ANSAF - Agricultural Non State Actors Forum
ANSAF - Agricultural Non State Actors Forum
  • Видео 64
  • Просмотров 337 388

Видео

Mkurugenzi Mtendaji wa ANSAF, Honest Mseri, akieleza lengo la ushiriki waokatika Majadiliano
Просмотров 65Год назад
Mkurugenzi Mtendaji wa ANSAF, Bwana Honest Mseri, akieleza lengo la ushiriki wao, Asasi za kirai na vikundi wa wakulima katika mazungumzo yaliofanyika tarehe 3 mei 2023 na Kamati za kudumu za Bunge kuhusu changamoto za pembejeo, upatikanaji wa huduma za ugani, masoko na kodi kwa wakulima, kati ya Kamati za Bunge za kudumu na kuhusu changamoto za wakulima kuhusu pembejeo, huduma za ugani, masoko...
Mikopo ya asilimia 10% ya halmshauri inayotolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
Просмотров 110Год назад
Mikopo ya asilimia 10% ya halmshauri inayotolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
ANSAF WAJADILI RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA CAADP NA KAMATI ZA BUNGE @azamtvtz
Просмотров 502 года назад
ANSAF kwakushirikiana na AGRA imekutana na wenye viti na makamu wenyeviti wa kamati sita zinazohusiana na kilimo kwaajili ya kujadili matokeo ya ripoti ya tatu ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo Africa (CAADP 3rd BRR) Tanzania haiko on track katika utekelezaji wa malengo ya mpango huo kufikia mwaka 2025. Tanzania haifanyi vizuri katika maeneo manne ikiwemo uwekezaji katika kilimo n...
MADA: BAJETI KUU NA MAGEUZI YA KILIMO
Просмотров 492 года назад
Honest Mseri, Mkuu wa Operesheni ANSAF akichambua/changia bajeti ya Serikali ya KilimoYa mwaka 2022/23 kwenye Kipindi cha Aridhio kupitia Televisheni ya Taifa -TBC. Licha ya Pongezi , ametahadharisha serikali kuhakikisha inatoa kiwango kilichopangwa kwa wakati kutekeleza miradi iliyokusudiwa ili kuleta mapinduzi kwenye sekra ya kilimo Ya mwaka 2022/23 kwenye Kipindi cha Aridhio kupitia Televish...
MAJADILIANO KATI YA SEREKALI NA WADAU MBALIMBALI
Просмотров 393 года назад
Majadiliano kati ya serikali na wadau mbalimbali ikiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kufanikisha utekelezaji wa lengo la wanachama wa Umoja wa Mataifa la kutokomeza njaa ifikapo mwaka 2030. @ITVTanzaniaTz
AGROFORESTRY FOR LIVELIHOOD EMPOWERMENT (ALIVE PROGRAMME) DOCUMENTARY.
Просмотров 1863 года назад
AGROFORESTRY FOR LIVELIHOOD EMPOWERMENT (ALIVE PROGRAMME) DOCUMENTARY.
MAFANIKIO YA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII KATIKA MIRADI YA KILIMO.
Просмотров 1333 года назад
MAFANIKIO YA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII KATIKA MIRADI YA KILIMO.
KILIMO MSETO (AGROFORESTRY) KILIVYOCHANGIA KUONGEZA KIPATO KWA WAKULIMA MKOANI MARA.
Просмотров 9353 года назад
KILIMO MSETO (AGROFORESTRY) KILIVYOCHANGIA KUONGEZA KIPATO KWA WAKULIMA MKOANI MARA.
SERIKALI IWEKE ZUIO LA KUSAFIRISHA KOROSHO GHAFI NJE YA NCHI - AUDAX RUKONGE
Просмотров 963 года назад
SERIKALI IWEKE ZUIO LA KUSAFIRISHA KOROSHO GHAFI NJE YA NCHI - AUDAX RUKONGE
WHY DATA AND RESEARCH IS IMPORTANT IN ADVOCACY?
Просмотров 993 года назад
WHY DATA AND RESEARCH IS IMPORTANT IN ADVOCACY?
