SUGU AWAGOMEA POLISI KUSHUKA JUKWAANI TULIA KWANZA WEWE NI MWENZETU KAMA SISI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 116

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Месяц назад +10

    Safi sana sugu. Wewe ni kidume 😅😅😅... People's ✊🏽✊🏽✊🏽

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 Месяц назад +4

    Point to Note "Eti Wengine wenetu wamepanga Kwenye Nyumba Zetu"😂😂😂😂😂😂

  • @TitoSangeti-ft4pi
    @TitoSangeti-ft4pi Месяц назад +1

    Hahaha kweli siasa ni kilevi uyu kalewa jmn

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 Месяц назад +10

    Hapo kwenye magari umeongea Point sana 🎉

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 Месяц назад +1

    Safi xn Sugu Mungu akutangulie

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole Месяц назад +8

    Ogopa chama wanachohudhuria wananchi Kwa wingi Tena waina zote,vyama vyote wenye sare wakiwa wachache hatari sana

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 Месяц назад +2

    Chawa mpo wengi kuliko binadamu humu
    Mkializa kumyonyabinadamu mtauwana wenyewe humu😂😂

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 28 дней назад +1

    Kwani unaesema ati mbna sugu ana v8 kwani jiulize kwani serikal imemnunulia!!? Maana anasema hayo kisa wenyewe ya ccm yanatokana na kodi za wananchi ,ila yke tujiulize inatokana na pesa za kodi za nchi au la!!!? Ila wao hua wanazidi kununuliana kwa wingi wakat maisha kwa watu wa hali ya chin magum na maospital ni hvyo kwa madawa

  • @mochemba
    @mochemba Месяц назад +1

    Haya mnakiondoa chama cha mapinduzi kwa sera zipi,

  • @stn4873
    @stn4873 Месяц назад +4

    NYIE WENYEWE WACHUMIA TUMBO TU, HAMNA LOLOTE KELELE TU.

  • @BarakaNgabo
    @BarakaNgabo Месяц назад +2

    Kazi nzuri keep it up kayuni tv

  • @AbdallahMohammed-u2v
    @AbdallahMohammed-u2v Месяц назад +1

    Huyu jamaa ni bomu kweli

  • @koniasalingo2165
    @koniasalingo2165 Месяц назад +2

    Walioona sugu akiwagomea polisi hapo tujuane 😂😂😂

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 Месяц назад +1

    Apo kwenye urea 😂😂😂😂😂 na pickaup

  • @JoelMhagama
    @JoelMhagama Месяц назад +1

    Kusoma ndokujua kujenga hoja tunawasomi majinga sana hii inch

  • @tariqboy2141
    @tariqboy2141 Месяц назад +4

    Wewe mwenyewe una v8 huu ni upuuzi wa kisiasa

    • @khalidmnjovu4463
      @khalidmnjovu4463 Месяц назад

      Sikiliza vizuri. Alikopeshwa kama mbunge na amelipa ama atakuwa anamalizia seni lake huko kama mkopo. Ana hoji kwanini na wakurugenzi na wao wasikipeshwe?? Maana hata waajiriwa wakawaida huku chini wanakopehwa na wananunua magari kutokana na mishahara yao

    • @alphoncemakigo7343
      @alphoncemakigo7343 Месяц назад

      Alikopeshwa na akasema wazi

    • @BostonManase
      @BostonManase Месяц назад

      Sahihi alisema , mi naikumbuka RAV 4

  • @ramsohouse2838
    @ramsohouse2838 Месяц назад +2

    Waziri wa kilimo v8 la nini 😂😂 👊

  • @ZainabuVeriuse-q5h
    @ZainabuVeriuse-q5h Месяц назад +1

    Hahahaha Sera za sikuizi bhana usipo sema ulitekwa haupati kula

    • @mayanmlingwa4250
      @mayanmlingwa4250 Месяц назад

      Kama kutekwa ni maigizo wanafanya sawa,,,mwombe Mungu maana Bado una mda wa kutosha kuvuta pumzi

