Dizasta Vina - Nobody is safe 3 (Official music video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 672

  • @edwardkimario7460
    @edwardkimario7460 4 года назад +18

    I respect and most definitely love what you do....this is what rap means...delivery 100...ryme scheme 100... Bless bro bless

  • @buhagabuhaga4318
    @buhagabuhaga4318 4 года назад +39

    Naikamata dar Kama daudi wa kolomije ,,,nipeni hata like moja wajuba

  • @Belle9Nine
    @Belle9Nine 4 года назад +13

    wewe sio msanii wa kawaida 🙌🙌

  • @RosecocoRose
    @RosecocoRose 6 дней назад +3

    Dizasta ndo jinaaa😂😂
    Kudadekii mpakaa rose mie namsikilizaa huyuu uncle🎉🎉🎉 na ni katoto cha 2004 tyu
    Real lifee 💪🏿💪🏿🤝❤❤❤

    • @RosecocoRose
      @RosecocoRose 6 дней назад +1

      Nipongezenii basi kwa like apaa jamn khaaa😂😂😂

    • @dizastavina
      @dizastavina  3 дня назад

      Let's go #Hiphop

    • @RosecocoRose
      @RosecocoRose День назад

      @dizastavina 🤝

  • @dizastavina
    @dizastavina  4 года назад +35

    Thank you for watching!!! Hip hop 💪🏽💪🏽💪🏽

  • @danielwilfred2609
    @danielwilfred2609 4 года назад +22

    "nishavunja mwamba kaskazini,
    Tanzaniaa hakuna mroma mwenye stamina yaku rap na mm"
    Who else got this line?

    • @mselemamsomba6561
      @mselemamsomba6561 4 года назад +1

      Hahah niko apa...daaaaah hili jamaa aisee

    • @VacSeen_N
      @VacSeen_N 4 года назад +1

      Asee🤣🔥🔥🔥,, nashindwa nielezee vipi huu ujuzi

    • @barakaedwin176
      @barakaedwin176 4 года назад +2

      “..........Na Km ndo unafika sasa...karibu centre ya tenzi...uone bidhaa bila ya Expire Date, kubwa kushinda Hata empire state...so My single line is like your entire verse.....” 🔥🔥🔥

    • @idrisakugwile4852
      @idrisakugwile4852 4 года назад +1

      I got! Balaaa

    • @mrundumo1326
      @mrundumo1326 4 года назад +1

      Hiz nyimbo ndo vyakula vyetu wengine

  • @b9media144
    @b9media144 4 года назад +5

    Lufufu kafufuka, vina upo makini kushinda Joh! Umevunja mwamba wa kaskazini 💪💪💪💪

  • @kilimapozimuvinajr.
    @kilimapozimuvinajr. Год назад +16

    Tuliovutiwa na BEST FRIEND tu'comment wapi?

  • @ZioDrop
    @ZioDrop Год назад +4

    home boy we ni noma kaka we ni HOMA🌡🌡🌡🌡🌡🌡 sasa🌡

  • @therealdL188
    @therealdL188 4 года назад +4

    wacha wacha!!!Weka mbali na watoto asee track imeshiba kwa kila barz big up sana D vina

  • @emmanuelodunga5021
    @emmanuelodunga5021 Год назад +3

    Kama umepitia tribulation ya mwamba kuja huku gonga like tukisonga❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @morantyagala7853
    @morantyagala7853 4 года назад +4

    Fundiiiiii!🔥🔥 unavyotema vina unanikosha kwel we ni rap messiah

  • @dastanjonathan2942
    @dastanjonathan2942 4 года назад +10

    Shida ni tunaishia kusifia and then support ya msingi hatutoi kesho mtu ksscha mziki ooh tumemiss floor zako, kitu knatakiwa ujue ukipenda lipia thamani ya upendo mwana katoa Album tukanunue sasa cause vyuma vipo vya kutosha

