BIG CHAWA FT SINTA, JUMA NATURE HUYU HAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 105

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 4 года назад +16

    Ndiyo walisumbua na wamebakia na mvuto wake bila kukata utumbo, hongera

  • @jumakondo2456
    @jumakondo2456 4 года назад +3

    Big chawa umetisha pamoja hongera kiongoz piga kazi

  • @nicokabonge197
    @nicokabonge197 2 года назад +1

    Sijui kwanini huwa nampenda sana....

  • @godfreywiliam4238
    @godfreywiliam4238 4 года назад +13

    Da we Big chawa umeleta mtu muhimu sana nilikua nampenda sana huyo sinta kwani anatumia anuani gani insta

  • @abdulkiyumbu-ll1bs
    @abdulkiyumbu-ll1bs 10 месяцев назад

    Juma nature alikuwa anafaidi sana

  • @chebadanford9837
    @chebadanford9837 4 года назад +1

    Inaniuma saana nikifikili uwaga ninalia long time JUMA SIR NATURE

  • @abutalibomar6182
    @abutalibomar6182 4 года назад +4

    Huyu dada ni star wa enzi zetu.... dah kitambo sana... nimekumbuka mbaliii

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 года назад

      Huyu si yule bibie aliyekuwa anamfagilia Zari na Diamond enzi zile?

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 4 года назад +1

    Sinta ndo alikuaga mwanamke mrembo kuliko wote kwenye tasnia ya bongo movie enzi hizo

  • @twahakhamis6520
    @twahakhamis6520 4 года назад +9

    Bro unajua kutu surprise 🙌🙌

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад +4

    Big chawa umeweza baba dah ila sinta ongea kiswahili mmy kidhungu chako mmy mh..Sinta wa juma nature

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 года назад +6

    Huyu dada alikuwa mzuri sana enzi zile na Juma Nature.ila mpaka sasa bado anavutia .hongera dada kwa kujitunza

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 года назад

      Mariam Fritsi wema wa enzi zile

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 года назад +4

    unalitendea haki jina lako big_chawa
    piga kelele kwa big chawa akee

  • @veronicascottmollel7897
    @veronicascottmollel7897 4 года назад +5

    Sinta bado mrembo 👌

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 4 года назад

    Big chawa stay in ,baking humu mzeeyaaa...

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад +1

    Tuletee NINA PLSE

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 4 года назад +1

    Jamani big chawa mtafute na linah...alikua mzuri yule dada jamani

  • @mosesnzengula4533
    @mosesnzengula4533 4 года назад +8

    Miss sn,alisumbua sn magazetin

  • @bestonmfikwa8510
    @bestonmfikwa8510 4 года назад +4

    Wapi signature aka msitu wa vina

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 4 года назад +1

    Mnashindwa kuseti sauti mtu asikike vizuri sauti ipo chini sana

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 года назад +9

    Sinta haringi hata kidogo nilikua jirani yangu sinza

  • @sharifamfaume9342
    @sharifamfaume9342 4 года назад +1

    Mmmh tunefurahi kumuona

  • @africa7479
    @africa7479 4 года назад +9

    Zaman niliangakiaga move inaitwa girl friend ,alikia TID ,AY, NA GK whre is GK

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 4 года назад

    Nampenda sana huyu sinta tokea kitambo😘😘

  • @saidhassan1096
    @saidhassan1096 4 года назад +2

    Ila we dada ulimtesa sana juma nature...albam nzima juu yako

    • @ericknkonya5682
      @ericknkonya5682 3 года назад

      album nzima hahaha daah, sema nilitamani sana kusikia side ya sinta na yenyew ikoje sema ndo vile sio msanii wa bongo flavor

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 года назад

    Mbona mm simjui🤣🤣🤣

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 года назад +2

    Daaah nme furah kkuona

  • @georgerobert4612
    @georgerobert4612 4 года назад +4

    Mlipotoka mlipokwenda Siri si ikafichuka

  • @masoudmasasi1801
    @masoudmasasi1801 4 года назад

    big chawa safi sana mzee nadhani online nyingine ziige kwako unafanya kazi nzuri sana angalia leo umemleta sinta umetukumbusha enzi zile za sitaki demu ya juma nature huu ndio uandishi mi naomba utuletee kina sista P,Zay B

  • @kadyuwegeyetv5310
    @kadyuwegeyetv5310 4 года назад

    Kaka ninatama kumuona KALI P Au MIKE T kaka fanya kweli kaka

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 года назад

    Awe Mrembo Kama Sinta laini kama mafuta kwenye kiza awe anawaka ....

