Utumizi Wa Dawa Za ARV Kama Kinga
HTML-код
- Опубликовано: 30 ноя 2024
- Ripoti ya hivi punde iliyotolewa na shirika la kuzuia mambukizi ya ukimwi na maradhi mengine ya zinaa NASCOP imefichua kuwa, asilimia ya watu wanaotumia mipira ya kondomu kujizuia na maambukizi imepungua. Ufichuzi wa citizen nipashe umebaini kuwa makahaba wengi hawasisitizi matumizi ya kondomu wanaposhiriki ngono na wateja wao ilmradi waahidiwe donge nono la pesa. Badala yake, wengi wamegeukia dawa wanazopewa waathiriwa wa ubakaji kuzuia maambukizi ya maradhi ya zinaa kila mara wanapofanya ngono na wateja wao bila kinga. Je, dawa hizi zinawasaidia? Nampisha Patrick Injendi na taarifa hiyo kwa kina.
mikono munayo lakini mwafanya kazi ambayo mungu apendi njooni qatari acheni kutuaibisha wanawake
They should now switch to PrEp(Pre-Exposure Prophylaxis).