  • @NurdinKisuti
    @NurdinKisuti 5 месяцев назад +2

    Inshu Siyo beat Wala mdubdo angalieni tarihi , sitiari, tamathali za semi, soga na fukra kubwa zilizotumika kufikisha ujumbe kupitia lugha ya picha ya chupa ya ziada huyu jamaa ni next planet 🎉 mungu amuweke sanaa azidi kuokoa hiki kizazi🙏

  • @eliudytafawa4648
    @eliudytafawa4648 2 месяца назад +1

    Wenzio wameacha mtindo kunichukulia simpel 🙌🙌

  • @thelivingwelltv6399
    @thelivingwelltv6399 4 года назад +4

    WEWE NI Mungu wa rap sina shaka nawe,as hip hop we real proud of you

  • @millenniumtot4565
    @millenniumtot4565 4 года назад +4

    Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Ivyo hii imekuwa zawadi moja nnzuri sanaa nauanza mwaka na ngoma moja kali sana

  • @deviceboykifaa5985
    @deviceboykifaa5985 4 года назад +3

    yan kwahapa nimeipata fraha iliyo kua imeanza kupotea kuk Hus wew mwamba kizaz mzeee

  • @ritchiedon6808
    @ritchiedon6808 2 года назад +4

    Unaandika sana mkali 🔥 hakika toleo la mwisho la viumbe wa aina yako

  • @evancengowi6965
    @evancengowi6965 4 года назад +2

    Kikubwa tukubaliane ya kwamba ni no body is safe🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @shaddyqualityfurniture3595
    @shaddyqualityfurniture3595 4 года назад +5

    Nusu mtu, Nusu rap machine 🎶 DIZASTA MAISHA 🎶

    • @officer1208
      @officer1208 4 года назад

      Dizasta Vina ni 🔥🔥🔥

  • @Rickson-t8o
    @Rickson-t8o 2 месяца назад +1

    Hii ngoma dizasta ilitetemsha hip hop ya bongo haitawai sahaulika ripoti toka kilele cha ubora kilimanjaro iyo line nilikubali❤❤

  • @fixmor7003
    @fixmor7003 4 года назад +2

    wewe ni janga (disaster) kwahiyo janga limetokea hakuna aliesalimika ,yaaaap 💯💯

  • @jigwafrankie9420
    @jigwafrankie9420 3 года назад +8

    "Nishavunja Mwamba wa Kaskazini/Tanzania hakuna Mroma mwenye Stamina ya kurap na mimi"🔥
    🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 4 года назад +3

    Nakuzimia sana mwanangu 💥💥

  • @jumahasani245
    @jumahasani245 4 года назад +4

    Hakuna mroma mwenye stamina ya ku rap na mm🙉🙉😂😂

  • @patrickhauletv7263
    @patrickhauletv7263 Год назад +4

    Dahhhhhh nilikuwaga wapi????😢😢😢😢

  • @fizzozimba
    @fizzozimba 4 года назад +3

    We jamaaaa yani natamani nikufiche ila sitaweza aseee🙌🏾🙌🏾🙌🏾Ni Konyooo nyokooo😄

  • @nelsonmahenge7551
    @nelsonmahenge7551 4 года назад +1

    Kali sana Dizasta

  • @youngmillar4110
    @youngmillar4110 4 года назад +1

    Huu moto sio wa kawaida🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nestoryemmanuel210
    @nestoryemmanuel210 4 года назад +5

    Pure definition of definition to define
    Salute sn mwamba mkuu

  • @azardyjumah9381
    @azardyjumah9381 4 года назад +1

    Mung yupo kaza mzee ipo cku dunia itacmama kwa tenz mahili walimwengu wackie One love mby boy

  • @josephmkuye4490
    @josephmkuye4490 4 года назад +4

    Tofauti na ngono au drama za domo na wenzake....nishavunja mwamba kaskazini, TZ hakuna mroma mwenye stamina ya kurap kama mimi#dizastautaua🙌

