MAPOKEZI YA MARTHA MWAIPAJA NA JOAN YA WASHANGAZA WA CONGO, TAZAMA JOAN ALICHOKIFANYA MBELE ZA WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 62

  • @DennisArisi-s7w
    @DennisArisi-s7w 15 дней назад +2

    Martha fanya kazi ya mungu achana na watu watachoka mungu pekee ndio anasema ukweli... nakupenda sana martha

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 16 дней назад +4

    Mmekazana kumhukumu mungu afanye kazi ngani

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 16 дней назад +4

    Songa mbele dada nakupenda sana

  • @RosePeter-s1m
    @RosePeter-s1m 15 дней назад +1

    Mungu akupiganie dda wanaona haya mmemchafua lkn mungu kazd kumpeleka mbele zaid martha ukimya wko nimeupenda sana

  • @GetrudaMwakipesile
    @GetrudaMwakipesile 16 дней назад +8

    Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi mathar mimi nakuombea songa mbele

  • @ReginaLyimo-tg8ho
    @ReginaLyimo-tg8ho 16 дней назад +2

    Mnataka asifanye huduma nyie ndio mliomtuma aimbe mwache amtumikie Mungu maana watu wanabarikiwa mavuno ni mengi watenda kazi wachache❤❤

    • @DanazonTv1
      @DanazonTv1 15 дней назад +1

      @@ReginaLyimo-tg8ho I agree with you 💯💯

  • @JosephAyile
    @JosephAyile 16 дней назад

    Karibu kwetu Bunia.
    Mungu atubariki kupitia uduma ya Martha Mwaipaja.

  • @AbokooMagella
    @AbokooMagella 16 дней назад

    Acheni mungu afae kanzi zake
    Kwa mwana DAMU kwa pendo wake Amen 🙏🙏🙏

  • @JOSEHUMADUKA
    @JOSEHUMADUKA 15 дней назад

    Watanzani siyo mungu Kama walikuwa atakukiwa wameshidwa

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 16 дней назад +5

    MATHA NI MGONJWA WA HAKILI HUYO,, HUPENDI MTOTO WA KUZAA HUPENDI MAMA MZAZI HUPENDI NDGU YEYOTE ,, TAPELI WAKUBWA HAO

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 16 дней назад +5

    Wala usiangalie wangapi wana kujaji sabu mungu ndo anayechunguza moyo wako so wao na ndo mjuzi wa yaliyomo kwenye moyo wako na duniani kila mtu si mkamilifu ila mungu pekee

    • @MariamKarembo
      @MariamKarembo 16 дней назад +1

      Ni kweli kabisa 💯 Kila mtu Ako na madhaifu yake. Bt Martha mwaipaja ageuze mavazi. Juu mavazi ya mkristo hayapaswi yawe kama hayo anayovaa. Asante 🙏🙏 ila niwie radhi kama nitakuwa nimekukwaza

  • @JuliethChristopher-q5c
    @JuliethChristopher-q5c 16 дней назад +2

    Madam tunashindwa kukuelewa kisahuyo kidudu mtu unayeishinaye ndiyo anaye kukoshesha amani😢😢😢😢😢

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 16 дней назад +3

    Kiburi kina mwisho

  • @alyerungaantoinnet7851
    @alyerungaantoinnet7851 15 дней назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 14 дней назад

    Watanzania wanafki sana

  • @fezaamisi5744
    @fezaamisi5744 15 дней назад

    Nabihi ahana heshima kwao

  • @AmitwiseMtweve
    @AmitwiseMtweve 16 дней назад +1

    Msimuhukumu dada wa watu, kama mmeyaona mapungufu yake na ninyi yakwenu mnayo, hakuna binadamu mkamilifu kikubwa mumuombeni kwa Mungu pamoja na huduma yake kama mnampenda, hakuna mwenye huduma nzur ya Mungu akakosa kupigwa vita na shetan, so tumuombee dada yetu

  • @rehemalimonga9058
    @rehemalimonga9058 14 дней назад

    😅😅😅😅

  • @ReginaLyimo-tg8ho
    @ReginaLyimo-tg8ho 16 дней назад +1

    Asiende kuhudumu afe Kwa njaa

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 16 дней назад +1

    Chapa kazi yamungu ussikilize sauti yaaduwi

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo 15 дней назад

    Kushinda nilazima

  • @Mayambi-u5z
    @Mayambi-u5z 16 дней назад +2

    Congo bunia hawajuwe scandle ya martha thats why alipokelewa ivo wakijuwa ata toroka

  • @zaharamustafa-t1l
    @zaharamustafa-t1l 16 дней назад

    Ndigu nao

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 16 дней назад +2

    Mwacheni jamani kwani mulitakaje ata apa tanzania anapendwa

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 14 дней назад

    Hamna mtumishi hapo ila kuna msanii wa nyimbo za injiri bible inasema mtawatambua kwa matendo yao

  • @nurmanmaginga9555
    @nurmanmaginga9555 15 дней назад

    Shida yetu huyu anaeongozana nae ni nan kwake?? Na ni kwann aongozane nae kila anakoenda????

  • @nyotaomari1610
    @nyotaomari1610 16 дней назад

    Sikilizeni watu wa Mungu, mjuwe kwamba hao wahimbaji wa leo % nyingi ni wasani tu kama bongo fleva sio wakristo hata uko kongo kuna kama hao hao watu wa kuzimu tu ,musishangee kapokelewa vipi ni nguvu za kuzimu, wakristo ombeni sana izi ni nyakati za mwisho.

