- Видео 75
- Просмотров 890 717
Shamba DarasaMKUSI
Танзания
Добавлен 17 авг 2018
MKULIMA SMART INITIATIVES(MKUSI) ni asasi isiyokuwa ya kiserikali yaani NGO yenye makao yake makuu Jijijni Dodoma.
DIRA: Kuona kila mtanzania akipata chakula cha kutosha, salama na chenye viini lishe muhimu.
Malengo:
1. Kutoa taarifa muhimu za chakula kama vile bei za vyakula masokoni,hali ya hewa n.k
2. Kutoa mafunzo kwa njia ya semina,kozi fupi,makongamano,warsha na mashamba darasa
3 .Kutoa huduma ya ushauri na ugani kwa wakulima,wafugaji na watanzania wote kwa ujumla ili kuzalisha chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu.
4. Kusimika miundo mbinu mbalimbali ya kilimo na ufugaji kwa ajili ya mashamba darasa.
Ili kufikia malengo hayo njia zifuatazo zitatumika:-
Kutumia TEHAMA/ICT kama kifaa muhimu cha kupeleka taaarifa kwa walengwa kama vile:-
1. Mitandao ya kijamii facebook, RUclips, whatsApp n.k
2. Radio za kijamii na Televisheni
3. Tovuti ya MKUSI
4. Majarida na vijitabu.
Simu: 0675 487387 / 0765 970455 / 0624 223614
Barua Pepe: shambadarasa.net@gmail.com
Tovuti: www.mkusi.org
DIRA: Kuona kila mtanzania akipata chakula cha kutosha, salama na chenye viini lishe muhimu.
Malengo:
1. Kutoa taarifa muhimu za chakula kama vile bei za vyakula masokoni,hali ya hewa n.k
2. Kutoa mafunzo kwa njia ya semina,kozi fupi,makongamano,warsha na mashamba darasa
3 .Kutoa huduma ya ushauri na ugani kwa wakulima,wafugaji na watanzania wote kwa ujumla ili kuzalisha chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu.
4. Kusimika miundo mbinu mbalimbali ya kilimo na ufugaji kwa ajili ya mashamba darasa.
Ili kufikia malengo hayo njia zifuatazo zitatumika:-
Kutumia TEHAMA/ICT kama kifaa muhimu cha kupeleka taaarifa kwa walengwa kama vile:-
1. Mitandao ya kijamii facebook, RUclips, whatsApp n.k
2. Radio za kijamii na Televisheni
3. Tovuti ya MKUSI
4. Majarida na vijitabu.
Simu: 0675 487387 / 0765 970455 / 0624 223614
Barua Pepe: shambadarasa.net@gmail.com
Tovuti: www.mkusi.org
UFUGAJI WA MBUZI ; UJENZI WA MABANDA YA KISASA YA MBUZI, MABANDA YA KUKU NA MABANDA YA NG'OMBE
Karibu ujipatie banda bora la mbuzi kwa gharama nafuu. Mabanda yanayojengwa kwa mabanzi ya miti na mirunda. Pia tunatoa ushauri na kujenga mabanda yenye nguzo za chuma na sakafu ya zege kwa gharama nafuu sana.
Просмотров: 1 565
Видео
UJENZI WA NYUMBA KITALU YA GHARAMA NAFUU, GREEN HOUSE
Просмотров 3,8 тыс.2 года назад
Karibu ujipatie nyuma kitalu (yaan GREEN HOUSE) kwenye shamba lako itakayosaidia kuzuia magonjwa mbali mbali kwenye mazo yako na kuongeza mavuno mengi zaidi. Huduma hii inatolewa na kampuni ya NOEL AGRICULTURAL AND CONSULTANCY LIMITED kwa kushirikiana na Taasisi ya MKULIMA SMART INITIATIVES (MKUSI). Karibu kwa huduma bora za kilimo na mifigo KWA MAWASILIANO TUPIGIE KWA 0675 487 387, 0764 915692...
WATAALAM WA MAFUNZO YA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA TANZANIA, KAMPUNI NA TAASISI ZA KILIMO NA MIFUGO
Просмотров 2,7 тыс.3 года назад
Video hii ni inakupa mwanga namna gani ya kuanza kilimo na ufugaji wa faida kupitia Taasisi na Kampuni zilizosajiliwa na Serikali ili zitoe huduma ya mafunzo na vifaa vya kilimo. Kilimo na ufugaji wa kisasa umekuwa na changamoto nyingi na wakati mwingine kila mtu amekuwa kama ni mtaalamu wa kilimo na mifugo. Kupitia video hii utazijua taasisi za kupata ushauri namna bora nya kuingia katika kili...
