- Видео 187
- Просмотров 42 889
DAR CITY TV
Добавлен 14 авг 2014
Ukurasa maalumu wa RUclips wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DSM AFANYA ZIARA YA KUKAGUA ENEO LA UJENZI WA BARABARA YA MAJOHE
Kiasi cha Shilingi Milioni 750 kimetengwa kutoka fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutekeleza mradi wa barabara ya mtaa wa Halisi kata ya Majohe kwa kiwango cha zege.
Hayo yamebainishwa leo Januari 06, 2025 na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mheshimiwa Omary Kumbilamoto wakati wa ziara ya kukagua eneo hilo la ujenzi.
Akiongea wakati wa ziara hiyo Mhe. Kumbilamoto amemshukuru Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fedha anazotoa kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo huku akitoa wito kwa Wakandarasi kutekeleza miradi kwa muda uliopangwa ili waweze kutimiza adhma ya...

Просмотров: 73
Видео
JIJI LA DSM LATENGA FEDHA KUNUNUA MAGARI YENYE HOSPITALI INAYOTEMBEA (MOBILE CLINIC HOSPITAL)
Просмотров 79 часов назад
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMETENGA FEDHA KUNUNUA MAGARI YENYE HOSPITALI INAYOTEMBEA (MOBILE CLINIC/ HOSPITAL)
ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
Просмотров 69 часов назад
Ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyofanyika tarehe 04.01.2025 ikiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mheshimiwa Omary Kumbilamoto na Mkurugenzi wa Jiji hili Elihuruma Mabelya pamoja na Wataalamu kutoka Halmshauri ya Jiji la Dar es salaam.
TUTAHAKIKISHA MIKOPO YA 10% INAWAFIKIA WALENGWA - DC MPOGOLO
Просмотров 4328 дней назад
TUTAHAKIKISHA MIKOPO YA 10% INAWAFIKIA WALENGWA - DC MPOGOLO
TUNAMSHUKURU MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA KWA AJILI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 - MEYA JIJI LA DSM
Просмотров 728 дней назад
TUNAMSHUKURU MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA KWA AJILI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 - MEYA JIJI LA DSM
TUTAHAKIKISHA MAMA NA BABALISHE WOTE JIJI LA DSM WANATUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Просмотров 2728 дней назад
TUTAHAKIKISHA MAMA NA BABALISHE WOTE JIJI LA DSM WANATUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
"TUMEJIPANGA KUHAKIKISHA HAKUNA DOSARI ITAKAYOJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA KUPIGA KURA"- MABELYA
Просмотров 40Месяц назад
Msimamizi wa Uchaguzi Jiji la DSM Elihuruma Mabelya akiongea na wananchi na vyombo vya habari mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Serikali ya Mtaa wa Karume
KIKUNDI CHA HAMASA YA KUPIGA KURA KIMEWAFIKIA WANANCHI WA MAENEO YA KITUNDA.
Просмотров 35Месяц назад
Kikundi Maalum Cha Kuhamasisha Wananchi Kupiga Kura, kimefika Mitaa mbalimbali ya Kitunda na Kata za Kipungunguni na Kivule.
MICHUANO YA KUMBILAMOTO CUP IMEFIKIWA NA HAMASA YA UCHAGUZI
Просмотров 9Месяц назад
Kikundi cha Hamasa cha Halmashauri ya Jiji lla Dar es Salaam kimeendelea na zoezi la kuhamasisha katika Michuano ya Kumbilamoto Cup Vingunguti
HAMASA YA KUPIGA KURA INAVYOTOLEWA MITAANI JIJI LA DSM
Просмотров 26Месяц назад
Kikundi Maalum cha Hamasa Jiji la Dar es Salaam kimeendelea na Kampeni ya Kuhamasisha Wananchi kujitokeza Kupiga kura ndani ya Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dsm
SIKU MBILI ZA KONGAMANO KUBWA LA MIKOPO YA 10% KUFANYIKA MNAZI MMOJA.
Просмотров 152 месяца назад
SIKU MBILI ZA KONGAMANO KUBWA LA MIKOPO YA 10% KUFANYIKA MNAZI MMOJA.
