Je wajua nini maana ya ndoto zako. Je, huwa unaota ndoto lakini haukumbuki? Ungana nami nikutafsirie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 4

  • @ElizabethBayo-f4z
    @ElizabethBayo-f4z 4 дня назад

    Mtumishi niliota tunamgombea Mtumishi wa Mungu walikuwa wawili mmoja nilimwona mwingine sijamwona baada ya hapo nikawa kama naingia chooni nilivyofika huko Kwa nyuma nikaliahwa dawa kama majani

  • @marthajames-o3s
    @marthajames-o3s 4 дня назад

    2:46 ukiota unakula mayai nini maana yake

  • @marthajames-o3s
    @marthajames-o3s 4 дня назад

    Ukiota unakula mayai nini maana yake