*Habar zenu ndgu Naomba nikukaribishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za Asili bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia RUclips andika sir Binladen786*
Piken sasa tuone icho chakula...mnaongea sana....kwan tunaangalia maongez yenu au tunataka tuone unapika nin na venye kimekuwa...eee....sasa stor tuuuuu....🤔
Download app huwa anaweka full ili nae apate ela,app unalipia kwa mwez au kwa wiki apa anaweka vipande kama upo interested download app yake,inaitwa cook wic wema sepetu.
Wema sjui nani alimdanganya akajichonge awe km nyoka ..hakujua kuwa habar ya mjini ni tako 😁 Alisahau dunia hii ya mashetan yenye idadi kubwa ya watoto wa nje ya ndoa mwenye tako na mwenye degree mwenye tako ndio mwenye thamani 😂😂 atar sana
Nampenda sana wema na hivi katulia ndio kabisaa
Wow! can't believe my eyes,Wema & legendary JB?I can't stop the smile on my face
❤❤❤❤🇰🇼
Mr Guru! Mr JB himself! Kukuona tu hapa nimeikumbuka filamu yako ya senior bachelor na nimejikuta natabasamu! Aisee unajua kuigiza mzee asikudanganye mtu!
Jaman nimewapenda Sana mlivyo kutana JB na wema love you somuch 💋💋
I love this show especially with this Big Daddy
So funny 😃😃😃😃😃😍😍😍
*Habar zenu ndgu Naomba nikukaribishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za Asili bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia RUclips andika sir Binladen786*
Nimewahiiii😍😍😍😍Big Daddy in the Kitchen 😘😘😘
Wema umeamua kutulia this time hii ndio tunataka haki sio Wema kafanya hivyi
Jamani JB hajazoe vitunguu vya bongo😁😁😁😁
Nakupenda sana da wemaa sijui ilikuaje ukawaza kufanya kipindi hiki kiukweli kinakufaa
Wema macho yangu au vipi mbona kitambi cong may God protect you sis
Wema nakupenda sana natamani nikukumbatiye🫂
Nakumbuka fourteen days movie alivyokutesaga, kweli Jb ni kiboko kwa kuigiza
Ujampa heshima yke baba nguo Gan iyo uliovaaa uwende na mavazi ya heshima na mtu unafanya nae mapishi❤️🌹
😑😑
Wapo hongera wema kwa kazi nzuri
sister weMa god bless you in your life continous to givers sweert show
Mashallah mzee waswaga JB mda nimefurai kkuona
mumefanya jambo nzuri Sanaa🙏🙏👌
Huwa napenda kipindi na pia kumshangaa tuu wema sepetu yaan 😂
Ni mzuri na anavitia machoni me binafsi nampenda misi Tanzanian wetu😘
Master wawili wakikutana very amazing and great
Naona kama wanaigiza vile😄😄😄
My kipenzi Wema S, unatuletea big JB
And kwa daddy j b karibu sana nakupenda pia daddy wa bongo love u
Oooh kumbe hii ni ya juzi tu! Good to C u my favourite people
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO UNIPENDAGE KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🎬💕💞💞🎬*
The very break kisungu Cha wapi jamani 😭😭 wema umesingua kenya mko wapi
Napenda Sana Mambo ya jiko but,,,kuwa ukivaa kofia coz ni kitchen place
Waoooo baba etu jmn msalimie sana
Jb unajuwa sana mbaka unakela
Nakupenda. Bure. Dad. Wema. Sepet. Na baba. Jb
Gambling is Sin, and does not glorified God The Most High☝
kumbe JB n kamanda mwenzangu kabisa
Nisamehe mpenzi kuchelewa kusubscribe
Kamali mchezo mbaya sana wema
Jb 🤣🤣 eti ulikuwa unacheza kamari
Love u wema wangu 💕🙏
Na kupenda sana wema na JB
daa wema uko poa naishima juu l love you 😍 ❤ ♥ 😘
Nawapenda baba na Mwana
Mbn apa kwa cook with wema sepetu , diamond hajafika kabsaa sijui kwa nn
Jb tumalizie kiu ya kisasi jaman tume kumiss tukiwa saudia
Napenda. Kicheko. Cahuyo. Baba jib
Wooow so great... JB in the house
JB jaman...Penda pia wewe 💕🙏
Wema ketu Ka
zuri jamani
Kwani ww sio mzuri monica
Kamari ni mbaya haifai kabisa watu wanafilisiki Yani kamari sawa na kilevi ukiingia kutoka ni ngumu .
