TBS ACAPPELA - DAWA OFFICIAL LYRIC VIDEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Tunajua katika dunia tunayoishi tunapata changamoto nyingi za maisha na mara nyingine kukata tamaa hata kuamua kumuacha MUNGU na kwenda kwa waganga wa dunia hii tukiamini kuna tumaini na kusahau kwamba MUNGU anatujali na pia anatupenda na hivyo basi kaamua kutupatia DAWA ambayo ni kuimba.
    Nakushauri ukiwa na shida IMBA, Nyimbo zinafanya kila kitu.
    #KUIMBA NI DAWA

Комментарии •