Interview nzur sana na Ahsante @millardayo kwa kufika nungwi. Ila ni vizur kuwapata wazee ambao wanamjua vizur kocha ( history) bac mtajua mengi kuhusu kocha.
@@jumakhamis8663 Kuhusu ana miaka mingap iyo siwezi kusema Lkn mama yangu mm alizaliwa mapinduzi tena porini watu wakiwa wame kimbia kujificha bb yetu alikuwa na uja uzto ndo akajifunguwa msituni Na leo hii mama ana miaka wastan wa 57 Na kocha yeye wakat huo alkuwa ana tembea mitaani je kwanin asiwe na wastani wa 70 ni mtazamo wangut huo
Nashangaaa sana mbona tukiingia RUclips kocha ana epsod mpaka ya 86 halafu ndugu wanasema maisha ni magumu na ukweli mazingira yanaonyesha na isije kuwa watu wanatumia video zake kujinufaisha
Nilikuwa nungwi 2016 alinipendaga jamani kikocha nilipiga NAE picha nikapost fb .aiseee .alivyotrend Sasa hivi .watu wanachukua picha Zangu nilizopiga NAE .wanavyozitembeza uwiii😂😂wanaomjua vizuri kikocha kuhusu kumvua kofia ni kipengere ila ...Ila Mimi namvua na anatuluia 😂
Napafahamu nungwi.. na Maisha ya watu wa kule kweli ni magumu.. ni uvuvi ndio shughuli kubwa za kiuchumi... Zaidi ni kipindi cha utalii ndio biashara ndio zinafanyika... Mungu awasimamie hii familia... Dah! 😭
Huyu Mzee ana tumiwa na szan Kam kuna manufaa anayo yapat kuptia videos zake znazo twend man hat kweny nyimbo ya harmonize saut yake imeskika so familiar wafatilie hicho kitu Hil wafaidik man life sio poa
Huyu ni mtu wa kwanza Zanzibar anaependwa kwa Mwaka huu 2021....
Most popular and loved One
Uhakk
@@abdulrahimkhamis8594 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Nikweli kocha anapendwa sana hapa zanziba
Yeaaah nkwel kabsa maneno yako sahihi
Nimefurahi sana Millard ayo tv kufika Zanzibar kwa ajili ya kumhoji Kocha nakuyatangaza maisha yake
Namkubali Sana kocha
Ahsante sana
FUNDI KAMA FUNDI
Wacha kuimba nyimbo nakujiona star wewe juma faki muogope Allah
Asante ayo TV mnatishaa ninefurahi kochaaaa
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Ahsante sana👊
Nimefurahi sana kuckia millard ayo TV kwa kufika mpaka huko kwa sababu ya kocha big up cna ayo TV
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
ALLAH amuhifadhi bwana djuma watu wache kumdharauu wamthamini.
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Mbn mjomba wa kocha unalalamika sana mjomba ako tiali kisha kuwa ni mtan wa kila mtu ruhusun utan ila mzuie watu kumdhuru kocha ndo kikubwa zaid
Tunawapenda milady Ayo
Interview nzur sana na Ahsante @millardayo kwa kufika nungwi. Ila ni vizur kuwapata wazee ambao wanamjua vizur kocha ( history) bac mtajua mengi kuhusu kocha.
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
huy nd anakaa na koch
huyu ndio mjomba wake dam dam
na mimi ndie Ali Diku
@@alimussa4771 ndo mjomba ake?
Mohamed Juma acha hizo hapa hakuna utopolo wala Mo. Hapa wanajadili maisha ya binadamu acha dharau wakati wewe huijui kesho yako Muogope Mungu
ruclips.net/video/DeKB3zjwkiE/видео.html
Nampendaga kocha, na kibali chake cha muziki
Miaka 70! Allah azidi kumuweka, na sie atujaalie kuifikia miaka hiyo inshallah
Kuambiwa kazaliwa 70 sio anamiaka 70
@@mahadgenius447 kasema ana miaka 70 sio kazaliwa 70
Mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1964
Alkuwa ana umr usio punguwa 14 ivotu yani
kazungumza kimakosa kocha hawez kufika miaka 70 labda 52 anaweza kufika
@@jumakhamis8663
Kuhusu ana miaka mingap iyo siwezi kusema
Lkn mama yangu mm alizaliwa mapinduzi tena porini watu wakiwa wame kimbia kujificha bb yetu alikuwa na uja uzto ndo akajifunguwa msituni
Na leo hii mama ana miaka wastan wa 57
Na kocha yeye wakat huo alkuwa ana tembea mitaani je kwanin asiwe na wastani wa 70 ni mtazamo wangut huo
Namkubali Sanaa huyu jamaa 😂😂😂 Allah amuweke inshallah
ruclips.net/video/XuKqT6H4X7s/видео.html 9-11 is out show love Donney ft Trigger video nimeappload on my my channel
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@Donney814 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
😂👊
ALLAH awaongoze na waache ujinga wao hao wanaompost kutokana na matusi yake anayotukana.. Na ALLAH Atupe mwisho mwema sote
Jamaa anajieleza vzr sana,hongera mzenji
Mwenye enzi mungu awahifadhi insha Allah ❤
Tazama video hii ruclips.net/video/DeKB3zjwkiE/видео.html
Big up. Big step ahead.. God bless him much and his family 👪
Safi Sana ayo tv kuchimbua habari za kocha
Kashakuwa star tayari
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Anamatusi balaa
😂😂😂🇰🇪🇪🇺
Nashangaaa sana mbona tukiingia RUclips kocha ana epsod mpaka ya 86 halafu ndugu wanasema maisha ni magumu na ukweli mazingira yanaonyesha na isije kuwa watu wanatumia video zake kujinufaisha
Kweli kabisa. Kocha asaidiwe.