HOW CAN ADVOCACY BE CARRIED OUT SYSTEMATICALLY?
Просмотров 623 года назад
HOW CAN ADVOCACY BE CARRIED OUT SYSTEMATICALLY?
HOW IS ADVOCACY DEFINED IN CONTEXT OF JUWAVITA?
Просмотров 643 года назад
HOW IS ADVOCACY DEFINED IN CONTEXT OF JUWAVITA?
WHAT ARE THE IMPORTANT STEPS IN ADVOCACY
Просмотров 673 года назад
WHAT ARE THE IMPORTANT STEPS IN ADVOCACY
MAFANIKIO KATIKA UFUGAJI KUKU | Azam Tv.
Просмотров 5194 года назад
MAFANIKIO KATIKA UFUGAJI KUKU | Azam Tv.
Taarifa ya Habari AZAM Tv Wiki ya Maziwa
Просмотров 94 года назад
Taarifa ya Habari AZAM Tv Wiki ya Maziwa
MORNING TRUMPET Mchango wa sekta binafsi nchini katika kuongeza uzalishaji wa maziwa.#AudaxRukonge
Просмотров 184 года назад
MORNING TRUMPET Mchango wa sekta binafsi nchini katika kuongeza uzalishaji wa maziwa.#AudaxRukonge
SERIKALI YAWEKA BAADHI YA TOZO ZINAZOLENGA KULINDA SOKO LA UZALISHAJI WA NYAMA NCHINI.
Просмотров 304 года назад
SERIKALI YAWEKA BAADHI YA TOZO ZINAZOLENGA KULINDA SOKO LA UZALISHAJI WA NYAMA NCHINI.
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI MAZIWA | Azam Tv
Просмотров 354 года назад
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI MAZIWA | Azam Tv
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA SEKTA YA UZALISHAJI NGOZI | Azam Tv.
Просмотров 274 года назад
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA SEKTA YA UZALISHAJI NGOZI | Azam Tv.
MIJADALA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO KATIKA KONGAMANO LA 6 LA SERA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Просмотров 1024 года назад
MIJADALA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO KATIKA KONGAMANO LA 6 LA SERA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Maoni ya wadau wa sekta ya kilimo (AAPC2020)
Просмотров 1014 года назад
Maoni ya wadau wa sekta ya kilimo (AAPC2020)
HOTUBA YA MWENYEKITI; KONGAMANO LA SITA LA WADAU WA SEKTA YA KILIMO (AAPC2020)
Просмотров 394 года назад
HOTUBA YA MWENYEKITI; KONGAMANO LA SITA LA WADAU WA SEKTA YA KILIMO (AAPC2020)
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA WENYE TIJA....
Просмотров 1,3 тыс.4 года назад
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA WENYE TIJA....
UFUGAJI WA KISASA KWA MAENDELEO YA WAFUGAJI
Просмотров 1194 года назад
UFUGAJI WA KISASA KWA MAENDELEO YA WAFUGAJI
Dairy Value Chain
Просмотров 3314 года назад
Dairy Value Chain
Leather Processing (Uchakataji wa Ngozi)
Просмотров 3314 года назад
Leather Processing (Uchakataji wa Ngozi)
Mmiliki "Shambani Milk" aelezea fursa na Changamoto zilizopo katika sekta ya maziwa.
Просмотров 7154 года назад
Mmiliki "Shambani Milk" aelezea fursa na Changamoto zilizopo katika sekta ya maziwa.
SEKTA YA MIFUGO: Wajasiriamali wa soko la Mnadani-Msalato walia na kuporomoka kwa soko la ngozi.
Просмотров 2814 года назад
SEKTA YA MIFUGO: Wajasiriamali wa soko la Mnadani-Msalato walia na kuporomoka kwa soko la ngozi.
Fursa zilizopo kwenye sekta ya maziwa nchini; makala kutoka ANSAF
Просмотров 3884 года назад
Fursa zilizopo kwenye sekta ya maziwa nchini; makala kutoka ANSAF

