ABDULLSWAMAD ANATISHIWA NA JOHO ( DR AMKENI +447932235824)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 106

  • @marykiwoi7821
    @marykiwoi7821 2 года назад +1

    Ahsante Kwa kuzidi kufungua watu macho maana ulitoa tahahadhari hizi mapema kabla ya ichaguzi lakini watu wakapuuza na leo hii wanalia. May God continue to give you strength day by day.

  • @swalhehussein7221
    @swalhehussein7221 2 года назад +3

    Please be patient with ruto i promise you all ruto will help and his helping
    MOMBASA ILKUA IMEKUFA RIGHT NOW ITS BETTER SHUKURUNI. You Pple voted for Abduswamad joho ni mwizi ameiba kuna madeni

  • @mas2913
    @mas2913 2 года назад +2

    Dr. Amkeni, the problem sio Abdulswamad, the problem in watu wa mombasa ambao ni waoga sana. Maisha ya mombasa itaendelea kudidimia kwa sababu watu wa mombasa wamelala na waoga sana. Hawana ghera, mapenzi na Heshima ya mji huu watu. Mngu awunusuru inshallah

  • @josephkimani9255
    @josephkimani9255 2 года назад +2

    Kwanza Tujitafute Nafsi Zetu. Happy Dr. Umenena.

  • @abuuzahran9649
    @abuuzahran9649 2 года назад +2

    Ww mtu mzima lkn waropokwa 2 ingekuwa hayo hizo pumzi na mda na hela unazo tumia ingekuwa watumia kwaajili ya mungu siingekuwa wajenga akhera yako vizuri acha ujinga wazinduwe watu ktka dini.

  • @munirjeizan7040
    @munirjeizan7040 2 года назад +2

    Kudos Dr, governor of Mombasa take control.

  • @yaqubbusaidybusaidy4905
    @yaqubbusaidybusaidy4905 2 года назад +4

    Shukran sana Dr Amkeni

  • @josephwachira6481
    @josephwachira6481 Год назад

    Dr Amkeni umenena 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @costaricopunysro
    @costaricopunysro 2 года назад

    Abdullswamad hawezi Dr Amkeni muoga Abdullswamad

  • @fawzabubakar6022
    @fawzabubakar6022 2 года назад

    Congratulations Dr Amkani yote unayosema ni kweli Sisi bado hatuja amka mpaka Amduswad he is this county like a nursery school.

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 2 года назад +4

    I'm the first one today dr amkeni😃...✍️

  • @qassimmct5215
    @qassimmct5215 2 года назад +3

    Assalaam aleikum warahmatullah
    Dr.Amkeni mie ni Qassim kutoka Muscat Oman 🇴🇲.
    Sisi huku tunashukuru sana kupata clips zako na tunafurahi sana kuzisikiliza ila unachukua mda mrefu kutoa clips ....
    Tungeshukuru ikiwa utafanya kila siku 3 unapost ili tupate kufaidika.
    Shukraan sana Brother.

  • @saadali838
    @saadali838 2 года назад +3

    Abduswamad Nasser is under clutch, Joho is still governing behind the scene.

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 года назад +2

    Waaleikum msalamu warahmatullah wabarakatu doctor 🙏🤝

  • @saidmfaumekombo8067
    @saidmfaumekombo8067 2 года назад

    Allah akuhifadhi uzidi kutupa habari

  • @catherineimbwaga1259
    @catherineimbwaga1259 2 года назад

    Well spoken Dr Amkeni
    Ruto Kenyans president

  • @mosaid5022
    @mosaid5022 2 года назад +12

    Dr. Amkeni, tafadhali zungumzia kuhusu ukame ulioko Kenya maeneo tofauti wakati raia na wantama wanakufa, huku Ruto anapeleka msaada wa chakula Somalia. Tafadhali zungumzia pesa za ma hustler ambazo Ruto ameahidi kupeana kwa zero interest. Halafu amerudi akasema hakuna pesa za bure. Muulize Ruto aliahidi atateremsha bei ya Unga na Mafuta na mbona ndio imezidi kupanda?