ni kweli kabisa binaadam wabaya
Kweli kabisa Kocha apewe chake mana keshakuwa trend
Hongera kijana kwakumtangaza kocha ili akizi mahitaji
Nilikuwa nungwi 2016 alinipendaga jamani kikocha nilipiga NAE picha nikapost fb .aiseee .alivyotrend Sasa hivi .watu wanachukua picha Zangu nilizopiga NAE .wanavyozitembeza uwiii😂😂wanaomjua vizuri kikocha kuhusu kumvua kofia ni kipengere ila ...Ila Mimi namvua na anatuluia 😂
Nipe namba unitumie basi?
mjomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi
Mungu ampe kila la kheri inshaallla
Ayo TV Nice for Interview @KOCHA Support Muhimu kwake Na Serekali Iingeze Msaada kwake Tunaamini Wataliona Hili kutia Media ya ayoTV .......
Napafahamu nungwi.. na Maisha ya watu wa kule kweli ni magumu.. ni uvuvi ndio shughuli kubwa za kiuchumi... Zaidi ni kipindi cha utalii ndio biashara ndio zinafanyika... Mungu awasimamie hii familia... Dah! 😭
9:27 Ukitaka aharibu interview mwambie kibali hakuna 😆😆😆😆 TTULIIIIAA
Au mtaje lidiku🤣🤣🤣
@@kibeginiblue7188 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
😆😆😆
😀
Ukitaka interview iharibike mtaje Hamissi😂😂
Uyo swaiba wake na kocha wanaivana wenyewe
Kocha kama kocha na mpenda sana mzee wangu. Unabiwa usimzarau usiemjua kabisa na mungu hamtupi mja wake
Heshima kwenu ayo kwa kutuletea kocha
Ukweli,kwa Zanzibar namjua rais na kocha
Mildayo mumeonesha nyie wa kitafauti na media nyengine zote.
😆😆👊👊
tuchangieni jaman tuboreshe hata chumba kitandan pamoj na masingira ya kocha
Unataka Media zote za Tz ziende kumtafuta.?
@@seifabdallah5009 Kwani we umefahamu vipi?
@@ismailmenkjr8784 Kupitia cm za watu wa karibu nae
Mungu awe nawe mzee wetu unaezid kuwitangaz nchi yetu khakik tunakupend san kocha
Kocha Allah akuhafidhi insh'allah
Kafaamika uzeen upo vizuri kocha😂
Nimempenda best ake kocha...wameivana sana! Hongera sana
Huyu Mzee ana tumiwa na szan Kam kuna manufaa anayo yapat kuptia videos zake znazo twend man hat kweny nyimbo ya harmonize saut yake imeskika so familiar wafatilie hicho kitu Hil wafaidik man life sio poa
Mi kocha namjua rafiki yangu Sana lakini akikelwa uwa anarusha mawe Kama mvua
Asanteni AyoTv lakin mbona hamkumhoji kocha mwenyuwe.....
hebu tuliaaaaa 🤣🤣
@@fatmamohd2444 hahahah dah nmecheka kwa sauti hebu tuliiya😂😂😂
@@masoudmsomal5598 tuliyaaaaaaaaaaaaa
@@fatmamohd2444 😂😂😂😂 dah
Huo. Utapigwa… uchoke ulile.. Lakini utapigwa🤣🤣🤣
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Kocha🔥🔥🔥
Mungu aiangalie hii familia,mungu mlinde kocha
Kocha mnungwi namkubali snaaaaa, ananifurahishaga sana, weka namba tumchangie kocha wetu
Wee mchangie tu mana namba zishatajwa apo
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@yasiralkindi5332 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@yasiralkindi5332 😅😅
Dah kwahyo kumbe mmezuia tena kumrkodi kocha hatuona clip zake tena dah
Hadi leo mic za kuhamisha ? Seriously
Kocha nampenda sana daaah ananicheesha akiongea tuu anakwambia ..........TULIAAAAA........
Yaan kizanzibari halisia, hamna Cha makochi Wala nn, ni mikeka TU. Raha Raha.
