Roho Yangu na Ikuimbie | How Great Thou Art | Sauti Tamu Melodies | Nyimbo za Sifa (Skiza 5814859)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 662

  • @northwest8516
    @northwest8516 2 года назад +65

    Kama kuna mtu anaangalia hii video Hadi leo gonga like to praise God

  • @nanikdasani4547
    @nanikdasani4547 Год назад +5

    Bwana Mungu nashangaa kabisa,
    Nikifikiri jinsi ulivyo,
    Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
    Viumbavyo kwa uwezo wako.
    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu,
    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu.
    Nikitembea pote duniani,
    Ndege huimba nawasikia,
    Milima hupendeza macho sana,
    Upepo nao nafurahia.
    Nikikumbuka vile wewe Mungu,
    Ulivyompeleka mwanao,
    Afe azichukue dhambi zetu,
    Kuyatambua ni vigumu mno.
    Yesu Mwokozi atakaporudi,
    Kunichukua kwenda mbinguni,
    Nitaimba sifa zako milele,
    Wote wajue jinsi ulivyo.
    HOW GREAT THOU ART
    O Lord my God, when I in awesome wonder,
    Consider all the worlds Thy hands have made
    I see the stars, I hear the rolling thunder,
    Thy power throughout the universe displayed.
    Then sings my soul, my Saviour God, to Thee,
    How great Thou art, how great Thou art.
    Then sings my soul, my Saviour God, to Thee,
    How great Thou art, how great Thou art!
    When through the woods, and forest glades I
    Wander and hear the birds sing sweetly in the trees
    When I look down, from lofty mountain grandeur
    And see the brook, and feel the gentle breeze
    And when I think, that God, His Son not sparing
    Sent Him to die, I scarce can take it in
    That on the Cross, my burden gladly bearing,
    He bled and died to take away my sin.
    When Christ shall come, with shout of acclamation
    And take me home, what joy shall fill my heart
    Then I shall bow, in humble adoration,
    And then proclaim My God, how great Thou art!

  • @GRAYSONMADAFU-rh6dm
    @GRAYSONMADAFU-rh6dm 12 дней назад

    Nyimbo zinatupa hamasa kwa kweli tukumbuke siku za ibada na kutafakari sana maisha yetu kuwa yako wapi?

  • @VictoriaKitaly-b2y
    @VictoriaKitaly-b2y 6 месяцев назад +2

    Kwa kispanish Ni Sawa sautii yaanii tukiunganisha kiswahil na kispanish Wewe !!! Surely I'm to a Catholic 💪🏿💪🏿🥰🥰🙏🏿🙏🏿

  • @cosmasmutungi8017
    @cosmasmutungi8017 3 года назад +9

    Bwana Mungu nashangaa kabisa,
    Nikifikiri jinsi ulivyo,
    Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
    Viumbavyo kwa uwezo wako.
    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu,
    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu.
    Nikitembea pote duniani,
    Ndege huimba nawasikia,
    Milima hupendeza macho sana,
    Upepo nao nafurahia.
    Nikikumbuka vile wewe Mungu,
    Ulivyompeleka mwanao,
    Afe azichukue dhambi zetu,
    Kuyatambua ni vigumu mno.
    Yesu Mwokozi atakaporudi,
    Kunichukua kwenda mbinguni,
    Nitaimba sifa zako milele,
    Wote wajue jinsi ulivyo.

  • @reginantabo7695
    @reginantabo7695 Месяц назад

    The more things change the more the remain the same . These were the songs we grew up with. Am glad to hear them again. They were hymns of praise. Continue praising God.
    The word of the lord says God does not change. May glory honour and praise be to him.

  • @louis001
    @louis001 3 года назад +7

    What a song👍🙏🙏...... Waiting next for ' Kila mtu ata uchukua mzigo wake mwenyewe'...... Notification bell is on.