Комментарии

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 3 месяца назад

    Naomba no yako

  • @rashidfestosanga2461
    @rashidfestosanga2461 7 месяцев назад

    Mungu akubaliki kaka

  • @StephanoTuli-is9cm
    @StephanoTuli-is9cm 10 месяцев назад

    Good

  • @StephanoTuli-is9cm
    @StephanoTuli-is9cm 10 месяцев назад

    Good

  • @sajdashariff
    @sajdashariff Год назад

    Hongera Kaka namba namba tuingie ubia mm Nina eneo kubwa moro

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад

    Huyo Mzee wa taha nimtu mvivu sana

  • @LeonardWambi-vl7zy
    @LeonardWambi-vl7zy Год назад

    Call me Leonard wambi from collage of Agriculture, continue for providing education to adult people

  • @zakayodeogratius3823
    @zakayodeogratius3823 Год назад

    Kiongozi namba

  • @venantmganga8870
    @venantmganga8870 2 года назад

    Umbali kati ya mche na mche wa tango

  • @johnmadumba9756
    @johnmadumba9756 3 года назад

    Nafata nyendo zako mkuu

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 года назад

    Hongera na wewe ni mtaalam kweli lama unajua sparms za samaki😂😂daktari wa upasuaji😂

  • @eliasemmanuel4309
    @eliasemmanuel4309 3 года назад

    Njoo mwanza tupate Mwongozo

  • @gracedismas8486
    @gracedismas8486 3 года назад

    Contact plz natamani sana ....umeniispire kwakwel

  • @mohamedabdul3029
    @mohamedabdul3029 3 года назад

    Naomba namba za gadafi

  • @pricpric1686
    @pricpric1686 3 года назад

    Nakupenda bure dada p

  • @lagunapalace4096
    @lagunapalace4096 3 года назад

    Asante Diwan wetu

  • @neyhassanimsulwa4993
    @neyhassanimsulwa4993 3 года назад

    Dada naomba namba yako ya simu

  • @2010Abu
    @2010Abu 3 года назад

    Gaddafi nakupongeza kwa mradi mzuri, naomba tuwasiliane ili tuiboreshe mradi wa samaki Tanzania. alasmyh@gmail.com

  • @joshuamusimu9033
    @joshuamusimu9033 3 года назад

    Kazi nzuri sana

  • @hagaidaniel1158
    @hagaidaniel1158 4 года назад

    Dada Tango umejitahidi....

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад

    Mimi Nina kisima cha maji ambayo hayakauki milele na kinauwezo wa kumwagilia mpaka heka moja bila kuisha ukikaa tena kama nusu SAA unakuta vile vile apo apo Nina shamba heka tatu Ila sasa mtaji

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад

    Yani Mimi naaminigi sanah ktk mkopo

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад

    Mimi najiuliza maswli bila majibu kuna hoho nimeon kwenye grin haus Inaiva inakuw nyekundu ndo inachumwa je ndo kawaida au i nakosa soko

  • @mustafalubua8459
    @mustafalubua8459 4 года назад

    ujumbe mzuri

  • @lamecktungalaza5049
    @lamecktungalaza5049 4 года назад

    nimeipenda hii kazi naomba nambzenu

  • @aleroseynlemma3113
    @aleroseynlemma3113 4 года назад

    Namba yako bro natamani kuipata hii elimu asante

  • @nahengadesempy8555
    @nahengadesempy8555 4 года назад

    Dah kweny kanuni hapo ndy Tatizo 😂😂

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 года назад

    Soko la ngozi litaweza kupata thamani kama wataalamu watawaelimisha watanzania namna ya kuichakata na kuiongezea thamani

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 года назад

    Hongereni sana ANSAF kwa kuhamasisha maendeleo ila naomba muendelee na kazi hii naona tangu 2014 hamjatoa tena video za kuhamasisha tatizo nini?

