Wezi walitimia 20k out of 100k,,Balance ni 80k. Out of this 80k "Daktari Waswa anataka 50k. Balance itabaki 30k. Mama mwenye pesa aliuza vitu zake zote Kakamega,kukuja kuanza maisha Kitengela, meaning itabidi aanze na hiyo 30k na asipochunga hao polisi pia wakata kitu hapo so anaeza baki na less than 30k. Huyo Waswa yes amemsaidia but on the other side angemuhurumia kulingana na situation yake ata amlipishe pesa kidogo,ndio pia yeye abaki na pesa anaeza anza nayo maisha. 50k na story ya huyo mama vile iko ni too much surely
Mimi huyu mtu nilimpigia kama nimepoteza simu akaniitisha 8k na simu ilikua ya 16k na sahizo anasema nimtumie hizo doo kwa simu na bado alikua anasema niende eldoret penye alikua so mimi siamini huyu mutu
Mjue hii yote ni marketing strategy and one big drama. I am a bee farmer. Kuna nyuki haziumi . What one does is to smear wax Kwa mkono na kushikilia hizo stingless bees. I can even carry them in my pocket.
Sioni mtu akiongelea kuhusu kushika 🎤 mbona mganga hataki customer aishike yet he is just worried maybe she will mess with the talk 🤔🤔😳ni maonitu. Please usinitumie nyuki aki
Si umwambie anitumie nyuki nilieka beehives na hazijawai pata nyuki. Huyu mtu ni mkora😅 anatafuta queen bee anaekelea kwa mkono na uso ya msee alafu nyuki zote zinamfuata. Watu si wajinga. Only the foolish na wale hawajakomaa akili watakubali kudanganywa.
Yaani huyu jamaa amemobilize bibi wacon watu ati ni daktari wa nyuki. Tumbili hata hana aibu kupatia mafala kama hawa airtime na anajua watatapeli watu wanadhani ni story ya ukweli.
🙄 There are too many gaps in this story. The mganga Is just excessively greedy. 50K from a victime, half of her lifetime savings. How many can afford his exorbitant fee.
Why l am watching this... 2mbili you can do better let me just exit... 😂😂😂😂Ati nyuki... Give us a break.... No wonder we have Heaven, Hell and earth... None of us has ever gone and come back.. Wacha niende obinas
Scam, tumbili nlikuwa nmekurespect but sai umeniboo mbaya, Yani we ndio unapromote hii shit, I'm totally disgusted by you, hio stuff ya bees inaitwa bee bearding sio uchawi....
@@2mbili1 am sure unaelewa very well ukona influence, na watu wako vulnerable to fall into this scam na watalose dooh .. so inshort you don't care about your subscribers well being,
Wezi walitimia 20k out of 100k,,Balance ni 80k. Out of this 80k "Daktari Waswa anataka 50k. Balance itabaki 30k.
Mama mwenye pesa aliuza vitu zake zote Kakamega,kukuja kuanza maisha Kitengela, meaning itabidi aanze na hiyo 30k na asipochunga hao polisi pia wakata kitu hapo so anaeza baki na less than 30k.
Huyo Waswa yes amemsaidia but on the other side angemuhurumia kulingana na situation yake ata amlipishe pesa kidogo,ndio pia yeye abaki na pesa anaeza anza nayo maisha.
50k na story ya huyo mama vile iko ni too much surely
True haki
😂😂
Wezi watalipa juu wako kwa police
Kuna wenye waliniibia January naezasaidika kweli
Si afadhali ilienda taari ivo juu akuna faida aki huyu mganga anachua doo mob aki
Mimi huyu mtu nilimpigia kama nimepoteza simu akaniitisha 8k na simu ilikua ya 16k na sahizo anasema nimtumie hizo doo kwa simu na bado alikua anasema niende eldoret penye alikua so mimi siamini huyu mutu
Lini
Uyo mwenye anakuambia uende penye ako si corn man. Aki 😢
Uyu ako mkweli
Unfortunately kuna mafala who will take their hard earned money to this conman, and lose the cash without getting any help!!
It's true
It's true ,,Ali nisaidia ata Mimi Niki ibiwa
😂😂😂huyu ni conman ata huyu mama ni Bibi yake😂
Shakaholic.....
😂😂😂😂😂😂very right
Mtu na bibi yake wameshika kutapeli watu😂😂😂, 2mbili go on advertising conman😂😂😂
Mjue hii yote ni marketing strategy and one big drama. I am a bee farmer. Kuna nyuki haziumi . What one does is to smear wax Kwa mkono na kushikilia hizo stingless bees. I can even carry them in my pocket.