WANAOKAIDI KUFANYA USAFI WA MAENEO YAO KUCHUKULIWA HATUA
Просмотров 1092 месяца назад
WANAOKAIDI KUFANYA USAFI WA MAENEO YAO KUCHUKULIWA HATUA
TUNAMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA KWA KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU - MKURUGENZI MABELYA
Просмотров 762 месяца назад
TUNAMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA KWA KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU - MKURUGENZI MABELYA
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO
Просмотров 2952 месяца назад
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO
Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Просмотров 2552 месяца назад
Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
DC MPOGOLO AINGIA MITAANI NA BODABODA KUHAMASISHA UCHAGUZI
Просмотров 962 месяца назад
DC MPOGOLO AINGIA MITAANI NA BODABODA KUHAMASISHA UCHAGUZI
JIJI LA DAR ES SALAAM KUFUNGWA TAA, BIASHARA KUFANYIKA MASAA 24
Просмотров 932 месяца назад
JIJI LA DAR ES SALAAM KUFUNGWA TAA, BIASHARA KUFANYIKA MASAA 24
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIJI LA DSM ATOA WITO KWA WANANCHI KUENDELEA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA
Просмотров 232 месяца назад
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIJI LA DSM ATOA WITO KWA WANANCHI KUENDELEA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIJI LA DAR ES SALAAM AHAMASISHA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Просмотров 692 месяца назад
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIJI LA DAR ES SALAAM AHAMASISHA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA
TUMUHESHIMISHE RAIS DKT. SAMIA KWA KAZI KUBWA ANAYOIFANYA KUANZIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Просмотров 3773 месяца назад
TUMUHESHIMISHE RAIS DKT. SAMIA KWA KAZI KUBWA ANAYOIFANYA KUANZIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
"TUJIANDIKISHE KADI ZA KUPIGIA KURA HAZITUMIKI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA" DC MPOGOLO
Просмотров 643 месяца назад
"TUJIANDIKISHE KADI ZA KUPIGIA KURA HAZITUMIKI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA" DC MPOGOLO
MIKOPO YA ASILIMIA 10 INAKWENDA KUNUFAISHA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU - MKURUGENZI JIJI
Просмотров 523 месяца назад
MIKOPO YA ASILIMIA 10 INAKWENDA KUNUFAISHA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU - MKURUGENZI JIJI
MKURUGENZI WA JIJI LA DSM NDG. MABELYA AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Просмотров 6003 месяца назад
MKURUGENZI WA JIJI LA DSM NDG. MABELYA AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
TUMETENGA ZAIDI YA BILIONI 11 KUWAWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI - DC MPOGOLO
Просмотров 533 месяца назад
TUMETENGA ZAIDI YA BILIONI 11 KUWAWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI - DC MPOGOLO
TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUREJESHA MIKOPO YA 10% - MKURUGENZI ELIHURUMA MABELYA
Просмотров 2193 месяца назад
TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUREJESHA MIKOPO YA 10% - MKURUGENZI ELIHURUMA MABELYA
TUNASHUKURU KUPATIWA MAFUNZO YA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO YA 10% HALMASHAURI YA JIJI LA DSM
Просмотров 133 месяца назад
TUNASHUKURU KUPATIWA MAFUNZO YA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO YA 10% HALMASHAURI YA JIJI LA DSM
MSANII BAROBARO ANAWAOMBA WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Просмотров 223 месяца назад
MSANII BAROBARO ANAWAOMBA WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
RC CHALAMILA AKABIDHI MAGARI MAPYA KWA DC WA TEMEKE NA KINONDONI
Просмотров 1,7 тыс.3 месяца назад
RC CHALAMILA AKABIDHI MAGARI MAPYA KWA DC WA TEMEKE NA KINONDONI
MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA UTOAJI ELIMU JUMUISHI JIJI LA DAR ES SALAAM
Просмотров 233 месяца назад
MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA UTOAJI ELIMU JUMUISHI JIJI LA DAR ES SALAAM
0:23 mark! Yaani hao wamiliki wa hilo jengo jeupe wameshindwa kulipaka rangi? Walau chokaa tu ili liwe na hadhi kama majengo mapya yanalolizunguka?? Yaani sometimes mijitu mingine inaniuzi. It’s the SMALL DETAILS that make ALL the DIFFERENCE , you can’t have BEAUTIFUL MODERN buildings then look to your left and it’s an OUTDATED DILAPIDATED building looking like it’s been abandoned yet we are aiming to make DAR an INTERNATIONAL city??? We can’t be serious!!
AISEE NILIONA KULE TEGETA PEMBEZONI MWA BRBR YA BAGAMOYO NI KUCHAFU MPAKA AIBU. WATU WA KULE MBONA HAWAJIUNGI KUFANYA USAFI??? LINGINE NI KWAMBA SIO USAFI TU, TUPANDENI MITI NA MANYASI PEMBEZONI MWA BRBR NA NJE YA MAJUMBANI KWETU, JIJI JUA KALI, LINAHITAJI VIVULI VYA KUTOSHA EBO!!
Kusema ukweli bado kuna changamoto kubwa sana ya ufanyaji usafi Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla. Sheria na usimamizi wa mambo ya usafi kwa sasa haviwabani wale wanaokwepa kufanya usafi. Matokeo yake unakuta bado kuna maeneo mengi ni machafu jijini Dar es salaam. Hata ukipita kando kando ya barabara unakuta pembeni ya barabara zetu kumejaa michanga na mavumbi yanayochangia kuongeza uchafu mpaka unajiuliza kama wale wafagia barabara wana watu sahihi wanao wasimamia au ndo wameamua kula mishahara na kufanya ubabaishaji!
HAPO SASA! NI KAMA UMENISOMA AKILI ZANGU!! YAANI BADO HATUJAFIKIA LEVEL YA KIGALI AMA KULE COTONOU BENIN 🇧🇯
Mh Saad mtambulee piga kazi tupo na wewe
Mkurugenzi barabara za katikati ya jiji ni aibu. Jiji kubwa kama Dar halitakuwi liwe na barabara za vumbi. Ni aibu.
mjini city centre ya DAR hakuna DUST bins.................Why.?
Safi mkurugenzi
Mh
#Tanzania 🇹🇿
❤️
asante daktari
Ilikuwa siku yenye uelimishwaji mzuri kwa kila mmoja wetu.🙏🙏🙏✍️
Tunaomba magomeni makuti a mtakuja kujuta au kupata hasara kubwa ya kulipa watu kwa ujenzi holela unaoendelea bila halmashauri tarura ardhi ttcl tanesco kujali madiwani wenyeviti mbunge wapo wote hao ila hamna uangalizi wa aina yoyote yale wala hawajali ktk kura mbelembele hatuwaoni wala hatujawaona
Mama🎉🥳
Hii imeenda
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa hakika ni Mfano wa Kuigwa
Mhhhhhh
Hongera Dr, ulinifundisha UONGOZI BORA -UDOM
Chanika oyeeeee
Kweliiiii
thanks tutor wangu wa sociology nice speech
pull up lovely dr.... kupeleka chuo chetu mbele LGTI OYEEEE