  • @dizastavina
    @dizastavina  4 года назад +66

    Nobody is safe 3 (Official lyrics)
    on July 05, 2020
    Ah
    eyo kutoka Panorama nasukuma ringi kisomi,
    maana wa kufanya hivi simuoni,
    na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni,
    kwa mistari mingi kushinda hata nzi sokoni
    Dizasta ndo'jina logo ya mtaa ina-shine kuta,
    na-type lugha usongo kushinda mdai fuba,
    nuksi kama asili iliyo-design kufa,
    shwain kaa kando uone game nai-define upya, yoh!
    na usawa ndo' huu sikosei,
    mnapotea kwa sababu hamna basics, na hapo ndo'mnayumba,
    ndio maana mkienda juu siongei na vikundi vyenu utafikiri
    crew za ma-gay, Ski'za
    mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu,
    kwa maana hii miruko ni imara,
    niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo
    nachora beyond normal muulize Dubo Dibala
    expansion to the hyperspace,
    nakaanga mawe yanaiva ma-verse,
    unaweza 'dhania ni Complex Ngwair ama utadhania Langa rebirth,
    material deep huku diver haendi
    ni kama mufti aliyelamba haramu,
    tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu,
    sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi
    kina Ngugi wanawapa salamu
    ukifika uliza utaambiwa mimi ni nani,
    utaonyeshwa mtiti kilo nyingi haipimi mizani,
    ukishindwa ita wabishi waje wahiji imani
    waeleze naurudisha mziki nyumbani
    na kama ndo' unafika sasa karibu center ya tenzi, huh!
    uone bidhaa bila ya expire date,
    kubwa kushinda hata empire state,
    so my single line is like your entire verse, nigga
    usinishike mkono nikipake,
    hatuhitaji shobo, ni vina na mishono ka zuria,
    tofauti na midosho ya kipambe,
    tofauti na ngono au drama za domo na wenzake
    nishavunja mwamba Kaskazini,
    Tanzania hakuna Mroma mwenye stamina ya ku-rap na mimi,
    mizuka hewani utadhani anaye-rap ni jini,
    nusu mtu nusu rap machine
    najua ushasikia tenzi bro ebwana utenzi huu noma,
    ita wanafunzi waje waperuzi ngoma,
    we don't play good ukija tuna-execute
    ujuzi kama Sherryl Woods naandika zaidi ya Daily News soma
    panda safina imefunguliwa mito,
    na kingo ni mbovu ukioga tu umefunguliwa mito,
    wenzio wameacha mtindo wa kunichukulia simple,
    sikudanganyi hamna hewa huku nilipo
    kwa maana ni juu sana hata ukibebwa kusogea bado,
    kwa hisia za ushairi napotea angani
    kama vile jangwani zinavyopotea nyayo,
    Ah! pesa inaongea nami naongea nayo
    single nzito utafikiri na-double,
    nafoka kwa roho mbaya kama dingi wa kambo,
    muulize Fifi niko real kiasi sili na sharo,
    ripoti kutoka kilele cha ubora Kilimanjaro
    ngoja tu-diverge, thanks to rap I won't die virgin,
    mwandiko utasema kau-design shorty,
    sura ya kazi utahisi mdai kodi,
    rai ya uhai mashakani siku hizi Emcees hawakai road
    maliasili mama'angu anailinda kama mtoto wa majini,
    unaziamini ndoto? mi'ni kwa mama'ako
    ndoto kwa demu wako, hata baba'ako anatamani
    kuwa na mtoto kama mimi
    sahau kuhusu chips kwenye foil,
    hiki chakula cha ubongo cha ku-feed kids
    kwa lugha ya ku-twist kama coil,
    na maisha yangu myth mpaka naenda deep unaweza hisi nai-discover oil
    code zinafanya wazungu wanazunguka,
    mafungu wanafunguka, mazuzu wanazuzuka,
    nilikuwa mtupu nikaokota buku nikabukuka,
    leo nasimulia tungo tukufu ni ka Lufufu kafufuka
    Legend kama Koffi Olomide,
    naikamata Dar kama Daudi wa Kolomije,
    nawalaza doro si-follow bata na-follow mishe,
    na ufundi ni controverse utasema Apollo mission
    misele hapa mjini,
    natembea na begi la maiti nachinja bila kwere wala nini,
    busara tele utasema Nyerere ama Mwinyi,
    nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi
    Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa,
    niko underground na huku ndio mitutu inakofichwa,
    walikuja na gubu walizikwa kama wafu mbongo tubu,
    wazungu wanasujudu hiki kichwa
    we ni player unasifika? mi' ni game,
    kitambo kama Zinja kwenye plane za Afrika nasikitika hamjui,
    messages n'nazo-pack kwenye pictures n'nazo paint,
    niki-reveal scriptures kama saint uh!
    ni kama big hulk kwenye mini-bus,
    sitoshi kwenye skinny vazi
    gani lita-fit, ma-emcee wana-sound kama injini yenye hitilafu,
    mi'ni king wa Swahili rap get't? (yeeah!!)
    wanasema i am too real for the industry,
    Stockhom mpaka Italy,
    ka' cruise yatch, groove hii ni concord
    focus kama msongo ama mnoko anaye-solve murder mystery
    (ama' G.O.A.T you can see that) look at my family tree,
    look at the chemistry i have, look at my pedigree,
    you talk about being competitive? being authentic or
    having body of work or longevity?
    cheki hizi rythms cheki silabi,
    wananiita trickster cheki ma-trickery,
    ma-emotions passion love hope sympathy,
    uh! utahisi mkono wa Mungu umeandika hii
    na-spit holly ka' n'nam-bite Masihi,
    kwa heshima namnyang'anganya mic Madee,
    hii ni fact hakuna emcee wa ku-rhyme ka' D,
    shorwebwenzi nenda uka-bite na hii
    ni deep sana na ndio maana wanaita ngumu ku-rap,
    deep kama chumvi kwenye uvungu wa ny@p,
    kabla hujani-book nitoe kwenye hayo mafungu pumbavu,
    mi' sio malaika mi' ni Mungu wa rap
    Haleluyah!

