Muhimbili TV
Muhimbili TV
  • Видео 164
  • Просмотров 760 313
HUDUMA ZA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA WAKATI (NJITI) Fuatana na Prof. Mohamed Janabi Kujifunza zaidi
HUDUMA ZA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA WAKATI (NJITI)
Fuatana na Prof. Mohamed Janabi akihojiana na Daktari Bingwa Mbobezi wa Watoto Wachanga Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Martha Mkony kufahamu sababu za watoto kuzaliwa kabla ya wakati, huduma za kibobezi wanazopata hosptalini na wito kwa jamii yenye uwezo kuchangia huduma hizo ambazo hutolewa kati ya siku 14 hadi 60 kwa mtoto kufikia uzito wa kawaida na kuruhusiwa.
#AFYAPODCAST
Просмотров: 454

Видео

FUATANA NA PROF. MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA
Просмотров 29 тыс.2 месяца назад
KATIKA MAKALA HII FUATANA NA PROF MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA Video kwa Hisani ya Upendo Media
Umuhimu wa namba ya Usajili wa Matibabu katika Hospitali.
Просмотров 5263 месяца назад
Umuhimu wa namba ya Usajili wa Matibabu katika Hospitali Fuatana na Mkuu wa idara ya kumbukumbu na taarifa za wagonjwa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Geofrey Semu kupata elimu zaidi kuhusu hili.
UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI UMETOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU MTOTO AMAL A. BETTA.
Просмотров 7363 месяца назад
UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI UMETOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU MTOTO AMAL A. BETTA AMBAYE TAARIFA ZAKE ZIMESAMBAA MTANDAONI KUWA AMECHELEWESHEWA RUFAA KUTIBIWA NJE YA NCHI.
FAHAMU KUHUSU TATIZO LA CHANGO KWA WATOTO FUATANA NA DAKTARI WETU KUFAHAMU ZAIDI.
Просмотров 4894 месяца назад
FAHAMU KUHUSU TATIZO LA CHANGO KWA WATOTO FUATANA NA DAKTARI WETU KUFAHAMU ZAIDI.
Ungana na Prof. Janabi kufahamu Huduma zinazotolewa kwa Warahibu wa Pombe, Muhimbili.
Просмотров 1,4 тыс.4 месяца назад
Ungana na Prof. Janabi kufahamu Huduma zinazotolewa kwa Warahibu wa Pombe na Dawa za Kulevya Hospitali ya Taifa Muhimbili
WATOA HUDUMA MUHIMBILI WALIVYOPIGANIA UHAI WA MTOTO MALIKI HASHIMU
Просмотров 1,3 тыс.5 месяцев назад
WATOA HUDUMA MUHIMBILI WALIVYOPIGANIA UHAI WA MTOTO MALIKI HASHIMU
MALIKI HASHIMU (GOBA) ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS.
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
MALIKI HASHIMU (GOBA) ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS, WATOA HUDUMA, VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
Просмотров 27 тыс.5 месяцев назад
JE KUNYWA POMBE NI AFYA? Ungana na Prof. Mohamed Janabi katika mahojiano maalum na Prof. Pamela Kaduri, Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili na Mbobezi wa Uraibu kutoka chuo Kikuu cha Toronto, Hospitali Kuu ya Afya ya Akili na Uraibu (Centre for Addiction and Mental Health), Canada ili kupata ufahamu zaidi kuhusu athari zitokanazo na unywaji pombe.
IS DRINKING ALCOHOL HEALTHY?
Просмотров 1,3 тыс.5 месяцев назад
IS DRINKING ALCOHOL HEALTHY? Join Prof. Mohamed Janabi in his Exclusive Interview with visiting Prof. Pamela Kaduri from the Centre for Addiction & Mental Health (CAMH), and the University of Toronto, (Canada) to get more insight on the risks of drinking alcohol.
Enhancing and Strengthening Plastic Surgery at Muhimbili National Hospital
Просмотров 8705 месяцев назад
Join Prof. Mohamed Janabi, the Executive Director of Muhimbili National Hospital on his exclusive interview with visiting Plastic Surgeons Prof. Kenneth Bermudez and Dr. Edward Miranda from University of Califonia San Francisco-USA aiming at performing and training for plastic and reconstruction surgery as well as paving way for further collaboration with the hospital.
One-on-one with Prof. Mohamed Janabi and Barbara Harper Founder/Director Waterbirth International
