Wakristo wataka kujua mbona waisilamu hawaamini Mungu ana mtoto ukweli wafichuka,moto sana kivumbi.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 117

  • @hayati9453
    @hayati9453 Год назад +10

    Ishaalla namba za cm ziko hapo juu mm na ww tuchangie hawa mashekhe wetu,,hio ni njia nzuri ya uislam kusonga mbele kama umejaaliwa ishaallah,,,sadaka yako itawasaidia wale wanaoingia kwenye haki,,na ishaallah itatusafisha na mabaya ,,amini ya rab❤❤❤

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Год назад +2

    Shukran masheikh wetu kwa kazi mzuri ya dawaah mafunzo mazuri yameleweka kabisa najivunia kuzaliwa muisilamu

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +7

    Assallam aleikum mashekhe wetu ninafuraha ilioje kuwaona tena leo Alhamdullillah nimewahi hongereni sana mashekhe wetu Alkah awalipe mema hapa duniani na kesho akhera

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Год назад +2

    MASHALLAH Mashekh zangu MUNGU awabarik sana na awalipe kher dunian na akhera INSHALLAH

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Год назад +5

    Ai, huyu mapengo wa Shati RED, ni Shetani kweli!
    Huyu Steveni RED, lazima ako na Kanisa mahali ana DANGANYA Watu na UWONGO wake!
    Huyu Steven, ni AGENT wa Mçhawi Ezekial na Makenzi, walio towa KAFARA ya DAMU huko SHAKAHOLA!
    Steven Kanaji fanya ka innocent kweli, lakini ni Snake!
    Well done Team Salim!
    BarikAllah Feekum!
    WaIslamu, supportini hii Dawah Team!

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +4

    Allahu akibar kazi nzur sana walimu wetu ❤❤❤

  • @newvideoomary2008
    @newvideoomary2008 Год назад +2

    Mashaallah Allah awalipe masheikh wetu

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +3

    MUNGU awallinde na kuwaifadhi na mabala ,mitihani na misuko suko masheikh wetu kwa kazi ya Da'awah mitaani , MUNGU awafungulie baraka na neema awajalie jannatul fridausi

  • @dennismawira2635
    @dennismawira2635 Год назад +6

    Wakristo mlipotea kitambo ,mimi nilitoka kwa stori za yesu

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 3 месяца назад +1

    Ma shaa Allah inafurahisha sana kuona Daawah inaendelea

  • @halimakenya3632
    @halimakenya3632 Год назад +5

    Asalam alaykum waramatullah wabarakatuhu mashallah masheikh wetu nawapenda Sana kwa kufanya kazi ya mungu inshaallah mungu awajalie mwisho mwema na pepo pia

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Год назад +1

    MashaAllah nawapenda kwa Ajili ya Allah

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Год назад +1

    Maashaallah baarakallah Allah awajaze kheri mashekh wetu..wataelewa tu hakki ilipo maana hoja zao hazina maandiko

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Год назад +1

    Kiukweli shekh salim unafahamik sana jinsi unavyo chambua bas anayetak kufaham atafaham na asiyetak bas muache ALLAH anaions jitihada yko INSHALLAH

  • @sofiasalimchengo3922
    @sofiasalimchengo3922 Год назад +10

    Mashaallah,Allah Akbar, Kwa kweli Dini ya haki mbele ya Allah n uislam, Mungu hakuzaa WALA hakuzaliwa na WALA Hana anaefanana nae ata mmoja na Issa bin Maryam(yesu ) sio Mungu Bali n Mtume

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Год назад +1

    Nmechelewa leo lakini nmefika😊😊. Watching from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +2

    Huyo ni pastor kweli kweli wala c masiara

  • @omarmselem6407
    @omarmselem6407 Год назад +7

    Asalam aleikum.mimi ni mfatilizi channel yenu napenda munapojadiliana na wenzetu hasa hapo kwa reli kwa maana wako wengi wanaotaka kujua na wengi wanaelewa..Allah awalinde awaongeze nguvu kuweza kufanya daawa inshallah.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote

    • @omarmselem6407
      @omarmselem6407 Год назад +1

      Hata mimi muislam najifunza maandiko ya biblos kutoka kwenu hasa channel yenu

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Год назад +1

    Kapendeza sheila na machawas wako smart😂😂😂😂😂😂

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +2

    Swadakta Masheikh Wetu kwa kuwapatia Helimu ya Bure Mana makanisani Awapatia Fursha hii yakujibu Maswali au kuliza sawali . Mungu Azikupatia nguvu zakuwafundisha nduguzetu ilawabishi sana

    • @mrok284
      @mrok284 Год назад +2

      Nzuri Sana Ndugu Zangu. Akina Salim na jopo lako.