Watume Nyuki state tuliimbiwa kura💙💙💙💙💙😂😂😂😂
😂
Sioni mtu akiongelea kuhusu kushika 🎤 mbona mganga hataki customer aishike yet he is just worried maybe she will mess with the talk 🤔🤔😳ni maonitu.
Please usinitumie nyuki aki
Si umwambie anitumie nyuki nilieka beehives na hazijawai pata nyuki. Huyu mtu ni mkora😅 anatafuta queen bee anaekelea kwa mkono na uso ya msee alafu nyuki zote zinamfuata. Watu si wajinga. Only the foolish na wale hawajakomaa akili watakubali kudanganywa.
It's Soo sad that hao hawajakomaa akili ndio majority, wengine ata ukiwaconvince aje na fact bado wanaamini ni uganga
Kube this was all PR. Haha. marketing is interesting.
Ebu shikeni queen bee uone. Akili MTU wangu
Yaani huyu jamaa amemobilize bibi wacon watu ati ni daktari wa nyuki. Tumbili hata hana aibu kupatia mafala kama hawa airtime na anajua watatapeli watu wanadhani ni story ya ukweli.
2mbili will do anything for views kwani hujui, he doesn't care what he cares about ni venye atapata views
Kwani hujui utube ni views,kenya hakuna kazi utube inatulisha wengi,so anything we post is views bora umewatch only,others wachia utube.
🙄 There are too many gaps in this story. The mganga Is just excessively greedy. 50K from a victime, half of her lifetime savings. How many can afford his exorbitant fee.
Mwizi
real thieves can never be caught on such incidents... hao wanajifunza ndo wanapatikana caus magari zinapotea sana😅😅😅
Na daktari unadeal n mapenzi pia ntka babydaddy wangu umtumie nyuki kwa makende zake 😅😅😅
Surely
mtoto anafanana na mganga exactly
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😅😅😅😂😂
Woooooi aki huyu naye daktari 50k yote aki na mtu hiyo ndo tegemeo la huyu mama
Imagine!
How come the two look alike? Are you sure the two are not brothers!
nimenotice aki
Atamm nataka hiyo namba
Nime search Doctor wa swa kumbe hii sio ya kwanza.
Mganga hawezi tafuta wateja kwa mitandao, anatumia matunguli yake kupata wateja, ukitaka waganga original jipeleke kitui
Hata waizi wa kura watumiwe nyuki hii inaka 0pen judgement
Huyu mama ni mzee.Kwani alihama kwake kuja Kitengela?...Aache mchezo na uongo!!!
Why l am watching this... 2mbili you can do better let me just exit... 😂😂😂😂Ati nyuki... Give us a break.... No wonder we have Heaven, Hell and earth... None of us has ever gone and come back.. Wacha niende obinas
Huyu ni bibi ya huyu jama ebu ona mtoto vile wanafanana
Conman in action
How can Media show something like this?
2mbili is now marketing witches 😂😂. Mbona asitume nyuki kwa politicians wa corruption?
Watch full interview amesema anaeza wamaliza wote!!
@@2mbili1 Oooh let me complete it
Ahahahahha akwende huko... huyo ni bibi yake... hahahah 😂😂😂😂😂
Angalia huyo mtoto anafanana mganga
@@2mbili1 kumbe wewe kamsee unakili ndogo hivo?leta marelative wako uko watu huku
Na wanaodaiwa hawataki kulipa na wametublock kwa sim
Waluhya watanza kuogopwa jesus let me shout jesus nisitumiwe nyuki
Huyu ni mwizi 😂😂😂😂uyo mama ni Bibi yake wamepanga waibie wakenya eti nyuki, nonsense
Wenye mnasema ni con, nani anaeza vamiwa ivo na nyuki na asidungwe....😂😂😂😂😂😂
S
Fanya research kwanza
Good question Mary.... askkkk them mm... and we need practicals si theory😂
Si baba apeleke ruto sababu ya kura 2023
😂😂😂😂😂😂😂 Ruto hawezi kosa the same, asipatikane.
By the way kunakuanga na license ya wangaga ama🤔🤔🤔🤔🤔 asking for my friend
Yes
Hii kiswahili ni ya Uganda
kumbe ilikua clout??
huyo sio mkanga ni mwizi mtapeli.bure akuna mkanga wa ukweli huyo mwizi,wako pamoja na huyo mama
Nomaree
Funny he says there are people conning people in his name , can he not send bees to such people
Mkora huyu hii ni kipindi
😂😂😂 true
Sasa wacha akatae eti hakuiba!!!