  • @AmidaNiselo
    @AmidaNiselo 15 дней назад

    Hivyo.vyote.bure.maman.bado.congo.nikwetu.lakini.wende.kwa maman tu.uhombe.msamaha.guvu.za shetani.zina mtembeza.

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 16 дней назад +2

    Mshara wa zambi nimauti iposku tataona mengi

  • @DaimonMwapelele-g1d
    @DaimonMwapelele-g1d 15 дней назад

    Hii dunia wanaofanya ushetan wana nguvu kuliko wanaopinga ushetan dunia inawapenda walio wake

  • @AbokooMagella
    @AbokooMagella 16 дней назад

    Na wewe ukilaumu sema piya wewe siwa mungu unandanganya watu,
    Na mungu ata ku shucha wewe !!!

  • @josephinepaul6169
    @josephinepaul6169 15 дней назад

    Mpakwa mafuta wa Mungu

  • @RuthKansime-i5s
    @RuthKansime-i5s 16 дней назад +1

    Tume mupenda saana huya mm tume mutaribicha kwatu bunia

  • @Jospinvimbalimbalidx6yv
    @Jospinvimbalimbalidx6yv 15 дней назад

    Munadanganya nisi Congo hatunja mukubali

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 15 дней назад

    Imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 16 дней назад

    HAPA TANZANIA HAWEZI KUHUDUMU POPOTE KANISA LITALO MWALIKA KUIMBA HUYO MCHUNGAJI ATAKOMA. MARTHA ANAPASWA KUMWOMBA MAMAKE MSAMAHA KWANZA.

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 16 дней назад

    Wewe kafanye mambo megine mwache martha

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 16 дней назад +1

    Wa Congo mwishoe wata muomba atubu na arudi kwa Mama mzazi. Na Joan arudi Kwao. Watasoma videos zake na lazma zisha mharibia sifa

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 16 дней назад

    Mamake analialia njaa kama msukule mikataba ya kuzimu freemason mapepo wachafu nyie toka kwa jina la Yesu

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 14 дней назад

    ⛪ebu acheni kumpaka mwenzenu mafuta kwa mgongo wa chupa kama kuonyana ni dhambi basi kanisani wasingetutenga tukifanya dhambi, nyie wote mnawajali wazazi wenu alafu yeye mnamshauri aendelee kuimba tu bila kujali mavazi yake wala mama yake, mfyuuuuuuuu ujinga huo

  • @AbokooMagella
    @AbokooMagella 16 дней назад

    USI LAUMU MWANA DAMU
    LAKINI ACHENI MUNGU DIYE MWENYE UKUMU ,

  • @KinyumeAdele
    @KinyumeAdele 15 дней назад

    Congo ni watu wa polémiques, ukaleta franga zako, n'a polo tuna Enda, kwa mba Bunia atuna distraction, siyo juu y'a kumupenda, ai ku tamani vitendo vyake, arudi kwa mama yake aache kiburi naombe, Toba kwa wa Tanzanie. Musiogope wa Tanzanie sisi ni polémiques tuu leta franga, tutafanya propagande. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @FrankMsafiri-z5h
    @FrankMsafiri-z5h 16 дней назад

    Mhm mhm mhm ok

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 16 дней назад

    Kuburi caha uzima na Lina mwisho wake

  • @jacksonbenjamin9949
    @jacksonbenjamin9949 16 дней назад +1

    Sina Shaka na Mtha ila hicho kijimtu anachotembea nacho

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r 16 дней назад +1

      Hata yeye yupo ivo ila anajificha.....huwezi kuwa close na mtu mbaya halafu wewe ukawa mzuri.

    • @ETt-r3e
      @ETt-r3e 16 дней назад

      Msimhukum mtu mwacheni mungu mwenyew ahukum yeye ndo anayejua yasirini na yadhahiri hajasema yeye kanyamaza mungu ndo mjuzi anajua anamakosa au Hana kwa hio nyie acheni waacheni jamani halafu hapa duniani hakuna mkamilifu kila mtu anatenda dhambi kutubu ni mungu mwenyew akikadiria huyu atupu atatupu kwa dhahiri au kwa siri yote yanakubalika

    • @MariamKarembo
      @MariamKarembo 16 дней назад

      ​@@GraceLuvanda-g5rThat's true 💯 tunasema tunasema embe likianguka. Halianguki mbali na muembe.

  • @ElizabethTinuga
    @ElizabethTinuga 16 дней назад

    Atubu kwa kosa lipi kawajibu kwa vitendo tazama mapokezi yake huko kongo

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 16 дней назад

      Kipofu awaezi kuongoza kipofu mweziye wote wawili wata dumbukia shimoni na ndivyo hapo alipo Congo wote ni vipofu ole wenu nyinyi wanao sapoti uhovu nazani kizuri munge mshahuri atenge neze na mama mzazi kisha ahende kufanya uduma vingi nevyo anaye mwongoza ni shetani

  • @seiphmbulyanga2580
    @seiphmbulyanga2580 16 дней назад

    Kwenda

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 16 дней назад

    Martha tubu kwanza harafu Rudi kwenye familiya yako