Watanzania tujifunze soka tupunguze ushabiki wakijinga tunaipima timu mwisho wa msimu imevuna nini sasa kama goli moja nitatizo jee nahilo moja likikosekana itakuwaje point vipi haijawai kutokea timu kila mechi wao wanashinda goli nyingi haijawai kutokea nawala haitatokea tuangalie mambo ya msingi kwenye mpira likiwamo la waamuzi kutotafsiri sheria ipasavyo nakuzibeba timu nyingine kwa uzembe wao
@@LilianBitwaleYani awa wapizani was yanga minamini wanashiriana na Simba wanaronga na kuta mtu kafanyia itaviu shabiki was Simba anasema yanga ishindi Tena na wachezaji wetu wanawafunga miguu minikiangaria naona Kama kweri viongozi wetu sijuwi wanayaona kwari rakini mungu yupo tutavuka
Hivi hawa journalists wanaowa interview wasemaji wa timu zinazocheza na timu zao ''Simba na Yanga'' Unamuhoji msemaji wa Pamba lakini maswali yote yanahusu ubora wa yanga,sasa si bora angemuhoji msemaji wa yanga ndio angeelezea vizuri
Watanzania tujifunze soka tupunguze ushabiki wakijinga tunaipima timu mwisho wa msimu imevuna nini sasa kama goli moja nitatizo jee nahilo moja likikosekana itakuwaje point vipi haijawai kutokea timu kila mechi wao wanashinda goli nyingi haijawai kutokea nawala haitatokea tuangalie mambo ya msingi kwenye mpira likiwamo la waamuzi kutotafsiri sheria ipasavyo nakuzibeba timu nyingine kwa uzembe wao
Nimegundua Ahmed Ally ni role model wa wasemaji wote wa vilabu vya mpira Tanzania😊 angalia style ya kuongea kwao
Uongo
Kwani anatunzo ?
Nikweli wakifungwa mengi watasema tawi letu
Hayo hayatuhusu
Hawa wasemaji ndo wanabaki kusema alliy kamwe ni semaji la kimataifa wakisha pigwa mengi hongera sana semaji wa pamba Kwa kuropoka😂😂😂
😂😂😂😂😂
Utauponza
Hapo makolo wanachungulia, hiyo nembo ya GSM kwenye jezi ya Pamba jiji ikitokea ikafungwa magori mengi tutasikia wamecheza na tawi lao🤣🤣🤣🤣🤭🤭
Kweli kabisa
Ata hivyo hili ni tawi la yanga.
@@CharlesLobulu Mtajua wenyewe.
haituhusu mfunge mfungwe yote shari kwetu
Jeuri la Mwanza.
Majigambo kama hayo yalimponza msemaji wa vital o😂😂😂
Siyo vital O tu Ahmed ally pia
Hiyo ndiyo machi ya mwisho kwa kocha. Nimekaa palee
Unajifrahisha eti dk 45 yanga anaongoza xx Pamba Jiji mnafkri mnapga kura za maoni ccm
Leo na uwakika mnapigwa ila tukiwapiga mengi watasema yanga b
Huyu msemji ni wamoto😂😂😂😂😂
Yanga irudi haraka kweny quality yake aseee 😢 izi zinaanz kuwa dharau sasa
Nakuhakikishia kuanzia Kesho, watu wataanza kutaftana .... Sevu hii comment ndg yangu 😊😊😊 afu tunawapg za kutosha
@@LilianBitwaleYani awa wapizani was yanga minamini wanashiriana na Simba wanaronga na kuta mtu kafanyia itaviu shabiki was Simba anasema yanga ishindi Tena na wachezaji wetu wanawafunga miguu minikiangaria naona Kama kweri viongozi wetu sijuwi wanayaona kwari rakini mungu yupo tutavuka
@@LilianBitwale Na iwe ivo Boss Wang, 😊
Kweli Alhamis magoli 7 tu yanatosha
Wewe semaji tunaanza na goli Tano hiyo siku
Sasa zile tano zita anza kwak hawa
Mkundu wewe ulisema kmc anafungwa 5 ziko wapi??
Mbn anaongea uku anaogopa
Huyu latifa ajifunze namna ya kuuliza maswali hata kama yeye ni shabiki wa Yanga afikirie
Alhamic mnadhalilika
Mdomo mali yake ana haki kesho tutajua mbivu mbichi hao sukuma kesho watajuta
haya majigambo utauponza😂😂😂
Jmn nyie pamba nawaonea hurum .msiwazarau yanga kwakua wanafunga goli moja moja ,.tar3 mtafungwa nyingi
Inaniuma sana yanga yangu tunaanza kudharauriwa mpaka na sisimizi😢
Hhahahhhaa Hadi panzi😂
😂😂
bado
hahahaaa mpk mende
GSM tawi lao
Hawa wanatakiwa wale 4 na kuendelea
Tim za yanga izo
Hivi hawa journalists wanaowa interview wasemaji wa timu zinazocheza na timu zao ''Simba na Yanga''
Unamuhoji msemaji wa Pamba lakini maswali yote yanahusu ubora wa yanga,sasa si bora angemuhoji msemaji wa yanga ndio angeelezea vizuri
Huyu hana lolote timu yenyewe tawi la utopolo, hapa anajilinda tuu lakini tayari keshapewa maelekezo na huyo aliyemvisha tshirt, yaani mfadhili wao
Ww ukija usikae golo kama unapika chakula jikon nyambafu
Tatizo mnakuja kukaa golini kama mnajuwa chezeni mpira nyambafu usitemee uchawi na utashuka daraja kwa sababu unakamia mechi moja washamba nyinyi
Kama uchawi tunaanza na cc
Huyu kama yule wa Vtalo
Unategemea uchawi bac tumewagundua njoo hiyo ck
Hahahaha anaongea Nini huyu?
Hao wote ni wamoja watt wa baba mmoja
Pamba itaanza na kipigo kikali sana, na watapigwa goli 7 bila nyie subirini tu.
Mnaweza pia nyie kupigwa
Ndio ivyo ni mwendo wa kumuiga semaj la caf
Hap
Huyu jamaa ni wa vitalo?au
Nyie si uto?
Jichanganyenii tuu mta pingwanyingii bola mtulie tu mpira si maneno