    • @user-gb1tn3cn2b
      @user-gb1tn3cn2b 2 года назад

      True

    • @mbarakjabry7634
      @mbarakjabry7634 2 года назад +1

      Wewe hauna mdomo wa kusema? Mbona mwataka kujifanya mazumbukuku kama ambae mwamlipa awasemee. Si ujizungumzie pia wewe

    • @harriettatu7155
      @harriettatu7155 2 года назад +1

      Said ukame ni mvua omba mola alete mvua pesa joho.nialipe mwizi

    • @sarahjacobs8814
      @sarahjacobs8814 2 года назад

      Yes alisema but uchumi mmbaya Sana na hakuna pesa no rain where do you think atapata wapi pesa kueni na subra

    • @fatmaabdulkarim2032
      @fatmaabdulkarim2032 2 года назад

      Sio rahisi kama unavyofikiria. Lazima muipe nafasi serikali

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 2 года назад +6

    Give president time.Ruto knows what he is doing.

    • @saeedahwaleed6133
      @saeedahwaleed6133 2 года назад

      Wacha ujinga mpe mda gani kushinda hapo

    • @mazrui1948
      @mazrui1948 2 года назад +2

      @@saeedahwaleed6133Waonaje ukawa wewe rais bwana mwerevu ututeremshee gharama ya vyakula.

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 года назад +1

      @@mazrui1948 👌😅

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 года назад

      @@mazrui1948 yes hata Kwa mwezi moja tuu hatupewi Sisi twambiwa hatuna elimu but mm nikkipewa nchi na katiba nabadilisha kabisa naeka quran na hadithi uone usawa na haki Kwa kila moja but wanafiq Na makafiri hawataki Hilo kma ww huoni hilo

    • @mazrui1948
      @mazrui1948 2 года назад

      @@andallaathman3856 Hata hujulikaniki waongea nn.

  • @faizasaleh5854
    @faizasaleh5854 2 года назад +1

    Jamani ni haki hii pesa zote hizo twasomesha watoto kwa bidi vijana waka manyumbani wanao faidika watu wegine allha atatuhukumia

  • @snjau7613
    @snjau7613 2 года назад +2

    Leave huyu mzee Raila aongee Dr Amkeni.Anajikaanga na mafuta yake sababu kila mtu anajiuliza,alikua hana mdomo wakati wa handshake?
    He was drunk with power and BBI and the motorcades,he had no thought for anyone else
    And now he is not in,and he wants to talk?

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 2 года назад +1

    Kabisaa.dr,tujitafute sisi wenyewe.

  • @janemuthoni7652
    @janemuthoni7652 2 года назад +1

    Ndugu yangu mbarikiwa sana kwa vile unaongea ukweli kabisa

  • @jenniferlevasseur7
    @jenniferlevasseur7 2 года назад

    🤗🤗🤗🤗🤗preach dr. Amkeni

  • @yasirfarah399
    @yasirfarah399 2 года назад

    Kweli Dr mashalla

  • @yazid1004
    @yazid1004 2 года назад +1

    Dr utakauka koo kusema na watu wa Mombasa mana hao ni wapumbavu daima na watabakia hivyo hivyo hata ndio sababu niligura Bora nikae na wabara nawala sio mijinga lala

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 2 года назад +1

    Raila amezeeka sasa

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 2 года назад +1

    Dr Amken ,nakupeda bure ,,vile ulitwelezea kuhusu uchaguzi naikakuwa ivo...edelea tu ..akubali kushudwa, coz ashashidliwa already ata aiimbe firirida ki vipi

  • @mssellemamin5360
    @mssellemamin5360 2 года назад +1

    Hiyo hawezi kufanya na kama ATAFANYA basi sisi watu wa Mombasa tutamuunga mkono asili Miya kwa Miya.