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +1

    Mjadala nzuri mashallah lakini wakati mchache kesho inshallah😊😊😊

  • @babuuabdalla4117
    @babuuabdalla4117 Год назад +3

    Ma Sha ALLAH Ustadh Salim, ALLAH SWT Awabarik amin 🤲

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +1

    😂😂😂 hustadhi Hasani anasema anataka evidesi hataki mambo ya shakahola nawakubali sana walimu wetu

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 Год назад

    Yesu amejibu ndiyo mimi ni mtoto wa Mungu kwa hiyo sina haja ya kurudia jibu wakati wewe ushasema. Ndiyo pale aliposema wewe umesema

  • @saidhassanahmed4
    @saidhassanahmed4 Год назад +1

    Mashallah mungu awazidishie mashekhe zetu naona leo ostaz ally Simuoni video ya 3 ii cjui

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Ali yuko aliteguka mguu

    • @saidhassanahmed4
      @saidhassanahmed4 Год назад +1

      Allaahuuma adh hibil baasa raban naasi ishfi waantash shaafiy laa shifaa ila shifaauka shifaa llaa yughadiru saqaama inshaalah mungu atamponya kwa haraka na ampe nguvu zaidi ya mwanzo arudi akiwa powa azidi kufunya kazi ya mungu ameen

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Год назад +1

      @@salimdaawah123 ooh jamanii mwenyezi Mungu ampe shifaa inshallah!

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Год назад +3

    Hapo maeneo DOS💊💉 Itembee Bila Huruma (Huruma ni Estate..... HAPA DOZ💊💉 TU)

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +2

    Uyuwa Tishat ya red nae Anachekeshapia lakn Wanaelewa

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Год назад +7

    Vijana mko shida, sisi tuliondoka tulichoka kukaa siku nzima kanisani. Bye bye forever,

  • @abdixanadyare5039
    @abdixanadyare5039 Год назад +3

    M.Allah

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 Год назад +1

    ALLAHUMA BARIK ALLAH awazidishie jamani shekh ally yukowapi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Yuko aliteguka mguu

    • @aishaally6602
      @aishaally6602 Год назад +1

      @@salimdaawah123 ALLAH atamuaf na wagonjwa wote jamii muslima

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Год назад +1

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Год назад +1

    Safi

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Год назад +4

    Kijana anasukuma yesu abatise

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 Год назад +1

    Mashaalah

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +1

    Uyu Jamaa mwenye kikoticha Condacted Amenichesha Sana Atikiwauluza Swali Munavuta Sana hahaha

