@@preciousjackline8483 me ndomana nasema hii ni michezo inapangwa ,, sasa kujua kama mwanao snitch na kuchukua milion 1.5 ipi ina thamani kwa maisha ya sasa
Sasa mtu anataka ufanyiwe chalenge, na unajua hapo unacheza kamari, inamaana ikitokea bahat ikawa upande wako yaan unachokiamini kikawa hivyo unavyotaka,au kikawa ni tofauti na unavyoamini, kwanini mnafanya fujo? Inamaana unapofanya fujo na kutaka ugomvi, ni kuwa huwezi kuhimili hilo jambo. Na ni bora kuachana nalo maana ni kwamba unapingana na ukweli, na unakikataa ulichokitafuta mwenyewe.
Huu mchongo umepengwa bhna hamna kitu hapa, ukiskiza kweny cm jamaa kevoo anamwambia ivan 17 kuwa 'unamuona hemel apo me ndo kila kitu connector " It means jamaa anajua kuwa wapo karibu
Mnavopanga bei sasa utazani mnauza ng'ombe😅😅😅😅
Wakwaza mm leo naomba like zenu
Kwanza siangemleta ata demu mwngne wakitaani kafeli tu mwenyw
Mwanangu ww noma saaaaana
Sema uyo mshkaji kazingua sana aiseee ,,, apo aliporuhusiwa aende ndani akamalizie alitakiwa ampigie mshkaji wake KEVOO amwambie oyaaa io michezo usije yan usitokee ni prank ,,, Angepiga IPHONE 14 ya bure io daaah kweli aisee bahati habahatiki
Ila bora kajua rafiki ake ni snitch 😢
@@preciousjackline8483 me ndomana nasema hii ni michezo inapangwa ,, sasa kujua kama mwanao snitch na kuchukua milion 1.5 ipi ina thamani kwa maisha ya sasa
Kwel angemtumia ata txt kwamb asij ni michez tu iyo
Noma sana
JAMAAA KAINGIA KWENYE MFUMO 😂😂😂
Nilijua nimeona kila kitu Dunia kumbe bado sana
Mbona kama mnaigiza hivi😅😂
wenzenu wanaweka full movie hum nyie mnaweka vipande acheni ushamba
Bro Weka Nzim Bas Hata Huku RUclips Unabow🙏🙌
Prt 2 please
Muendelezo lini kaka
Hapo kakosa jjumla
Part 2 please
K my,
Daaah….. ama kweli pesa ni shetani mkubwa. Unamuuza rafiki yako kipenzi kwa ajili ya pesa.????😭😭😭😭💔💔💔
Rahma sio lahma
I can feel his pain 😢😢
Hivi hizi challenge zina walipa au? Mbona mnatumia gharama sana
Ww tu apo ulivoangalia tayari ushamlipa😅😅😅
@@zenapius3796😂😂😂😂
Daaah
Mii nilipopata nafasi ya kuingiandani ningemtumia msg mpenzi kwamba nakuja apo usitoke mpaka nije kuna ishu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Sasa mtu anataka ufanyiwe chalenge, na unajua hapo unacheza kamari, inamaana ikitokea bahat ikawa upande wako yaan unachokiamini kikawa hivyo unavyotaka,au kikawa ni tofauti na unavyoamini, kwanini mnafanya fujo? Inamaana unapofanya fujo na kutaka ugomvi, ni kuwa huwezi kuhimili hilo jambo. Na ni bora kuachana nalo maana ni kwamba unapingana na ukweli, na unakikataa ulichokitafuta mwenyewe.
Mnaigiza
Fanya kuisha basis mkuuu
Duuu huu ulimwengu jikubali wewe kama ww usije amini mtu
Dah weka yote mzee
Yy man u so Manchester united😂😂nyiie😂
😂😂😂😂
Huu mchongo umepengwa bhna hamna kitu hapa, ukiskiza kweny cm jamaa kevoo anamwambia ivan 17 kuwa 'unamuona hemel apo me ndo kila kitu connector " It means jamaa anajua kuwa wapo karibu
Bongo move huyo kvoo amekubali vipi kuleta huyo Damu na hajaongea nae kuona kama hatakubali !?
oya malizia part 2
Unasema hipo full tunakuja umeweka kama kule TikTok unatuonaje mwana😏😏
😢😢😢
😂😂😂😂😂 bajeti... ila hela bwana... Umeanza kukatakata...
Kasikia bajetiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂
wenzenu wanaweka full movie hum nyie mnaweka vipande acheni ushamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