  • @dr.vincentmakori-youngpian9530
    @dr.vincentmakori-youngpian9530 3 года назад +20

    Kazi safi Munywoki na waimbaji.. .. Thanks so much for working with me@ Dr. Vincent Makori-The young pianist 🙏 Asanteni nyote

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +3

      Karibu Vincent. Kazi safi. Hongera. Don't let the talent fade away

    • @fitcyprian9784
      @fitcyprian9784 3 года назад +2

      Congratulations to you..... May Almighty God protect you and bless you

    • @peterenyenze1001
      @peterenyenze1001 Год назад

      @@SautiTamu 7w8qq99qq9q8aaooaoaaooq1q{qqiii%iqqiqiqqiiqqiq>q7w

    • @ErickKamili-p6e
      @ErickKamili-p6e Год назад

  • @LuciaMwaniki-yw9iy
    @LuciaMwaniki-yw9iy Год назад +3

    congratulations to the young pianist❤,,good work to composer,organist and to the entire choir👏🥰

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад +1

      Thank you Lucia. Blessings

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema 3 года назад +8

    Kazi nzuri director wetu.❤❤❤

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Shukrani Anastacia. Be blessed

    • @kimanijohn9529
      @kimanijohn9529 3 года назад +4

      Anastacia I'm right there with you, fly to state and perform some concert over here, 😜

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema 3 года назад +4

      @@kimanijohn9529 US here we come💪💪💪.😂😂😂😂Wacha corona iishe😂😂

    • @mjkinuthia386
      @mjkinuthia386 3 года назад +1

      @@anastaciamuema Yep, I agree with John, you have a plethora of fans Anastacia

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema 3 года назад +2

      @@mjkinuthia386 all is for the glory of the Most High, our God!🙏

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 2 года назад +3

    Hakika ni sauti zilizobarikiwa na MUNGU mwenyewe na MUNGU azidi kuwabariki kwa uimbaji mzuri na wenye kumgusa MUNGU wetu alitetuumba na kutupa vipaji vya kumtukuza ili kutuliza hasira zake ktk huu ulimwengu wenye dhambi na uliojaa machafuko karibu kila pande za dunia.
    GENESIS 28:14
    ZEPHANIAH 3:9-10
    LOVE from
    Furaha Choir
    Swahili service-LONDON

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      Ubarikiwe

    • @AYltd
      @AYltd 2 года назад

      Asante Sana Sauti Tamu...imekuwaje m.mepasiwedi HII?...NA..CHELEA...YESU ANGEPIGA PASIWEDI INJILI JE?..asante labda mtajibu kibiashara...jipeni MOYO MKUU ..TOENI BURE MUMJARIBU MUONE KAMA...KAMA MAFURIKO YA BARAKA NI AHADI AU UTANI...STAY DEEPER INTO YOUR FAITH U'LL SEEEE

  • @charlesmasterphenomenology4128
    @charlesmasterphenomenology4128 10 месяцев назад +1

    Nutoto mupiga piano: nashanga, tena naiwomba Mungu alinde mbegu safi iyo esafishue mpaka milele😊😊

  • @joycute6478
    @joycute6478 2 года назад +2

    Huu wimbo umenibariki sana🙏🙏

  • @robertodhiambo147
    @robertodhiambo147 2 месяца назад

    Hakika Mungu ni mwema.juu kutembea more duniani ikona maajabu yamaanikiwa mdomo.

  • @janebitutu8469
    @janebitutu8469 3 года назад +10

    So nice my dear son,(pianist young soul)may Almighty father lift you up to maximize your desires . Aim higher and work for our Lord father in Heaven

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Amen

    • @davifivifobdmutai8052
      @davifivifobdmutai8052 2 года назад +1

      So inspiring. Why can't we download?