  • @godfreywiliam4238
    @godfreywiliam4238 4 года назад +5

    Nilikua nakupenda sana kwani uko wap

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 4 года назад +8

    Naomba umuulize au anijibu kama anasoma Comments hapa... Vipi ule mstari alioimbwa kuwa "demu wangu amepimwa amekutwa na ngoma" alijisikiaje kipindi kile na sasa hivi labda anajijua fika hana ngoma. Ilimsumbua kiadi gani huo mstari?

    • @selemanimkupe9595
      @selemanimkupe9595 3 года назад +1

      Bob Siyo kila anachokiiimba Msaniii kinamuhusu Msanii Mwenyewe vingine Ni Visa vya kubuni vingine vinarejelea jamiii so be humble Ni fasihi

  • @kakad2985
    @kakad2985 4 года назад

    Mtafute na yule msanii mwenzie Alie kuwa anaitwa Nina

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 года назад

    Huyu dada hachuji daah!! Vijana unaweza ukamtokea ukajua bint kumbe mzee

  • @ishejr9080
    @ishejr9080 4 года назад

    C walinyinyanaa.... J. Nature bana😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacobnghwali4531
    @jacobnghwali4531 4 года назад

    Dah nomaa aisee sinta

  • @zulfamaboga7761
    @zulfamaboga7761 4 года назад

    Umekuwa mmama JAMANI miss you

  • @zedanakwanza9012
    @zedanakwanza9012 4 года назад +7

    Shemeraaaa

  • @katembokr4427
    @katembokr4427 4 года назад +4

    bg chawa post hta pcha yko wa2 tukuone bnafc ckujui

  • @Kimbururu
    @Kimbururu 4 года назад +8

    Bado litamu sana maamae

  • @mterelahamis4443
    @mterelahamis4443 4 года назад +1

    Ya Mr bluu aise

  • @msemakwelimdhalendo7782
    @msemakwelimdhalendo7782 4 года назад

    Sister uk sawa.

  • @nzigeprofilelives6259
    @nzigeprofilelives6259 4 года назад +5

    Kipindi hicho nilikua mdogo lakini nilitamani kuwa juma nature sinta bby

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 4 года назад

    #JLo Wa Bongo......

  • @makambamirumbe3078
    @makambamirumbe3078 4 года назад +4

    Umenifanya nirud kuchek wimbo ukiwa na juma kakele. Wimbo mzur sana.

    • @kokualex2515
      @kokualex2515 4 года назад

      Alishawahi kuwa demu wangu sinta

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 4 года назад +1

    Chawa naomba umtafute Norah, Nina wa kaole na kibakuli yule mtoto wa muhogo mchungu natamani kuwaona

    • @upendolema9809
      @upendolema9809 4 года назад

      Nilisikia Kibakuli alishafariki muda sana au

  • @barakachambala9890
    @barakachambala9890 4 года назад

    Big CHAWA . UKO VIZURI

  • @taifastephano3394
    @taifastephano3394 4 года назад +3

    Plate na D.... Cuuuzin

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 года назад +1

    Upo we mdada

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 4 года назад +2

    Mwambie juma nature ni mbunge wa temeke mtarajiwa, shauri yake apunguze dharau

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 года назад

      Sio dharau sasa , ameshaolewa tayri make Wa MTU...
      Anawezaje tena?

  • @ramadhankilua5128
    @ramadhankilua5128 4 года назад +2

    Daa enzi za Juma necha daa

  • @kennethkennedy717
    @kennethkennedy717 4 года назад

    Huyo alimuliza Nature dar yani mpaka leo bado kisu

  • @aishakhamis714
    @aishakhamis714 4 года назад +7

    Big Chawa tuletee Dataz😋

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 4 года назад

      aiseee dataz sijui yuko wapi dah na ile nyimbo ya mume wa mtu

    • @aishakhamis714
      @aishakhamis714 4 года назад

      Masoud Masasi saaana Yan nyimb ilibamba mpk now

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 4 года назад

    Hili dada nalipenda kinyama tangia kitambo cha kibra kiroboto.lisauti tuu ndo linanikoshaaa

