Courage sana kwaiyi tv en ligne tunaomba muongeze vipindi vingine .namaoni yangu ni iyi kwanini watangazaji wengi amubebi kiswahili ya uvira mais niko naona kila wakati munachonga sana kiswahili ya kitanzania
Nazani niongeze kitu, hii TV Sio ya Uvira tu Bali ni TV ya Dunia nzima, Ndomana Kuna emission za lugha Tafauti, Tafauti na Mashabiki wa Uvira wakiongezeka tutaweka Mwenye atakua naongea kiswahili ya Uvira kama unavyosema😋😋😋
Go ahead💪
Kizazi sana broh ❤🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🚀
Cool🎉🎉
Courage sana kwaiyi tv en ligne tunaomba muongeze vipindi vingine .namaoni yangu ni iyi kwanini watangazaji wengi amubebi kiswahili ya uvira mais niko naona kila wakati munachonga sana kiswahili ya kitanzania
Mashabiki wa Uvira wa kiwa wengi tutaongea kiswahili cha Uvira.
Nazani niongeze kitu, hii TV Sio ya Uvira tu Bali ni TV ya Dunia nzima, Ndomana Kuna emission za lugha Tafauti, Tafauti na Mashabiki wa Uvira wakiongezeka tutaweka Mwenye atakua naongea kiswahili ya Uvira kama unavyosema😋😋😋
Dada unajuwa maswali sana ju niko nafatilia ma intervieuws mingi sana courage sana
Sambaza kwa wengine
Binti mkabaji ,belami aseme ukweli
Mana kwa namna alivyo hawazi akafanya hata mwezi haja sexy
Tunaijuwa iyo michezo😂😂😂😂😂
Zidi kuwakaba koo
🤣🤣🤣🤣🤣