MAGUFULI AMPA MAKAVU KIGOGO WA CCM ALIYELALAMIKIA WAPINZANIA WANAOHAMI CCM KUPEWA NAFASI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024
  • #AyoTV

Комментарии • 73

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 года назад +1

    Kweli Rais Yani hapo ni hofu wanaogopa kushindwa na Mara zote hao wanaorudi wananguvu kuliko waliopo

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 4 года назад

    Manyanyaso dhidi ya watu waliotoka upinzani ni makubwa sana ndani ya Ccm.huko chini ndo usiombe.wananyanyapaliwa utafikiri ni corona.wanaitaji elimu ya kutosha ndani ya chama.

  • @illomowerner7690
    @illomowerner7690 7 месяцев назад

    Ila kweli huyu muuliza swali akili ndogo, kwani ni wangapi toka CCM wanakuja upinzani na wanapewa nafasi tena hadi kugombea uraism...boggas mind

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 года назад

    Yani nyinyi mafisiem pamoja Na huyo mwenyekit wenu mmejaa unafiki,ila kiama chenu hakipo mbali

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 4 года назад +2

    Ccm wamefanya vizuri sana kuwaruhusu wapinzani

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 года назад

    Sio kila mwenye nguo za kijani ni mwana CCM. Wengine wamefuata makulaji. CCM inao mamuluki wengi tu.

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 4 года назад +7

    Ila kweli huyu kaka ameuliza swalila msingi sana

    • @thadeipeter2592
      @thadeipeter2592 4 года назад

      Sana

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 года назад +2

      Hamna kitu ni ubaguzi tu!!!!

    • @mulangilakabwarebenson5128
      @mulangilakabwarebenson5128 4 года назад

      Kueni naakili icho ndicho chanzo cha ubaguzi na roho mbaya, kwani mtu akija kujiunga na chama afu akagombea shida iko wapi?
      Je nibora angeshinda akiwa chama cha upinzani? Je katika uchaguzi aowenye kulalamika wamekuwa wamejipanga je katika mashindano ayo? Rais kamjibu vizuri sana. Iyo itabaki kuwa shida kwawale wasiojiamini. Wewe kama ni bora kuliko yeye basi utachaguliwa ila vikwazo njo muepukane navyo.

  • @nuruliyau2934
    @nuruliyau2934 4 года назад +2

    Magufuli jembeeeeeee !!!!! Ccm oyeeee

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 4 года назад +1

    Rais Magufuli kwa Uko, ata wapinzani naamini wanakukubali kwa kweli umefanya vema sana na bado inaonekana wazi hujamalizia, na kwa kweli unaweza, Bali Zanzibar ipo kazi kubwa ... Muhimu itendeke Uchaguzi huru na haki na uwazi... Mana Mungu anaangalia kwa ukaribu zaid.
    .

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 4 года назад

      Huyo mgombea aliepitishwa kuwania kiti cha Urais Zanzibar anakubalika kwa asilimia nying sana kwaiyo haya pressure haitakua kubwa sana make ni chaguo la walio weng na historia yake pia inambeba na uadilifu alio kua nayo toka miaka ya nyuma kwaiyo unaweza kuta hata kwa wale wanao muunga mkono maalim wenda kuna na wengne watampa kura wakiwa na imani naye jins tulivyo kua na iman na Magufuli kipind kile alipo teuliwa tumwombe tu mungu awe na safari njema ...mpaka mwisho

  • @lucky9285
    @lucky9285 4 года назад +6

    Jamaa ajui kuwa wapinzani kwenda Ccm uwa kuna makubaliano toka juu 😂😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 года назад +1

      Lakini waki chaguliwa tena wakati wako ccm kwa hiyo makubaliano yanakuwa na wananchi wanaowachagua??? Hard to believe. Watanzania wengi wanachagua wananchi wanaowapenda hawachagui chama. Wabunge wote walio hama toka wapinzani wakachaguliwa ubunge tena ndani ya ccm. Inaonyesha jinsi watu wanavyomkubali. Nazani ndo maana raisi amemjibu hivyo huyo kijana