kamarii gharamuu, na kituu gharamuu hakina mafanikio kuntuu
Nampendaga uyu jb anaigiza vizur
Nawapenda jamani mpaka naumwa
I'm the fast woooow wooow yani my dear sister wemaa and Jacob ❤️❤️❤️❤️😍😍😍💖💖💖
Nmemchek anavyotetemeka mikonon ktk kukata
Hahaaaa
Wema I'm here just to confirm if you are really pregnant
Hana mimba alishajib kwenye comment insta kuna mtu aliuliza.
Wow watu wawili niwapendao
Nimekumbuka nilivyo kuona dar lux shekilango nilifulahi maana ilikuwa ndoto yangu kukuona kwa karibu nakukubali
Nawapenda kabisa
Wooow JB1👏👏👏🔥🔥
Nakuaminia jb kwamapishi
Tuko pamoja
Amazing
ooh my my ....my one and only JB
wema we love you ❤️❤️❤️
Woooow wema katumb kam kooot Allah akuweky weps
Mapishi🤩
😍😍😍OMG!! nilimiss xn kuwaon pamoj💋💋💋💋💋💋
❤️ mere role model 💋
nimeipenda hii ya ᴊʙ sana
Ila Jb 😂😂
Acha kizungu ongea kiswahili
Kipind iki kizur sema sielewag jaman khaaa naona maongez kupika hakupikiki ni maandaliz vip mwisho wake
Kuna app inaitwa cook wic wema sepetu ukiidownload ndo utakuw unaona full hapo anawek vipande tu.
Et unalipia?
Jb si alikonda yaani kanenepa tena si angebaki vile vile
😆😆😆Ila JB🙌
I love wema ❤
Jacob is a vibe
Piken sasa tuone icho chakula...mnaongea sana....kwan tunaangalia maongez yenu au tunataka tuone unapika nin na venye kimekuwa...eee....sasa stor tuuuuu....🤔
Download app huwa anaweka full ili nae apate ela,app unalipia kwa mwez au kwa wiki apa anaweka vipande kama upo interested download app yake,inaitwa cook wic wema sepetu.
Please do full episode
Kakaa kama kikatuni jamni kwasasa
Yaani hii show huwa sikosi
Haaaaa baba na biti yake kunako tu watu wa2 apo
WENGE BCBG, Bon chic bon gernre😅
Beuthfull Dada
Wawuuu
Nice sana
🥰
😍😍😍
💕
Kamari hutajiriki mana mungu ameilani ni haramu
Wooow
Jb ❤️
Wow
Kama Naona Chungu cha Tatu
Mashallah wema kitumbo hichoooo
Kweli kwani ?
Ndio n mjamnzitooo
Ndio n mjamnzitooo
🥰🥰🥰
Wema sjui nani alimdanganya akajichonge awe km nyoka ..hakujua kuwa habar ya mjini ni tako 😁
Alisahau dunia hii ya mashetan yenye idadi kubwa ya watoto wa nje ya ndoa mwenye tako na mwenye degree mwenye tako ndio mwenye thamani 😂😂
atar sana
Nimecheka hadi nimejikojolea
Kwasababu wewe umefanya ni kitega uchumi Ndio maana unashangaa
Mrembo wema
One peace in town
🔥🔥🔥
❤️💕💕💕
Nice ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
💞💞🥰🥰
Bba wema mbna tumbo limezid mwili🤔
Wama ake❤️
❤️❤️❤️
Jb 😍😍😍❤️
Woow JB😍