Просмотров 4895 месяцев назад
*#Full Interview One-on-one with Prof. Mohamed Janabi and Barbara Harper Founder/Director Waterbirth International#*
BODI YA WADHAMINI KUFANYA MABORESHO YA VITUO VYAKE VITATU VILIVYOPO NJE YA MUHIMBILI UPANGA
Просмотров 1936 месяцев назад
Bodi ya Wadhamini na Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wamefanya ziara kwenye vituo vyake vilivyoko nje ya eneo la Upanga ili kuona hali halisi ilivyo kuelekea hatua mbalimbali za kuviboresha kutoa huduma bora zaidi.
MUHIMBILI YAONGEZA KASI YA UPATIKANAJI MAPEMA MAJIBU YA VIPIMO VYA MAABARA
Просмотров 7556 месяцев назад
Katika kuimarisha huduma bora kwa wagonjwa ikiwemo upatikanaji mapema wa majibu ya vipimo vya maabara, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeongeza pikipiki mbili kufikia nne ili kurahisisha usafirishaji haraka wa sampuli kutoka majengo ya kutolea huduma yaliyopo sehemu mbalimbali ndani ya hospitali ukilinganisha na ilipo maabara kuu.
KATIKA KILA WANAWAKE WATANO, MWANAMKE MMOJA ANA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU, PROF. JANABI #Afyapodcast
Просмотров 9 тыс.7 месяцев назад
KATIKA KILA WANAWAKE WATANO, MWANAMKE MMOJA ANA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU, PROF. JANABI #Afyapodcast
THE REPUBLIC OF KOREA COMMITS CONTINUED SUPPORT TO MUHIMBILI
Просмотров 1607 месяцев назад
THE REPUBLIC OF KOREA COMMITS CONTINUED SUPPORT TO MUHIMBILI
JAMHURI YA KOREA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA MUHIMBILI KWENYE HUDUMA ZA KIBINGWA NA MIFUMO
Просмотров 1397 месяцев назад
JAMHURI YA KOREA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA MUHIMBILI KWENYE HUDUMA ZA KIBINGWA NA MIFUMO
Kama familia au ukoo wako una historia ya Saratani tafadhali tazama video hii ili kujifunza.
Просмотров 3,2 тыс.7 месяцев назад
Kama familia au ukoo wako una historia ya Saratani tafadhali tazama video hii ili kujifunza.
Mwaisela waja na Janabi Cup
Просмотров 3988 месяцев назад
Mwaisela waja na Janabi Cup
Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu.
Просмотров 1,1 тыс.8 месяцев назад
Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu.
"Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital
Просмотров 3308 месяцев назад
"Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital
#AFYAPODCAST Fahamu juu ya Matibabu mapya ya kiharusi Muhimbili
Просмотров 12 тыс.8 месяцев назад
#AFYAPODCAST Fahamu juu ya Matibabu mapya ya kiharusi Muhimbili
MUHIMBILI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOA ELIMU YA MALEZI NA KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI
Просмотров 2768 месяцев назад
MUHIMBILI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOA ELIMU YA MALEZI NA KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia yazinduliwa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi
Просмотров 1158 месяцев назад
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia yazinduliwa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia Muhimbili
Просмотров 828 месяцев назад
*Awamu ya pili ya mradi wa Himofilia Muhimbili
UZINDUZI WA MASHINE YA KISASA INAYOPIMA SARATANI YA MATITI MUHIMBILI (MAMMOGRAPHY)
Просмотров 7278 месяцев назад
UZINDUZI WA MASHINE YA KISASA INAYOPIMA SARATANI YA MATITI MUHIMBILI (MAMMOGRAPHY)
*# Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi
Просмотров 1,8 тыс.8 месяцев назад
*# Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi
Muhimbili inafanya huduma ya ubadilishaji wa damu kwa wagonjwa wa Selimundu ( Sickle Cell)
Просмотров 3518 месяцев назад
Muhimbili inafanya huduma ya ubadilishaji wa damu kwa wagonjwa wa Selimundu ( Sickle Cell)
#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..
Просмотров 151 тыс.9 месяцев назад
#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..