SEMINA YA MAFUNZO YA KILIMO, UFUGAJI NA UJASIRIAMALI
Просмотров 9154 года назад
Kupitia video hii utajifunza namna ya kufuga sungura na wanyama wengine. Pia utajifunza namna ya kutengeneza chakula mbadala cha mifugo kama sungura na kuku. Kwa maswali, maoni na ushauri tafadhali usisite kututembelea katika ofisi zetu Dodoma, na kuwasiliana nasi kupitia namba za simu zinazoonekana kwenye video hii.
KILIMO CHA NYANYA KIBIASHARA; COMMERCIAL TOMATO FARMING
Просмотров 2,2 тыс.4 года назад
Mafunzo ya namna ya kulima nyanaya kibiashara hatua kwa hatua kutoka taasisi isiyokuwa ya Kiserikali ya Mkulima Smart Initiatives (mkusi). Kwa mawasiliano tupigie 0624223614, 0675 487387, 0765970455 Wote mnakaribishwa sana
KILIMO CHA MAHINDI NA MBOGAMBOGA; NANENANE 2020 SIKU-2
Просмотров 2644 года назад
Maonesho ya Kilimo cha Mahindi na mboga mboga siku ya pili ya nanenane 2020, Kanda ya Kati; Dodoma. Maonesho haya yanaletwa kwenu na Mkulima Smart Initiatives (Mkusi). Karibu katika maonesho ya Nanenane ukutane na maafisa wetu. Kwa mawasiliano tupigie kupitia simu: 0675487387, 0764915692, 0765970455, 0624223614
MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE 2020
Просмотров 7934 года назад
Karibu katika mabanda ya Mkulima Smart Initiatives, Dodoma katika banda lao lililopo halmashauri ya Kondoa.
UFUGAJI WA KUKU UNAOLIPA NDANI YA MDA MFUPI UKIWA NA MTAJI KIDOGO NA KUKUPA FAIDA KUBWA
Просмотров 6 тыс.4 года назад
Video hii itakuonyesha njia bora ya na ya kawaida ambayo kila mfugaji anaweza kuimudu kufuga kuku wa kisasa aina ya Chotara na wale wa Kienyeji bila kutumia gharama kubwa. Huna haja ya kuwa na banda kubwa la kisasa na chakula cha kuwalisha kuku kwa muda wote wa ufugaji. Kupitia video hii utajifunza namna kuku wanavyoweza kuishi katika mazingira ya kawaida na wakakua kwa afya nzuri bila ya magon...
JIFUNZE! Ujenzi na sifa za banda bora la ng'ombe wa maziwa
Просмотров 26 тыс.4 года назад
Ujenzi na sifa za banda bora la ng'ombe wa maziwa Sehemu za banda la ng'ombe wa maziwa 1.Sehemu ya kulala 2.Sehemu ya mazoezi 3.Sehemu ya kunjwea maji na kulia
JIFUNZE! Hatua kwa hatua kilimo cha mboga mboga nyanya,hoho,tango,tikiti maji na mboga za majani.
Просмотров 1,5 тыс.4 года назад
Somo la hatua kwa hatua katika kilimo cha mboga mboga za mizizi kama karoti,vituguu,za matunda kama nyanya,bamia,hoho na matango na pia mboga mboga za majani kama mchicha,mnafu,chainizi,kabaji na spinachi
JIFUNZE KUTENGENEZA MASHINE YA KUTOTOLESHA/KUANGULISHA VIFARANGA VYA KUKU (INCUBATOR TANZANIA)
Просмотров 17 тыс.4 года назад
JIFUNZE KUTENGENEZA MASHINE YA KUTOTOLESHA/KUANGULISHA VIFARANGA VYA KUKU (INCUBATOR MASHINE TANZANIA). Aina mbalimbali za incubator full automatic na manual. Namna bora ya kutumia kitotoleshi incubeta za vifaranga vya kuku
JIFUNZE! UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA TANZANIA
Просмотров 11 тыс.4 года назад
UFUGAJI WA NG'OMBE BORA WA MAZIWA ni mradi wenye tija na faida kubwa. AINA MBALIMBALI ZA NGOMBE WA MAZIWA KAMA VILE FRESIAN,JEYSEY,ARSHER,BROWN SWISS NA FLECKVIEH. SIFA ZA AINA MBALIMBALI ZA NG'OMBE WA MAZIWA
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA
Просмотров 27 тыс.4 года назад
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA; AYRSHIRE,FRIESIAN, JERSEY PURE BREED Ng’ombe hawa wana uwezo wa kuzalisha maziwa kwa wastani wa lita 20 hadi 45 kwa siku. Ng’ombe wanao uzwa ni mitamba wenye mimba ya kwanza walau kuanzia miezi 6 hadi 7. Pia ng’ombe madume aina ya Fleckvian, na ndama, na mitamba ambayo haijapandishwa wanapatikana kwa order maalumu. Mteja wetu akiweka oda ataletewa ng’ombe hadi...
