ALIBAANA TV
ALIBAANA TV
  • Видео 735
  • Просмотров 357 056

Видео

JIBU LA 194 ; TUACHE HUSDA , NA BADALA YAKE UNAPOONA NEEMA KWA MTU , BASI NAWE MUOMBE ALLAH...
Просмотров 542 часа назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 193 ; NI IPI HAKI YA MTU ALIYE DHULUMIWA NAFSI YAKE KWA KUULIWA.
Просмотров 1002 часа назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
MJUE IMAAM SHAAFI NA MANENO YAKE MAZITO.........
Просмотров 492 часа назад
SEHEMU YA PILI ; MUHADHARA WA SHEIKH NURDEEN KUSHKI - NAKURU - KENYA
JIBU LA192 ; UFAFANUZI KUHUSU RIBA KWAUSAHIHI.
Просмотров 1892 часа назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 191; HUKMU YA DAMU NA MAJIMAJI YANAYOMTOKA MJAZITO ANAPO KARIBIA KUJIFUNGUA.
Просмотров 754 часа назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
"HAKUNA NEEMA KUBWA KATIKA ULIMWENGU HUU KAMA WAISLAM KUACHA MAMBO YAO..... "
Просмотров 754 часа назад
SEHEMU YA O1 ; MUHADHA WA SHEIKH KISHKI - NAKURU - KENYA.
JIBU LA 190 ; JEE KUNA DUA MAALUM YA KUMFANYIA HAKIKA MTOTO.
Просмотров 3137 часов назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 189 ; SWALA YA ALIYE TENGUKA UDHU BAADA YA SALAMU YA KWANZA.
Просмотров 1877 часов назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 188 ;HUKMU YA MUME KUMLAZIMISHA MKE KULEA WATOTO.
Просмотров 897 часов назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 186 ; NINI NIFANYE ILI NIWE NA FURAHA KATIKA MAISHA ??
Просмотров 1227 часов назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
BABA KIRUWASHA ; HIZI NDIO NJIA BORA ZA KUONDOA TATIZO.
Просмотров 207 часов назад
SEMINA YA NDOA KWA MAHARUSI WATARAJIWA.
JIBU LA 185 ; MUISLAMU KUWEKA MASHADA YA MAUA KATIKA KABURI.
Просмотров 1107 часов назад
FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)
JIBU LA 184 ; JEE HII INAINGIA KATIKA RIBA KWA MUJIBU WA SHERIA.
Просмотров 1307 часов назад
JIBU LA 184 ; JEE HII INAINGIA KATIKA RIBA KWA MUJIBU WA SHERIA.
JIBU LA 182 ; HUKMU YA DAMU ZINAZO TOKA KWA MWANAMKE
Просмотров 1297 часов назад
JIBU LA 182 ; HUKMU YA DAMU ZINAZO TOKA KWA MWANAMKE
BABA KIRUWASHA ; "MAISHA YA NDOA YANATAKA HIVI........"
Просмотров 479 часов назад
BABA KIRUWASHA ; "MAISHA YA NDOA YANATAKA HIVI........"
JIBU LA 178 ; HUKMU KUSOMA KWA SIRI AU WAZI NDANI YA SWALA
Просмотров 17312 часов назад
JIBU LA 178 ; HUKMU KUSOMA KWA SIRI AU WAZI NDANI YA SWALA
HIZI NI MIONGONI MWA ITIKADI MBOVU ZA MASHIA
Просмотров 4412 часов назад
HIZI NI MIONGONI MWA ITIKADI MBOVU ZA MASHIA
SHEIKH MKOYOGOLE ; ALLAH HUINDOA ELIMU DUNIANI KWA KUFA WANACHUONI.
Просмотров 3112 часов назад
SHEIKH MKOYOGOLE ; ALLAH HUINDOA ELIMU DUNIANI KWA KUFA WANACHUONI.
JIBU LA LA 177 ; MAFUNDISHO JUU YA KUWINDA WANYAMA KATIKA UISLAM
Просмотров 10612 часов назад
JIBU LA LA 177 ; MAFUNDISHO JUU YA KUWINDA WANYAMA KATIKA UISLAM
JIBU LA 176 ; JEE YAFAA KUCHUKUA UDHU CHOONI NA HAUJAVAA NGUO ??
Просмотров 31112 часов назад
JIBU LA 176 ; JEE YAFAA KUCHUKUA UDHU CHOONI NA HAUJAVAA NGUO ??
JIBU LA 175 ; SHEIKH ATOA UFAFANUZI JUU YA HUKMU YA KUPIGA PICHA NA KUZIWEKA MAJUMBANI.
Просмотров 1,1 тыс.14 часов назад
JIBU LA 175 ; SHEIKH ATOA UFAFANUZI JUU YA HUKMU YA KUPIGA PICHA NA KUZIWEKA MAJUMBANI.
JIBU LA 174 ; JEE YAFAA KUWEKA MAENEO MAALUM YA MAKABURI YA KUZIKA WAZUONI??
Просмотров 15414 часов назад
JIBU LA 174 ; JEE YAFAA KUWEKA MAENEO MAALUM YA MAKABURI YA KUZIKA WAZUONI??
SHK. ALLY AL-QUSHEYR ; JIHADHARI NA BID-A KATIKA DINI NA MAKUNDI YALIYO POTEA.
Просмотров 4114 часов назад
SHK. ALLY AL-QUSHEYR ; JIHADHARI NA BID-A KATIKA DINI NA MAKUNDI YALIYO POTEA.
SHUHUDIA SHEIKH WA MKOA WA DARESALAAAM , ALIVYOTOA UJUMBE MKUBWA KATIKA MSIBA WA SHEIKH JUMA DOGA.
Просмотров 7816 часов назад
SHUHUDIA SHEIKH WA MKOA WA DARESALAAAM , ALIVYOTOA UJUMBE MKUBWA KATIKA MSIBA WA SHEIKH JUMA DOGA.
JIBU LA 173 ; MAMBO YA KIPUUZI "TIMU YANGU IKIFUNGWA BASI NAKUPA MKE WANGU......."
Просмотров 14616 часов назад
JIBU LA 173 ; MAMBO YA KIPUUZI "TIMU YANGU IKIFUNGWA BASI NAKUPA MKE WANGU......."
JIBU LA 172 ; MKE KUTOA PESA NA KUMPA MUME ILI AJE AMTOLEE MAHARI NA KUMUOA.
Просмотров 9616 часов назад
JIBU LA 172 ; MKE KUTOA PESA NA KUMPA MUME ILI AJE AMTOLEE MAHARI NA KUMUOA.
JIBU LA 171 ; MTU KUSWALI KATIKA SWAFU YA PEKE YAKE NDANI YA SWALA
Просмотров 21316 часов назад
JIBU LA 171 ; MTU KUSWALI KATIKA SWAFU YA PEKE YAKE NDANI YA SWALA
JIBU LA 170 ; MTU ANAPO SILIMU NA KUWA MUISLAMU BASI HUSAMEHEWA MADHAMBI YAKE YOTE
Просмотров 9519 часов назад
JIBU LA 170 ; MTU ANAPO SILIMU NA KUWA MUISLAMU BASI HUSAMEHEWA MADHAMBI YAKE YOTE
JIBU LA 169 ; JEE MTOTO WA KIUME ANAFAA KUWA WALII KWA MAMA YAKE ??
Просмотров 10519 часов назад
JIBU LA 169 ; JEE MTOTO WA KIUME ANAFAA KUWA WALII KWA MAMA YAKE ??

