Naibu rais na kikosi chake wafanya kampeni Nyeri

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024
  • Naibu Rais William Ruto leo amezindua mikutano ya kutafuta maoni ya wanabiashara kuhusu mfumo wa kiuchumi anao upendekeza, maarufu kwa kimombo 'bottom up', huku akisema maoni hayo yatapewa kipaumbele iwapo atapata ushindi kwenye uchaguzi wa mwezi Agosti. Uzinduzi huo ulifanyika mjini Nyeri, huku Ruto akiahidi mikutano sawia kwa Kila kaunti katika siku 60 zijazo.

Комментарии • 29