KUKU CHOTARA WA SIKU MOJA, WIKI NA MWEZI
Просмотров 1,8 тыс.5 лет назад
Karibu ujifunze jinsi ya na ufugaji bora wa kuku chotara, kuanzia wa siku moja, wiki na mwezi. Kuku chotara kutokana na kuku wa kienyeji. Na pia majogoo wa mbegu kwa ajili ya kuzalisha kuku chotara. Kuku hawa wanapatika kwa wingi Mkulima Smart Initiatives (MKUSI)
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:MIKEKA YA NG'OMBE AU COW MAT (PDF)
Просмотров 3 тыс.5 лет назад
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA:MIKEKA YA NG'OMBE AU COW MAT (PDF) uongeza uzalishaji wa maziwa kwa asilimia thelathini(30%).
KUKU WAZAZI WA MBEGU, VIFARANGA CHOTARA, KUKU WA NYAMA
Просмотров 2,6 тыс.5 лет назад
KUKU WAZAZI WA MBEGU, VIFARANGA CHOTARA, KUKU WA NYAMA
MASHINE ZA KUTENGENEZA VYAKULA VYA MIFUGO,NGOMBE WA MAZIWA
Просмотров 9 тыс.5 лет назад
MASHINE ZA KUTENGENEZA VYAKULA VYA MIFUGO,NGOMBE WA MAZIWA
UFUGAJI WA KUKU; ULEAJI NA UTUNZAJI BORA WA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA,BROILA,LAYERS NA KIENYEJI
Просмотров 1,9 тыс.5 лет назад
UFUGAJI WA KUKU; ULEAJI NA UTUNZAJI BORA WA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA,BROILA,LAYERS NA KIENYEJI
KILIMO CHA NYANYA KWA UMWAGILIAJI WA MFEREJI.PDF
Просмотров 4,3 тыс.5 лет назад
KILIMO CHA NYANYA KWA UMWAGILIAJI WA MFEREJI.PDF
KILIMO BORA NA CHA KISASA CHA MAHINDI TANZANIA,pdf
Просмотров 28 тыс.5 лет назад
KILIMO BORA NA CHA KISASA CHA MAHINDI TANZANIA,pdf
Kuuza mashine za kutotolesha vifaranga na Mafunzo ya Utengenezaji wa automatic Incubator
Просмотров 3,4 тыс.5 лет назад
Kuuza mashine za kutotolesha vifaranga na Mafunzo ya Utengenezaji wa automatic Incubator
UFUGAJI WA KUKU:MACHINE ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA(INCUBATOR) NA MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KUKU
Просмотров 1 тыс.5 лет назад
UFUGAJI WA KUKU:MACHINE ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA(INCUBATOR) NA MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KUKU
KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO NA VIROBA;PDF
Просмотров 23 тыс.5 лет назад
KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO NA VIROBA;PDF
KILIMO NDANI YA GREEN HOUSE(KITALU NYUMBA/SHAMBA KITALU) PDF
Просмотров 2,8 тыс.5 лет назад
KILIMO NDANI YA GREEN HOUSE(KITALU NYUMBA/SHAMBA KITALU) PDF
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA YA NG'OMBEPDF
Просмотров 20 тыс.5 лет назад
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE:BANDA BORA,CHAKULA BORA NA MBEGU BORA YA NG'OMBEPDF
UFUGAJI WA KUKU:SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU WA NYAMA,MAYAI,KIENYEJI NA KUKU CHOTARA PDF
Просмотров 7 тыс.5 лет назад
UFUGAJI WA KUKU:SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU WA NYAMA,MAYAI,KIENYEJI NA KUKU CHOTARA PDF
UFUGAJI WA KUKU CHOTARA:-AINA ZA KUKU,KUKU KUROILA,SASSO,MALAWI NA KENIBRI PDF
Просмотров 9 тыс.5 лет назад
UFUGAJI WA KUKU CHOTARA:-AINA ZA KUKU,KUKU KUROILA,SASSO,MALAWI NA KENIBRI PDF
KILIMO CHA MBOGAMBOGA:KILIMO CHA KAROTI,BUSTANI YA KAROTI NA SOKO LAKE,PDF