Комментарии

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 часа назад

    Mtihan mimi mwenyewe nilipata challenge na watoto wangu wa kiume wanasoma madrasa na walisoma somo la hadith ya kuwa mtume alifungua makka alionekana amefunga nywele zake sasa wao wanapambania ya kuwa sio haram na sie tunaishi nchi hizi za ughaibuni uk vijana watu wazima wamesuka na kutoboa maskio,pua Mtihan mkubwa hakika

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 часа назад

    Je ndio sawa na kusuka wanavosuka vijana wa sasa wanasukwa saloon za wanawake ambao sio maharimu zao...wanawake wamevaa uchi hawana hijab na wengine sio waislam wenye kuwasuka hizo nywele

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 3 часа назад

    Na hii ndo elimu inayotakiwa kuliko wale wanaoshikilia fatwa ya Sheikh mmoja hali ya kuwa kuna fatwa nyingi.

  • @zaidahmed1020
    @zaidahmed1020 День назад

    Je mwanaume akikata kutoa talkative inakuajee

  • @user-jp1qh5qv3e
    @user-jp1qh5qv3e День назад

    Allahumma barik

  • @fadhilimatano3213
    @fadhilimatano3213 2 дня назад

    Jamani tuweni na Husnu dhwanni kwa Sheikh wetu yeye pia anaushahidi wa Quran na Hadithi.

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 4 часа назад

      Kinachosumbua watu wengi ni kule kukariri fatwa ya mwanazuoni mmoja wakati Kuna fatwa za Wanazuoni wengine walioruhusu hili suala la kuzika wasio Waislam tena kwa ushahidi.

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 дня назад

    ashallah

  • @rekhanifaizi8746
    @rekhanifaizi8746 2 дня назад

    ALLAH akuzidishie kheri nyingi kwa kuongiza umma

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 2 дня назад

    Ni bidaa Aache uhizbi huyu mweupeee sanaa arejee Vitabu.Vinaeleza Kwa uwazi Sana Na yale yaliyozushwa Kama Asali,Maandazi,kutokuvunja mifupa,Hakika kupuuzwa na watu kuita ni 40,Kusoma Mawlid na kupiga Dufu. namshaur Arudi kusoma huyu Miwani.

    • @JumaMwanga-xd9gy
      @JumaMwanga-xd9gy 2 дня назад

      Kaongea wap swala y kutovunja mufupa!!.... Shida Ndo mkonayo iyo mjadidah

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 2 дня назад

      @@JumaMwanga-xd9gy Alipaswa azungumzie jambo hili kimapana kama yeye Kweli Msomi. Kwa kuwa Hana taaluma hiyo ndio mana Anaongea Kwa Talbisi. Badala ya kukataza Bidaa yeye Anaona kuna ubaya gani watu kufanya Dua ya pamoja ya Aqiqa

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 2 дня назад

      @@JumaMwanga-xd9gy Na mim Sina Ufaham juu ya Neno Ujadida.Naomba unipe Elimu kupitia Wanachuoni juu ya Neno ulilosema.!?

    • @AbuuzahirIdrissa
      @AbuuzahirIdrissa День назад

      Umesama kwel sheikh lakini usiseme huyu miwan yaweza ikawa ana umri mkubwa zaidi yako usimvunjie hishma muelekeze tu inatosha

    • @maulidyusuph6138
      @maulidyusuph6138 День назад

      Lakini pia akhiy kuna kitu unatakiwa kutofautisha 1.kipindi cha maswali na majibu huwa hayahitaji ufafanuzi mrefu kulingana na muktadha husika .tazama vipindi vya fatawa vya wanachuoni Shaykh uthaymiin,Ibn Baaz ,Al baani n.k wanafanya hivi kuchunga muda ili kuyafikia maswali yote. 2.Ikiwa mada maalum inayohusu Jambo maalum hapa ndipo hutolewa ufafanuzi mrefu.