Gai mbona mtoi anakufanana
Mluyha 😅😅
Kwani waluhya wanaroga, huyu may be alizaliwa na mukamba. Waluhya hawana maneno.
Aky weueh huyu si Wa kwetu😅😅😅
Kwan wakamba ndio wachawi,
Sisi waluhya ni wrong number.😅😅 wacha tuwache chocha
Ni mganda
Tumbili hii nayo umeniboo hii ni wongo
The fact that he is well known by thee Kenya police... confirms, its a scam😂....
Tapeli mkubwa mbona usifanye kenya iende world cup na ishinde? Kama uchawi una nguvu pemba wangeshinda kombe la dunia!
Watu walalange mapema waamke asali as possible 😂😂to avoid this
Weee ata mukisema wakamba jameni walughya wamekua noma kbxaaa
Weee😂 the questions u r asking😂😂😂😂. Removing museveni. Atume nyuki state hse😅😅😅😅😅 aki nyinyi
Waswa nikibiko kutoka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Unamjua
Naeza pata iyo number
Tumbili wewe ni fala sana. Kwani hujui hii story y a queen bee
Pathetic 😢😢😢....Fear God Almighty Jesus Christ
Sisi wakamba tunajua hii ni kipindi😂😂
Kipindi tu hii,huyu ni mwizi mkubwa
Nimeona kazi yako ni nzuri aky hata mimi natamani unisaidie jamani
Wee nlijua tuh Kaa c hapa
Huyu mtu alikula pesa yangu 10k akinidaganya sim yangu itarudishwa adi waleo
THANKS FOR LETTING US KNOW. FOR BLOWING THE WHISTLE
God first ukifanya hivyo hata jirani wakuogopa
Kipindiree 😂😂😂
Sio kipindi. Majini si ziko
😂😂😂😂😂
number yake iko busy😃😃😃😃
😂
tumbili huyu anataka tripod na ka camera anasema kazi haionekani mpee macho moja 2 mbili
Kiinoo
Namtaka huyu aniambie mwenye ameniroga 😂😂😂😂
Story za jaba hawa ni couple wameamua ku con watu
Sure Mimi alini con
Kidogo content imeanza kukupiga chenga tangu uwache kutembea na obina
Thanks for watching & commenting 🙏🙏
Uwongo
Content creation 😂😂😂
Scam, tumbili nlikuwa nmekurespect but sai umeniboo mbaya, Yani we ndio unapromote hii shit, I'm totally disgusted by you, hio stuff ya bees inaitwa bee bearding sio uchawi....
Mimi sijaboeka 😂
We peleka na uko,wacha wenye wanataka namba wachukue
@@2mbili1 am sure unaelewa very well ukona influence, na watu wako vulnerable to fall into this scam na watalose dooh .. so inshort you don't care about your subscribers well being,
@@michellenyaboke4925 so you believe ni uganga😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
@@dantebuchez6435the decision is yours , we ndo utachagua mganga ama mganga!!
Vile inafaa😂😂
C kwingñe
Kuna mtu alinipia
Bro nakufuta Sana but huyo Mzee ni tapeli,nimetuma mtu kwake akala pesa yake na hakumsaidia
Ni mluhya wahh
Tafadhali Daktari Amefanya Kazi Mzuri Kwa Mambo Ya Uizi Lakini Aziwe Mwepeshi Kwa Kujibu Kila Swali Kutoka Kwa Hao Watu Wa Media
hii ni script
Tumbili My Brother Najua ni Content's but kusema Nyuki zitumwe Kwa bunge hata moja ipatikane huko si watasema ni wewe 😂
Ata asend zao ni waganda wote
Ukora
50k zote
Huyu ni mkora
tumbili uko na swali funny sana
otek osiepa tumbili
Nonsense
Hawa ni Macon
A colony of bees
Mtu na bibi yake wako hustle...tumbili amepigwa yake ya mafuta ya BMW Sasa anatafuta views!....ufala tupu!
Bonnie and Clyde
na usisahau kumpa tripod yakushikilia macho ili watu waone kazi vizuri
Kipindi kipindi
I needs u
Ghasia wewe enda ukafanye kwa kisiagi wacha uwizi
ata si ueke io boobs ikuwe blured
Ata nipple tu
enyewe content inatafutwa ya fees