    • @lucky9285
      @lucky9285 4 года назад +1

      @@MsAggie5 msimamizi akitangaza mpinzani wakati anapewa gari na mshahara na Jpm atafukuzwa au hujaona chaguzi ndogo & mitaa

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 4 года назад

      @@lucky9285 kama huo ndo *mtazamo wako* .... Je hao *wabunge wa upinzani walokuwa bungeni WALITANGAZWA NA NANI?*

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 года назад

      Dach Junior kabisa! Wapinzani wanapenda lawama tu!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 года назад

      lucky sabasaba msimamizi huyo huyo kwanza alimtangaza kashinda toka upinzani hapo ilikuwaje? Alifukuzwa kazi? Baadae mtu huyo huyo anaamua atoke upinzani anarudi CCM anachaguliwa tena na msimazi anamtangaza kashinda, anafukuzwa kazi wapi au ananunuliwa gari wapi? Akirudi ccm au? Mnalalamika hata pasipo na ulalamishi.

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 4 года назад +4

    hao wameombwa waje na hiyo ndio ahadi yao

  • @evancemwaitubi6382
    @evancemwaitubi6382 4 года назад

    Silinde angalia uhalisia wa mambo huo.

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 4 года назад +2

    Kweli jamaa kaongea vzr.

  • @innocentsimika1937
    @innocentsimika1937 4 года назад +3

    Kajibu vizuri sanaaaaa

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 4 года назад +1

    Babangu mi' napendaga mifano yako tu. Inanikosha moyo wangu. Ulifaa uwe mwandishi wa RIWAYA. Ni fundi wa maneno ya kuchokonyoa nafsi. Inaitwa libebe ukishindwa libwage hapo hapo!

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 года назад +3

    Haswaaa ,umeongea hapo Kaka sema ukwelii

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 года назад

      Kajibiwa vzr pia. Na kama kachaguliwa na wananchi sawa sababu watanzania wanachagua watu hawachagui chama. Angalia wabunge wanaotoka chama pinzani wakirudi ccm wanashinda! Inakupa picha kama wananchi wanachagua watu wanaowapenda hawaangalii chama

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 4 года назад

    Pumbafu we acha wivu hiyo ndy chama Cha ccm hiki Ni chama Cha wote ndio maana wanatoka huko na kuingia ccm wameona Hakuna tabu yeyote acha wivu

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 4 года назад +2

    Raisi Yuko sawa

  • @salimmauly9575
    @salimmauly9575 4 года назад +4

    Akija huyu atanishinda mfano kama membe

  • @mtemvutv6406
    @mtemvutv6406 4 года назад +1

    Inaonekana jamaa mbaguz kwel

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 4 года назад

    Lkn si makapi hayoo yaache yarudii ni makapiii usediii❤️❤️❤️👍👍

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 4 года назад +1

    Kwa wengne unaona rahisi ila kwako ww hujataka hata huyo wakushindana na wewe ..😂😂

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 года назад

      Acha kuongopa. Nenda kadanganye kwa wenzako wa twitter

    • @zabronnkoy4908
      @zabronnkoy4908 4 года назад

      @@fredylucas2484 nani aliechukua fomu kupambana na Magufuri ndani ya CCM ?

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 года назад

      ​ @Zabron Nkoy mwaka gani mwanaCCM alichukua form wakati wa kipindi cha pili cha rais wao na mwenyekiti wao? Kuna katiba na taratibu watu hujiwekea ila sema watu kama ninyi kwasababu mnazozijua wenyewe mnataka kupotosha mambo. Cha msingi ni kwamba vumilieni sindano bado mnayo mpaka 2025 na nionavyo hata 2025 mtapewa muarobaini mwingine kama h

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 4 года назад

    Hivi kwa nini mwenyekiti kila anapoongea mara zote hutoa mifano ya mwanamke mwanaume na mapenzi mapenzi!

