- Видео 98
- Просмотров 1 389 549
Joshua Mlelwa
Танзания
Добавлен 10 янв 2017
Akaunti Official ya Bro. Joshua Mlelwa. Karibu SUBSCRIBE, Like na Kushare.
Mawasiliano:
0714 237 524.
Barikiwa sana.
Mawasiliano:
0714 237 524.
Barikiwa sana.
Видео
Chini Ya Mwamba - Joshua Mlelwa & KUG
Просмотров 16 тыс.Год назад
Chini Ya Mwamba - Joshua Mlelwa & KUG
Hakuna Kama Wewe - Bro Joshua Mlelwa
Просмотров 4,2 тыс.Год назад
Hakuna Kama Wewe - Bro Joshua Mlelwa
HAKUNA KAMA WEWE (clip) - Joshua Mlelwa
Просмотров 655Год назад
HAKUNA KAMA WEWE (clip) - Joshua Mlelwa
LEO - Joshua Mlelwa, Mahita grounds Kitunda.
Просмотров 499Год назад
LEO - Joshua Mlelwa, Mahita grounds Kitunda.
Taifa Letu (Official Video) - Joshua Mlelwa
Просмотров 8 тыс.Год назад
Taifa Letu (Official Video) - Joshua Mlelwa
Jina lako li hai - Joshua Mlelwa & KUG
Просмотров 4,7 тыс.2 года назад
Jina lako li hai - Joshua Mlelwa & KUG
Niende na Nani - Joshua Mlelwa & KUG
Просмотров 3,1 тыс.2 года назад
Niende na Nani - Joshua Mlelwa & KUG
Mungu ni mwema - Joshua Mlelwa & KUG
Просмотров 2,5 тыс.2 года назад
Mungu ni mwema - Joshua Mlelwa & KUG
Amen Haleluya - Joshua Mlelwa & KUG
Просмотров 1,9 тыс.2 года назад
Amen Haleluya - Joshua Mlelwa & KUG
Blessed
Ameni
Jamani ubarikiwe sana
Nmeutafuta sana😢 Thanks to my sister 🫶🏽 GOD BLESS YOU KUG!
One of their best songs❤
Amina Sana!
Anaweza yote ,this song blesses my heart
Hakika nyimbo za hili kundi zililenga kuliinua, kulisifu jina la Yesu, zililenga kumwamudu Mungu peke yake. Nyimbo zilijaa nguvu za Mungu. Barikiweni Joshua na kundi lote.
Kwakweli
Beautiful and very powerful. BARIKIWENI sana Joshua Mlelwa na timu yako.
tuonane paradiso kwetu
❤❤
Aliyebarikiwa kumjuwa Mungu atabarikiwa tu. Huu mwimbo niliupenda sana❤
Mungu Azidi kuwabariki, Nyimbo inayo tukumbusha Nyumbani kwetu Paradizo. Hapa duniani siyo kwetu. TUTAMUONA BWANA YESU NYUMBANI KWETU🙏🙏🙏
Tuonane paradiso Baba yangu
Watoto kulawitiwa,ushoga na usagaji kuongezeka,wamama kutembea na watoto wadogo now day wanaitwa mishangazi,wababa kutembea na vibinti vidogo wanaitwa masponser au baby dady,Haya yote yapo ndani ya huu wimbo,Mungu atunusuru tuzidi kurudi kwake kukiendea kiti cha rehema.
Who's is still here in 2024❤..memories that last..wale wa radio ya injili moshi mpoo??ikifika saa flan wanaweka kibwagizo cha wimbo huu then mwakasege
❤❤❤❤❤🎉
Namuona mkewe, Je! Hao mabinti ni watoto wao?
These guys were very strong
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏❤❤❤
This is nice song congratulations indeed God is good
Still listening from kenya...
Huu Wimbo haujawai Nicholas nimpya kila iitwapo leo
Nyimbo zako kila kukicha zina kuwa mpya
Nabarikiwa mno
Rudin wapendwa muifanye kaz ya Mungu
Nilikua mdogo kipindi nazisikilizaa Kwa Bibi yangu😅😅😅 mpak Leo mkubwa TU sizichoki ndo nazipenda badooo❤❤❤
Injili kwelikweli! Oh haleluya!🎉
Natafakari sana huu wimbo 💔 2024
ANaweza yote balikiwa san
Mwaka 2004 Tulikuwa tunaimba bam bam kabla hatujaanza kuangalia muvie ya yesu kwenye sinema walikuwa wanatuwekea huu wimbo huu wakati sinema inapandishwa juu tumecheza saana huu wimbo na kwenye mikesha mbali mbali
Mwaka 2004 kwenye mikesha ya pasaka na kirsimas nakumbuka sana
Mtumishi Joshua Mulelwa MUNGU akubariki sana maana kila nikisikiliza wimbo huu nabarikiwa na kububujika
Pongezi Bro Joshua Mlelwa
Amina
I really don't know the meaning of this song, but deeply in my heart, I LOVE IT soo much, from childhood to date.
❤
Kwaya zote zazamani uimbaji wao ulikuwa vizuri sana Mwenyezi MUNGU awabariki watumishi
Nyimbo imebeba ujumbe mkubwa sana na itaishi milele, huu wimbo umenikumbusha enzi za utoto 2000 ulikua moja ya nyimbo pendwa za Wazazi wangu enzi hizo hadi leo umenikaa kichwani hauwezi isha mwezi sijauimba huu wimbo
Nyimbo nzuri saaana na haina makosa hata kidogo. Kwanini msiifanyie remix jaman irudiwe tuu
Nakukubali sana
Jamani nawapenda sanaaa❤❤❤❤
Haleluyah !! Mungu akutunze na azidi kukuweka Kaka yangu, nabarikiwa sana na huduma yako
Haaaaaa haaaa 😂😂 nimefurahi sana kiukwel balikiwa mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙌❤️
Asante
I feel blessed. Thank you Jesus🙏🏻
Amen 🙏🙌 ubalikiwe Sana Kwa kumuinulia sauti yako mfalme wa WAFAlME
Ameni ubalikiwe Sana mtumishi wa Mungu ❤🎉🎉
these songs should be re-done live. KUG mlijua kutulea aisee, be blessed😭
Wimbo huu una nguvu sana yamungu Ata unapousikiliza Kuna hatua fulani unachukua .