  • @musababdullah5813
    @musababdullah5813 2 дня назад

    جزاك الله خيرا يا شيخنا الفاضل

  • @AllySalum-ce3ix
    @AllySalum-ce3ix 3 дня назад

    Shukran Sheikh

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 дня назад

    Skuhizi umwacha kumtetea mshirikina dr sule.

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 дня назад

    Watu wanauliza maswali gani hayo et kuweka mashada au msalaba kwa mambo gani hayoo kuna watu mtihan kweli katika kuijuwa dini yao

  • @AbdillahAlly-l8p
    @AbdillahAlly-l8p 3 дня назад

    Masha Allah Allah Akuhifadhi🤲🤲

  • @AkbarShimi-cy4yc
    @AkbarShimi-cy4yc 3 дня назад

    shukran wa mauidwa nalikin vp kuhusu maneno niliyo yaskia tangu nikiwa mdogo kua malaika hawaingii mahali pako mapicha?

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 3 дня назад

    Kumbe majohotu ndio yanatutisha ila hamnakitu الله مستعان

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 3 дня назад

    Hili kumbe dajjari nijahiri kumbe hivi, kweli ukisoma haqqi allha ana kubainishia wango kumbe fiqhi yake ninusukabisa hivyo.

  • @JumaMwanga-xd9gy
    @JumaMwanga-xd9gy 4 дня назад

    Allh amwifadh mwalim wetu uyu❤

  • @AbuuSaad7
    @AbuuSaad7 4 дня назад

    بسْمِ اللّٰـهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ أقوال الشيخ العلامة المحدّث السلفي الأثري سليم بن عيد الهلالي حفظه الله تعالی ورعاه، في التصوير، والمصورين. Kauli za Sheikh Al 'Allāmah Salīm Bin Eid Al-Hilaliy Allāh Amuhifadhi na Amlinde, kuhusiana na picha, na watengeneza picha. ═════ ✥.❖.✥ ═════ وهذه الأقوال كلها نقلتها من كتابه [ بهجة الناظرين شرح رياض الصالحين، 3/ تحت باب 305 ] Na kauli hizi nimezinukuu katika kitabu chake ["Bahjatu Naadhwiriina Sharh Riyaadhu Swalihiina" juzuu ya 3/ mlango wa 305 ] ──────⊱◈◈◈⊰────── 1⃣ قال حفظه الله تعالی، تحت حديث "1678" تحريم التصوير بكافة أشكاله سواء أكان يدويا أو فوتوغرافيًا لأن النص مطلق، فلا يُخَصّص إلا بدليل Uharamu wa kutengeneza picha kwa aina zake zote sawa zitakuwa za kutengeneza kwa mikono au kwa fotoghrafi (Camera) kwakuwa dalili imetaja kwa ujumla hapahusishwi picha flani ispokuwa kwa dalili. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 2⃣وقال حفظه الله تعالی علة تحريم الصور هي مضاهاة خلق الله، وليس كما يزعم المبيحون أنها قرب المسلمين الأوائل من عهد الجاهلية، فحرمت خشية ذلك. Sababu ya kuharamishwa picha ni kufananiza na uumbji wa Allah, wala si kama wanavyo dai wenye kuhalalisha picha kuwa ilikuwa ni sababu ya ukaribu wa waislamu wa mwanzo na zama za jahiliya, ikaharamishwa kuogopea hilo. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 3⃣ وقال حفظه الله تعالی يعذب الله المصورين، ويأمرهم أمر تعجيز بأن يجعلوا فيما صوّروا روحاً وأنی لهم ذلك، وبذلك يفضحهم ويظهر عجزهم. Allah atawaadhibu watengeneza picha, na atawaamrisha maamrisho ya kuwafanya washindwe wajalie katika walivyo viumba roho na ipi wataweza!? Na kwa ajili hiyo atawafedhehesha na kudhihirisha kushindwa kwao. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 4⃣ وقال حفظه الله تعالی، تحت حديث "1683" تحريم مضاهاة خلق الله، وأن المضاهاة تقع بفعل الصورة الظاهرة سواء أقصد ذلك أم لم يقصد، وفي هذا بيان لشدة قبح عمل المصورين لأنه اجتراء علی مشابهة خلق الله مع ثبوت العجز لديهم عن ذلك. Uharamu wa kufananiza uumbaji wa, na kuwa ufananizi unapatikana kwa kutengeneza picha zilizo kuwa za dhaahiri sawa mwenyewe atakusudia kufananiza au hajakusudia, na pia kuna kubainisha ubaya ulioje wa kazi ya watengenezaa picha, kwa kuwa ni kuingia katika ufananizaji wa uumbji wa Allah pamoja na kuthibiti ushindwaji wao wa hilo. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 5⃣ وقال رحمه الله تعالی تحريم التصوير سواء أكان له ظل أم لم يكن له ظل، [ لأن أبا هريرة دخل دارا بالمدينة فرأی في أعلاها مصوِّرا يصور، فذكر الحديث ] ، فقد فهم أبو هريرة أن التصوير المحرم يتناول ما له ظل وما ليس له ظل، وهذا ظاهر من عموم اللفظ، ولذلك فلا بد من تعميم الزجر عن تصوير كل ذات روح. Uharamu wa kutengeneza picha sawa itakuwa yenye kivuli (kiwili wili) au isiyo kuwa na vivuli, kwakuwa Abuu hurairah aliingia ndani ya nyumba katika mji wa Madina mala kwa juu akamuona mtu akitengeneza picha akaitaja hadithi, Abuu hurayrah akafahamu kuwa uharamu wa picha unaenea picha zenye kivuli au zisizo kuwa na kivuli, na huu ndio udhahiri kutokana ka kuenea kwa hadithi, basi kwa ajili hiyo hakuna budi kueneza makemeo ya kutengeneza picha ya kila chenye roho. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 6⃣ وقال رحمه الله تعالی، تحت حديث "1684" تحريم تعليق الصور علی الجدران، وهذا مما ابتُلِيَ به أهل هذا الزمان. Uharamu wa kutundika picha katika kuta, na hili ni katika mambo ambayo wamejaribiwa kwayo watu wa zama hizi. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 7⃣ وقال حفظه الله تعالی، تحت حديث "1686" اتخاذ الصور واقتناء الكلاب من الأمور الخبيثة التي تنفر منها الملائكة ويكون وجودها سببا لحرمان الرحمة. Kuwa na picha na kufuga Mbwa ni katika mambo mabaya ambayo Malaika huyakimbia, na kuwepo kwa mambo hayo ni sababu ya kukosa rahmah. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 8⃣ وقال حفظه الله تعالی من العجب العجاب أن الاقتناء بالصور واقتناء الكلاب من شعار مدينة الكفر في هذا العصر، نسأل الله العافية والسلامة من كل ما يغضب الله ويجلب سخطه. Jambo la kushangaza zaidi nikwamba kuwa na picha na kufuga Mbwa ni katika alama za miji ya kufru zama hizi, tunamuomba Allah afya na salama kutokana na yote yanayo mchukiza Allah na kusababisha hasira zake. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 9⃣ وقال حفظه الله تعالی، تحت حديث "1687" وجوب طمس الصور وتمزيقها Uwajibu wa kufuta au picha na kuzichana •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• 🔟 وقال حفظه الله تعالی وجوب قيام ولاة الأمر بذلك أمراً بالمعروف ونهياً عن المنكر Uwajibu wa viongozi kulisimamia hili ikiwa ni kuamrisha mema na kukataza maovu. •·•·•·•·•·•·•·•·•·••·•·•·•·•·•·•·• انتهی HITIMISHO Hizo ni baadhi ya kauli za Shaikh huyo zinazo weka wazi msimamo wake juu ya mas'ala ya picha. Kilicho nisukuma na kunifanya nizikusanye kauli hizo ni baada ya kusikia mara kwa mara kutoka kwa baadhi ya ndugu kuwa Shaikh huyo anaruhusu picha, Huku baadhi ya kauli zikiwa katika sura ya kumshusha hadhi Shaikh huyo Ikanilazimu kukusanya hii sehemu chache ya kauli zake ikiwa ni katika kubainisha msimamo wake kuhusu hilo, huku nikitarajia kuwa ni mwenye kuifanyia kazi kauli yake Mtume ﷺ « انْصُرْ أَخَاكَ ظَالِماً أَوْ مَظْلُوماً» [ Mnusuru ndugu yako mwenye kudhulumu au kudhulumiwa ] ──────••────── رواه البخاري، عن أنس رضي الله عنه 👉🏿 ZINGATIO Huo tulio utaja hapo juu ndio msimamo wake katika jambo hilo la picha, lakini pamoja na hilo Sheikh huyo kwa jitihada yake na muono wake kaona kuwa endepo katika picha (televisheni) itakuwa kuna maslahi ya da'awa basi jambo hilo litafaa. Hii ni jitihada yake kitika hili na hajapatia katika jitihada na muono wake huu, na yeye ni mwanadamu anapatia na anakosea, lililo la wajibu ni kumfata na kumkubali pale ambapo kapatia na yeye katika hilo anamalipo mara mbili, na kujiweka mbali kutokana na pale ambapo kakosea na yeye katika hilo anamalipo mara moja, kinacho takiwa ni kujiepusha na picha kwa aina zake zote bila kuangalia aina ya upatikanaji wake sawa wa njia za zamani au njia za sasa, bila kuangalia ni nani katika wanazuoni karuhusu, maadamu zimesha thibitika dalili zinazo kataza jambo hilo kwa ujumla wake. ★☆★☆★ Nina muomba Allah anisamehe mimi na wazazi wangu na waumini wote wa kiume na wakike na atustiri kwa madhambi yetu. سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ ، أَشْهَدُ أَنْ لا إِلهَ إِلَّا أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتْوبُ إِلَيْكَ ✍🏿 TARJAMA Abuu khayraath Eliyasa bin Sha'abani, Allah amthibitishe na amlinde.