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      Downloading is a RUclips limitation not from our side. If you fine a downloader app, then try your luck

  • @mshanakiondo8431
    @mshanakiondo8431 3 года назад +2

    Mungu wetu wawabariki kwa wimbo huo ambao unanipa hisia kubwa na pia Mungu ambariki huyokijana mpiga kinanda

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Shukrani, ubarikiwe pia nawe

  • @MUTURI_KANG
    @MUTURI_KANG 3 года назад +1

    The young man playing the piano @collinsmakori your bro got talent, 💯💯

  • @rutarutahindurwa2080
    @rutarutahindurwa2080 День назад

    Omukama alinde

  • @jameskatala737
    @jameskatala737 3 года назад +5

    Sifa za bwana na zitumiwe milele amen

  • @verotura2041
    @verotura2041 3 года назад +3

    The Young Organist Vinny👏👏,Kazi safi Munywoki and the team💞💞

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Asante Vero, ubarikiwe

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 3 года назад +12

    I have been following and listening to your catholic album, I don't Google lyrics I sing what I hear, I usually pray for you ladies and gentlemen, I wish you good health and happiness,, watching from Maryland U S A

  • @georgemakori248
    @georgemakori248 3 года назад +11

    I forgot Director Munywoki thanks for mentoring the young Doctor. Vincent to sharpen his talent you are leaving a great mark in the gospel music arena which will live for ever and you will be remembered for this naturing of the young talents

  • @lydianyenye9843
    @lydianyenye9843 11 месяцев назад +1

    Furaha ya Bwana ndiyo nguvu yetu wimbo mzuri sana

  • @thomasmutuku-hu1xf
    @thomasmutuku-hu1xf 10 месяцев назад +1

    thank you sauti tamu, we really thank you for this keepup, let's praise the Lord in every way!

  • @TheGreat037
    @TheGreat037 3 года назад +27

    Base 100%
    Alto 100%
    soprano 100%
    Tenor 100%
    Composition and the flow made more than perfect

  • @lawrenceebu7076
    @lawrenceebu7076 2 года назад +1

    Yeye ndiye mkuu aleluya 🙏🙏🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @josephmeinradhyera7672
    @josephmeinradhyera7672 3 года назад +1

    Hakika ni Saudi Tamura kwelikweli.hongereni Sana. Botswana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Asante Joseph. Be blessed

  • @krystynaha2455
    @krystynaha2455 3 года назад +6

    Naipenda hii wimbo♥️🙏🥰

  • @nasibazawadi9639
    @nasibazawadi9639 2 года назад +1

    WOWW Sina kya kusema alafu motto Uyu ana fanya ya Kuchangaza Acha Mungu wa Biblia a Barikie Uyu kijana mayicha y
    Yake yote wazazi wake , na nyie wrote Amazing

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      Asante Nasiba, ubarikiwe pia

  • @SolomonMutende-y9p
    @SolomonMutende-y9p 11 месяцев назад +1

    This song is always great portraying the greatness of our God and it also found wonderful and great sweet voices. God bless you sweet melodies as you serve him through music

  • @blessingteresa1211
    @blessingteresa1211 3 года назад +5

    Keep up the good work cousin❤

  • @LilianChemtai-i3f
    @LilianChemtai-i3f 2 месяца назад

    Inaflow venye inafaa❤

  • @ferdinandmutua5573
    @ferdinandmutua5573 11 месяцев назад +2

    These are talented singers 👏.

  • @neemamunish9498
    @neemamunish9498 3 года назад +1

    Wimbo mzuri pia mmeimba vzr Sana Mungu azidi kua nanyi daima

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Asante Neema Munishi. Ubarikiwe

  • @cynthiaonanda7492
    @cynthiaonanda7492 3 года назад +1

    Sauti nzuri Sana nimefurahia asanteni Kwa nyimbo hii nimebarikiwa Sana

  • @VictoriaMuyomba
    @VictoriaMuyomba 9 месяцев назад +1

    Asante sanaaa kwawimbo huyu Bwanawetu Yesu Christu asifiwe

  • @hillarykibet7264
    @hillarykibet7264 3 года назад +1

    Waoo I have been waiting for the song choir toa zingine God 🙏🙏🙏🙏 blessed you all am praying for you guys