    • @judaspantaleo9779
      @judaspantaleo9779 4 года назад

      Sabb ndo ugonjwa wa dunia maana ata sanaa za mapenzi ndo zina soko kubwa duniani mfano mziki na maigizo

  • @saeedsaedi2475
    @saeedsaedi2475 4 года назад +1

    Uchumi wakatiii Hali huku mitaani nitete 😀😀😀

    • @saidmayombya9965
      @saidmayombya9965 4 года назад

      Nenda kachape kazi usikaee mitaani pesa hazitakukuta unapiga majan maaikan

  • @Pastor1815
    @Pastor1815 4 года назад +1

    CCM oyee

  • @bahatimichael4538
    @bahatimichael4538 4 года назад +3

    MWENYEKITI NIMEKUELEWA VIZURI SANA...
    TANZANIA HAKUNA UPINZANI,
    KULIKUWA NA FITINA TU,
    WANANCHI WAMHITAJI MGOMBEA FURANI INATOKEA MWINGINE ANAJUWA KUTUMIA PESA,
    KWANINI ASITAFUTE NJIA MBADARA ?

  • @elimwazembe3631
    @elimwazembe3631 4 года назад +2

    Kwaiyo ata membe mmekuwa nawsws naye kwamba atawashinda ndomana mmemfukuza uwanachama ongera rais kwamajibu yako ya ukweli yasiokuwa Baikal a so

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 года назад

    Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 4 года назад +2

    Dada wa Kwanza mbona ana anxiety?

    • @anithasigaro1750
      @anithasigaro1750 4 года назад

      Asante baba etu wa taifa enderea kukaaria kiti

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 4 года назад +1

    Nahoza weee maskn watu hawakutaki kwasbb

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 года назад

    Kama niccm unauwezo nizam na uadilifu kwanini usishinde

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 4 года назад

    Safi sn mama kwa kutumia fursa hiyo.

  • @daudyesseobedi7952
    @daudyesseobedi7952 4 года назад

    Makalai kuweni na uvumilivu

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 4 года назад +1

    Sasa ivo mulivohesabu kura kwa uwazi ndio uwe uchaguzi guru, hivo hakuna kubebwa mtuu, uyo ndo Uncle Magu amebadilisha, na atashinda mtu kihaki...

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 года назад

    Hiyo ni dawa ya wabaniaj wenzao

  • @sulea259
    @sulea259 4 года назад

    Ishu iyo

  • @Jay_Clever
    @Jay_Clever 4 года назад

    Diamond platnumz afunguka kujenga mgahawa ruclips.net/video/7G5zgdyjI_w/видео.html

  • @muniruwahid6648
    @muniruwahid6648 4 года назад +3

    😂😂😂ccm wameshaanza kugeukana eh na bado endeleeni kununua wapinzani ili mje kugombana wenyew kwa wenyewe

    • @dianadouglas9054
      @dianadouglas9054 4 года назад +2

      Sasa kwa akili zako fupi hapo wamegeukana vipi?

    • @muniruwahid6648
      @muniruwahid6648 4 года назад +1

      @@dianadouglas9054 kwani unazani ndio leo yanasikika hayo.arusha tayari kuna ugomvi aliyehamia ccm na unataka kupewa nafasi agombee ubunge😂😂jipe moyo ila utakuja jua soon

    • @muniruwahid6648
      @muniruwahid6648 4 года назад

      Wenyeji wanajisikia vibaya wew nao sio wajinga walijipanga😀😀😀

    • @godfreymasele558
      @godfreymasele558 4 года назад +2

      Njoo na wewe wakununue kanabunauthibitisho wananunuliwa, fikra finyu na za kibinafsi. To a bei yahao wanaonunuliwa. Mnalishwa matango mwitu huko viongozi wenu wanashindwa kuongoza vyama vyenu huko chadomo mnabakia wananunuliwa

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 4 года назад

      @@muniruwahid6648 mmesahau mloyafanya *2015 mlipomshawishi Lowassa kuhamia chadema* kisha *mkampa nafasi kugombea urais huku mkimpotezea Dr Slaa ambaye mlishamuandaa naye pia akajiandaa*

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 года назад

    Bora alivyo kwambia wewe mwenyekiti ,umetoa jibu zuri

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv3429 4 года назад

    😁