    • @daniikirunda7113
      @daniikirunda7113 4 года назад +5

      😂😂 naikamata dar ka daudi wa koromije

    • @rajabmwanansoga8430
      @rajabmwanansoga8430 4 года назад +3

      Hapa ulipofika kiuandishi ukiongoza hata step moja yatakuwa maafa

    • @idrisakugwile4852
      @idrisakugwile4852 4 года назад +2

      Nakosa maneno ya kutosha ya kuelezea ukali wa hii joint! Dizasta unaipa heshima inayostahili HIP HOP!

    • @ommygraphics4355
      @ommygraphics4355 4 года назад +3

      Baba hii noma sana aisee

    • @meshackjackson3262
      @meshackjackson3262 4 года назад +2

      🙏🙏🙏

  • @humphreyalbano3349
    @humphreyalbano3349 4 года назад +1

    Dah..Muziki n chakula Cha Roho sas ii ndo lishe Bora sio kung'a ng'ania Manyimbo ya urimbo kwa zetu Dada

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 года назад +1

    Hahah uvungu wa nyap....loh...hApo mpoo wazee

  • @jozefuedmund2126
    @jozefuedmund2126 4 года назад +6

    Nimekua nikifatilia sana nyimbo za #dizasta kwa kipindi kirefu lakini bahati mbaya hivi karibuni sijaweza kufatilia sana na inaonyesha nimepitwa na nyimbo nyingi zilizotoka.
    Niliwahi pia sema jamii forums katika waandishi wa hip hop na flows dizasta kwangu ni best.
    Mimi ni mpenzi sana wa mashairi na flows. Napenda mashairi ya kufikirisha sio mepesi mepesi na dizasta kwangu yupo level ya juu sana kuliko anavyoona yeye.
    Keep up good work. #dizasta