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank Hillary.
      Be blessed

  • @TheGreat037
    @TheGreat037 3 года назад +5

    Catholics never disappoint, 100% drawing every being nearer to the Creator.
    Roho Yangu ikamwimbie Jinsi Yeye alivyo mkuu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Amen
      Thank you Oran KE
      God bless you

    • @TheGreat037
      @TheGreat037 3 года назад +1

      @@SautiTamu Thank you too

  • @thomasaloyce2419
    @thomasaloyce2419 2 года назад +1

    yaaani jamani mnanibarikiiiiiii...
    GOD BLESS YOU FELLOWS

  • @raphaelngoy1680
    @raphaelngoy1680 2 года назад +1

    Tu muimbiye mungu wetu kwani atupa ruhusa n'a sauti yake kwani tuna vipewa bure tu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻 thank you

  • @michael-hc9cl
    @michael-hc9cl 10 месяцев назад +2

    I love this song both English and Swahili

  • @luluactress2860
    @luluactress2860 3 года назад +3

    I'm so proud of my baby bro😍😍

  • @peterwainaina6409
    @peterwainaina6409 3 года назад +1

    How great thou art song sang in kiswahili, remind me the Christian Union in high school.

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 года назад +4

    Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you Pasilisa. God bless you

  • @mercymutisomusic
    @mercymutisomusic 3 года назад +12

    In love with it❤️❤️
    Well done our producer🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you Mercie, and for singing sweetly

  • @collinsonsomu3098
    @collinsonsomu3098 3 года назад +1

    Good song, congratulations our last born vinny,keep up

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Thank you Collins, be blessed. Vinny is going places

  • @michaeloroni6067
    @michaeloroni6067 2 года назад +1

    Sauti na nyusho za malaika, hongera sana

  • @justusmusyoki759
    @justusmusyoki759 7 месяцев назад

    Wimbo mtamu saana, na keyboard player, the young one- keep it up!

  • @eunicenabukonde
    @eunicenabukonde Год назад +2

    Praise God so much that whenever am bored i have to listen to this song and l will have to be fine. praise him once again and again

  • @HONEDWINCHEBETBARAKA
    @HONEDWINCHEBETBARAKA Год назад +3

    I love you

  • @mbuyunichanoo4574
    @mbuyunichanoo4574 3 года назад +1

    Kazi nzuri kwa wanakwaya na the young organist Vinny

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you Mbuyuni, be blessed

  • @lenahabraham6624
    @lenahabraham6624 3 года назад +8

    In love with sauti tamu melodies😍😍😍.. Great job baby Vincent for playing the organ😍

  • @josephsikalombo7690
    @josephsikalombo7690 2 года назад +1

    Nawapenda sana jamani mnanikosha sana hata Mimi mwimbaji mwenzenu

  • @jumahemed694
    @jumahemed694 Год назад +1

    Waga nyimbo kama hizi zinanifariji sana, hongereni watumishi wa Mungu.

  • @mjkinuthia386
    @mjkinuthia386 3 года назад +20

    One of the most internationally popular & acclaimed melodies. To listen to it so finely tuned in our national language adds gravitas & sweetness to it. And how about the young lad on the piano... wow!! Nobody does it better than Sauti Tamu 👌🙏👍

  • @josephthiongo3259
    @josephthiongo3259 3 года назад +4

    Sauti Tamu your songs really blesses me so much!😇 I love your songs so much❤️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you Joseph, be blessed

  • @GlorioseNdayikengurukiye
    @GlorioseNdayikengurukiye 8 месяцев назад

    Kazi nzuri sana👏

  • @protasmachanja3772
    @protasmachanja3772 3 года назад +1

    Jamani niliondoka catholic lakini roho Bado .Kwa hii wimbo jamani ploti mzima inateseka Kwa vile spika inazitoa

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Woow shukrani Protas, ubarikiwe

  • @truxiemkenya5477
    @truxiemkenya5477 Год назад +1

    You gained a new subscriber, thank you for blessing me with the songs.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      Thank you so much. We appreciate

  • @donarsene
    @donarsene 2 года назад

    Thank You Sauti tamu melodies 🙏🙏🙏👍

  • @jacksonruitiari9245
    @jacksonruitiari9245 Год назад +1

    Congrats @Anastasia Muema n ua colleagues.

