![Maureen Steven](/img/default-banner.jpg)
- Видео 51
- Просмотров 1 172 605
Maureen Steven
Танзания
Добавлен 5 апр 2019
Good to go 😍
jinsi ya kupika cupcakes kwa mkaa/no oven custard cupcakes/ 2021
Njia rahisi ya kupika cup cakes nyumbani bila oven/Simplest way to make cup cakes/no oven cakes
Просмотров: 1 315
Видео
Jinsi ya kupika muhogo wa nazi/how to make delicious yam curry
Просмотров 3,7 тыс.4 года назад
Jinsi ya kupika muhogo wa nazi/how to make delicious yam curry
Jinsi ya kutengeneza frutti / How to make frutti /tutti frutti recipe
Просмотров 1,7 тыс.4 года назад
Jinsi ya kutengeneza frutti / How to make frutti /tutti frutti recipe
Mboga ya haraka bilinganya na mayai / egg plant recipe
Просмотров 10 тыс.4 года назад
Mboga ya haraka bilinganya na mayai / egg plant recipe
JINSI YA KUPIKA SAMBUSA ZA CHOROKO
Просмотров 10 тыс.4 года назад
Sambusa za choroko/Green gram samosa
Maandazi ya kumimina yenye sausage ndani 👍
Просмотров 9354 года назад
Maandazi ya kumimina mahitaji / ingredients 1.Unga wa ngano kikombe 1 1 cup of flour 2. sausage 3. Sukari vjko 3 vikubwa 3 table spoons sugar 4. Baking powder kjko 1 kidogo 1 tea spoon baking powder 5. Maziwa glass 1 (vuguvugu) A glass of milk (warm) 6 Toothpick 7 M afuta ya kukaangia Cooking oil
Kashata za ufuta /sesame seeds candy👌
Просмотров 27 тыс.4 года назад
kashata za ufuta / sesame seeds candy mahitaji / ingredients _ Ufuta / Sesame seeds _Sukari 1/2 kikombe /Sugar 1/2 cup _ Mafuta kjko 1 / Cooking oil 1 tea spoon
Jinsi ya kupika half keki tamu na kwa njia rahisi sana/ How to make crunchy half cakes
Просмотров 6 тыс.4 года назад
jinsi ya kupika half keki tamu mahitaji / ingredients Unga wa ngano grams 500/ flour 500g baking powder kjko 1 1/2 sukari vjko 5/ sugar 5 table spoons maji / Water mafuta/cookingoil
Jinsi ya kutengeneza icecream za rangi rahisi sana/ How to make rainbow popcicles / icecream
Просмотров 3,3 тыс.4 года назад
Jinsi ya kutengeneza icecream za rangi rahisi sana/ How to make rainbow popcicles / icecream
Jinsi ya kuoka keki simple sana🍰 kwa kutumia jiko la mkaa /simple plain cake recipe
Просмотров 6 тыс.4 года назад
cake recipe mahitaji / ingredients 1)Unga wa ngano vikombe 2 2 cups of flour 2)Maziwa 1/ 2 kikombe 1 / 2 cup milk 3)Sukari vjko 6 6 table spoons sugar 4)mayai 3 3 eggs 5)baking powder kjko 1 kidogo 1 tea spoon of baking powder
Jinsi ya kupika indomie noodles / indomie noodles with beef recipe
Просмотров 6 тыс.4 года назад
indomie noodles with beef mahitaji pakiti 2 za indomie nyama steak 1/4 kilo soya sauce vjko 3 vikubwa caroti 1 pilipili hoho kitunguu maji 1 mafuta ya kupikia 👇 👇👇👇 ingredients 2 packet of instant noodles beef steak soy sauce carrot bell pepper onion cookingoil
Jinsi ya kupika bagia za viazi /potatoes bajia
Просмотров 1,8 тыс.4 года назад
BHAJIA ZA VIAZI mahitaji Unga wa dengu kikombe 1 kothmir maji 1/2 kikombe chumvi kjko 1 kidogo binzari 1 / 2 kjko kidogo pilipili ya unga 1 / 2 kjko kidogo tangawizi na swaumu kjko 1 kidogo manjano 1 / 2 kjko kidogo
Jinsi ya kutengeneza vileja/cookies kwa kutumia sufuria/ biskuti
Просмотров 1,8 тыс.4 года назад
Jinsi ya kutengeneza vileja/cookies kwa kutumia sufuria/ biskuti
jinsi ya kutengeneza popcorns za rangi kwenye sufuria /rainbow popcorns
Просмотров 14 тыс.4 года назад
jinsi ya kutengeneza popcorns za rangi kwenye sufuria /rainbow popcorns
Jinsi ya kutengeneza juice ya nanasi / pineapple juice
Просмотров 2,7 тыс.4 года назад
Jinsi ya kutengeneza juice ya nanasi / pineapple juice