    • @ZainabuVeriuse-q5h
      @ZainabuVeriuse-q5h Месяц назад

      Tumechoka na Sera izo izo kila siku hata malekani watu wanatekwa bhana issue wanataka kubishana Hadi na vyombo vya ulinzi na usalama

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 Месяц назад

      ​@@ZainabuVeriuse-q5hhayajakukuta ndugu yangekukuta usingisema hivyo sisi vidonda vinamwaga damu mpk leo

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂 😅😅😅😅😅 mkipata nyinyi mtatembea kwa baskeli ,ndiooooo babaaaas😅😅😅😅

    • @Ba63828
      @Ba63828 Месяц назад

      Sasa mbona hawatumii pickups

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf Месяц назад

      Acha uchawa sugu sema kaka

    • @Ba63828
      @Ba63828 Месяц назад

      @@markoshem-ij6cf jamani pole kumbe wewe chawa wa mbilinyi utasinyaaa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад

      Tuonesheni mfano kwanza muanze kutembelea pikipiki na baiskeli

    • @maryamsuleiman6340
      @maryamsuleiman6340 Месяц назад

      @@sonnyr1899 😄

  • @kamanda007
    @kamanda007 Месяц назад +1

    Polisi wa CCM wapumbavu sana

  • @songombingo108
    @songombingo108 Месяц назад +3

    Kwani kama angeongea hadi saa 1 jioni kulikuwa na tatizo gani. Hii nchi ina watu wa hovyo sana

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 Месяц назад +1

    Huyu angekua na elimu hata ya darasa la saba, ningejenga nae hoja, sasa kwakuwa na ni mwakajoka naona nitajichosha tuu.

    • @thanksrjhood9508
      @thanksrjhood9508 Месяц назад +2

      hajasoma kvo wkt hata gape alilokupiga kimaisha na kuishi ughaibuni humfikii

  • @BedaSon-v2x
    @BedaSon-v2x Месяц назад +1

    nice m4c

  • @rabwarab574
    @rabwarab574 Месяц назад +1

    Sugu acha ujinga yale macho ya kurembua yamefanyeje?🤣🤣🤣

  • @tgeofrey
    @tgeofrey Месяц назад

    Respect.. Ndungai😊

  • @salcle9702
    @salcle9702 Месяц назад +2

    Magari ya nini afu tunawalea hawa watu wa ccm

  • @Mfanyilavangi
    @Mfanyilavangi Месяц назад +1

    Mwaijumba tenaa hadi hukuuu

  • @BENEDICTMHINA-pd1kr
    @BENEDICTMHINA-pd1kr Месяц назад +1

    Waziri wa Kilimo apewe Mandolin

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад +2

    Maafande maafande ipendeni nchi yenu uzalendo kwanza mambo ya vyama baadae

  • @leopoldconstantine8099
    @leopoldconstantine8099 Месяц назад +1

    Wapi alipowagomea

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Месяц назад +4

    Askari mnatumika sana mnatuudhi sana

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 Месяц назад

      Sheria hajatungq polisi. Inatakiwa ifuatwe.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Месяц назад +2

    Wewe mwenyewe unatembelea V8

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Месяц назад +1

    SASA WAPI UMEKAMATWA YAANI ANDIKA KICHWA CHA HABARI VIZURI PUMBAVU

  • @2003hintay
    @2003hintay Месяц назад +2

    Ushamba

  • @Jal210
    @Jal210 Месяц назад +1

    Fala wewe mpumbavu safi walikutandika mana huna adabu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Месяц назад

    Ahhh nakumbuka mh john heche akiwa sirari anafanya mkutano akaja ocd anamwambia kwamba muda umeisha..akamjibu kwamba usiniletee za kuleta kama nimezidisha muda peleka kwa wakubwa sio kunizuia

  • @WhiteMgeni
    @WhiteMgeni Месяц назад

    Polisi mbona ccm hua wanahutubia mpaka usiku hawazuiliwi jamani nchi hiiiiii

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 Месяц назад +1

    To gether is one

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack Месяц назад +1

    Sasa hapo kazidisha muda gani! Hovyo sana policeccm hawa.

