Praise be to GOD,I'm glad to see you in TANZANIA, spreading the gospel through your singing.Im praying GOD you are coming back to Kenya,you are blessing to us.welcome again Israel.
Nakupenda sana israel mbonyi nyimbo zako zinsgusa mioyo mingi unaimba ktkt roho na kweli bible saya waabuduo halisi watsmuabudu Mungu ktk roho na kweli u are the one Mungu atakupigania dumu hapo haijalishi ugumu wowote maana shetsni anajua ulichobeba so prayer iwe ni msisha ysko waimbaji mnawindwa usiku na mchana be blessed so Much my prsyer Mungu M
Welcome my brother tanzania feel at home we are waiting for your songs live now god's grace is enough for me? By the ways turakwishimiye msaza wacyu uturirimbire indilimbo ziwacyu mu rwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤kwani huko ndiko liliko chimbuko la vaba yangu ingawa tumezariwa tanzania 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Uwe makini sana kijana wayesu ,waimbaji wengi wa te hawaaminiki tena wamesha jichanganya sasahivi niwasanii siowaimbaji tena wanyimbo za injiliwengine nimashoga.
Son of East Africa. You are really loved.
Karibun sana Tz🇹🇿 Israel mbonyi mungu azidi kukuinua zaidi
Israel mbonyi Mungu akutie l. Nguvu katika huduma yako ni madhabahu ya kubadilisha. Maisha ya watu hasa wanao mpenda Mungu kisawa saw amina
Israel karibu sana Tanzania, waweza tuma neno la uzima
Praise be to GOD,I'm glad to see you in TANZANIA, spreading the gospel through your singing.Im praying GOD you are coming back to Kenya,you are blessing to us.welcome again Israel.
I salute you may God be with you amen .Much love ❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda sana kijana wa Yesu. Nyimbo zako zinaugusa moyo wangu. Endelea kumtumikia Mungu kww viwango vya juu kabisa your my favorite artist.
Karibu sn Israel Tz tunakupenda san
Karibu kaka Israel mungu akuinue sana na utembee ktk jina la Yesu❤❤
Bwana Mwokozi wa maisha awe nanyi kutoka mwanzo kufukia mwisho.Israel barikiwa sana mtoto wa Mungu.
Karibu sana TANZANIA kaka yetu Israel, tunakupenda na tunabarikiwa na utumishi wako💪🔥🙏
Nakupenda sana israel mbonyi nyimbo zako zinsgusa mioyo mingi unaimba ktkt roho na kweli bible saya waabuduo halisi watsmuabudu Mungu ktk roho na kweli u are the one Mungu atakupigania dumu hapo haijalishi ugumu wowote maana shetsni anajua ulichobeba so prayer iwe ni msisha ysko waimbaji mnawindwa usiku na mchana be blessed so Much my prsyer Mungu M
God bless you Israel.from Namibia
God bless you much, your worship has been blessing me greatly. My prayer for a double impact, from Kenya
Imana ishimwe cyane ko yakurinze ukagera Tanzania amahoro
Mungu akubariki sana tunakupenda San mtumishi waibaji muna vita sana ila msichoke ushindi Ni lazima ukiwa Dani ya Yesu❤
I myself experienced healing when u came to Kampala Lugogo Cricket Oval.
God bless u so much Mbonyi
Karibu sana Tz tunakupenda sana binafsi huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu azidi kukuinua Amen
Ewana wahaye igihugu cyacu icyubahiro imana iguhe umugisha
Israel Mbonyi, you are exceptional and an inspiration. I love your songs so much. I hope you find time to come to the UK. Mungo akubariki sana 🙏
More grace to you Israel ,may the Lord Jesus continue to use you to spread the gospel in almighty way.
Love u mbonyi. It's my prayer that through u may God lift my worship ministry.