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +1

    If each Ghost worker salary is 60k, basi the salary for 2700 Ghost Workers will be 120M!
    Sasa, DR A, una uliza KaShoga SAMAD kama yeye ni a MAN?
    Mama yake Samad mwenyewe alikuwa anawa Papasa WaJaluo na Wanaume wengine SIKU ya USHINDI wa Samad!
    WaSwahili ni wa Kunguru!
    Na ni MaKurutu sana, from Mombasa to Lamu!
    Mama Zamzam, ni the worst example ya ma Thalithi wa Kiswahili kule Coast.!

  • @princessa3060
    @princessa3060 2 года назад +3

    Wapiiiiiiiii whips za mama zamzam for not paying old woman rent🤣🤣🤣...shame on u mama zamzam

    • @AliMohamed-wp1op
      @AliMohamed-wp1op 2 года назад

      Try also to listen to Mama Zamzam's side, a smart person listen to both sides and judge, I guess Mama Zamzam hashlndwi kulipa hiyo pesa kama nikweli anadaiwa, na kama hakulipa basi there must be a reason behind it

    • @princessa3060
      @princessa3060 2 года назад +1

      @@AliMohamed-wp1op aiiiii kaka ,,Dr Amkeni ameangazia hii jambo for long time now...Kaa nyanya angekua amelipwa then Dr Amkeni pia angesema soooooo,,,let's wait n see

    • @AliMohamed-wp1op
      @AliMohamed-wp1op 2 года назад

      @@princessa3060 like I wrote before, Mama Zamzam hashindwi kulipa pesa hii ndogo, it could be a revenge deed of Mama Zamzam to the Lady like the way Dr. Amkeni revenges Mama Zamzam to the media, Mama Zamzam should also Accept the Accusations for not saying anything about the matter or denying the rumours

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 2 года назад

    Kwani nani amemzuia Ruto serikalini waanza kutafuta like kwenye RUclips mambo raila na joho yamekwisha sasa twataka ahadi za ruto

  • @johnkikasi7446
    @johnkikasi7446 2 года назад +1

    Mzee mpumbavu kweli. Ni sawa na mtanzania mmoja aliitwa Cyprian Musiba wakati wa Magufuli na sasa hajulikani alipo ametulia kama mbwa koko.

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 2 года назад

    But Lamu Governor is Kenya Kwanzaa Governor wa Nguvu
    Issa Timany
    Also Ruto gave Lamu one PS.

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 года назад

    Ongea yamuhimu nawe ukezene na raila na joho.maisha yko juu we unstareh huko ulaya. raila mumeshinda bado maneno tu,je angekua president. by the way raila hajamziwia ruto kutimiza ahadi zke musitefute visababu.

  • @nawafathman2325
    @nawafathman2325 2 года назад

    Ww fala wacaha kuharibu tafsir ya quran kuja usome hapa

  • @abrarmohamad6250
    @abrarmohamad6250 2 года назад +2

    Wee nae sasa tafta kazi ufanye.

  • @autorepair2321
    @autorepair2321 2 года назад +1

    We have elected wahizi tuu

    • @Sal.0
      @Sal.0 2 года назад +1

      SIO Wevi tuu, hawa kina Samad, Abu, Joho, Faki na Shahbal, na Saido, ni Ma THALITHI or Swahili Traitors, wanao FIRWAAAmikundu na WaJaluo!

  • @rashidbisaho6223
    @rashidbisaho6223 2 года назад

    Khabith al āmal mnafiki tu

  • @rashidbisaho6223
    @rashidbisaho6223 2 года назад

    Ni sawa Abdulswamad amewekwa apo na joho na Abu joho, hatuna shida nayo kama vile ruto amewekwa apo na Martha Koome na chebukati inakuuma ya nini?

