesu Artist;Pastor Mwansasu
KUFUMBA NA KUFUMBUA By PASTOR MWANSASU
Просмотров 39 тыс.4 года назад
Song;Kufumba na Kufumbua Artist;Pastor Mwansasu
Chukua nafasi by Prisca Phissoo
Просмотров 1644 года назад
Prisca Phissoo
Kutesa kwa zamu (Tutatesa Milele) by Pastor Mwansasu
Просмотров 59 тыс.4 года назад
Kutesa kwa zamu (Tutatesa Milele) by Pastor Mwansasu
Our God is awesome God praise to him
Просмотров 365 лет назад
Our God is awesome God praise to him

Комментарии

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 11 часов назад

    Do kwel watu kupitia wimbo huu wangeokoka wote,nawaza mwisho wangu utakavyo kuwa, Yesu naomba unipokee😮

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 11 часов назад

    Pumzika kea amani mwansasu umeacha massage inayoishi tunajifunza😢

  • @EmilyOsike
    @EmilyOsike 11 часов назад

    niko hapa baada ya kupata taarifa ya kifo cha rafiki wangu wa karibu😭💔RIP George 'Namdah' Ochieng🕊till we meet again

  • @kennethnduri4643
    @kennethnduri4643 3 дня назад

    No sound !

  • @michaelmwakatapa1652
    @michaelmwakatapa1652 15 дней назад

    Jembe la Isanga Mungu awe pamoja na ww huko uliko mtumishi

  • @ElishaMahelela
    @ElishaMahelela 17 дней назад

    Mungu wetu tuokoe injii bule wokovu bule ila wanadamu hatukumbuki haya mema tusaidie baba

  • @ElishaMahelela
    @ElishaMahelela 17 дней назад

    Asante yesu kwakupigwa kwako tumepona ee mungu tusaidie sana

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 20 дней назад

    Amina kweri kabisa, pumzika

  • @geoffreymosesngondejuniorb9996
    @geoffreymosesngondejuniorb9996 26 дней назад

    Rip mwansasu

  • @geoffreymosesngondejuniorb9996
    @geoffreymosesngondejuniorb9996 26 дней назад

    Rip mwansasu

  • @tuyizereghadi1619
    @tuyizereghadi1619 27 дней назад

    R.I.P Mwansasu💔😞

  • @ElishaMahelela
    @ElishaMahelela 29 дней назад

    Pumunzika kwa amani mwasansu injii uiiihibii asante mungu kwaumbaji wako tusamehe sana mkosa yetu

  • @mariusvital546
    @mariusvital546 Месяц назад

    Mungu akubariki kwa wimbo huu

  • @Vincentsyona-bj6qj
    @Vincentsyona-bj6qj Месяц назад

    Nasikiliza leo 25/09/2024🙏🙏

  • @Vincentsyona-bj6qj
    @Vincentsyona-bj6qj Месяц назад

    R I P mtumishi 😢😢 ukiwaza hii Dunia unaweza kwanin tulizaliwa but Basi MUNGU muumbaji hutusahaurisha maumivu kwa Muda mchache lkn bado kichapo kikopalepale🙏🙏

  • @JoyceJoseph-te6go
    @JoyceJoseph-te6go Месяц назад

    Kifo ni hatari duuu

  • @FrenkMwaulambo
    @FrenkMwaulambo Месяц назад

    Pumunzika kwa amani umetuachia ujumbe

  • @FrenkMwaulambo
    @FrenkMwaulambo Месяц назад

    Uharisia wa maisha ya siku zote

  • @lilianmwalo9397
    @lilianmwalo9397 2 месяца назад

    Pumzika kwa amani baba angu mwasansu umechangia kunikuza kiroho

  • @EmilyChemtai-e6k
    @EmilyChemtai-e6k 2 месяца назад

    May The Almighty God bless this men

  • @HanifaMwambungu
    @HanifaMwambungu 2 месяца назад

    2024 nipo hapa

  • @EnduHaizera
    @EnduHaizera 2 месяца назад

    R.i.p mtumish mwansasu

  • @benanto_tz
    @benanto_tz 3 месяца назад

    sauti

  • @eliabujoshua4712
    @eliabujoshua4712 3 месяца назад

    Mwansasu tutamkumbuka sana

  • @LoyceEmas
    @LoyceEmas 3 месяца назад

    Bado nazienz nyimbo zake😢

  • @MosesSakala-j1i
    @MosesSakala-j1i 3 месяца назад

    Rip man of the most high

  • @sammimbuta4561
    @sammimbuta4561 3 месяца назад

    Nyimbo zote za mch Mwasasu ni funzokwa vizazi vipya bwana akuweke mahali pema Amina