Jinsi ya kupika twisted donuts /how to make twisted donuts
Просмотров 2874 года назад
Jinsi ya kupika twisted donuts /how to make twisted donuts
Jinsi ya kupika tambi za mayai design ya zege
Просмотров 368 тыс.4 года назад
Jinsi ya kupika tambi za mayai design ya zege
Jinsi ya kupika mkate wa kumimina/Rice cake
Просмотров 1,2 тыс.4 года назад
Jinsi ya kupika mkate wa kumimina/Rice cake
Jinsi ya kutengeneza skonsi za vindege/How to make bird shaped buns/breads
Просмотров 3014 года назад
Jinsi ya kutengeneza skonsi za vindege/How to make bird shaped buns/breads
Jinsi ya kupika mchuzi wa mayai/ peanut egg curry
Просмотров 28 тыс.4 года назад
Jinsi ya kupika mchuzi wa mayai/ peanut egg curry
Jinsi ya kupika chapati laini za kusukuma/How to make soft chapati
Просмотров 6724 года назад
Jinsi ya kupika chapati laini za kusukuma/How to make soft chapati
JINSI YA KUTENGENEZA SCONES ZA RANGI MBILI ZENYE CHOCOLATE NDANI
Просмотров 1344 года назад
JINSI YA KUTENGENEZA SCONES ZA RANGI MBILI ZENYE CHOCOLATE NDANI
BARAFU ZA TIKITI MAJI/WATERMELON POPSICLES
Просмотров 5854 года назад
BARAFU ZA TIKITI MAJI/WATERMELON POPSICLES
JINSI YA KUPIKA KALMATI ZA MAZIWA/SWEET DUMPLINGS RECIPE
Просмотров 7 тыс.4 года назад
JINSI YA KUPIKA KALMATI ZA MAZIWA/SWEET DUMPLINGS RECIPE
JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA BOGA/PUMKIN CHAPATI
Просмотров 1,5 тыс.4 года назад
JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA BOGA/PUMKIN CHAPATI
JINSI YA KUPIKA BEEF CURRY TAMU NA RAHISI
Просмотров 1 тыс.4 года назад
JINSI YA KUPIKA BEEF CURRY TAMU NA RAHISI
JINSI YA KUPIKA CINNAMON ROLLS BILA OVEN / JIKO LA GAS
Просмотров 2,3 тыс.4 года назад
JINSI YA KUPIKA CINNAMON ROLLS BILA OVEN / JIKO LA GAS
JINSI YA KUTENGENEZA JAM NYUMBANI/HOW TO MAKE FRUITS JAM
Просмотров 15 тыс.4 года назад
JINSI YA KUTENGENEZA JAM NYUMBANI/HOW TO MAKE FRUITS JAM
Asante nmeelee
Asante nmeelee
Nataka unionyeshe kupika xa kuuza
Kwa iyo wali unakuwa umeshaivisha kabisa
@@jackhingora8384 ndio. Kipenzi
🔥
Asante nimeipenda sana na mno pichi lako ubarikiwe from Mbeya nitajaribu kupika
Yummy
Tambi uwek mafuta
Je maziwa na ndizi vinaweza kutengenezea icrem.
Ndio
Lakini kwanini mnapenda kutumia karoti sana kwenye kupika?
Maaaasha alllaaah ahsanteee sana
Ndiz na maziwa2 basi inafaa
Ok asante
Naombaa. Namba zenuu
Namba zenu mm merry na hitaji mawasiliano na nanyii
Kazi nzuri ahsante.
🙏
🎉🎉
Je unga wa ngano unaweza kutia
Shingap mashine?
Shida hawajibu
Waoooooo juice safi nimeipenda nyumbani haitakauka labda tanesco. Wagome
Et Amna kueka maji enhe?
Nice
Nimetengeneza kwa kufuata hatua hizi na matunda hayo ila naona Kuna kauchungu Fulani hivi,, shida itakuwa ni nini, msaada pls
Mashallah
Kwani nikichanganya vyote kwa pamoja kuna shida blend dear ninzuri
Mashaallah
Xo nice
Naombh kuuliza ikiwa umekisea kupika unaweza kulekebisha nazikatoka sawa
❤
Napenda sana 😋😋
Mashallah Asante Kwa upishi
Asante mama
Nimekipenda kweli👌👌
Nzuri sana. Keep it up
Nice
❤
Sorry naomba kuuliza car Poda nn maan nimezipenza
Jina lingine inaitwa simba mbili wanauza ata dukani za pakti sh 200
Ayo maziwa yamechemshwa?
🤣 🤣 🤣 Me Leo nimetengeneza unga unga mgmu sjui nitatoa kidudu gan
Mim sijui kuifunga jamanii
Kama hauna maziwa
Mpenz unaruhusiwa kuweka Amira?
Unawz ukatumiy kam mawes
Unanimity kwenye sinia likiwajikoni na moto au unakuwa umezima
❤ mahindi ya kawaida hayawezi kupikia popcorn? Asante kwa mapish dada
Amira kia's gani
Habari dada sijaelewa kwenye sufuria umeweka kichuma gani
Waooo nimeipend sna mashallah