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@HassanHassan-sr3fq ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
Huyu Jamaa Rafiki yake Respekt kwake
Harmonize tumia uwezo aliokupa mungu kupitisha msaada wako maan tumeskia saut ya kocha kwenye SONG yko ya kilofeshe remix
Hakuna anaemtumia vibaya kocha anachekesha sanaaa lazima erekodiwe
Kocha hatak wat waingie nyumbn 😅😅🤣🤣🤣🤣
Kocha noma namkubali kwa vitu vyake
Nshasema!!!
nakubali sana kocha
Uwiii kocha ananijukuu jaman kumbe mume wangu babu eee
Sasa haitham vijna wenzko tupo ,😄😄
@@amourkombo451 ye anataka star 🌟 kocha 🤣
@@amourkombo451jaman vijana wanini mie mutanisumbua
@@roi2554kwakweli
Best interview ever
ruclips.net/video/DeKB3zjwkiE/видео.html
Hongera reporter side
😀😀😀
Kocha ana miaka 56 hadi sasa.
Ya nani , hebu tuliiiiiia hebu tulia🤣🤣
Hahaaa kweli Bana tuliiia
Kocha na Mzee Mpili wamekuwa Ma Superstars Uzeeni
🤣😂
Sijambo jema kuwatumia watu wagojwa kwenye mitandandaon tumuogope Allah
Namkubali sana kocha😀😀😀🇹🇿💪.
Athaminiwe bax sio kupendwa mdomoni tu, mtu kama huyu huwa ghali sana Europe
Kocha kachomoa betri mpaka kwenye interview😂😂🤣🤣
Kocha Mkali Sana🤣🤣🤣
kocha nimkali uyooooo hatareeee
Tunaomba namba ya vodacom tumchangie coach nipo USA 🇺🇸
Good
njema sana
Sw ila kuwa makin kw watakao kutumia nmba ili uwatmie iyo pesa wengne hawap kabsa n nungwi wanawez kutmia iyo fursa il waipate iyo hel
Ila km utaskiliz vzur uyo anaehojiwa kazitaj nmba z kuwez kumsaidia
Good
Kocha mkali lkn anapendwa Mashallah
Kosha safi
Basi wamlipe wamsaidie maisha yaendelee wasimtumiye tu
Dah nampenda sana kocha aisee
Ally diku jaman yupo wapi 😆😂🤣
anakuja soon
Koja From Kenya 🇰🇪
Ni Kocha bro 😅😅😅😅
Mume Wangu huyo 🤣🤣😍😍😍
Huyo ni mgonjwa WA AKILI..... WATU humchukulia kama ndio SEHEMU ya kuosha msongo WA mawazo....
Kocha dakika mbili anakuchenjia😄
Ali diku Yukwapi 😁😁😁😁
anakuja soon mutamuona stay tune 😀😀
Kocha katisha wananiiiii
🤣🤣🤣
@@MISAMBAA namkumbuka sana ally diku mzee wetu japo alitutoka mwaka 2019 rip mzee wetu
Ukitaka kumtibua kocha mtajie hilo jina Ally Dikuu
Tanzania ukijichetua unatoboa 😂😂😂
😂😂
😁😁
Hajichetui nd hali yake ya uhalisia fungua macho na masikio kuskilz vzr ili akili yako iwe na uwelewa
Embu jichetue ww utoboe
2liiiiiaaaaaa ebu 2liaaaa yn me na like an iyi k2
Lakini Kocha mkorofi jamani tusemeni la kweli.
Kocha kocha duh
Kocha noma mziki utapigwa tu 😀😀
Ndio buku ninalo hiihapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo rafiki yake ndio alitakiwa awe meneja wake kwakwel yeye ndie aliemtoa
Kabisa na mimi nimeliona hilo
Nikweli kocha haipungui miaka 65/70
Kiswahili cha Zanzibar raha sana
Usinihanisiiiii😁😁😁
😀
5:36 aliona kocha anamwambia swahiba ake EBU KWENDA ZAKO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani
Kocha namkubali sana👍
Ukiwa bado kijana usidhubutu kabisa kusema eti wewe ni masikini
Kocha namkubali Sana ukimzngua tuu akucheleweshi anakupa nukta yako
Kochaaa kila la kherii
Naweee tuliiiiaaaaaaaa....... Hemu tuliaaaaaaaa....🤣🤣🤣
Ukitaka interview iharibike mtaje Hamissi
ZANZIBAR
Nakukubali sana kocha
Kocha kama kocha ♥️♥️♥️♥️👎
TUULIIIIIA HEBU TULIIIAAAAAAA,,, Kocha namkubali sn ✌️
Kocha sasa anavyo msikiliza mjomba kama anamuelewa vzr
Uyu naye katokea wpi jamani duuh tz kuna mambo
Hebu tuliyaaaaa
Hebu tuliyaaaaa😆
Home sweet home nungwii
Kocha mwananchiiiii
Nautapigwaaaaaaaa😀😀
Umeuliza mengi lakin kuna maswali ambayo tunayataka ata moja hujauliza,ally diku yupo wap pamoja na mbabe wake masudi😝😀
😂😂😂😂
Ally Diku kocha amtaki
ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@njonjolomahfudh3238 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
@@kibeginiblue7188 ruclips.net/video/rF27ylledHw/видео.html
ila huyo kocha akipata mtu akamsimamie ela anaweza kupta mwenyew
Uyu jamaa asaema uwongo vitu vengne kma miaka na kuhusu jina la kocha