  • @kaparojuma978
    @kaparojuma978 3 года назад +1

    aki iko poa sana pia mim na jivunia kuwa mkatoliki

  • @jamesmuriithi9254
    @jamesmuriithi9254 2 года назад +1

    Wimbo hunibariki sana.Heko waimbaji.

  • @odibest8200
    @odibest8200 2 года назад +2

    Our great God is good and powerful beautiful song I return all the glory and honour to him alone victory all over in my life and life of my family in Jesus Name Amen and AMEN

  • @cosmas90
    @cosmas90 3 года назад +1

    Siwezi kupita bila kuwapongeza. Kwa kweli mmetisha sana. I just love you all!! Mbarikiwe sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Shukrani sana Gastor

  • @paulineanyango8477
    @paulineanyango8477 3 года назад +1

    Asante kwawimbo mzuri🙏🙏🙏🙏

  • @agatahmbiyu2711
    @agatahmbiyu2711 3 года назад +3

    Good job Martin and your team. Much love from Mitaboni parish

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Asante Agata, ubarikiwe

  • @martingitonga6814
    @martingitonga6814 3 года назад +5

    Impressed by the work of this little man Vinny👊
    Job well done💪

  • @jumalino4791
    @jumalino4791 3 года назад +2

    Oh Lord my God when am in awesome wonder consider the world thy ✋ has made, I see the 🌟 hear the rolling tender thee power through the universe this place. Then sing soul my Savior God to thee. Wow the beautiful song and beautiful voices, 😍 u so dearly

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 Год назад +1

    This song makes me to remember at O level Studies I was one among the school Choir members

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      Thank you for the memories

  • @jeanclaudeluboya6345
    @jeanclaudeluboya6345 Год назад +1

    Je suis déjà votre fan depuis des longues dates, courage aux dames et demoiselles, messieurs y compris. Chers frères et sœurs vous nous faites des beaux moments d'adoration. Merci

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mauricemusuya2353
    @mauricemusuya2353 11 месяцев назад +2

    Thanks it has really been very good

  • @celestinekalekyekamitu4487
    @celestinekalekyekamitu4487 3 года назад +2

    Good Job Tr.caroh and the group

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      She is a wonderful performer

  • @PoPo-ls9yf
    @PoPo-ls9yf 2 года назад +1

    Amen.verygood.verysweets.verysong.verybeautiful.verykind.veryTop.veryGodLove.ILoveyou.Godblessyou.thankyou.somuch

  • @elizahmuthama643
    @elizahmuthama643 3 года назад +4

    I'm just in love with this young star boy playing the piano. Source of my blessing guys, get blessed 🙏🙏🙏

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 месяца назад

    Woooooow ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @maliinathan4831
    @maliinathan4831 3 года назад +5

    Great works again.Kudos sT

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 2 года назад +1

    What a powerful voice!!!
    MUNGU awabariki sana kwa vipaji vyake alivyowapa na jinsi mnavyovitumia vizuri kumpa utukufu wake MUNGU wetu mwenye enzi
    Salaam kutoka Furaha choir
    IBADA YA KISWAHILI- LONDON

  • @NehemiaMeshack
    @NehemiaMeshack 11 месяцев назад +1

    Nimeipenda sana

  • @fayamina2560
    @fayamina2560 3 года назад +9

    This is extremely beautiful.
    Sauti Tamu your the best gift ever.
    Ever blessing❤️❤️❤️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Asante sana Fay, ubarikiwe kila unapotazama

