UTATA WAIBUKA ARUSHA AJENGA BAR KARIBU NA HOSPITALI BILA KUFUATA UTARATIBU DC ARUSHA AGEUKA MBOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 45

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 11 часов назад +5

    Mijitu inataka sifa huyo kk yupo sahihiii vibali vipo sahihii mnataka kumuonea

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 6 часов назад +3

    Punguzeni sifa jamani mbona mpo hivyo hapo angekuw mzungu mngekuja hata kuzindua mladi ovyo sana ebu acheni kufanya sifa mnamletea kelo kwa watu wa mama samia mwache mtu afanye kazi

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 9 часов назад +3

    From 🇧🇮😂wivu tu

  • @user13375
    @user13375 6 часов назад +2

    Asitishe kwa hasara ya nani😮😮😮

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад +1

    Daaah huuu usenge Tu, mwamba Yuko sahh, afu hapo karibu na hospital ukiona stress nyingi unatoka unaipata moja narudi moja Moto, vodonge dumping play😂😂😂

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад +1

    Huyu mkuu Wa Wilaya huyu..😂😂😂😂😂....

  • @HamisHussein-h5h
    @HamisHussein-h5h 9 часов назад +3

    Afanyehata nyumba zakurara wageni nakapombe kwambaaaaaaaaaaaari.

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад +1

    Mbona Jamaa Yuko sahh

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 10 часов назад +2

    Huyo mkuu wa wilaya msenge sana.hampi nafas aongee

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 10 часов назад +3

    Acheni mambo yasiyo ya msingi ,Sasa mnataka madaktari tusinywe pombe au? Acheni afanye biashara ila athibiti kelele isitoke nje si vifaa vya kupima sauti vipo.

  • @ommyshopangi9543
    @ommyshopangi9543 10 часов назад +2

    Mbona kama wanafanya kumkomoa kisa wameshika makali.....hila ni mbaya sana!!!! Restaurant....watu wamekazania Bar!!!!

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Час назад

    Yan had inaishalikua wap...njoon Ikonda muone baa ipo hapo hapo hospital na hakuna shida😂😂😂😂

  • @agathfranky3233
    @agathfranky3233 2 часа назад

    Aisee

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 10 часов назад +2

    Saa huyo dem ananong'ona nini

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m 10 часов назад +1

    Uyo jamaa anamakosa uwezi kujenga bar karibu na hospital watanzania tustete vitu vya upuzi

  • @mariamu5251
    @mariamu5251 9 часов назад +2

    Dc aache wivu wakiduanzi kwan kipind anajenga alikua wap? huu ni uonevu

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 9 часов назад +1

      Kwa kweli huo ni wivu umashindwa kufuatia Mambo ya msingi huku mtaan barabar zimekuwa makorongo Kila mtaa hata hamjui umebaki kufuatilia mwanaume mwenzio acha wivu wew 😏😏

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 6 часов назад +1

    Wakati anaanza mlikuwa wapi? Au ni chamaaa kipi?

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад

    Machozi Yuko sahh ssana

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 11 часов назад +1

    Hivi mtu anajjenga mpka anafikia hapa hamukumuona

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад

    Haya maisha haya

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 27 минут назад

    changamoto hyo sana

  • @MichaelAloyceMwangamila
    @MichaelAloyceMwangamila 6 минут назад

    Mkuu wa wilaya hapo mtuu wa kudili naye ni mkurugenzi siyo mteja kiongozi labda kuwa Kuna lingine gizani

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 6 часов назад

    Punguza mambo hayo mkuu wa wilaya mtakuja fukuzwa kazi bule kitumbua hicho kaka pia aende nae wpi mama samia huyo mkuu wa wilaya anamatatizo sana

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Час назад

    Mnanong'onezana ujinga tu et na kakingereza what u know about this one ujinga tu.. makaratas meengi mnamalza tu miti mnaleta jangwa

  • @mohamedkhairudin6418
    @mohamedkhairudin6418 4 часа назад

    Huyo askari mbona anakunong'oneza aache umbeya aonge kwenye Mike tusikie

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 9 часов назад

    Kuna mambo yanashangaza sana! Sasa hapa kosa ni lahuyu mwekezaji au ni watu wa manispaa ya jiji waliotoa kibali?? Kama mtu kapewa vibali ilihali walijua fika hilo eneo halikupaswa kuendelezwa basi kosa liko upande wa mamlaka na siyo kwa huyu mwananchi.. Mimi sidhani kama huyu bwana anastahili kutolea ufafanuzi wa kilichotokea.. Watu wa manispaa ndiyo walipaswa waeleze kilichotokea

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 часов назад

    HUO NI UHUNI NA UDANGANYUFU. HALAFU UKUTE NI MZEE WA KANISA .

  • @chriskimuto1425
    @chriskimuto1425 Час назад

    Kwanini mlimpa kibali na mlikua wapi hadi afikie apo usenge mtupu tunaserikali ya kinafiki sana

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 3 часа назад

    Wakuu mbona mnatia aibu mnanongona nini sasa

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 5 часов назад

    Hatutopewa feedback hapa teina, Mwendo pesa Tu hapo

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 10 часов назад

    Mwacheni afanye biashara ila adhibiti kelele.Atoe ajira kwa watanzania.

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 6 часов назад

    Mnateta nn hamna lolote ovyotu ninyi

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 11 часов назад

    Sasa huyu police ananong'ona nini😅😅😅

  • @KiduoMasimba-p3p
    @KiduoMasimba-p3p 7 часов назад

    Kama shida kibali mpeni mtu aendelee na mamboake asee

  • @DanyEnto
    @DanyEnto 5 часов назад

    Acheni bna😡😡😡

  • @HamisHussein-h5h
    @HamisHussein-h5h 9 часов назад

    Kamanihivyo abadishe matumizi

  • @DaudijofreyMsipi
    @DaudijofreyMsipi 6 часов назад

    Wivu watafute hela

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 9 часов назад

    Sasa hapo tatizo nn

  • @IbrahimuMollel-d7e
    @IbrahimuMollel-d7e 15 минут назад

    😅😅

  • @ulamaaworiaa8879
    @ulamaaworiaa8879 9 часов назад

    Uyo jamaa Hana makosa