    • @AbuuSaad7
      @AbuuSaad7 4 дня назад

      *﷽* *HOJA ZA KIELIMU DHIDI YA WENYE KUJUZISHA KUPIGA PICHA:* *Nakala No 1.* *Baada ya kumhimidi Allāh(عز وجل) na kumswalia mtume ﷺ Imepatikana watu wasiofahamu na wengine wenye matamanio na uzushi,waliojinasibisha na jitihada za baadhi ya wasomi kuwa picha za kisasa kutumia kamera,video,runinga na mifano yake haziingii katika uharamu wa picha uliokuja katika hadithi za mtume ﷺ Kauli hii bila shaka ni baatil na wenye kuisema wana hoja wanazojitetea nazo nyingi katika kujuzisha jambo hili.* *InshaAllah tutazitaja katika nakala hii na kuzirudi na Allāh ndio mwenye kuwafikisha waja.Wameandika baadhi ya watafiti nakala mbalimbali katika kuzirudi hoja hizo dhaifu ambazo kwa mujibu wake wanajuzisha picha za kisasa kwa kupitia utumizi wa ala hizo,iwe picha za video au photo.Wanasema wanachuoni picha hizi ni harām kwa mujibu wa hadithi,mawafikiano ya wanachuoni,lugha ya kiarabu na hata kiakili.* *Ama katika hadithi,zimekuja katika hali kuharamisha kupiga picha kwa ujumla.Anasema mtume ﷺ ❝Kila mpiga picha ataingia motoni❞ hukmu hii inaenea kwa kila aina ya picha pasi na kutofautisha za kisasa na zingine.Suali la kujiuliza ni ya kuwa dalili ipi inatofautisha?* *Wanachuoni wamewafikiana ya kuwa picha za viongozi,watu wanaotukuzwa katika jamii,familia au hata mababu hazifai kuanikwa kwa ajili ya mapambo iwe iliyochorwa kwa mikono au ilitumika ala.Je hii si dalili ya kuharamisha kwao picha za kisasa?Je kauli yao inavunja mawafikiano ya wanazuoni?Malaika pia hawaingii nyumba ambayo ina picha ndani.* *Tukiangalia kilugha hakuna anayesema ya kuwa ukitumia ala za kisasa haiitwi kupiga picha.Neno "صورة" linakuja kwa maana ya pambo, muundo au uso na uso ndilo linalokusudiwa katika sheria.Anasema mtume ﷺ katika sahih muslim ❝hivi hujatambua ya kuwa surah imeharamishwa?❞ yaani kupiga uso.Imekuja pia katika hadithi ya Abu Huraira(رضي الله عنه) surah ni kichwa na uamrishe kikatwe kichwa cha mchongo.Dalili hizi zinaashiria ya kuwa makusudio ya surah katika hadithi hizi ni uso wala sio pambo au muundo.* *Wanasema wanachuoni sheria haijumulishi baina ya vitu vinavyotofautiana wala haitofautishi baina ya vitu vya sampuli moja.Vipi itakuwa picha kupitia mikono ni haramu na kupitia ala ni halali hali ya kuwa zote ni picha?Kuthibitisha tofauti ni kulazimisha mgongano katika dalili za kisheria,bali kupitia ala ina madhara zaidi kama itakavyokuja.* *Tutazitaja shubha za watu hawa pamoja na jawabu zake.Faidika na upambanuzi ufuatao:* 💥 *SHUBHA YA 1⃣:PICHA ILIYOHARAMISHWA NI ILE INAYOPIGWA KWA AJILI YA IBADA* 🧽 *JAWABU* ❌ *Jambo hili sio sahihi ya kwamba imeharamishwa kwa ajili ya ibada pekee.Bali kwa sababu inapelekea katika ushirikina na pia kufananisha na viumbe wa Allāh (عز وجل).Kisha kuna dalili zinaashiria ya kuwa kauli hii sio sahih ikiwemo hadithi ya Aisha (رضي الله عنها)ya kwamba mtume ﷺ alimuamrisha akate picha iliyokuwa katika pazia kisha aijalie mto.Hawezi kusema muislamu mwenye akili ya kuwa Aisha aliiweka kwa ajili ya ibada pia mtume ﷺ alipoamrisha kukatwa kwa vichwa vya michongo hatuwezi kusema vilifanywa na maswahaba kwa ajili wasiiabudu.* 💥 *SHUBHA YA 2⃣:PICHA ILIYOHARAMISHWA NI ILE YENYE KIWILIWILI(YAANI KIVULI)* 🧽 *JAWABU* ❌ *Hii inajibiwa kwa dalili zilizokataza picha kwa ujumla.Na kila inapopatikana kufananisha na viumbe wa Allah(عز وجل)inakuwa haraam.Mbona utofautishe baina ya picha zenye kivuli na zisizokuwa na kivuli?Kisha ikija katika sheria makatazo kwa sababu fulani haikatazi vitu vingine kuingia kwenye makatazo pia ikapatikana dosari zilezile.* 💥 *SHUBHA YA 3⃣:PICHA ISIYOFAA NI ILE INAYOCHORWA KWA MIKONO SIO KUTUMIA ALA ZA KISASA.* 🧽 *JAWABU* ; ❌ *Nukta hii inajibiwa na jawabu la shubha iliyotangulia na pia kupiga picha kutumia ala ndio mbaya zaidi na inashabihiana zaidi na asili ya sura kuliko ile ya mkono.Je huku si kufananisha na uumbaji wa Allāh,hadithi hizi zote tuzipeleke wapi jamani?Pia wamedai picha hii ya ala haihitaji juhudi ni kubonyeza tu ilhali kutumia mikono kunahitaji muda na juhudi.Hoja dhaifu mno,hili linaitwa (وصف الطردي) katika somo la usuulul fiqh,yaani sifa ambayo haifungamani na hukmu ya kisheria kwa hivyo haina faida kuitaja* .