  • @shabanimlahagwa105
    @shabanimlahagwa105 4 года назад +1

    Mainda na nyamayao plziiiiiiii

    • @nyomizedon
      @nyomizedon 3 года назад

      Nyama yao ni mtafsiri swahili channel tamthilia za kifilipino startimes anaitwa happy yupo china sasa!!!😂😂😂😂

  • @seifjuma3471
    @seifjuma3471 4 года назад

    Anajishughulisha na nini sinta

  • @scolambosa4799
    @scolambosa4799 4 года назад +2

    Mi nataka kujua Sinta anafanya nini kwa sasa! Mdada Mzuri sanaaaa na ametulia hadi rahaaa

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 4 года назад +5

    Kingereza kingi cha ninì jamani..??? Acheni utumwa

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 4 года назад

      Kwenda ww rud shule

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 4 года назад +2

      @@saeedmassoud256 siunaona akili yako ilīvyo finyu. Mi najua kiswahili ndio rugha yangu yataifa..nakama kuongea kingereza ndio usomi basi marekani wote wasomii..acheni utumwa Swahili lugha azim..tuiongee ppote ili tuijue vzuli.

    • @titokwareh1852
      @titokwareh1852 4 года назад

      @@alijuma6502 mbona unatumia mitandao ya kizungu?

    • @aishamawalla733
      @aishamawalla733 4 года назад

      Mfumo wa maisha my dear,kuna mtu hawezi kuongea bila kueka kingereza,tizama watoto wako kwanza kama huna tembelea shule za msingi uone wanavyokua wakikua wanaenda hivyo hivyo

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 4 года назад

      @@aishamawalla733 sindio tunawalisisha watuiga cc wakubwa..kama hawa wanaohojiwa!

  • @emanuelgavile7474
    @emanuelgavile7474 4 года назад +2

    Ulimsumbuaga San mwanetu dah

  • @hamisibakali9271
    @hamisibakali9271 4 года назад +1

    Sasa uyu si bibi kabisa.wakati anatoka uyu gari mjini zilikuwa corrola limited no Zinatakiwa za mikoani.

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 4 года назад

    Nadhani huwaga unawahoji watu ambao walikuwa mashuhuri au saaa ni mashuhuri. Sinta anaonekana ni mtu anayejielewa saana. Jitahidi mnooo kuuliza maswali ambayo kilamtu anatamani kuuuliza, nashukuru hii hujauliza kuhusu amberlulu na amberruti. Achana na hao watu wanashusha thamani ya kipindi chako ungemuuliza tu hapa ningekudharau tena nakuacha kuangalia katikati.

  • @hamisibakali9271
    @hamisibakali9271 4 года назад

    Kama gari hi pijo mno imetembea kilomita nyingi mno. Uyu kaanza kutoka ata wema ajulikani wenzee ote wamejukuu

  • @karimabubakary385
    @karimabubakary385 4 года назад +1

    Kwanini sasa hivi anafanya nini

  • @canibalgazaboy8325
    @canibalgazaboy8325 4 года назад

    Ndo maana unaongea kwa kutulia kweli wew nimwadiplomasia

  • @hamzahussein4493
    @hamzahussein4493 4 года назад +4

    big Chawa unatisha, ila unachelewa sana kuleta content

    • @bigchawa942
      @bigchawa942  4 года назад +1

      Aaaa nitafix

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 4 года назад

      @@bigchawa942 kabisa mzee jitahidi kidogo kila baada ya siku utupie kitu

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 4 года назад +2

    ila maisha yanapita..huyu kokoo ndo yule christina minogi!?

  • @salimsiri1183
    @salimsiri1183 4 года назад

    O

  • @Kimbururu
    @Kimbururu 4 года назад +1

    Ah huyu siyo plate namba D....huyu yoka enzi za TZA......Kuja jamaa yangu anaitwa Kidi kule Kimara Msewe alikua anamfumua wakati yupo Secondary School

    • @sharifamfaume9342
      @sharifamfaume9342 4 года назад +3

      Kwaiyo tukusaidie nini

    • @Kimbururu
      @Kimbururu 4 года назад +1

      @@sharifamfaume9342 Jamaa alimtia Sinta anataka akufire wewe mkundu....nisaidie hilo. Au naomba kundu nifire mwenyewe

    • @khalifasaid1131
      @khalifasaid1131 4 года назад +1

      Usiwe mjinga wewe! behave

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 4 года назад

      Kwani wewe dada uliendaga wapi jamani rudi tunataka watu kama nyie

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 4 года назад

      😁😁😁😁😁