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +1

    Maa shaa Allah

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Год назад +2

    hahaha shiundu akosa evidence

  • @abdirahimbashir
    @abdirahimbashir Год назад +3

    I call you all non-muslims in this chat to accept Islam and admit that :
    لَا إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّٰهُ مُحَمَّدٌ رَسُولُ ٱللَّٰهِ‎
    this encompasses two concepts:
    1.There is no deity but Allah.
    2.Prophet Muhammad (ﷺ) is his messenger.
    ALLAH s.w says in quran chapter 3 verse 85
    وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْ خَاسِرِينَ
    translation ; if anyone desires a religion other than Islam (submission to ALLAH), never will it be accepted of him; and in the hereafter he will be in the ranks of those who have lost.
    Also in chapter 3 Imran in verse 19 ALLAH swt said
    “Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam.”
    يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انْتَهُوا خَيْرًا لَكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَنْ يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
    Chapter 3 verse 116
    O people of the book! Commit no excesses in your religion: Nor Say of ALLAH (God) aught but the truth.
    Christ Jesus the son of mary was (no more than) a messenger of ALLAH (God), His word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him: So believe in ALLAH (God) and His messengers.
    Say not "trinity" ; desist: it will be better for you:
    For ALLAH (God) is One ALLAH (God): Glory be to Him:
    (Far exalted is He) above having a son.
    To Him belong all things in the heaven s and on earth. And enough is ALLAH (God) as a disposer of affairs.
    لَنْ يَسْتَنْكِفَ الْمَسِيحُ أَنْ يَكُونَ عَبْدًا لِلَّهِ وَلَا الْمَلَائِكَةُ الْمُقَرَّبُونَ ۚ وَمَنْ يَسْتَنْكِفْ عَنْ عِبَادَتِهِ وَيَسْتَكْبِرْ فَسَيَحْشُرُهُمْ إِلَيْهِ جَمِيعًا
    Chapter 4 verse 172
    Christ disdaineth nor to serve and worship ALLAH (God), nor do the angels, those nearest (to ALLAH): those who disdain His worship and are arrogant,- He will gather them all together unto Himself to answer.
    وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ
    مَرْيَمَ أَأَنْتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيْنِ مِنْ دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِنْ كُنْتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
    Chapter 5 verse 116
    And behold! ALLAH(God) will say : " O Jesus the son of mary Didst thou say unto men , worship me and my mother as gods in derogation of ALLAH (God)?" He will say: Glory to thee! never could I say what I had no right (to say) .
    Had I said such a thing, thou wouldst indeed have known it.
    Thou knowest what is in my heart, thou I know not what is in thine. For thou knowest in full all that is hidden
    مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ ۚ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ ۖ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنْتَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ
    Chapter 5 verse 117
    Never said I to them aught except what thou didst command me to say , to wit, worship ALLAH (God) , my Lord and your Lord'; and I was a witness over them whilst I dwelt amongst them; when thou didst take me up thou wast the watcher over them , and thou art a witness to all things.
    إِنْ تُعَذِّبْهُمْ فَإِنَّهُمْ عِبَادُكَ ۖ وَإِنْ تَغْفِرْ لَهُمْ فَإِنَّكَ أَنْتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
    Chapter 5 verse 118
    "If thou dost punish them, They are they servant: if thou dost forgive them, thou art the exalted in power the Wise .
    مَا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِنْ رِجَالِكُمْ وَلَٰكِنْ رَسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
    Chapter 33 verse 40
    Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the messenger of ALLAH (God ), and the Seal of the Prophets: and ALLAH (God) Has full knowledge of all things.
    وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِنْ بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ ۖ فَلَمَّا جَاءَهُمْ بِالْبَيِّنَاتِ قَالُوا هَٰذَا سِحْرٌ مُبِينٌ
    Chapter 61 verse 6
    And remember, Jesus the son of mary, said " O children of Israel! Iam the messenger of ALLAH (sent) to you, confirming the law (which came) before me(taurah), and giving Glad tidings of a messenger to come after me, whose name shall be Ahmed. " But when he came to them with clear Signs, they said , "this is evident sorcery!"
    Look for koran translated in to English or to language read the translation of the following chapters 3,4,5 and 19 after that you can read the whole of the koran thanks.

  • @abulhassanchannel2741
    @abulhassanchannel2741 Год назад +1

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu,, sauti haipo sawa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh angalia tena iko sawa inn shaa Allah

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +3

    Little knowledge is dangerous.

  • @F.j84
    @F.j84 Год назад +1

    Huyo jamaa aliekuja kavalia blue na sleeve top ya brown ni mchungaji sauti yake tu ya kutoa pepo utajua😂😂😂

  • @rehemaabdallah5306
    @rehemaabdallah5306 Год назад

    Naomben lile andiko la kua wakristo washerehekew iddy, maandiko yote

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam Год назад +3

    Asalam aleikum warakhmatullah.Please make sure Kila siku mko on,napenda sana
    muhadhara huu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutajaribu

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +4

      It costs about Ksh6000 in fuel costs and editing and 'on air' costs, to hold this muhadara.
      It is NOT free.
      So everybody, contribute to support this Team.