  • @harriettatu7155
    @harriettatu7155 2 года назад +2

    Na madaktari wanadai mishahara yao hadi leo joho jambazi arudishe pesa

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 2 года назад

    Umenena

  • @iali6874
    @iali6874 2 года назад +1

    Abdulswamad hatakikani ila JOHO ame mweka tuseme kweli …… na akileta shida atatokewa.Ana elewa vizuri.Wewe acha propaganda za urongo

  • @bro3140
    @bro3140 2 года назад

    huyu ninani tena miguna wa Europe

  • @rashidbisaho6223
    @rashidbisaho6223 2 года назад

    Uko apo kumsifu na ww acha kutuadaa apa

  • @saeedahwaleed6133
    @saeedahwaleed6133 2 года назад

    Kwenda huko Venezuela president

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 2 года назад +3

    Raila tulikuchoka!!!umefilisisha county zote zintumia label yako ya ODM.msa bieng one of them.raila amekua akichua pesa ya county kila mwezi bila kujali wafanya kazi ws county,msa no odm zone again.

  • @marynduta4235
    @marynduta4235 2 года назад

    Kabisa.atakua.aende.amecukua.besa.migi.sana.arikua.aogei.serikari.ikiua.watu.arikua.mumoja.wao

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 2 года назад

    Hatukuwachagua Bali walijichagua wenyewe

  • @diyembarak5506
    @diyembarak5506 2 года назад

    Wabajuni wajipange

  • @jumashukani8472
    @jumashukani8472 2 года назад

    Una uhakika gani kama mama zamzam ana daiwa wewe wacha mambo ya kike iyo sio issue , issue watu wafa na njaa mpumbavu wewe kwenda uko

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 года назад

    Ww Mzee utakufa vibaya mbea ww kwani uko kitanda ya abduswamad ama ni basha ww labda nawe saa zote upuzi tuu WA abduswamad mtu afanya kazi ww unkazana tuu hebu twambie Huyo ruto ndie Rai's sahii ulikua ukimpigia Debe kafanya nn Hadi sahiii watu wafa njaa na insecurity imepanda amefanyaje ww ukilala abduswamad ukiama abduswamad jiheshimu jitu zima ovyo umezid na ombea huo

  • @rashidbisaho6223
    @rashidbisaho6223 2 года назад

    Kwani ni wewe tu pekeako ndio unaona mombasa iko na shida falaii

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 2 года назад

    Ua channel is ONLY 4 MOMBASA COUNTY, if u DON'T HAVE CONTENT PLZ KEEP QUIET 🤫

  • @edhaomar2853
    @edhaomar2853 2 года назад

    Sasa wewe wataka docter azungumzie ukame na pesa za ukame zimekaliwa na hao wanao pewa ukweli

  • @marynduta4235
    @marynduta4235 2 года назад

    Umeogeya.ukueri.kabisa

  • @almeidhalu3238
    @almeidhalu3238 2 года назад +1

    Wewe wachana Na Raila Na Ruto hakushinda Kihaki it's not a choice of Kenya but Venezuela's wewe umelipwa wa bweka tu Kwa sitting room yako toka nje Kwa mimbari uonge mpuuzi saana mshiiri Koko, Kula Michele huko unye, you are not wise but a coward

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 года назад +1

      Take care of your language it always comes back if not you, then your Children

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 2 года назад

      @@artisthusnatalal3099 then tell your house slave to put up shut up every time Raila let him vie for president then

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 года назад +1

      *I think your reply comment was deleted by RUclips. Besides I didn't understand your English. I don't know what you were saying* 🤨🤔

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 2 года назад

      @@artisthusnatalal3099 don't fret over it next time I will type in kiswahili you will understand properly

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 года назад

      @@almeidhalu3238 I don't get fret by human beings. Yah you should've just typed in Swahili 🤷‍♀️

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад

    Sasa una ongea na Shogaa ati aji dondowe?
    WaSwahili so called Leaders ni Ma LAANA!
    WaSwahili, kweli ni Wa Kunguru!
    SAMAD na Gang mzima la ABU, JOHO, FAKI, ZAMzam, SHAHBAL, Saido na wengineo, MATHALITHI wa Ki Swahili, woteeee, ni WaFirawaaThuu na WaJaluo!

  • @nawafathman2325
    @nawafathman2325 2 года назад

    Ungekuja wewe