Просмотров 17 тыс.5 лет назад
KILIMO CHA MBOGAMBOGA:KILIMO CHA KAROTI,BUSTANI YA KAROTI NA SOKO LAKE,PDF
KILIMO CHA ZABIBU (GRAPES) KIBIASHARA DODOMA TANZANIA PDF
Просмотров 7 тыс.5 лет назад
KILIMO CHA ZABIBU (GRAPES) KIBIASHARA DODOMA TANZANIA PDF
MKULIMA SMART INITIATIVES (MKUSI)- NI ASASI ISIYOKUWA YA KISERIKALI YAANI NGO,PDF
Просмотров 9865 лет назад
MKULIMA SMART INITIATIVES (MKUSI)- NI ASASI ISIYOKUWA YA KISERIKALI YAANI NGO,PDF
Naitaji ng,ombe mwenye kutoa maziwa mengi je? Nitampata kwa gharama Gani? Niko Kagera karagwe naitwa Andasmart
Naomba unipatie mawasiliano ya yako
Bei gani mnatengeneza green house
Mpo vizuri sana
Mm nipo mkoa wa tanga nitumie aina gani ya mbegu
Mm nipo mkoa wa tanga nitumie aina gani ya mbegu
Naitadi mafinzo zainji
Ongeleni sana
Asante sana Mwl kwa weledi wako ktk kufundisha shamba darasa.
Umwagiliaji wa maji nyanya unaweza kumwagilia juu kwenye majani?
Wow, somo zuri, endeleeni kutuelimisha. Ahsante.
Hitaji mbegu napaataje
Asante kwa mafunzo
Je unaweza kuwapa kuku hydroponic pekeyake bila kuwa changanyiya chakula chochote kile?
NAOMBA NAMBA ZA OFISI PLS
NAITAJI MASHINE YAVKUFUNGA MAJANI PLS
Umeeleza vizuri ila hujazungumzia magonjwa na kuyakabili
Nahitaji mbegu bora mkuu nahitaji kulima hekari tano ahsant
Pia mbengu nzuri inayoota vizuri nayenye mapato
Naomba elimu jamani niko Mbulu vijijini
Habari naomba no yako
Follow me
🎉
Nitawapataji hao waalim WA shamba darass?
Naitwa mbaseli kimboi ninafurai Sana Kwa kupata elimu ya kilimo cha nyanya
vizuri sana na hongera sana
Safi sana
Hongeraa Sana mwalimu wangu kwa elimu yako
Asanteee sana mwalimu wangu congratulations
Safi sana, na mm nataka kilima
Nataka
Mbegu ya nyanya aina ya asila
Naomba namba yao
HP Moshi tech
Asante kwa elimu
Iv mtaji kianzio iafaa uwe na kiac gani?
Nimeifurahia makala yako na jinsi ulivyonielimisha kwa kutengeneza mabanda bora kwa mbuzi na kondoo. Asante kwa elimu hii. Je, urefu wa kutoka ardhini hadi ulikoanzia banda, ninaona kama mita moja ni urefu mfupi. Sehemu zenye fisi, wanaweza kubomoa na kuvuta wanyama hao, mbuzi na kondoo kirahisi sana. Urefu uzidi mita na nusu au mbili kabisa, hawajafikia kutoka chini. Kwa ujumla, asante kwa elimu njema na muhimu kwa wafugaji.
Kondoo wa sufi nawapatikana wap mwalim
Napenda kujua mnapatikana wapi
Shamba kukodi bei gani kwa eka
Asante kwa elimu,
Habari,,vp kwa mkoa wa dar es salaam hatuwezi kulima vitunguu
Kama udongo uko vizuri unaweza kulima, lakini hali ya hewa inaweza ikafelisha
Mbegu Bei gani
Karstas ya juu mnauzaje kwa mita
Ikiwa kilimo kipo kwenye mfano wa contour farming zile sm 30 unazizingatia vipi
Ooh SOMO umefunza vizur
Tumejfunza kitu
Nataka kulima vitunguu maji mwezi huu wa pili,nitafanikiwa?
Je ekari moja unabeba mashina mangapi
Nahitaji ushauri wenu zaidi,je,mnapatikana wapi? Je,hua mnauza mbegu,na kama mnauza nitazipataje?niko mkoa wa mara,wilaya ya bunda.
Kuvuna vitunguu siku 90,nitofauti na siku 45 za kwenye kitalu?
Naomba vipimo vya mbanda