    • @dizastavina
      @dizastavina  4 года назад +1

      Appreciate the love and support, please share

    • @jozefuedmund2126
      @jozefuedmund2126 4 года назад +1

      Dizasta Vina muhimu sana

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 4 года назад +2

    Aiseee hii Namba 3 Ni ya Moto kushinda jua 🔥🔥🔥

  • @deliriousgentleman7369
    @deliriousgentleman7369 3 года назад +5

    Look at my family tree, look at my chemistry and look at my pedigree! That punchline is stunning 🔥

  • @johnshangwe1515
    @johnshangwe1515 4 года назад +2

    Nilikua mtupu, nikaokota buku, nikabukukaaa.....Dizasteeeeeeer

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 года назад +2

    Duh uyu mtu wanasubiri wengi sana maana sayansi ipo yakutosha

  • @rusarock3024
    @rusarock3024 4 года назад

    Nakubal sana ujawai kuniangusha

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Месяц назад

    Ww ni atari mzee kila ngoma nayo gusa niyamoto kinoma

  • @barakakiyora6476
    @barakakiyora6476 2 года назад +4

    wejamaa ninoma kabisa

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 года назад +7

    Rappers kama hawa walipoteaga kitambo... he's the real meaning of Rapper

    • @dambwelahiphop
      @dambwelahiphop 4 года назад

      Bro walipotea vip na unawaona ?

    • @dambwelahiphop
      @dambwelahiphop 4 года назад +2

      Hip hop inaishi ndani yao waaminio.

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 4 года назад +1

      @@dambwelahiphop huja nielewa nini namaanisha... Gold is hard to find. Kupata ma rapper kama hawa ni vigumu. Jamaa ni noma huyu

    • @idrisakugwile4852
      @idrisakugwile4852 4 года назад +1

      Emcee

    • @dizastavina
      @dizastavina  4 года назад +1

      @@dambwelahiphop true

  • @VacSeen_N
    @VacSeen_N 4 года назад +5

    Kwa heshima Namnyanganya mic madee😂🔥🔥

  • @ibrahimmbatta9229
    @ibrahimmbatta9229 4 года назад +3

    Daaaah huyu jamaa noma Sana

  • @hassanrabii1102
    @hassanrabii1102 4 года назад

    Kaka umezaliwa na kipaji maan hujawai kuhalibu dah

  • @muhammedkhamis416
    @muhammedkhamis416 4 года назад +2

    Hi ngum kumeza ni sawa na album zao 10 "kodi zinafanya wazungu wazunguke " word play+ punch line hatari sanA

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 5 месяцев назад +2

    E Mwenyezi Mungu Uketiye Mahala matakatifu
    Nakuomba uipokee roho Ya mtoto Asimwe aliye Uwawa kinyama😭😭
    Hii inaumaa sana Uwafanyie wepesi wote Watanzania walio guswa na haya mauaji .😭😭
    Amina 🙏🙏

  • @anorderastonyondo3726
    @anorderastonyondo3726 4 года назад +5

    No body is safe for sure broo🙌🙌🙌

  • @paulothadei3844
    @paulothadei3844 4 года назад +4

    Nakubal mkal Dizast vina we ni 🔥🔥

  • @AlexNoah-ks8we
    @AlexNoah-ks8we 7 месяцев назад +1

    Mi nakulewa saana kaka, nyimbo zako zote ninazo.

  • @simbaforex
    @simbaforex 4 года назад +3

    Aiiiseeee The best mc kwenye hii Rap ya bongooo

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 4 года назад +5

    Nmempata mungu wa Hip Hop hao wengne, wanaimba kwa ajili ya njaa na wala sio HIP HOP! Namkubal sana huyu jamaa, usisahau kusubscribe RUclips channel yake🙏🙏

    • @nichorausmubhilizi4850
      @nichorausmubhilizi4850 4 года назад

      Aise dizasta kama dizasta,huyu jamaa utadhani ana Phd kabisa,respect kwake. Dizasta, Nash mc,Nick mbisho,young killer, Tamaduni juuu,