Комментарии

  • @SHABANRAJABU-v3k
    @SHABANRAJABU-v3k 3 дня назад

    Sasa ndugu zangu walimwengu wote huu ni ushahidi was kutosha kwamba uislam ni dini ya mwenyez mungu na ni din ya haki walimwengu tuifate tutafaulu dunian na akhera

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 6 дней назад

    Watu wa kipato Cha chini tunakula ugali maharage Kila siku mbona hatunenepi prof janabi?

  • @alhajisabigoro2408
    @alhajisabigoro2408 7 дней назад

    Hapo kwenye Bango tafadhari tengua kauli…Asante kwa kutukumbusha MKUU…

  • @obeydmwemezi3663
    @obeydmwemezi3663 7 дней назад

    Mbona masaii inakula nyama sana ila hapana ugua figo

  • @shabanrajab1899
    @shabanrajab1899 7 дней назад

    Master janabi

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 8 дней назад

    Mheshimiwa prof janabi ipi halari kula ugali wa Dona au ugali wa sembe?

  • @SaidiKimbewele
    @SaidiKimbewele 8 дней назад

    Kuanzia dalika ngapi muda saihi

  • @SaidiKimbewele
    @SaidiKimbewele 8 дней назад

    Vipi doctor kuusu ngono kutumia kwa muda mwingi kuna madhara

  • @JacobNikolaus-oy2ld
    @JacobNikolaus-oy2ld 9 дней назад

    Enderea kutuelimisha dokta na mengine

  • @aliothman9393
    @aliothman9393 10 дней назад

    Thenkyou profesa janabi ila vip kwa watu ambao siwatumiaji wa vitu ulivo vitaja lakn wanasumbuliwa na ugonjwa huo

  • @MohamedChillo
    @MohamedChillo 10 дней назад

    Hongera sana Professor nakuelewa sana na sipingani na utaalamu ,waelemishe Watanzania

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 11 дней назад

    Kwenye bangi hapo mnamsingizia huyo mmea mm sina ubaya nae.

  • @MussaRamadhan-p1e
    @MussaRamadhan-p1e 13 дней назад

    Very nice

  • @yussufkhamis1888
    @yussufkhamis1888 14 дней назад

    Tuambie na sisi iyo dawa ya sukari inayoshusha

  • @omarysaidy4531
    @omarysaidy4531 17 дней назад

    #6:09

  • @omarysaidy4531
    @omarysaidy4531 17 дней назад

    #6:09

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 18 дней назад

    Tumekula shamba😂😂

  • @BenedictMwaibasa
    @BenedictMwaibasa 18 дней назад

    Asante sana kwa mawaidha. Kwa kweli ushauri ukifuatwa pamoja namazoezi ya mwili kisukari ni reversible mia kwa mia. Mwenyezi Mungu ni mkubwa.

  • @irenekayombo5509
    @irenekayombo5509 19 дней назад

    Asante doctor🙏

  • @vincentobrien8676
    @vincentobrien8676 19 дней назад

    clinic yenu ya nje ni ipi tena

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 22 дня назад

    Mimi na pita hizo lita 3asubuhi tu nakunywa 1.5😢😢bila kula kitu nikinywa chai ndio namaliza ndoo hili limekaaje dokta

  • @ShemuEmmanuel
    @ShemuEmmanuel 22 дня назад

    Inapendeza saaana kupata elimu kama hii

  • @WardDaudi
    @WardDaudi 22 дня назад

    🎉napata elimu kubwa Allah akuweke Inshaallah!