    • @AbuuSaad7
      @AbuuSaad7 4 дня назад

      ● *Nakala Ya 2.* 💥 *SHUBHA YA 4⃣:KUZIITA PICHA ZA KISASA(عكوس) SIO (صورة).* 🧽 *JAWABU* ❌ *Jina hili si la kisheria na kinachozingatiwa ni uhakika wa jambo sio majina yanayozuliwa.Lau majina haya ya kisasa yangechukuliwa,yangeondoa hukmu nyingi za kisheria kwani pombe wanaiita baadhi yao kinywaji cha roho na jihadi wanaiita baadhi yao ugaidi na kushikamana na uislamu uliyokuwa sahihi ni kuchupa mipaka au kuwa na msimamo mkali.Majina haya ya kisasa yakikhalifu yaliyokuja katika Qur'an na sunnah hayazingatiwi.* 💥 *SHUBHA YA5⃣:* *ZILIZOHARAMISHWA NI ZILE PICHA ZILIZOTHIBITI(PHOTO)NA WALA SIO ZENYE KUTEMBEA AU KUSONGA(VIDEO).* 🧽 *JAWABU* ❌ *Ikiwa picha zilizothibiti ni haramu basi zinazosonga zinazingatiwa kuwa uharamu wake ni zaidi,hii ni kwa sababu inapatikana harakati ambayo ni ziada,pia ziada katika maana na ziada katika kufanana na viumbe vya Allah.Kadhalika picha zenye harakati(video) zaweza kusimamishwa kwa kubofya 'pozi'.Je tofauti inakuwa ipi baada ya hapo.* 💥 *SHUBHA YA 6⃣:PICHA HIZI ZA KISASA NI MFANO WA KIOO.* 🧽 *JAWABU* ❌ *Kauli hii si sahihi kwa sababu kupiga picha kutumia ala kunatofautiana na kutumia kioo kwa njia zifuatazo:* *1.Picha kutumia ala ni yenye kuhifadhika tofauti na kioo.* *2.Mtu hujiona kwenye kioo pindi anapoielekea pekee tofauti na ala za kupiga picha.* *3.Anayeona sura yake katika kioo haisemwi ya kwamba amejipiga picha.* *4.Kioo haihitaji mpigaji tofauti na ala za kisasa ambazo zinahitaji mpigaji wakati wa kuzipiga na kuziandaa.* *5.Upigaji picha una nguzo nne:mpigaji,mwenye kupigwa,ala na kitendo cha kupiga,tofauti na kioo ambacho nguzo zake ni mbili:kioo chenyewe na mwenye kukielekea.* *6.Kujitazama kwenye kioo hakupelekei katika fitna tofauti kupiga picha kutumia ala kunapelekea katika fitna na ufisadi mwingi ikiwemo kuwaiga makafiri,video chafuchafu na mengineyo.* *7.Vioo vilikua zama za mtume (صلى الله عليه وسلم) na haijakuja makatazo yoyote.* 💥 *SHUBHA YA 7⃣:* *HADITH YA AISHA (رضى الله عنها) ALIPOJIWA NA MTUME ﷺ AKICHEZA NA BAADHI YA VITAMBAA NA PAMBA,AKAMUULIZA "NINI HII" AKASEMA NI FARASI.KISHA AKAULIZA "NINI HII IKO KATIKATI"AKASEMA AISHA NI BAWA,AKAULIZA "JE FARASI INA MABAWA?"....HADITHI HII NDIO DALILI YAO YA KUTENGENEZA VIBONZO (CARTOON)* 🧽 *JAWABU* *1.Alichotengeneza Aisha (رضى الله عنها)sio kitu kilicho wazi ndio maana mtume ﷺ akauliza ni nini hii.Ni katika vitu wanavyo chezea wasichana wadogo na sio katika sura za wanyama kwa uhakika.* *2.Jibril (عليه السلام)alimwamrisha mtume ﷺ kukata kichwa cha mchongo kiwe katika muundo wa mti,na pia aliamrishwa sura iliyokuwa katika pazia ichanwe.Lau ingekua katika muundo wa mnyama mtume ﷺ angeamrisha ikatwe.* *3.Wametaja baadhi ya wanazuoni kuwa hikma ya mtume ﷺ kumwacha Aisha(ر ضي الله عنها) ni ili mabinti wajizoeshe kuendesha mambo ya kinyumbani katika siku za usoni kwani Aisha (رضى الله عنها)alikuwa bado mdogo.Na hikma hii haipatikani katika uchoraji wa vibonzo bali kuchora huko kunachangia kufisidisha kwa kuchanganya jinsia na mengine mengi.* *4.Lau tukijaalia kama wanavyosema basi ni kwa wasichana wadogo pekee wanapotengeneza kwa mikono yao,ama vibonzo hivi wameshirikiana wakubwa kwa wadogo bali baadhi vinaundwa viwandani.* 💥 *SHUBHA YA 8⃣:* *NYINYI MNAKATAA PICHA ILHALI MTUME ﷺ AMEJUZISHA KATIKA HADITHI* *"إلا ر قما في الثوب* " 🧽 *JAWABU* ❌ *Hadithi hii mumeifahamu ufahamu sio .Anasema imam Albaaniy Allāh amrehemu maana yake ni picha ambazo hazipo wazi katika sura na muundo wake.Amesema Shaykh Muhammad bin Ibrahiim Aal ashaykh "huenda ikamaanisha picha ya viumbe wenye roho au wasiyokuwa na roho na pamoja na hayo haifai kuacha dalili nyingi zilizokuwa wazi katika uharamu wa picha za viumbe wenye roho na kutumia hadithi yenye utata katika ufahamu bali hii ndio njia watu waliopinda...."* *Jawabu lingine ni kuwa ikiwa utafahamu kwa huo ufahamu wako basi ibakie katika nguo (ثوب) mbona upeleke kwenye rununu,televisheni na mengine?*

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 5 дней назад

    Ni.kweli Allah amuomgoze

  • @Banzok700
    @Banzok700 5 дней назад

    Jazakallah lhair

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 5 дней назад

    mashallah

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 5 дней назад

    Kwa hiyo umemkanusha mtume s.a.w kuwa Umma huu utakuja kufarriqiana makundi 73 haya ww twambie Umoja wko ni gni manake mtume s.a.w amekusudia tusitangamane na watu wa batwil

  • @jamalturky9001
    @jamalturky9001 5 дней назад

    Mfahamisheni sheikh kua wahindi ni waislamu ila hilo alosmaa ni la banianii ukisma wahindii mana wote sasa

    • @user-zv1hg3dh3s
      @user-zv1hg3dh3s 5 дней назад

      Shehe acha kupotosha umma, mbona hutaji hata qauli za wanawachuon juu ya masuala ya picha. Wambie watu haya masuala picha za photograph yana ikhtilafu baina ya wanawachuon. Pia wambie ni ipi QAUL arrajiuu(yenye nguvu).

