ERIC OMONDI AFICHUA SIRI NZITO DIAMOND NA TANASHA "BILA MIMI NASEEB JR ASINGEKUWEPO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 48

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 9 минут назад

    Big up my brother Eric am from German one love brother god bless you

  • @Welly_josh_official
    @Welly_josh_official 7 часов назад +3

    Our erick omondi🎉🎉

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 7 часов назад +1

    Kumbe kasi pool ni mjabuti. Kweli wacha wakena waongee❤❤❤❤❤❤ 🇬🇧 keep going pozzy

  • @lswai6777
    @lswai6777 3 часа назад +1

    Nakubaliana na Baba Levo. Hivi nani kampatia interview slot Wasafi? Haki waTZ sometimes tuko too kind.

  • @jackizzi_Media
    @jackizzi_Media 6 часов назад +2

    El Presedente!

  • @chesantonio9422
    @chesantonio9422 7 часов назад +2

    😂😂😂😂😂 cassypool ni wa Djibouti 😅😅😅😅

  • @davidchilumo6246
    @davidchilumo6246 8 часов назад +2

    Ndio mjue KASIPULI si🇰🇪😂

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 6 часов назад +1

    Hapo kwa comedian usiwe star imemake sense

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 11 часов назад +5

    Nini Eric anaji force kuongea kitanzania si aongee Kiswahili ya ki kenya tuu! Watu wataelewa!!!! He is just trying to be Tanzanian i don't know why..... showbiz is in tz only

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 6 часов назад

      Sasa akuwe mtanzania ndio imsaidie vipi

  • @goddyffmarsacha259
    @goddyffmarsacha259 11 часов назад +2

    let me make this clear, kenyans love erick omondi especially for what he is doing

  • @emmanuelmusyoka207
    @emmanuelmusyoka207 9 часов назад +3

    rais erick omondi acha kuongei hii lugha ya hawa majirani wetu wenye kelelee mingi...ongea kikenya ..sisi ndio wenye africa...tanzania ni majirani fake

  • @goddyffmarsacha259
    @goddyffmarsacha259 11 часов назад +3

    alafu erick ongea vizuri wacha kuongea kama watanzania wenye ata sijui kama shule hawasomi

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 11 часов назад +2

      kiswahili hakikupendezi, hukijui, unakiharibu, ongea kingereza nyie mliosoma lakini bado mnaji komba komba kwetu.

    • @bibivanderveen5455
      @bibivanderveen5455 11 часов назад +2

      Kwani wale wanaozungumza Kijapani,Kichina,Kikorea hawakusoma pia sababu hawazungumzi kiingereza ama ni watu wanaozungumza Kiswahili tu basi?

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 9 часов назад +1

      @@bibivanderveen5455 wanafikiri kujua kingereza ndo kusoma sana, wanajivunia lugha ya kigeni wakati wengine wakijivunia lugha zao.

    • @EzraKimutai-h9i
      @EzraKimutai-h9i 9 часов назад

      Kama sio Diamond Mimi singejuwa Tanzania ninawadharau

    • @bibivanderveen5455
      @bibivanderveen5455 8 часов назад +1

      @@ezebiakayingi6576 Ni kutojipenda,kujichukia,kutojiamini na kujidharau.

  • @ezebiakayingi6576
    @ezebiakayingi6576 11 часов назад

    it's true comedian should never be a star, it's true you connect TZ and Kenya na wewe wewe ndio una disconnect

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 11 часов назад

    Boring long interview

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 11 часов назад

    Nyie wasafi wapuuzi , mnamuhoji nini huyo wakati tushawajua roho zao
    Walitaka kumzika Diamond kufika hatua kuendesha kampeni ya ku unsubscribe Diamond, kampeni yao na malengo yamefail ndo wanajileta kushoboka mabwege sana
    Wasafi mnajifanya kusahau na nyie tutawamaind mjue

    • @_bonfaceadera
      @_bonfaceadera 5 часов назад

      Nimekwama hapo kwa tutawaMAIND😂😂

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 часа назад

      Wasafi wasenge sana huyo fala aliongea pumba alivyokuwa kwao

  • @goddyffmarsacha259
    @goddyffmarsacha259 11 часов назад +1

    mziki wa kenya ni mzuri...ebu mtu aniambie ni msaani gani tanzania anawezana na BIEN, kila mtz anaefanya ngoma na BIEN anafunikwa ,,,,again, ni rapa yupi tz anawezana na OG khaligraph...i can go on and on...tanzania bado sana ni vile kenya tuwasapoti watz ila watz hawatusapoti...siku kenya itaacha kusupport wasanii wa tz utaona bongo ikianguka

    • @NoName-pp4lo
      @NoName-pp4lo 10 часов назад +1

      That's Fact..

    • @McAdamsChiry
      @McAdamsChiry 5 часов назад

      Achen kusupport kwani tumewaomba mtusupport si nyie wenyewe...

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 11 часов назад +1

    Nyinyi nanyi? Munampa airtime huyu kenge mbona? Huyu msimpe interview wasafi!

    • @Directorkalama
      @Directorkalama 11 часов назад +2

      We kwenda enda ukapewe wewe interview Acha majungu

    • @emmanuelmusyoka207
      @emmanuelmusyoka207 9 часов назад +1

      chuki pumbavu wewe.... kama wasafi ni yako kanyimane basi... unaosema kagombana utawakuta wako lunch pamoja.... hii ni social media shenzi wewe

    • @cescwho3084
      @cescwho3084 5 часов назад

      We kwani hauna kazi? Umecomment mara kama Mia moja na zote ni hate Tu..... You need some milk? 👀

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 11 часов назад

    Yaani Wasafi mnamuhoji huyo fala ? Na nyie wapumbavu , mtu ametukana nchi alafu mnamchukulia poa
    Lengo lao lilikuwa baya kuliko mnavyodhani

    • @maxwellsanga3662
      @maxwellsanga3662 6 часов назад

      Elewa showbiz usichukulie personal sana

    • @cescwho3084
      @cescwho3084 5 часов назад

      Ametukana nchi wapi? Lini? Watanzania nimeona muko ma chuki Sana nyinyi. Let the artists do their showbiz... Erick Omondi hachukii TZ hata kidogo muwache chuki nyinyi wapumbavu

    • @_bonfaceadera
      @_bonfaceadera 5 часов назад

      Haha hii ni hype ya kucreate showbiz..uyu jamaa haelewi