  • @balqhisroshan5492
    @balqhisroshan5492 2 года назад +2

    Sema we jamaa unajua sana aseee daaah ni nomaaaa

  • @el-hajjel-shabbaz8078
    @el-hajjel-shabbaz8078 4 года назад +2

    We mtu ni balaa, salute kwako

  • @yasinijoeli3405
    @yasinijoeli3405 4 года назад +1

    Huyu jamaaa ni nomaaa kati ya wale nomaaa ,endelea kukaz boy

  • @adamoscar6778
    @adamoscar6778 4 года назад +1

    Respect Sana Kaka mkubwa 🤝 💪🏋️ Asante kwa chakula Cha akili

  • @hamisinyondo161
    @hamisinyondo161 Год назад +2

    Genius..weh ni bidhaa bila expired date🔥🇰🇪

  • @privernnorens2317
    @privernnorens2317 2 года назад +3

    Niishie kusema tu kichwa cha Dizasta ni kizima sana......Thats how Rap is....

  • @stanleymwaikambo1460
    @stanleymwaikambo1460 4 года назад +2

    Damm. ... deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyap hahah

  • @westonchibwete3006
    @westonchibwete3006 4 года назад +1

    Profesa tungo 🙌🙌🙌🙌🔥🔥💯

  • @solalegahinfo4407
    @solalegahinfo4407 4 года назад +1

    inabidi tuwaite mcee's waje kujifunza utunzi 🙌🙌

  • @yusuphmasare3555
    @yusuphmasare3555 4 года назад +1

    Hip hope..Milele hii ngoma full nimeielewaaa sanaaaaa

  • @skm1143
    @skm1143 4 года назад +4

    Imefukia ngoma zingine zote

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 3 месяца назад

    Mji mzima kimyaa.. My favorite Rapper Dizasta vinna, fire ya East Africa

  • @hd255tv2
    @hd255tv2 4 года назад

    You kill it bro daaah yaani mpaka nashindwa cha kusema

  • @kudrabaruti5164
    @kudrabaruti5164 4 года назад +2

    Legend kama Koffi Olomide, naikamada Dar kama daudi wa Korormije !!
    Huu moto wa Disazta hauzimwi kwa fire extinguisher !!

  • @joelywakati1536
    @joelywakati1536 4 года назад +2

    "The next big thing Tanzania will ever see" ualisia ni the right now and 4ever big thing ambacho wachache tumekiona
    #soldier_in_dizastavinaz_army

  • @RealNgeda-j5o
    @RealNgeda-j5o 5 месяцев назад

    Mie Nikisikia Ringo Beat Najua Ni Janga! ✊🏽 Hip Hop Haiwezi Kufa ✊🏽 Ringo Kwenye 1 na 2 Ni 🔥🔥🔥🔥

  • @stevegeraldcc6063
    @stevegeraldcc6063 2 года назад +3

    Mwanangu kinyama from southern High as dream is my therapist through heavyweight punchline Dizzyzasta

  • @anthoniosure5438
    @anthoniosure5438 3 года назад +4

    Wee ni nomaaaaa big up bro

  • @wazi7719
    @wazi7719 4 года назад +1

    Cjutii kabsa kukusikiliza Dizasta Vita

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 года назад +1

    Hakunaa mroma mwenye stamina ...namunyang'anya mic..Madee

  • @issackdavid8595
    @issackdavid8595 4 года назад +2

    Unyama Dizasta vina since day onee nakubaliiii

  • @kibahaonline8817
    @kibahaonline8817 4 года назад

    umetisha mzee baba

  • @harunahozzah4130
    @harunahozzah4130 4 года назад

    Daaaaah nothing can say brooh!! Mungu wa rap #hallelujah

  • @x-barz3075
    @x-barz3075 2 года назад +4

    Tuning from Kenya big tune 🔥🔥🔥

  • @adamc2311
    @adamc2311 4 года назад +2

    Hujawahi nipoteza kwa hii road ya fikra,,,, rapGod

  • @fredrobnson4599
    @fredrobnson4599 3 года назад +5

    Hiki kichwa ni hatari sana asee!