    • @user-zv1hg3dh3s
      @user-zv1hg3dh3s 5 дней назад

      Halafu watakiwa uphaham chombo Cha camera ni chombo Cha kisasa ambacho KAZI yake ni kupiga picha. Hii ni mbada ya mtu anaechora picha kwa mkono wake lakin Kaz ni ile ile, pia hiyo camera haiwez piga yenyewe picha had wew muhusika uishughulisha, ni kama mtu anavyotumia mkono na Kalam kushughurika

    • @user-zv1hg3dh3s
      @user-zv1hg3dh3s 5 дней назад

      Pia watakiwa ujue hiki ni chombo Cha kisasa ambacho wakat wa Mtume hakikuwepo. Ni kama vile unavyoona Leo vyombo vya usafir zaman gari hazikuwepo ilikuwa usafir ni punda, lakin KAZI ni ile ile usafir. Hukum yake ni moja

    • @user-zv1hg3dh3s
      @user-zv1hg3dh3s 5 дней назад

      Acha kutoa FATUA kwa MATAMANIO ya NAFSI. Picha ni picha tu hata iwe imechorwa kwa mkono au ukatumia chombo Cha kisasa(camera). Hukum yake ni moja. Ni haraaam ispokuwa kwa dharura kama wanavyosema maulamaa, hem angalia FATawa ya sheikh uthaimn KATIKA adaab zafaaf

    • @user-zv1hg3dh3s
      @user-zv1hg3dh3s 4 дня назад

      Wanawachuon wanasema picha hiz za fotograph itafaa kwa dharurah tu. Lakin asili ni haram

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 5 дней назад

    Hawa wanaouliza maswali kama haya wanakuwa wapi kuisoma na kuifahamu dini yao mbona, ni maswali ya kitoto sana kuusoma uislamu wqo hawataki kazi kuuliza maswali ambayo uislamu umeeka wazi ilmu yake.

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 6 дней назад

    Shekhe huyu sunnah Zina mpokonyoka kila siku ziendavyo ni shekh wa kwenda na matamanio ya watu tuuh, anaelekea kuwa hizbi kabisa.

    • @omarzubeir3907
      @omarzubeir3907 4 дня назад

      Kivipi yaani ningeomba kufahamu hapo

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 4 дня назад

      @@omarzubeir3907 wew huoni fatuwa zake zinachanganyika na sunnah na wakati mwingine ana jibu la kwenda na matamanio ya nafsi za watu au huoni sijui lbda anaogopa akiwa anasema kweli taasis zake zitatiwa fitna na bakwata, ndo kinacho muhofisha any way mi namuomba kwa Allah amrudishe katika mstari wa saw yeye na sisi

  • @user-wd4xl5cl4y
    @user-wd4xl5cl4y 6 дней назад

    Hakika

  • @azizaj776
    @azizaj776 7 дней назад

    Kwa hiyo utembee mbele ya Msalaba yaani msalaba uwe nyuma yako - Shekh umetudanganya , ni faradhi kifaya kumzika binadamu mwenzako bila kujali dini yake , hiyo ndiyo NIYA YAKO na pili unaenda kumzika AMALI YAKO IMEKAMILIKA , wewe msalaba unakuhusu nini ????? Wacha wabebe wanyanyie juuuuuuii wewe nia yako kwenda kumzika binadamu mwenzako shauri Lao na msalaba wao - Shekh please usitupotoshe

  • @LatifahPambe
    @LatifahPambe 7 дней назад

    SubhanaAllah

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 7 дней назад

    Naam muft. je hii imekaaje Mke akishika mtu ambaye siye ktk family

  • @user-pq2ny1zi8q
    @user-pq2ny1zi8q 7 дней назад

    اسه ینعدم 😂

  • @faresboumaiza1710
    @faresboumaiza1710 7 дней назад

    بالتوفيق للعلامة صالح ٱل الشيخ في دروس الحرم النبوي

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 7 дней назад

    SHEIKH ENDELEA KUTUELIMISHA SISI TUNAO HITAJI KUJUA, USISHUGHULIKE NA WASHABIKI WA DINI!