  • @ndetichrissantos652
    @ndetichrissantos652 3 года назад +3

    Wana sauti tam tena!!! Hongereni sana....nyie uniiniua sana na nyimbo zeyu tam kweli kweli........vile vile naeza pata ixi nyimbo wapi zoote?
    Asante sana bwana Martin
    Mungu aendelee kuwabariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Thank you Ndeti,
      Be blessed.
      Kwa sasa zipo tu RUclips
      Baada ya msimu wa Covid tutajitahidi zipatikane pia kwa DVD, maeneo mbali mbali

  • @samwelimihayo247
    @samwelimihayo247 3 года назад +1

    Kwaya ninzuri sana, mbarikiwe sana kwa kuinjirisha kupitia nyimbo

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Shukrani Samweli

    • @samweljohn9099
      @samweljohn9099 3 года назад +1

      Nashangaa jinsi vilivyo
      Siyo jinsi ulivyo.
      Maana yake anashangaa jinsi vilivyo nyota na vitu vyote pia.
      Siyo kumshangaa Mungu.
      Mbarikiwe sana

  • @patrickkariba1328
    @patrickkariba1328 2 года назад +2

    To that young pianist.May our good lord light your paths n enrich your talent.May you live to sing for the lord all the days of your life.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад +1

      Be blessed too

    • @patrickmsekwa4947
      @patrickmsekwa4947 2 года назад

      Muziki wenye akili ni DAWA. Hivi tunafeli wapi na hiyo minenguo na kubinuka binuka kulikoingia Makanisani??????

  • @malk8152
    @malk8152 3 года назад +1

    Vizuri sana

  • @niaxcx3526
    @niaxcx3526 2 года назад +1

    Mubarikiwe sana🙏🙏

  • @delphinrashidnziko1449
    @delphinrashidnziko1449 3 года назад

    Nitalisifu Jina la Bwana siku zote za maisha yangu.
    Asante sana waimbaji, mubarikiwe

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 Год назад +1

    I loved the first Guy who was praying 🎹

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @jacklinenyandaya5749
    @jacklinenyandaya5749 2 года назад +1

    Sauti tamu sana mbarikiwe,

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      Asante Jackline
      Ubarikiwe nawe pia

  • @gloryjulius1108
    @gloryjulius1108 2 года назад +1

    Sichoki kuusikiliza huu wimbo

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 года назад

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @jacklinenyandaya5749
    @jacklinenyandaya5749 2 года назад +1

    Mbarikiwe sana Kwa huu wimbo mtamu

  • @marciocosta2369
    @marciocosta2369 2 года назад +3

    Muito lindo gostei so nao falo este idioma jesus abencoe grandemente marcio

  • @gervasmlowe916
    @gervasmlowe916 3 года назад +1

    Nimefarijika amina

  • @silanoah7393
    @silanoah7393 3 года назад +1

    inapendeza sana

  • @patrickcheruiyot7835
    @patrickcheruiyot7835 3 года назад +1

    Congratulations for your good song

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you so much Patrick

  • @samwelbyejwe4244
    @samwelbyejwe4244 2 года назад +1

    Barikiwa sana

  • @jonsongibesh8137
    @jonsongibesh8137 3 года назад +1

    Hongerani Sana Sauti tamu kwa products zenu

  • @goodjoseph220
    @goodjoseph220 3 года назад +3

    This blesses my heart! Praise the name of the lord. Be blessed sauti tamu

  • @Epimaque-qr6cf
    @Epimaque-qr6cf 10 месяцев назад +1

    Asante sana bakozi ba mungu.

  • @lavinemoriasi7652
    @lavinemoriasi7652 3 года назад +5

    Continue making us proud vinny❤

  • @fabianbarasa7799
    @fabianbarasa7799 3 года назад +4

    The song is worth to listen from time to time ......good job Munywoki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Asante sana Fabian, ubarikiwe