  • @RichardPhilmoni
    @RichardPhilmoni 3 месяца назад

    Kaz za guys pasta hakika hazna mrith

  • @KenyanTrendingnews24_7
    @KenyanTrendingnews24_7 3 месяца назад

    Ooh lala salama kiongozi mungu awenawe 😂

  • @fellaveronica9773
    @fellaveronica9773 3 месяца назад

    Hii ndio wimbo nimekua nikitafuta,niliiskia kwa mara ya kwanza kwa jirani,he used to play it on a repeat mode hadi I cramed it

  • @abdulybosco5422
    @abdulybosco5422 3 месяца назад

    Amen

  • @JonasElhoud
    @JonasElhoud 4 месяца назад

    Pumuzika kwa Amani baba yetu n'a huku Burundi tunahujuwa kwa nyimbo zako za kukumbusha watu kutubu

  • @desirekubwimana9049
    @desirekubwimana9049 4 месяца назад

    R I P mtumishi wa mungu 2024

  • @emilykalunda1352
    @emilykalunda1352 4 месяца назад

    So sad to just have learnt of your death....How I loved this song since 2007,,,may your soul continue resting in perfect peace, Man of God🙏

    • @fellaveronica9773
      @fellaveronica9773 3 месяца назад

      Learned of his demise this morning.. I used to hear his songs from a neighbour way back in 2006/7 and decided to Google today,only to meet with RIP's

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 4 месяца назад

    Rip lala salama mwamba 😭

  • @iddimagoti5473
    @iddimagoti5473 4 месяца назад

    Rest in peace mwansasu, daima tutakukumbuka

  • @directormwangomile4274
    @directormwangomile4274 4 месяца назад

    🎉🎉🎉 dah 😢😢😢😢😢

  • @MkoiTvTz
    @MkoiTvTz 4 месяца назад

    Familia moja iliyopo kitongoji cha Loliondo Mtaa wa Mbopo kata ya Mabwepande Jimbo la Kawe Dar es Salaam wameiomba Serikali na Watanzania kwa ujumla kuwasaidia mahitaji ya msingi baada ya Mama wa familia hii kulemewa. Mkoi Tv Online ilifika inapoishi familia hii ILIYOPO Mbopo kwenye Jimbo la Baba Askofu Josephat Gwajima na kushuhudia jinsi wanavyopita njia ngumu ya kulala kwenye mkeka miaka yote huku wakishindia UJI siku nzima wakati mwingine kupiga pasi ndefu wakila asubuhi hadi kesho asubuhi. Aidha mama wa familia hii ameliomba Jeshi la Polisi Wilaya ya Mabwepande kumchukulia hatua baba mtoto wake kwani anampiga sana, huku akitupa vidonge vyake vya kufubaza maambukizi ya Ukimwi aliyokuwa nayo. Karibu utazame makala hii ya kusikitisha na kama umeguswa na ungependa kuichangia familia hii basi piga simuy namba +255713 575718 Chochote hata ukiwa na nguo, sukari, chumvi, unga, mchele, Lakini hitaji lao kubwa ni sehemuya kuishi. VIDEO HII HAPA...! FAMILIA YASHINDIA UJI WA CHUMVI DAR,WALALA KWENYE MKEKA, BABA AMUAMBUKIZA UKIMWI MAMA, YAOMBA MSAADA ruclips.net/video/RHaeLYi1BDU/видео.html

  • @HenryManda-iz5mm
    @HenryManda-iz5mm 4 месяца назад

    😢😢😢dah kifo 😢😮ni fumbo

  • @GabrielMboya-k2n
    @GabrielMboya-k2n 5 месяцев назад

    Rip mtumishi mwansasu

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 5 месяцев назад

    😂😂

  • @BernadateMwanzia
    @BernadateMwanzia 6 месяцев назад

    Rest in peace man of God I loved your songs so much from kenya

  • @EstaPaulo-mz6fn
    @EstaPaulo-mz6fn 6 месяцев назад

    Mungu amsamehe mtumishi kupitia wimbo huu. Alituumiza sana

  • @PauloIsmaili-ot8wd
    @PauloIsmaili-ot8wd 6 месяцев назад

    Yaan ni bonge la nyimbo mtumishi❤❤❤😢😢😢🎉🎉🎉

  • @NurhatTravecy
    @NurhatTravecy 6 месяцев назад

    Pumzika kwa Amani mwansasu😪😪

  • @brightonmalekela9981
    @brightonmalekela9981 6 месяцев назад

    R.I.P pastor hakika duniani tunapita. Nakumbuka sana miezi kama hii miaka 10 iliopita tulivoongea na ulivotushauri na mchumba wangu, wakati namvalisha pete na kutangaza ndoa kanisani kwako ubungo Pumzika kwa amani

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 6 месяцев назад

    Pumzika kwa amani mtumish wa Mungu! Ulieimba ktk roho na kwel, tupo kwenye kipind ambacho ata hofu ya Mungu tumeipoteza, maafa kila kukicha, mafuriko na ajar zimeongezeka ee Mungu tusamehe😢😢😢

  • @IsayaManyanga-ql1gy
    @IsayaManyanga-ql1gy 7 месяцев назад

    2024