Watching from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ensure that Saturday and Sunday ntakuwa life
Karibu sana Tanzania Israel we appreciate what you do...Karibu sana😍
We love you our son of east ... God bless
Hi guys, God bless His messenger Israel mboyi...if there is a gospel singer is Israel. Your music is such teaching. ❤❤
Your swahili is so good when you sing and praise the God and I thought you were fluent in Swahili
Watching from 🇰🇪🇰🇪much love
Karibu sana Tanzania Israel Mungu azidi kukubariki kukuinua kukuimarisha ili Neema zake ziwe kwako daima
Karibu sana upendo today kenya
atakaekuwa nawema hahitaji kuheshi miwa naipendasana nazotepiya❤❤ barikiwa
I was restored,,I have a testimony,, yanitosha that's my song
Like me 😊
My favourite to
God bless you Israel more love from kenya
Welcome my brother tanzania feel at home we are waiting for your songs live now god's grace is enough for me? By the ways turakwishimiye msaza wacyu uturirimbire indilimbo ziwacyu mu rwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤kwani huko ndiko liliko chimbuko la vaba yangu ingawa tumezariwa tanzania 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Isrel Mbonyi karibu tena Tz
Mungu akubariki
Mungu akutie nguvu my kaka ktk yote na zaidi akutumie sana kupitia hudumayako upande viwango na viwango kwa ajili ya utukufu wake🙏
Karibu sana TZ kijana wa kristo, namwona Roho Mtakatifu ndani yako ndio mana nyimbo zako zinagusa mioyo ya watu
Kweli kabisaaa nyimbo zinabariki sana
Àcha shobo
Àcha shobo
@@MoiseBatende-r8zzero brain
@@MoiseBatende-r8zwewe ni kahaba acha roho ya kwanini wewe kahaba kosa la alie coment kuusu kristo nini malaya wewe
Karibu sana Tanzania Israel Mbonyi we love your gospel
Karibu sana sana, Mungu azidi kukutunza na kukupigania,Damu ya Yesu ikufunike,adui asikupate 🙏
Karibu sana TZ mtumishi wa Bwana,nyimbo zako zina utukufu sana nikisikiliza nabubujika na kuanza kuomba,Mungu akuinue viwango vya juu sana
We love you Israel
Bwana Mungu akubariki sana mtumishi wa kristo
Wow,ajibu yesu ama asijibu atabaki kua Mungu na tutamsifu siku zote
Mungu akubariki sana msanii wetu❤
Karibu Sana Brother.. You have your place these 2 days🥂
Barikiwa sana
Tunakupenda karibu
I love your songs sir. God bless you ❤
Karbu Tanzania muvandimwe wacu turagukunda Kandi turikumwe Imana iguhe umugisha
Karibu sn Tz Tena na Tena we love you so much, God bless.
Turagukunda Cane mwene data barikiwa sana
Imana ninziza pe
Israel mbonyi barikiwa sana❤
Karibu sana mtumishi wa mungu akuinue zaidii🥰🥰
Uwe makini sana kijana wayesu ,waimbaji wengi wa te hawaaminiki tena wamesha jichanganya sasahivi niwasanii siowaimbaji tena wanyimbo za injiliwengine nimashoga.
Thank you God to help Israel
Umechagua lugha nzuri Mana waandishi hawatakusumbua sana
Wabongo😂😂
😂😂😂😂😂Umewaza nini mpendwa?
Karibu Tz kaka
Waaau so amazing
Come to Kenya brother we love you more more?
Roho mtakatifu yupo pamoja nawe mana huwa nasikia vibration nikifatisha unavyoimba 😊
❤❤❤this my Big brother
nakupenda unaujumbe mzur sana
Waiting for you again in kenyaa❤❤❤❤date 31
Kariba Israel Tanzania
Karibu sanaa Tanzania tunakupenda sana mtu wa mungu
I'm blessed so much
Asanteni sana
Mungu akwinuwe viwango vingi zaidi ya hapo
We love you more than what you love us, keep it up the son of God
I love ur songs ❤
Tanzania Kwa Yesu
Amen l like your songs
Kumbe ndugu ni kongomani .wow maanake nilishangaa sana mbona nyimbo zake tofauti sana na za waimbaji wa Kenya wa siku izi.
Siyo mkongo ni mnyarwanda
Wlcm l love ur song be blessed
Jaman kiswahili huez ongea mbona unaimba kswahl vzr
Glory to GOD.please kindly would you be translate some of vanacular songs to kiswahili
We love you our son o
WELL COME TZ WE LOVE YOU IN JESUS NAME❤❤❤
God bless you...but you sing good swahili gospel songs ...you are good
That's great to land in our country welcome sana
GOD bless you israel
Bwana nitumie nenoi la uzima
Bwana awalide na kuwakinga dani ya uduma nackua umoja bele ya mungu
Mara ya kwanza kumuona nilijua mmasai 😂na anakiswahili cha kimasai kabisa,but karibu sana Tanzania 🇹🇿
Angeongea tu iyo swahili ya Congo tungeelewa tu
Waweza tuma neno la uzima nibadilishe yote
Hata usipofanya nitaamini
Maana si mara ya kwanza umenipitisha kwenye magumu😭🙌🏼
Kuja Kenya Israel
Pitia Kenya tena
Tiketi zinapatikana wapi
Yaa wewe ni mwamba mungu akutumze
Goat 🐐
Amen ❤❤❤
hata watu wengi wanawaelewa?
Mngeweka mkalimani
Acheni uongo.
Kichwa chenu cha habari.
What a misleading Headline. It's disgusting to seek attention through lies. Shindwe sana
Imana yabikoze nza
❤❤❤❤❤❤❤❤❤