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 25 дней назад

    Doctor kwa watu wenye vidonda vya tumbo unafanyeje kitaalamu kupunguza uzito

  • @kmcccohas
    @kmcccohas 25 дней назад

    Wew ni hazina one day yes nitakuwa kama ww

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 28 дней назад

    Mungu awe nasi sote. Asante sheikh.

  • @AshaChambo-qf2pv
    @AshaChambo-qf2pv 28 дней назад

    Asante sana Dr. Kuna point umesema sukari kupitiliza. Mfano unatumia asali badala ya sukari je unatakiwa utumie asali kiasi gani mf ktk kikombe cha chai?

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 28 дней назад

    Mbona viongozi wengi wanatoniwa nje ya nchi?

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 28 дней назад

    Hongera Professor Janabi kwa kuteuliwa kuwa MSHAURI wa Rais kwa mambo ya afya.

  • @angelinacharles8144
    @angelinacharles8144 Месяц назад

    Mmh hyu dtl Huwa namuelewa lakin swal langu ni je kwamaisha hayahaya ya wasakatonge au ni kwa wenzeyu wakina yaheeeee

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Месяц назад

    Basi tule chumvi tusinywe maji

  • @othmanbomboma9048
    @othmanbomboma9048 Месяц назад

    Dr J naona leo mixer umewafungia lemba kabisah, Nakukubali mzee wa ma lemba😂...

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Месяц назад

    Asante doctor

  • @evaristosanga471
    @evaristosanga471 Месяц назад

    Mungu akulinde Prof.Janabi, Hakika elimu yako ni tunu kwa watanzania.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Месяц назад

    Huyu ndie m Tanzania anae timiza ahadi ya ccm isemayo nitajielemisha kadili ya uwezo wangu nakutumia elimu yangu. Kwa faida ya wote

  • @manenokamola6410
    @manenokamola6410 Месяц назад

    Bora tukafuate jamani

  • @manenokamola6410
    @manenokamola6410 Месяц назад

    Pengine tukifuata mashart yake tutakuwa kama yeye

  • @manenokamola6410
    @manenokamola6410 Месяц назад

    Kweri kama kanaumwa vile

  • @festodaud1781
    @festodaud1781 Месяц назад

    elimu nzur sn, skuijua hii Tv

  • @JosephfNshito-md6vz
    @JosephfNshito-md6vz Месяц назад

    Itoshe kusema Asante Kwa somo zuri la afya Prof Mohammed Janab Mungu akutunze

  • @awadhkitapa1579
    @awadhkitapa1579 Месяц назад

    Dr ni chakula gani kinafaa kwa mtu mwenye tatizo la figo ?

  • @robimary2187
    @robimary2187 Месяц назад

    Am now 67kg from 78kg....thanks Dr Janabi

  • @SalamaAme-t3t
    @SalamaAme-t3t Месяц назад

    Mungu akupe maisha marefu dkt

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Ningekua na prsa ningelikata hilitumbo limezidi nakulamlommojatu napungua ilatumbo linaningi,niatu pia tumbo pana sana minuamatu

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 Месяц назад

      Wengine wanatakw unene wengine wanataka wembamba ila muhim zaidi kuwa na afya nzuri ndo mtaji

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      @kautharjay5868 Sana mm.unene naupenda silipendi kitambitu

  • @HusnaIssa-o6d
    @HusnaIssa-o6d 2 месяца назад

    Shukurani dokta mwenye zimungu akubariki kwa mfuzo yako

  • @MariumWaziry
    @MariumWaziry 2 месяца назад

    Nina maswari kabla ya kuja toeni no

  • @NezumaAli
    @NezumaAli 2 месяца назад

    Dah, umetisha sana pro,janab elimu nzur sana

  • @NezumaAli
    @NezumaAli 2 месяца назад

    Hongera sana kwakutuelimisha

  • @Mwaija-v3u
    @Mwaija-v3u 2 месяца назад

    Allah akubariki sanaa Dr jalabi

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 2 месяца назад

    Mimi nimeanza kufatilia prof J anachosema kwaio ili nisisahau kila siku haipiti bila kusikiliza ili nitengeneze afya yangu Mungu akuweke