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +1

    Sauti mashekhe wetu😊😊

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +1

    Wakiristo punguzeni jazba someni vitabu ukweli mtaujua tu la kama mnabisha ngojeni mfe mtauona ukweli lkn itangua ndio too late

  • @abdinoormoha1553
    @abdinoormoha1553 Год назад +1

    Asalam caleikum warahmatullahi wabarakat

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +3

    Hiii lakini ndio inafanya shakahola wakawa wengi walio uliwa uko

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Год назад +1

      Na hio LAKINI ndio imefanya makanisa kuwa mengi😂

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Год назад +2

    Huyu kijana STEVENI ni MRONGO sana, ana penda ku ONGEZA maneno yake katika Biblia!
    Hii UGONJWA ya WaKristo yaku poteza wenzao, ndio ilio UWA watu wengi INNOCENT kule Shakahola!
    Na hakuna MTU anawa TETEA walio tolewa KAFARA na kina Ezekial na employee wake, Makenzi!
    Ezekial ana tetewa na Wa KUBWA.
    Lakini MAREHEMU hawana LAWYERS!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Год назад

    BABA YANGU, HAINA MAANA BABA YANGU INAMAANA NI BABA YAKE ALIYEMZAA, KWASABABU HATA ALISEMA SALINI HIVI "BABA YETU ULIYEMBINGUNI JINA LAKO LITUKUZWE......" hivyo mungu ni baba yetu sote tunayemuomba yeye..

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 Год назад

      Huna unalolijua wapi yesu alisema muswali hivyo ? ALIOWAAMBIA muswali hivyo paulo baada ya Yesu kashaondoka alikua anasimulia aliyoyasikia kwa watu wa zaman

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Год назад +2

    haha shiundu ati ni mu israel awache uwongo

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 4 месяца назад +1

    M,a

  • @ArmaniDaud
    @ArmaniDaud Год назад

    Zote ni dini za kigeni na kungekua na dini ya kweli, Mungu angetuumba sote tuzaliwe ndani yake

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Год назад

      Sote tumezaliwa tukiwa waislamu ila baadhi ya wanaadam nd wakaamuw kuleta dini zao nyengine

    • @ArmaniDaud
      @ArmaniDaud Год назад

      Dini zote aimeketwa na wanadamu....period@@dulividuli5237

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +3

    Now imefika kiwango ya ma mashehee wetu wamgunze bibilia yenu. It’s very sad because your pastors are just good at collecting sadaka from you guys and not teaching you guys anything.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Год назад +2

    Why waste time kwa mtu mmoja ustadh Hassan? Patia watu wengine waulize maswali.watu wa silimu. Na pia ustadh Salim ramba mike😂

  • @MarieNgongo-l6m
    @MarieNgongo-l6m Год назад

    Soma Luka 4:14-30 utaona yesus walipotaka kwenda kumtupa

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o Год назад +1

    Matthew 3:17 And a voice from heaven, saying,This is my beloved son,in whom Iam well pleased.
    Christians be careful to such people.Know your Bible and your faith in Christ

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Whose voice was please anyverse that voice was from God wajinga waliisha

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o Год назад

      @@salimdaawah123 Give the verse to support your claim that it was not God's voice.Let scripture speak for it'self.Mtadanganya wengine.
      Someone is asking for a verse and the verse is there.🤪

    • @TabuOdhiamboOmiya
      @TabuOdhiamboOmiya Год назад

      First You urself can U proove the voice is from God bro read that Matthew 3:17 and understand it.

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 6 месяцев назад +1

    Somo wape dozi hao

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +1

    Mbona hamna sauti

  • @martinwamalwa1990
    @martinwamalwa1990 Год назад

    Bibilia hainashida bali watafusiri ndivyo hawaelewi

  • @MarieNgongo-l6m
    @MarieNgongo-l6m Год назад

    Soma mambo ya walawi 27:30-34 utaelewa sadaka inafaa kutolewa.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Hakuna amesema watu wasitoe sadaka mbona hamzikizi swali je wapi wachungaji wamekubaliwa kukula sadaka mbona Yesu hakukula sadaka