  • @hemedahmed3094
    @hemedahmed3094 7 дней назад

    وَلَا تُصَلِّ عَلَىٰ أَحَدٍ مِنْهُمْ مَاتَ أَبَدًا وَلَا تَقُمْ عَلَىٰ قَبْرِهِ ۖ إِنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَمَاتُوا وَهُمْ فَاسِقُونَ Wala usimsalie kabisa yeyote katika wao akifa, wala usisimame kaburini kwake. Hakika hao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakafa na hali ni wapotofu. 9:84

    • @abdallahsaidahmad5628
      @abdallahsaidahmad5628 7 дней назад

      Ndugu yangu ufahamu ni buru kutoka KWA Allah Usikurupuke kusoma Aya na kuitoleya fatwa soma kwanza Kisha ndio towa fatwa

    • @user-ii2xd4vf5f
      @user-ii2xd4vf5f 7 дней назад

      Msome msiwe mnapotosha aya hiyo iko wazi usimsalie wala kusimama katika kaburi kwa ajili ya kumuombea maghfira na Rehema.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 5 дней назад

      @@abdallahsaidahmad5628 ww makafiri hawa ni ndugu zangu mbona wawatetea na huyu shekh wako anaepindisha hakki, kutafuta maslahi ya kidunia wakati Allah mwenyewe kawaita makafiri na msishabiane nao katika mambo ya dini mtaaminiana nao katika mambo ya kidunia tuuh, mfano kukutana katika biashara na mambo ya kijamii so katika dini tunaona unavyotoa lalamiko hapa kuwatetea makufari walomkataa Allah na mtume wake

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 8 дней назад

    Shekh ni sahihi kumzika mama au baaba akiwa kafiri lakini hapo kwa wengine umepindisha hakki kidogo, hii dini haina kuneana aibu mazishi ya kafiri tofauti na mzazi huwezi shiiki haya mambo ya kusema sisi ni ndugu inamana unataka kufanya uislamu na ukristo kitu kimoja arafu usiongee jambo kuwafurahisha watu huku Allah unamuuzi Allah, amesemma mayahudi na manaswara ni maadui zangu msiwafanye marafiki shekh unataka kutuambia kwamba tushiliki mazishi ya makafiri wakati, kuna miharafa kibao kwenye mazisshi yao, haifai muislamu kusogea karibu nao wwqtu wanaimba nyimbo zao atashilikishwa allah hapo na ww upo et kisa jirani hiyo haipo huwo mtazamo wa pili unatuingiza chaka shekh.

    • @user-oz3hn6xd1q
      @user-oz3hn6xd1q 7 дней назад

      Nilichokigundua hapa anajibu kwa kuwaridhisha watu fulani

    • @JumaNgeni-ld5yb
      @JumaNgeni-ld5yb 7 дней назад

      anqogopa kusema.ukweli

    • @abdallahsaidahmad5628
      @abdallahsaidahmad5628 7 дней назад

      Vinajana somen kwanza msiongeye kiushabiki Katika dini elimu ya dini inakwenda Kwa nakili sio kutumiya Akili au kunukuu Aya au hadhi na ukatowa ushihidi Kwa Aya hiyo kupitiya ufahamu na uelewa WAKO Huna mamlaka hayo soma kwanza mpaka utimize vigezo na masharti ndio na Wewe utakuwa na jitihada zako ila ushabiki katika dini hakuna Hivi Wewe unaongeya maneno hayo umeyatowa Wapi kitabu Gani Ni muhim MTU kutokuingiliya KAZI ambayo haimuhusu kama haujasoma ukafika darja ya kutowa fatwa bas sio KAZI Yako Kufanya Hivyo bal soma kwanza na ujuwe haki ikoje ​@@JumaNgeni-ld5yb

    • @ibrahimrajabu8722
      @ibrahimrajabu8722 6 дней назад

      ​@@user-oz3hn6xd1q angekuridhisha wewe??

    • @ibrahimrajabu8722
      @ibrahimrajabu8722 6 дней назад

      weka na dalili

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 9 дней назад

    Shukran takaballlah

  • @yusuffharoun
    @yusuffharoun 9 дней назад

    Assalamu alaikum warahmatullah wabara katu, Shekh kwa mojib waa waatu wa sunna waljamaa laazima kukunut. Jazakmu WALLAH KHAIRY.

  • @user-dm6qd3po4q
    @user-dm6qd3po4q 9 дней назад

    Mashaallah tumejifunza kitu alhamdulillah

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 9 дней назад

    MAASHAA ALLAH❤❤❤❤

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 10 дней назад

    Alhamdulillah,

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 10 дней назад

    Jazakallahu kheir

  • @rabiinassoro5239
    @rabiinassoro5239 11 дней назад

    Asalaam aleykum.. niulizie kwa Shekh je kila swala ya Sunna ya witri tunakunut au mpaka mwezi wa ramadhan tu .. Nimewai kuuliza humu Kama limewai kujibiwa please share link

  • @JumasKaboma
    @JumasKaboma 11 дней назад

    😊

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 13 дней назад

    Muongo huyu

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 13 дней назад

    😢😢😢😢😢

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 13 дней назад

    MAASHAA ALLAH❤❤❤❤

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 15 дней назад

    Alhamdulillah MashaAllah ❤

  • @aboumill994
    @aboumill994 15 дней назад

    I adored speech.

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 16 дней назад

    Mche Allah....acha kuzunguka zunguka na kupiga nyambu.....HII NI DINI YA ALLAH.....UKIICHEXEA HALI UNAJUA ALLAH ATUUUMBUA HAPA HAPA

    • @Alibaana550
      @Alibaana550 15 дней назад

      Na wewe pia mche ALLAH , na ukae chini uisome dini yako kisha uache mihemko.

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 15 дней назад

      @@Alibaana550 maulidi ni bidaa na kuna shirki kwenye barazanje....BIDAA ....MAKHURAFI NYIE TUFANYE SUBRA UZURI HATUISHI MIAKA MINGI...TUANGALIE NYIE NA SISI MASUNN NAN YUPO KWA HAKI.....

    • @Alibaana550
      @Alibaana550 15 дней назад

      @@SameerMdumbemalongo ALLAH atupe salama kutokana na mazito ya siku hiyo

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 16 дней назад

    Umoja gani fafanua...mbona unazungumza kwa ujumla, chambua huo umoja , maana makundi ya baatwil ni mengi.tuonganenenao?