  • @BreezyMnyama
    @BreezyMnyama Месяц назад

    Sugu ❤❤❤❤

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Месяц назад +1

    Umeongea pointi

  • @RAMADHANIMZEE-o4x
    @RAMADHANIMZEE-o4x Месяц назад +4

    wabunge makini wapo chadema tu

  • @SamwelyMasopango
    @SamwelyMasopango Месяц назад +1

    kdg nahisi nidham inaanza kurejea sugu ameanza kunyooka

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 Месяц назад +2

    Hii nchi police ni kelo sana

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Месяц назад

    Nimecheka kwa nguvu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Месяц назад +3

    Sugu hoyeee 🎉🎉🎉

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson Месяц назад

    Polisi vipi Jamani? Muache watu waseme, sasa sugu kakosea nini?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +1

    😂😂😂

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Месяц назад

    Hivi yule raisi wa wapi yule. Anatembelea pickup? Ee bukinafaso na analytics maendeleo kibao

  • @denisdamian1190
    @denisdamian1190 Месяц назад +1

    Kiongoz imara jasiri mwenye hutoba za kuonyesha sera Bora za chama chenu

  • @laufterchal8104
    @laufterchal8104 27 дней назад

    ,,,😂😂😂

  • @brittanypulei789
    @brittanypulei789 Месяц назад

    Atashinda

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 Месяц назад

    Mwenye kiti wako anamjumba na magari ya kifahari ndani na nje ya nchi na watoto wake ni raia wa marekani sema hoja huwa hamna mnaongea km wahuni tu

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl Месяц назад

      Kwa hiyo unataka nn na ujinga wako

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 Месяц назад

      @@yosephatMasanyiwa-oh1rl sibishani na walevi wa konyagi

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl Месяц назад

      @@Ajijji12 Akili zinawaza ccm tu yaani Kuna watu wengine matako kwelikweli

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Месяц назад +5

    Polisi wanatumika CCM

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +1

    Chadema akili zenu ndogo sana ,sasa mbunge mshahara sh ngapi na mfanyakazi mshahara sh ngapi , kweli sugu kachoka mpka kuongea tabu

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Месяц назад

    Mbona wewe ulipokuwa mbunge mbona hukukopa pickup .Ndiyo Sera za kutaja ubunge .wahuni tu na porojo

    • @HamisiNguche
      @HamisiNguche Месяц назад

      Kukopa Ni hiari. Lakini kitu Cha kukopa lazima mtu anakuwa makini nacho kuliko Cha kupewa bure! Sawa wewe Farujoniccm?

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Месяц назад

    Siasa za upinzani ningumu sana

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Huna akili wewe waliotutengenezea nchi hawawezi kuwa sawa na wewe wapumbavu mmefeli saana wapuuzi

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Месяц назад +2

    Chama chenye watu wenye akili tz

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Месяц назад +1

    Niwaombe viongozi Wetu. Muwe na stara katika majukwaa yetu tuheshimiane tuchunge Maneno yetu.Mi napenda Muongee point kuliko kukashifiana..Vyama vyote plz.

  • @Ba63828
    @Ba63828 Месяц назад +1

    Huwezi dogo kuwaondoa chama kubwa

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Месяц назад

    Sugu kama sugu waambue ukweli ,,nitatukana moyoni

  • @OSCARMWAIBAMBE
    @OSCARMWAIBAMBE Месяц назад

    Hongera sana sugu...

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf Месяц назад +1

    Nakweli nuru imetoweka

  • @bongo39
    @bongo39 Месяц назад +1

    Nyie baada ya kuongea sera zenu nyie ni lawama chuki tuu matusi huna uwezo wa kushinda hata siku moja

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Месяц назад +1

    Huyo ni fatani mkubwa sana hamuogopi hata mungu wake ungekua we waziri ungeyasema hayo. Wezi watupu nyie we ulipokua mbunge ulifanya nn hapo mbeya????