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 8 месяцев назад

    Kuna shida gani yesu kusema wewe umesema sihiyo nikuitika

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 месяцев назад

      So ni kisema wewe ni mwizi uniambie wewe umesema inamanisha umekubali

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Год назад

    Huyu kijana ni Hamza firi hamza

  • @MarieNgongo-l6m
    @MarieNgongo-l6m Год назад

    Soma Wakoritho wa 2, 9:6-8 inasema kwaajili ya sadaka, lazma tumtolee Mungu sadaka.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Kwani Mungu anakula sadaka mbona hujaelewa swali wapi wachungaji wakule sadaka mbona mkiulizwa maembe mnajibu tomato

    • @MarieNgongo-l6m
      @MarieNgongo-l6m Год назад

      Soma Mambo ya walawi 7:9-10 itakuelewesha kuhusu kuhani Kula sadaka yakuwa anastahili

    • @MarieNgongo-l6m
      @MarieNgongo-l6m Год назад

      Soma Mambo ya walawi 7:9-14 utaelewa kuwa nyinyi niwaongo, Kuna sadaka ya maskini nasadaka ya Mungu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      @@MarieNgongo-l6m sijauliza kuhani makuhani walikuwa ni walawi kabila lao nimeuliza wachungaji na pia wapi Yesu alikula sadaka kwasababu mwasema Yesu ndiye njia elewa swali wapi wachungaji wakule sadaka????ama uko na kanisa na unaona unga itakosekana

    • @MarieNgongo-l6m
      @MarieNgongo-l6m Год назад

      Wachungaji wanao ruhusiwa Kula sadaka niwa Kabila la lawi, hao Huwa kwa madhabau permanently na hula kwa madhabau, na wachungaji wengine Huwa wanafanya kazi Huku waki serve.

  • @MarieNgongo-l6m
    @MarieNgongo-l6m Год назад

    Mathayo 26:62 inasema hivi. Kisha kuhani mkuu akasimama akamwambia, hujibu neno? Hawa Wana kushuhudia Nini? 63 lakini yesu, akanyamaza kuhani mkuu akamwambia, nakuapisha kwa Mungu Alie hai utuambie kama wewe ndie Christo, mwana wa Mungu. 64 Yesu akamwambia wewe umesema, lakini nawaambieni tangu sasa mtamuona mwana Wa Adamu ameketi mkono Wa kuume wanguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni. 65 ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake, Akisema, amekufuru, mnahaja ganitena ya mashahidi? Tazameni Sasa, mmesikia hiyo kufuru yake, 66 mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakisema, imempasa kuuawa.
    Swalilangu kwenu wa Islam ni Iwapo Yesu hakumjibu kuhani mkuu kuwa Yeye nimwana wa Mungu, Mbona kuhani mkuu Alisema kuwa yesu amekufuru na auawe? Wala kama mnavyo sema nyinyi wa Islam kuwa yesu ndio aliye mwambia kuhani mkuu kuwa wewe ndio umesema kuwa mimi nimwana wa Mungu Mbona akatoa amri yesu auawe? Sasa niwajibu, Yesu ni mwana Wa Mungu na Kuhani Alisema auawe kwasababu alimdhihirishia kuwa Yeye ndie nandio maana yesu akamjibu umesema. Mfano nikuulize wewe nimtu ukinijibu umesema inamaana Gani? Siutakuwa umenijibu kuwa ndio mimi ni mtu. Jibu lakweli kwaswali Hilo basi Yesu Christo Ni mwana Wa Mingu.
    Wa Kristo tusidanganywe na kutoka katika njia yakweli, Yesu Christo ndie njia, kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwanjia yake yeye. Amen

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Yesu amejibu mtamuona mwana wa adamu hioni huyo kuhani ni muongo because amesema ati Yesu amekufuru wakati Yesu amesema yeye ni mwana wa adamu huwezi ficha haki

    • @MarieNgongo-l6m
      @MarieNgongo-l6m Год назад

      Alijiita mwana Wa Adamu kwasababu Alivaa mwili..ila ni mwana WA Mungu aliye kuwako hâta kabla dunia haija kuwako

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Год назад

      ​@@MarieNgongo-l6met alivaa mwili izo pumba zako kawape kuku🤣🤣🤣