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 года назад

    Anna Malongo hongera sana umri wako na akili yako tafauti sana una umri mdogo ila akili yako watu wazima watajifunza kutoka kwako, natamani kujua sasa umefikia hatua gani maana ulikua na miaka 19 leo hii unamiaka 25.

  • @matildajulius872
    @matildajulius872 4 года назад

    Kazi nzuri, matokeo mazuri

  • @nickolasngodoki8627
    @nickolasngodoki8627 4 года назад

    Hongera sana Mr

  • @priscarmshama3209
    @priscarmshama3209 4 года назад

    Ingependeza kutupa namba zake ili watu wajifunze

  • @Isack_Leo
    @Isack_Leo 4 года назад

    Mwanasheria mwenga

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 4 года назад

    safi sana

  • @amonayo1396
    @amonayo1396 4 года назад

    Uko vzr Mungu akubariki Sana

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 года назад

    Ninaweza vp kuwafikia ofisini kwenu

  • @munasaidi614
    @munasaidi614 4 года назад

    Namba za simu nisaidie ili unielimishe vizuri

  • @paradisefelix1218
    @paradisefelix1218 4 года назад

    Naitaji kufata nyayo za bwana Aron ili niweze kufanikiwa kwenye kilimo hicho cha kitunguu Kwa hivyo ningeomba msaada wa kuonganishwa nae kimawasiliano

  • @paradisefelix1218
    @paradisefelix1218 4 года назад

    Ningependa kupata mawisiliano ya simu ya uyo bwana mkulima maana amenivutia na shughuri zake pamoja na kusifiwa kwake na jamii inayomzunguka na pia ninampango wa kuanza kilimo cha kituu kwahivyo naimani bwana mlacha atakuwa mwalimu wangu

  • @anithaherman7260
    @anithaherman7260 4 года назад

    +255679732887 NITUMIE MSG WHATSAPP NATAKA UNIFUNDUSHE

  • @anithaherman7260
    @anithaherman7260 4 года назад

    Kaka nitakutafuta napenda kazi hii

  • @anithaherman7260
    @anithaherman7260 4 года назад

    Waoooo

  • @stellanyaga8197
    @stellanyaga8197 4 года назад

    Naomba number yako

  • @magrethshao1841
    @magrethshao1841 4 года назад

    How do you join TAHA

  • @rahmarahma6259
    @rahmarahma6259 4 года назад

    Hongera sana,nami naomba kuwafahamu hao walio kufundisha,kwani nami napenda kilimo,my no 0717 020 868,pls nipigie

  • @gracemagembe1189
    @gracemagembe1189 4 года назад

    Safi sana

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 года назад

    Hongereni sana!kama mlivyosema elimu inahitajika kuelimisha watu wote kwa ujumla tuthamini vya kwetu,muanze kupiga marufuku ya viatu vya mitumba kama ilivyo kwenye nguo,kwani hata huko kuna magonjwa ya fungus,ni mawazo yangu tu,..yaani ili kuimarisha viwanda vya nchini kwetu,ni vema, kupandisha thamani bidhaa zinazotokana na malighafi zetu,nguo,(pamba),viatu (ngozi).Kama imewezekana plastic iweje tushindwe hivyo ...?

    • @kristopherzachariah728
      @kristopherzachariah728 3 года назад

      Sorry to be off topic but does someone know of a tool to log back into an instagram account? I stupidly forgot the login password. I love any assistance you can give me.

  • @adolphinapeter1125
    @adolphinapeter1125 4 года назад

    Mungu akubariki kaka

  • @kevinkalemera2161
    @kevinkalemera2161 4 года назад

    I would like to farm contact me +255 605 941 6945 On WhatsApp