    • @jangalaalexbubehi7658
      @jangalaalexbubehi7658 Месяц назад +1

      Wanambeya wanajua , siyo wewe , huyo wakwenu huko uliko amefanya nini ??

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@jangalaalexbubehi7658 mafatani wakubwa kama nyie hamujui Sugu miaka mingi alikua Mbunge kafanya nn but kujinufaisha yy tu na family yake. Wambea wakubwa

    • @AmisiLulacha
      @AmisiLulacha Месяц назад

      ​@@joojombi2341unamsema sugu tuambie wakwenu kafanya nini ssi watu wambeya tuna juwa kafanya mengi kwa leo mbeya kuna barabara za lami ni awamu ya sugu

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@AmisiLulacha kacheze mdako wee huna sera huna maadili kazi fitna wizi mtupu na uongo mtupu

  • @MjewaFabian-uj6pf
    @MjewaFabian-uj6pf Месяц назад

    Mawazo finyuu sana hayo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +2

    Huyu akili yake bangi tu ,ndio mana ubunge walikupiga chini

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin Месяц назад +1

      Nani alimpiga chini...kwani uko inchini gani ww

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 Месяц назад

      Akili zako zipo chini wewe hujitambui

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Месяц назад +1

    Huyu jamaa huwa simwelewi

  • @bongo39
    @bongo39 Месяц назад +1

    Duuuh jamaa kachoka kweli mpaka domo limekuwa zito hata kuongea hawezi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Месяц назад +1

    Fatani mkubwa kanye mbele ya safari. Chadema wenyewe mnatekana mafatani wakubwa

    • @keithapeter7854
      @keithapeter7854 Месяц назад

      Acha kusema hivyo bila ushahidi shauliyako unauhakika kuwawatekana??

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@keithapeter7854 msikilize Yona wa Chalinze mbna kawaambia Ukweli and Uhakika. Wacheni kutetea wahalifu bhna

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@keithapeter7854 msikilize Yona wa Chalinze mbna kawaambia Ukweli and Uhakika. Wacheni kutetea wahalifu bhna

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@keithapeter7854 msikilize Yona wa Chalinze mbna kawaambia Ukweli and Uhakika. Wacheni kutetea wahalifu bhna

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Месяц назад

      @@keithapeter7854 mckilize Yona wa Chalinze mbna kesha sema Ukweli and Uhakika

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah Месяц назад +1

    Huna akili mtaishia kupiga kelele ikulu ni mahali patakatifu vichaa hawaelezi kuongoza nchi hamwezi mliungana mkawa ukawa mlishindwa acha uwongo dogo unajidhalilisha mbwa

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l Месяц назад

    Ninacho omba ni kwamba mnaongelea sana CCM. Tulishawahi ona nchi jirani vyama pinzani walikuwa wakiongelea ivyo ivyo kama mnavyowaeleza wananchi. Mara baada tu ya kuingia ikulu raia wanalia na kukumbuka chama ambacho kilikuwa kinatawala awali.lvyo watanzania muwe makini sana kipindi hiki ambacho mko karibu na uchaguzi.Yeyote anapotaka kitu anakuwa na maneno matamu sana .mara baada ya kuingia ikulu wanasahau watu walio waweka ikulu na kujinufaisha wao na family zao.Hakuna uongozi afrika utakuwa na 100% hapana .Viongozi wetu africa wengi wao ni njaa.

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl Месяц назад

      @@AlexKinunda-j9l kawadanganye watoto wako. Halafu CCM mnajionaga boonge la mtu mwenye uwezo wa kuongoza lkn mavi tu

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 Месяц назад

    Mbona sioni cha maana unachoingea

  • @salcle9702
    @salcle9702 Месяц назад

    Magari ya nini afu tunawalea hawa watu wa ccm

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +1

    😂😂😂