Do you have Kwaya ya Mt Kizito Makuburi consent to have their project on your account, don't rip where you didn't invest, this is God's and Church work and you pay for it painfully, don't be ignorant. Evangelising is important but seek for consent. You are exploiting this choir for your your own personal gain.
{ Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee heee Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee } *2 { Utukufu nakupa wewe, utukufu nakupa wewe, Sifa na heshima nakupa we, Ewe mwenyezi unaweza } *2 Nguzo ya moto aliwasha, nilindwe usiku, Nayo ya wingu akashusha nipite mchana Nakumbuka mapito yote, niliyopitia, Nakumbuka na njia zote, nilizopitia Tazama Mungu tazama wewe, Tazama Mungu tazama wewe Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Tazama Mungu tazama wewe, (tazama Mungu ) ni mwaminifu Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Utukufu nakupa . . . Jemedari mwenye maguvu, yule Goliathi, Akamlaza kwa kombeho, mkononi mwangu Nakumbuka alikemea, mawimbi ya maji, Nakumbuka yalimtii, nikafika ng'ambo Tazama Mungu tazama . . . Utukufu nakupa . . . ~ ~ ~ a) Bahari haiwezi kutuzuia - Tunatembea bila mitumbwi Na maji yanageuka kuwa ukuta - Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavuka b) Maana amesema tumfuate - Mizigo itulemeayo tukampe - c) Muhimu tumwendee tukiamini - Na hata juu ya maji tutakanyagaa - ~ ~ ~ { Alimkumbuka Daudi mtumishi wake Akamkweza akawavusha waisrael katika maji bila mitumbwi } *2 Apewe, apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe, milele milele Apewe apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee
Sifa na utukufu ni kwako Mungu e eee utukufuuu nakupaaaa,proudly Catholic, naupenda ukatoliki,Asante Mungu nakurudishia sifa na utukufu vyooooote ni vyako aminaaaa
❤❤
Mmetisha
This so amazing 🎉❤

Félicitations à la chorale. Je voudrais la collection de tous les chants de cette chorale que j'aime bien mais sans vidéo. Merci beaucoup
❤❤❤
So nice
Rendisheni ya vokali menibamba sana. Vocal rendition.
🎹🎼💯💯💯💯💯💯
Enjoy it so much 😃😃😃
God bless you so much for me
Brilliant...🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sifa na utukufu ni zako bwana🙌🏻
Hongereni
This song is full of annointing .God bless our Choir KMK.
Très parfait, Un chant fait pour la gloire de Dieu
Stimulation inside my body, beautiful song
mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavuka
Amina Sana mungu nimwemae
Nyimbo nzuri ya kumsifu Mungu
I'm blessed 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nyimbo zenu zinagusa moyo sana.
Nyimbo nzuri saana....karibu Diwopa Catholic church..Nairobi Kenya
{ Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee heee Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee } *2 { Utukufu nakupa wewe, utukufu nakupa wewe, Sifa na heshima nakupa we, Ewe mwenyezi unaweza } *2 Nguzo ya moto aliwasha, nilindwe usiku, Nayo ya wingu akashusha nipite mchana Nakumbuka mapito yote, niliyopitia, Nakumbuka na njia zote, nilizopitia Tazama Mungu tazama wewe, Tazama Mungu tazama wewe Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Tazama Mungu tazama wewe, (tazama Mungu ) ni mwaminifu Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Utukufu nakupa . . . Jemedari mwenye maguvu, yule Goliathi, Akamlaza kwa kombeho, mkononi mwangu Nakumbuka alikemea, mawimbi ya maji, Nakumbuka yalimtii, nikafika ng'ambo Tazama Mungu tazama . . . Utukufu nakupa . . . ~ ~ ~ a) Bahari haiwezi kutuzuia - Tunatembea bila mitumbwi Na maji yanageuka kuwa ukuta - Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavuka b) Maana amesema tumfuate - Mizigo itulemeayo tukampe - c) Muhimu tumwendee tukiamini - Na hata juu ya maji tutakanyagaa - ~ ~ ~ { Alimkumbuka Daudi mtumishi wake Akamkweza akawavusha waisrael katika maji bila mitumbwi } *2 Apewe, apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe, milele milele Apewe apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee
so blessing
best song
Amina Kwa mungu
Utukufu nakupa Ee Yesu Wangu
So nice song
Haki i love this song very much...proud to be catholic
Nice song
A very nice song, I love it
Sifa na utukufu ni kwako Mungu e eee utukufuuu nakupaaaa,proudly Catholic, naupenda ukatoliki,Asante Mungu nakurudishia sifa na utukufu vyooooote ni vyako aminaaaa
Bless you
Saut ya pili nawasikiaa Hongereniii kizito Mbezi mshikamano twawasalimuuuu Karibuni tena tuzid kujifunza kupitia ninyi
Watu wangu Nawapendaaaaaa
Huu wimbo naupenda sana aisee.Yaan najikutaga nauimba peke angu na najikuta nafurah hata kama nilikuwa nimekasirika
Co
Sifa apewe MUNGU mtakatifu wa Israel
Asante sana
Hakika nabalikiwa Sana kwa nyimbo zenu..hakika sifa na utukufu wakupewa Ni mungu
Great voices there!
RIP dear cousin! I miss you Ignatius
He is great . Sifa na heshima nizake milele
Naanzaje kutoka ucatholic,, big up sana makubur,,
My all time choir,your songs bless me so much.Be blessed and keep it up!
Hakika nikisikiliza huu wimbo nafajika mno na namwona MUNGU kiroho. Hakika Utukufu Apewe Mungu
Nyimbo nzuri sana mbarikiwe na Mungu aendelee kukuza kipawa chenu cha uimbaji
Such a blessing song
Closing 2019 with my favorite song
Mnanibarik saaan na huu wimbo...Mungu azid kuwalinda ili mtuinjilishe wakristu kwa nyimbo kam hiz...🙏🙏🙏