  • @josepheliasi1533
    @josepheliasi1533 Год назад +1

    Nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi dizasta vina bwana

  • @vipawavyahatima
    @vipawavyahatima 4 года назад +1

    Legend kama kofii olomide, naikamata dar kama daud wa kolomije...😄😄

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 Месяц назад

    Teacher hii ni noma, bahari hii ata wakiunda chombo kwa kutumia akimid principal hawawezi kuvuka wanazama tu pumbav zao.

  • @SuleimaniHamadi-o3u
    @SuleimaniHamadi-o3u 4 месяца назад

    Na speak all kama na bite masii kwa heshima namnyang'anya mike madee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joseybrown5259
    @joseybrown5259 4 года назад +1

    Hii ndio Rap style tunaihitaj kwasas, unatish sana,

  • @ghosttalkvibe
    @ghosttalkvibe 4 года назад +1

    Ndio ndio, kwa sikio la kihardcore hii ndio sound yenye mkito maradufu.
    Amani mchizi Vina

  • @mselemamsomba6561
    @mselemamsomba6561 4 года назад

    Dizasta dizasta dizasta......daaaah we jamaa sijui kama ni binadamu wa kawaida asee...daaaaaaaaaaa

  • @winfredykahwili1513
    @winfredykahwili1513 4 года назад +2

    Vina umeuwa 🔥🔥 🔥 Sana

  • @tomelaman6827
    @tomelaman6827 4 года назад

    Dizasta vina ndo future ni yule kijoogo uliomkwepa mtaani Kisha ukamkuta kwako

  • @alimadmaulid2567
    @alimadmaulid2567 4 года назад +1

    Brother umeua sana..sikupingi bro twenzetu tukaipeleke hip hop inakostahili.

  • @cleversmk4529
    @cleversmk4529 4 года назад +1

    Giaaah
    Shorobwenzi nenda ka-bite na hii

  • @ronaldoromly8295
    @ronaldoromly8295 4 года назад +1

    DizastaaaaVinaaa #hii kwelii Nobody isSafe

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 года назад +2

    Bonge la ngoma home boy🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @JordanSolomon-mj6dn
    @JordanSolomon-mj6dn Год назад +1

    🎉🎉🎉 sio mchezo mchezo

  • @magnuspompeius2303
    @magnuspompeius2303 4 года назад +3

    nadhan dizasta sio mwanamziki n maktaba ya mziki... rap machine

    • @dizastavina
      @dizastavina  4 года назад

      Thanks, please share

    • @eliudytafawa4648
      @eliudytafawa4648 2 месяца назад

      ​@@dizastavina magroup yang yote yameipata hii nyimbo na watu wang wote

  • @nattyking.5604
    @nattyking.5604 4 года назад +3

    Hakuna amani kweli.....
    ...kuna MNYAMA kanguruma kwa hasira....
    ....na vikundi vyao kama nini mzee baba........🤣🤣🤣.kali sana

  • @edwardkimario7460
    @edwardkimario7460 4 года назад +2

    Ummm ey bro...uko vizuri from A-Z ....i swear i flow with it.... This the best on my fav list.....

  • @nehemiahmguluka9505
    @nehemiahmguluka9505 3 года назад +3

    Ebwana nimegundua huyu jamaa Kichwani Yuko makini sana piaa Yuko very humble,bila shaka respect piaaa coz I can see the way anarespond maswali ya fans Wake,na the way Yuko available every time you need Him....
    The future is very bright Mwanaharakati Mwalimu 🔥🔥🔥
    @Nusu mtu nusu Rap Machine 💯💯

  • @AhmedIbrahim-zu5tv
    @AhmedIbrahim-zu5tv 4 года назад

    kwl D zasta wa moto kushnda jua